Тёмный

Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University 

EBM SWAHILI
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Dr. Frank Minja ni Mtanzania Daktari bingwa wa Radiology aliyesoma Harvard University.
Hii ni historia yake fupi
#ebmscholars #ebmswahili #ughaibuni

Опубликовано:

 

3 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 154   
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Год назад
Jamaa mtu humble sana anaongea kwa heshma na unyenyekevu Mungu amlinde
@berthatz
@berthatz Год назад
Sana sana..na hachanganyi.Kiswahili kimenyooka..Mungu akutunze kaka.@EBM asante kwa kazi njema ..Kazi nzuri sana kaka EBM👏🏾👏🏾👏🏾
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Год назад
Very humble guy, msomi kwelikweli, akili imetulia, wala haringiii, Kiswahili fasaha sana👌👌👌
@myamwezmyamwez8669
@myamwezmyamwez8669 Год назад
Kuna wasomi wa kweli ikisha kuna wasomi wasanii, huyu muonekano wake tu unajua kwamba ni kichwa hana haja ya kubabaisha na kutia usanii flani aonekane ati mjanja zaidi.
@hermentmrema6537
@hermentmrema6537 Год назад
Uko vizuri sana Dr. MINJA na hongera sana. Mimi nimekaa hapo marekani miaka 9 nimerudi Tanzania na ninashukuru sana kwa fursa niliyopata. Ninaishi ndoto yangu ya kuhakikisha kila mtanzania ana kipato cha uhakika, cha kutosha na endelevu kutokana na kilimo. Niko hatua nzuri na Mungu akijalia ndani ya miaka 3 mtunda ya juhudi zangu yataonekana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
Hiyo miaka 9 ulikuwa huko kusoma au ulikuwa unafanya nini? Na sasa unafanya kilimo cha mazao gani? Asante
@mmasipeter4157
@mmasipeter4157 Год назад
Vzr sana kama ulichokipata utagawana na wengine na mungu atakubariki sana
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
Big Up kwako
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Год назад
Nice
@allahisone6386
@allahisone6386 Год назад
Mungu Akurahisishie
@Myplusbee
@Myplusbee Год назад
Miaka 27 ughaibuni!! Msomi aliyesoma vyuo vikubwa na maarufu kabisa duniani lakini bado anazungumza Kiswahili vizuri kabisa lakini ndugu zangu Wakenya, mkifika tu Nairobi, mnajifanya hamjui tena Kiswahili! Kila entensi moja, 60% ya meneo ni Kiingereza! Hata Wabongo nao ndo hivyo hivyo! Hasheem Thabeet alikaa Marekani miaka 4 tu, karudi Bongo akajifanya Kiswahili kinampa taabu!! Eti Harmonize nae ni Viingereza kwa kwenda mbele; JINGA KABISA! Hata Mzee wa EBM nae anaongea Kiswahili safi kabisa na bila kuchechemea, lakini wengine mkienda kwa Ras Simba wiki 3 tu mnajifanya hamuwezi kuongea Kiswahili bila kuchanganya Kiingereza! PENDENI LUGHA ZENU MIAFRIKA!!
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Год назад
Watu wanaulimbukeni sana kaka,washamba tu
@rickrosswabongo4116
@rickrosswabongo4116 Год назад
Hapo kwa Harmonize ndo umeua kabisa😅Imebidi nitafute moja ya interviews zake nicheke kwanza😅
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Год назад
Sijaziskia YES , NO , YOU KNOW , I'M , I'M.....!...Yaani kiswahili kimenyooka, safi kaka, na sisi tuko sehemu mbalimbali UGHAIBUNI tunabeba boksi za KITAALAM...!
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Год назад
😁😁😁
@kikalarashid9003
@kikalarashid9003 Год назад
Doctor yuko vizuri sana! Yani serikali itafute namna ya kuwachanfanya hawa watu wa ughaibuni wafaudishe wenzao huku. Doctor anaonekana mtu mzuri sana.
