Тёмный

MSITULETEE SIASA HATUFUNGUI MADUKA/WAFANYABIASHARA KARIAKOO 

Gangana Info Channel
Подписаться 366 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@vocalizertz6868
@vocalizertz6868 25 дней назад
Ni muda wa Afrika kuamka viongozi wanatukandamiza sana , wakenya wameonyesha hili
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 25 дней назад
UPO VIZURI...
@MirajiMbolile
@MirajiMbolile 25 дней назад
​@@kesterkanyala7718 kabisa yaani watanzani tumekuwa wakubuluzwa tu kama taili bovu , na tatizo ni viongozi viongozi wamekuwa majizi makubwa ya kutufanya sisi hatuna akili .
@user-gn9rh7sw7r
@user-gn9rh7sw7r 25 дней назад
Tatizo watanzania tunafuata mkumbo Kenya inatuhusu nini ,biashara hamfungui kodi mnalipaje ,acheni ujinga
@allymganga3223
@allymganga3223 25 дней назад
Kenya respect
@reginas1832
@reginas1832 25 дней назад
​@@user-gn9rh7sw7rsasa mjinga hapo ni nani
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 24 дня назад
Amani nimhim Sana ndugu zetu tusiingie kwenye machafuko Tutayumba Kiuchumi na Taifa litapoteza mwelekeo tuwe wavumilivu na wasikivu tunapotafutiwa ufumbuzi
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas 24 дня назад
Acha ujinga au naww upo selikalin unaiba ndiomana unaongea upumbavu
@user-oz4gz8kq9e
@user-oz4gz8kq9e 24 дня назад
Uyu mpumbavu anajiita mwenyekiti wa wafanyabiasha huyu mjinga anatumika na serikali kuwapiga wafanyabiasha sound msifungue maduka mpaka raisi waziri mkuu aje mpaka kieleweke na litolewe tamko la kisheria kuondoa matatizo yote ya tra
@AminiKanda-vc1pn
@AminiKanda-vc1pn 24 дня назад
Amakweli Tanzania sionchi ya amani ilakisiwa chaumilivu
@GreceMwalende
@GreceMwalende 25 дней назад
Mama anakopa pesa zifanye maendereo wanakura arafu wanakandamiza wanainchi waripe wao wameka mifukoni inauma sana mama watu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 24 дня назад
Umesema vyema sana
@AwaziRajab
@AwaziRajab 24 дня назад
Wamepoteza Muda Gani Wakati Ndio Kazi Iyo
@user-oz3nm8sg3g
@user-oz3nm8sg3g 25 дней назад
Tz ngumu, amani ya uson inadanganya wengi
@musajulias3392
@musajulias3392 24 дня назад
Wazungumzaji hawa ni machawa wa selikari
@ButoyiThierryve
@ButoyiThierryve 25 дней назад
Nindeni kubabara tuuu aho mnaongopa kama sisi uku Burundi 🇧🇮
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 25 дней назад
Kwer watanzania weng ni mabwege ni ma njaa njaa kilakitu ni ndiyo tujifunze kenyaa
@ButoyiThierryve
@ButoyiThierryve 25 дней назад
Wanaongopa sana nikama sisi uku Burundi
@zezeshort
@zezeshort 24 дня назад
Michawa mingi sana Tanganyika ujinga mtupu eti ndiyo na makofi juu wanaume na wanawake wapo kenya
@migerajacob581
@migerajacob581 25 дней назад
Kuwa ongoza wa Tz rahisi sana,, wengi ni sogea twende,,
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 25 дней назад
Hii nchi hasa viongoz wa ccm kwenda pepon ni ngumu sana
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas 24 дня назад
Nchi kila kitu kinauzwa lakn kod kama tupo nchi zawatu sio nchi yetu viongoz weshindwa kuongoza sasa wanaamua kufanya bola liende tu
@onehouronlinetv1893
@onehouronlinetv1893 25 дней назад
Report ya CAG ilionekana kuonesha ubadhilifu mkubwa wa fedha za umma zinazotokana na kodi za wananchi. Tuambieni ni hatua zipi viongozi waliifanyia kazi report ya CAG kuonesha wana uchungu na hela zetu za kodi zinazotumika vibaya na baadhi ya watumishi wa serikali. Tumeshtuka hatutaki udhalimu
@robertzamani5612
@robertzamani5612 25 дней назад
Mmeshapigwa saundi
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 24 дня назад
Tanzania is our national be strong to your national we don't have palament this what call palament only difend green uniform not we tanzania to clouse kariako and country wide because of so much taxpayers wich we don't have ather national such tax clouse shops kariakoo daresalama they will understand you by action not Tolking we have one of the weasy finince minister ngulu nchemba l think since we got lndipendet we never have such weasy finince minister in our national kwahiyo kujitetea ni sisi wenyewe sio hiyo bunge mmeta kuongea kwa miaka mingi hakuna msaada wowite mkuwa mnateseka mafuta kuongezea tax Kila kukicha lazima tutafute ufumbuzi kwa akili zetu wenyewe
@georgemahenge
@georgemahenge 25 дней назад
Mukiwashe tz nzima.washike adabu zao.serikari ya hovyo sana hii.ina maana ukiwa mfanyabiashara nizambi.baada ya kumsaidia mfanya biasha yenyewe inakuwa niadui
@BoniphasLukas
@BoniphasLukas 24 дня назад
Mama nchi imemshinda anafos siatoke aachie uwezo wake mdogo kaz kusafir nandege anaongoza nchi zawatu au watu wake watanzania
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 25 дней назад
Mshakula chenu mkalale
@IsmailLoi
@IsmailLoi 25 дней назад
Jifunzeni hapo Kenya jamani Iko siku itaumans
@farhiyaibrahim2053
@farhiyaibrahim2053 25 дней назад
Hawa wanasema vengine na Mwigulu kasema vingine
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 24 дня назад
Mtihani sana sana.