@annatemu5902
@annatemu5902 Год назад
Hongera nyingi kwake Dr Minja, nimefurahia sana hii interview.Asante sana EBM
@amourmtungo623
@amourmtungo623 Год назад
🤔Hongera Dr. Ni mfano mzuri kwetu sote. Asante EBM pia kwa kuturushia hii video🤛
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Год назад
Asante sana Dr. Minja.., u mnyeyekevu sana. Ingekuwa wengine hapa dk 5 nyingi ungeshatu-bore. Asante sana Ndugu Mtangazaji kwa namna unavyohoji maswali kiufasaha Dr. Minja nakuombea Baraka nyingi sana kwa Mwenyenzi Mungu!!!!
@AnasAli-xe6pg
@AnasAli-xe6pg Год назад
Safi sana hio ndio maana ya usomi. Unaongea lugha yako kwa ufasaha. Big up bro!
@emanuelmhoja2411
@emanuelmhoja2411 Год назад
Mungu awabariki Watanzania wote wema mlioko nje na Mungu aibariki Tanzania
@minormine4417
@minormine4417 Год назад
Amen! Kwa kweli mtumuombee!
@fatumamuya7296
@fatumamuya7296 Год назад
Amiin
@batulii1248
@batulii1248 Год назад
Amini
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Год назад
Kuna wasomi wengi huko mfano ile vita ya Ukraine ilitosha kuonyesha kuwa tuna watu ambao wakiwa wazalendo na serikali zikawajali hatuna haja ya kutibiwa India
@kuhususheria4408
@kuhususheria4408 Год назад
Huyu jamaa kasoma top University duniani and he is still humble - Yale, Havard etc heshima kwake aisee
@Mubarak552
@Mubarak552 Год назад
Dr. Minja hongera Sana kwa kazi nzuri mnafanya huko, nilikuwa naomba December tukutane Moshi kuhesabiwa hakikisha unafika
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 Год назад
Nimependa sana hii Interview!. Asante EBM!
@demariwa7606
@demariwa7606 Год назад
Wote, mtangazaji na Dr.Minja, mmegusa maisha yetu.Mahojiano mazuri sana, hongera Dr.Minja.
@levinekalikuela4916
@levinekalikuela4916 Год назад
Well done Doctor!!!!! If only you can establish a good hospital in Dar to support the many sick people who are dying for lack of expert doctors to help them. Thinknof that really!!!!!! I am writing out of experience I saw one patient who went through pain and suffering and was never helped and left us. It is pity anyway!!!!!!
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Год назад
Mwalimu wangu Dr. Minja, Neuroradiologist. Hongera sana. Emory University, Atlanta.
@abasisapi5474
@abasisapi5474 Год назад
Dr. Unamiss ugali? Unga wa ugali upo huko, wamarekani wanautumia kama dressing kwenye samaki wa kukaanga. Ulizia super markets!
@zawadikessy2098
@zawadikessy2098 Год назад
wooh good yupo peace
@rahmaabdulla4949
@rahmaabdulla4949 Год назад
@@abasisapi5474 kunakilakitu vyote ivo ulivovitaja vipo
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Woow. Very excited
@daniellyimo378
@daniellyimo378 Год назад
Kijana uko vizuri sana.mungu akubariki sana baadaye uje tusaidia Muhimbili.
@madimj5022
@madimj5022 Год назад
Very humble, tisha sana kaka mkubwa mungu aendelee kukupa moyo huohuo 🙏
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 Год назад
Hongera Dr, mungu akulinde, nafurahi unawasaidia Watanzania na jumuia kwa jumla.
@jandreamk
@jandreamk Год назад
Hongera Dr. Nimejifunza kitu . Ahsante kwa EBM kwa interview hii 👍🏽
@journeywithjesus
@journeywithjesus Год назад
Hongera kwa video nzuri na vizuri kujua kwamba kuna shule hapa Tanzania ambao wanatafuta talents na kutoa scholarships za uko Marekani. Doctor yuko smart sana na Mungu amtangulie. Nadhani serikali inabidi ifanye zaidi na hawa diaspora.
@annatemu5902
@annatemu5902 Год назад
Kaka anaongea kiswahili kimenyooka vzr,.mnyenyekevu,Mungu azidi kumbariki sanaaa
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 Год назад
Wako wengine ati wamesahau kiswahili kimechanganyika na kizungu nusu nusu, kwa mfano (mjomba aitwa mchomba) sio mchezo.
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Asante EBM. Hongera sana Dr
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Год назад
Duuuh!!! Very excited Daktari. I wish to get connection jmn. I wish bt God will help me.