@WilirkMushy-tk8gw
@WilirkMushy-tk8gw 14 дней назад
Sheria tunayoilia ni ya nchi nzima sio kariakoo pekee. kwaiyo tunaomba mabadiliko ya sera na Sheria za ukusanyaji kodi nchi nzima.
@SoudShuraim
@SoudShuraim 25 дней назад
Hakuna kitu hapo
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 24 дня назад
Waongo hao toeni kwa mawe
@user-my7fj6wn7y
@user-my7fj6wn7y 25 дней назад
Mnatueka sna maisha yanakua magumu kwasababu ya sheria
@zezeshort
@zezeshort 24 дня назад
Hakuna sheria mbona katiba wanazivunja sheria
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 25 дней назад
Sasa East Africa mzima wameamka kusimamiaya haki zao. Jana ilikuwa Kenya na leo rais wa Kenya kasikia kukataa ya wakenya kuongezewa ushuri....
@geofreatumbo4543
@geofreatumbo4543 24 дня назад
Hatufunguwi
@Noelkitoi
@Noelkitoi 25 дней назад
Andamaneni nchi nzima mchome ikulu ya rais mtasikilizwa
@festokemibala5832
@festokemibala5832 24 дня назад
Unaweza kupata haki yako bila kuchoma Ikulu! Aidha, mtangulize Mungu yeye ndiye mwenye nguvu ya kupigana na hao watesi wetu
@paulombay6884
@paulombay6884 24 дня назад
Nyie watu uchaguz ukipita baadhi yenu watakufa kwa mabom watu sas hiv wanalinda uchaguz ,ilitakiwa tuandamane kwa tozo mbalmbal ili tuwajue kam ni watu wema
@PamfilDonasian
@PamfilDonasian 24 дня назад
Kwambaali nimemsikia da bonge
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw 23 дня назад
😂😂😂
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 25 дней назад
Watu wamechoka na dhuluma za kodi za hovyo
@RajabuLanda
@RajabuLanda 24 дня назад
Badari imeuzwa bado xoko la karia koo
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 25 дней назад
Tufanye kama kenya
@camilomassao8971
@camilomassao8971 25 дней назад
Wala, msahau siyo Tanzania hii. Hata kama ni hoja za msingi
@AlfredBango
@AlfredBango 25 дней назад
Mario Koo yawapi sio kenya hapa ni tz
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 25 дней назад
Uchaguz wa mwakan inatakiwa wapiga kula wawe na TN number kusudi mbunge na rais atakaeingia madarakan awe na uchungu wa Kodi za wavuja jasho kulinda na kuzitumia Kwa heshima kuliko ivi sasa serekal inakopa pesa znatumika Kwa matumiz yakawaida badala yakuzalisha faida itumike kulipa den
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 24 дня назад
Hao viongozi ovyo kabisa
@user-gn9rh7sw7r
@user-gn9rh7sw7r 25 дней назад
Watanzania acheni kufuata mkumbo,kenya wanatuhusu nini,biashara haina chama ,biashara umefunga na mwenye nyumba kodi ipo palepale,nani mjingaaaa
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 25 дней назад
Inaoekana wewe unajua zaidi kuliko wao wapangaji.
@G-JMK69
@G-JMK69 25 дней назад
Ukianza biashara utaelewa, endelea kwanza kuchoma tofali
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 25 дней назад
Mwigulu keshasema vat haitoki😂😂😂
@zezeshort
@zezeshort 24 дня назад
Kwa hiyo una muunga mkono huyo jambazi mwiguru
@richkaja3317
@richkaja3317 25 дней назад
Hao police wanafanya nn hapo kwani samia yuko wapii
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 25 дней назад
Hamuwaoni wakenya hapo ni siasa tu
@SanziNzige
@SanziNzige 24 дня назад
Anachokiongea huyo hakijui eti tukiona hakuna badiliko tufunge tena mabadiliko yalifanya tukafunga ndo tufungue bili kuyaona!. Pumbafu kabisa fungua wewe na mwigulu .