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 Год назад
Hongera sana for great achievement
@kamanda007
@kamanda007 Год назад
Jamani kichwa sana nafikiri alitoka na point 7, na hakuna ujinga wa you know what I'm saying ingawaje lugha ipo vizuri 😁, wabongo take a hint mkiongea sio kuchanganya lugha
@choggysly3541
@choggysly3541 Год назад
Take a hint 😂😂😂
@hildakinyunyu4314
@hildakinyunyu4314 Год назад
Hongera sana so inspiring
@muhigwasiniibagiye6587
@muhigwasiniibagiye6587 Год назад
Nice one big up Dr Minja
@makibadatela7865
@makibadatela7865 Год назад
Hongera Classmate Muhimbili Allumni 1988 na Upanga.
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Год назад
Hongereni sana seniors
@Winstonfying
@Winstonfying Год назад
Safi sana, pia Hongera sana Daktari
@jumahamis227
@jumahamis227 Год назад
Jamaa yupo 🇺🇸 muda mrefu ila nimefurahi kuona amejitahidi sana kukihifadhi Kiswahili chake, hadi neno kung’amua bado liko kichwani 😂, watoto wenu pia ughaibuni inabidi wajue lugha yao kama vile wahindi.
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Год назад
Kaishi marekani miaka kibao, ila kiswahili kimenyooka na hachanganyi, sasa visanii hewa vya bongo hata kenya havijawahi kufika vihoji uone
@benedictormwalugaja5314
@benedictormwalugaja5314 Год назад
Aaah you know what this and that😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Tena bongo amesoma Tanganyika international school
@georgeosmund727
@georgeosmund727 Год назад
Na badok Tz alisoma IST shule ya kishua
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Год назад
@@georgeosmund727 hapo sasa
@sadih5333
@sadih5333 Год назад
Tupo wengi wa namna hio nipo hapa tokea 1999 na jamaa wengi tu wa 2000, hatujawahi kurudi hoko home na upumbavu huo wa vingereza tunapo ongea na watu wa kwetu hatuna kabisa.
@lukelopatrick3187
@lukelopatrick3187 Год назад
Asante kwa kutujuza zaidi
@bas2823
@bas2823 Год назад
U DIG IT!👌👏🤝👍🏽 SUPER GREAT👌 KEEP UP👌 ALWAYS PROUD OF U N OTHERS LIKE U!👌!
@peterswai391
@peterswai391 Год назад
God bless more brother 🙏 Dr minja your very humble 🙏💪 , I learn something , Dodoma Tanzania
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Год назад
Ongea kiswahili. Wewe
@paulinemaswai8937
@paulinemaswai8937 Год назад
Hongera Doc.
@Mazoea
@Mazoea Год назад
Ongera zake jamani Kumbe tunawatu muhimu Marekani hiii
@wanyoikenaftali4114
@wanyoikenaftali4114 Год назад
Very humble God bless
@ayramaa1619
@ayramaa1619 Год назад
Habari yako kaka kwanza hongera sana sana Mungu akubariq zaid . Mm nlitaka kuuliza kwa wale waliokuja ulaya kwa ukimbizii unawaambiaje au unawashauri nini wafanye kufikia mafanyikio .
@taifaonlinetv.3670
@taifaonlinetv.3670 Год назад
Nimekuelewa sana Dr. Minja , kupanuka kwa mawazo kunatuangusha sana
@abdirizakhtuke2882
@abdirizakhtuke2882 Год назад
Hongera Dr Minja.
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Год назад
Nakubali sanaa kaka, na mim naendaaa marekan sooo jamn in shaa Allah
@kiligrit
@kiligrit 3 месяца назад
Huyu jamaa ni msharp, very sharp brain
@254interiorkenya5
@254interiorkenya5 Год назад
Keep it up my brother I will meet you one day
@mwajomberobert
@mwajomberobert Год назад
hongera sana Dr.
@misschagga8042
@misschagga8042 Год назад
Kaka rudi utusaidie watanzania wenzako🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 Год назад
Pesa anayolipwa USA TZ hawawezi kumlipa yaani Nasemea Muhimbili
@dottomarikatv780
@dottomarikatv780 16 дней назад
Mungu amlinde
@robertmgogosi8448
@robertmgogosi8448 Год назад
Safi sana Doctor
@mhudumuonline9060
@mhudumuonline9060 Год назад
Congratulations nafurahia jinsi huyu jama Dr minja alivyo soma kweli akili ni mali.
@mwana4599
@mwana4599 Год назад
Wooow. Alisaidia mNo wskati wa COVID 19. HONGERAH Dr. Minja.
@willjames1332
@willjames1332 Год назад
Doctor oyeeee
@mferekemwanyika6832
@mferekemwanyika6832 Год назад
Hongera Dr enedelea hivyo
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 Год назад
Hı kaka zangu.Naomba msaada mm nına mıaka 49 nataman mtoto naomba msaada wa matıbabu nıpete mtoto.Mungu atawabarıkı.
@mussaelia8693
@mussaelia8693 Год назад
Fika hospitali ya karibu utapata pa kuanzia
@afrocushitic
@afrocushitic Год назад
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@marcominja8850
@marcominja8850 Год назад
Hongera sana brother.
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 месяца назад
Kweli Mungu amekuinua sana, hongera kijana
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Год назад
Kati ya kitu wachaga walijaliwa ni unyenyekevu ndo maana wamefanikiwa sana sisi akina nanii sasa tumebaki kusema wachaga wanapenda hela,
@mariandesario6468
@mariandesario6468 Год назад
Hasa kwenye biashara wananyenyekea sana wateja,
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 Год назад
@@mariandesario6468 kabisaaa
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Hongera saaana
@bas2823
@bas2823 Год назад
I LOVE SCIENCE! SINCE I WAS SMALL GIRL IN SCHOOL! MY DAUGHTER HOLDER OF PHD. IN MEDICAL SCIENCE SHE SPECIALISE IN STEMS CELLS IN DIABETICS!👌👏🤝👍🏽👍🏽
@oxwad3836
@oxwad3836 Год назад
Kweli navutiwa sana kuona interview kama hizi ... uzidi kubarikiwa Mr EBM . 🇹🇿
@Sppah697
@Sppah697 Год назад
Ndugu mtangazaji hujui tofauti na matumizi ya la le li lo lu na ra re ri ro ru! Aibu kuuliza maswali ya nguoni!
@JobJohnson-gp1qz
@JobJohnson-gp1qz 20 дней назад
Uko vzr mkuu
@Josh_1194
@Josh_1194 Год назад
Hawa ndo wenye passion asee
@simplifiedchemtutorials8573
So inspiring
@ufahamuzaidi2343
@ufahamuzaidi2343 Год назад
Great sessions we are inspired alot from 🇹🇿
@hajjmohd3602
@hajjmohd3602 Год назад
Yeye kakaa marekani miaka yote hio na anaongea kiswahili fasaha tu ww wajidai kizungu uchwara ongea kiswahili ustuchnganye😀😀
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Andika kiswahili tu 😁
@hajjmohd3602
@hajjmohd3602 Год назад
@@ahz6907 😀
@annamayengela7100
@annamayengela7100 11 месяцев назад
Am in tz....yaan huyu Dr. Yuko humber Mungu amtunze kwa manufaa yake
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 3 месяца назад
Unapenda Sana pombe Kali kijanaa
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 Год назад
Hata Dr Shika naye alikuwa Dr ughaibuni vilevile 😁😁😁😁
@homeboybeyondtheborders4935
Bado anaongea Kiswahili vizuri hongera daktari
@rosemkude4804
@rosemkude4804 Год назад
.
@manjaugodwin7834
@manjaugodwin7834 Год назад
Nawafuatılıa sana sana kwa kwel mnatusaıdıa sana kutuelımısha
@mhudumuonline9060
@mhudumuonline9060 Год назад
Napenda sana kuishi marekani na haya mambo mahojiano nipe fursa nikufanyie kazi.
@bertha_villagesactivitiest4077
Tupo pamoja kaka
@saadamwadini4657
@saadamwadini4657 Год назад
Mwambaaa kiswahili kizuriii
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Hongera sana ndugu.