@camilomassao8971
@camilomassao8971 25 дней назад
Semeni huo muda muafaka ni upi
@amosdickson6318
@amosdickson6318 25 дней назад
Dam Dam Dam Wanaraka Ccmbili tupate mabadiriko
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 25 дней назад
Chawa.
@Maximillianchacha-fm9yi
@Maximillianchacha-fm9yi 24 дня назад
Hizi mbwa za ccm tutazichomaje motto
@giftkalenge418
@giftkalenge418 25 дней назад
endeleeni kufunga na sisi huku mikoani tuuze
@festokemibala5832
@festokemibala5832 24 дня назад
Hadi nacheka😊😊
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 25 дней назад
Hii n siasa jiulise swali hili kama unaakiki * Hili tatizo limejitokeza ghafla au mlilalamika mda mrefu sasa, Sass kama mlilalamika toka öda mrefu, kwanini wasingelishughulikia kipind hiko kama kweli wako seroıus et waje kushughulikia eakat huu kwa kuwaomba mfungue biashara! *This is totally nonsense* Msifungue mpka tatzo liwe solved, Mkifungua tu imekula kwenu!!
@davidwhite7834
@davidwhite7834 25 дней назад
Mikundu nyie
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 25 дней назад
Kwenda huko hamna viongozi nyie khaa hamna kitu hapo hamna kiongozi hapo mchague viongozi wengine
@c.e.okariakoondogo9720
@c.e.okariakoondogo9720 25 дней назад
Don tozzy
@user-fj5dy9hh5v
@user-fj5dy9hh5v 25 дней назад
Hatutaki biashara zenu kwanza mnatuibiaga
@zezeshort
@zezeshort 24 дня назад
We chawa nini ilaumu hiyo serikari ya mwiguru na bimwajuma walio fanya bei zimepanda hivyo kwa kuiga kutoka kwa mashoga ng'ombe huyo mama yenu mshamba
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 25 дней назад
Ujinga.unaanza.kuondoka.ccm.mpo.mashakani.naiona.chadema.iyooooo.ikulu
@davidwhite7834
@davidwhite7834 25 дней назад
Wa china watuachie tz yetu
@user-tx6dh6ii3m
@user-tx6dh6ii3m 25 дней назад
Uchawi ccm
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 25 дней назад
Mnafki tu
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 24 дня назад
Mwiguru has to go
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 25 дней назад
VAT HAKUNA KUSHUKA
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 25 дней назад
Hao viongozi wamelambiswa asali.Mawaziri waje saiti.
@SoudShuraim
@SoudShuraim 25 дней назад
We mchaga mwizi2 ondoka hapo
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 25 дней назад
Toka wewe
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 24 дня назад
USHAURI. Namuomba mheshimiwa rais atoe tamko maduka yote ya waliogoma kufungua mpaka sasa yasifunguliwe kabisa mpaka waombe msamaha kwa kudharau serikali. Pia huyu mwenyekiti wao ambaye ni mtumishi wa idara serikalini achukuliwe hatua za kinidhamu kazini kwa kuchochea uhujumu wa mapato ya nchi yanayomlipa mshahara! Mkiwaendekeza wafabiashara ni kukaribisha migomo kwenye sekta zingine.
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw 23 дня назад
mkundu Wewe kunya ulale
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 23 дня назад
@@SimonAmon-dr8xw Kwahiyo dada simon unaona umejibu chochote hapa kwenye adhara?!
@SanziNzige
@SanziNzige 24 дня назад
Hivi nyie wajinga nyie mnatuonsje? Ripot ya mkaguzi wa hesabu za selekari mnadhani hatukuisikia.wizi wenu wa hela zetu hamtosheki bungeni nako mnagawana hela kila siku wajinga nyiehamlizi? Hafu eti mwigulu bila aibu anSapot savice leav. selekari la hovyo kabisa lipingwe n kili mwenye akiri timamu
@AwaziRajab
@AwaziRajab 24 дня назад
Wamepoteza Muda Gani Wakati Ndio Kazi Iyo
@nuhhumwakanyamale4771
@nuhhumwakanyamale4771 25 дней назад
Afuu mnazingua wenyewe wazee wa kariakoo, Kenge kama huyo msaliti ameshahongwa Pigamawe tu. Analeta ufala na maisha ya watu, Nnawachagua wanaenda kutetea ugali wao pimbi hao.
@kalebomawande6057
@kalebomawande6057 24 дня назад
Hawawezi kutekeleza kero za wananchi nawakati wao ndiyo wamepanga kodi tusiwe wajinga tujifunze kenya pambana mpaka upate haki yako hakuna haya ya rom ya mazungumzo mgomo ndio mazungumzo tunapigwa
Далее
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00