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita Год назад
Tunashukuru ameelezea vizuri sana. Sasa angeelezea pia je marekani alisoma pia kwa scholarship au ndo full ufungwa wa deni la udaktari? Kaka EBM naomba utuletee mbobezi wa maswala ya scholarship au njia za kusoma bila deni la taifa Marekani. Nitajifunza na kupata more info. Nina karesearch kwamba kulingana na jimbo lako unaweza pata some scholarships etc etc ila nadhani hiyo episode itasaidia pia wengi kuepukana na deni la masomo. Knowledge is power
@upendomamuya7238
@upendomamuya7238 Год назад
Huwezi kupesha na serikali ya Marekani kama wewe sio rai wao, Labda ujilipie au upate scholarship.
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 Год назад
Uje Tanzania Mwigulu nchemba akutoze tozo, tozo hongera kaka🤣😂
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Год назад
Huyu anayeuliza maswali hajui namna nzuri ya kuuliza
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
@deejeydaev
@deejeydaev Год назад
Bora amecheka kidogo maana nikajua ni mtu wa u_serious
@phaustinegodfrey4056
@phaustinegodfrey4056 Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪
@muhimbesingh4468
@muhimbesingh4468 Год назад
I am Hassan from kigoma ujiji bakwata.ni mwanafunzi wa advance mchepuo wa PCB katika shule ya secondary sengerema mwanza. Ninandoto za kusomea marekani au India udiktar.Nitapataje scholarship?
@marthakimia4075
@marthakimia4075 Год назад
Wewe mtoto wa Mwalimu Minja?
@JobJohnson-gp1qz
@JobJohnson-gp1qz 20 дней назад
11:46
@thobiasthomas2269
@thobiasthomas2269 8 месяцев назад
Have many of people have talent problem government platform not based on person dream based on create employment in demand sector we naturally kill our talents
@vom84
@vom84 Год назад
Kubeba box ndio nn? Au ni kaz gan hiyo kaka EBM
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 4 месяца назад
Napenda unavoongea kiswahili bila kuchanganya na lugha za kigeni ,angojiwa harmonise hapo tungekoma kwa kizungu
@godfreyissa6231
@godfreyissa6231 Год назад
Sakua sakua
@user-by3pv7cj5y
@user-by3pv7cj5y 3 месяца назад
Namba zake za cm wekeni bac
@hono1232
@hono1232 Год назад
Ingekuwa ni wale jamaa zetu , ingekuwa balaa!!
@vom84
@vom84 Год назад
Kubeba box ndio nn
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
Mbona hamuongei jamaa anaonekana yanki kabisa ukilinganisha na muda alioenda mtoni? Mimi nikisimama nae na hizi mvi zangu nitaonekana kikongwe wakati nimezaliwa wakati jamaa ndio anaenda USA 🤣
@daviddonatus8121
@daviddonatus8121 3 месяца назад
😂😂😂
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 Год назад
wachaga wengi wapo ng'ambo asee than any other tribe
@drisayaambulatoryvetclinic1514
Huyu Dr mbona anaonekana young sanaa wakati mie nazaliwa yeye ndo anaenda marekani na nikisimama nae naonekana nimezeeka
@innocentmanaseh4656
@innocentmanaseh4656 Год назад
Itakuwa vinasaba, labda kwenye familia yao hawazeeki haraka, na hela kidogo inaweza kusaidia hapo usizeeke haraka
@mwana4599
@mwana4599 Год назад
,Rudi Dr. Tanzania uje unvest jamani.
@frkMD
@frkMD 4 месяца назад
TUNAPATAJE CONTACT YA HUYU
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Год назад
Tuambieee mshahara wako bro
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 Год назад
Mkuu Mshahara bora asiseme Maana Mzee Mwingulu anaweza kumuibukia huko huko akamtaka tozo kumbuka huyu bado ni M-bongo 😄😄😄😄😄
@upendomamuya7238
@upendomamuya7238 Год назад
Mafanikio yako yananitia hamasa, nitaiga kutoka kwako.
@nassorsaid696
@nassorsaid696 Год назад
EBM nasikia mwezi wa kumi utakuwepo Tanzania kusaidia watu kujaza lottery
@chakalaboti9709
@chakalaboti9709 Год назад
Shule yenyewe aliyosoma TANGANYIKA SCHOOL ada YAKE 🤔🤔🤔 millions of money
@abdulkilufi9230
@abdulkilufi9230 Год назад
64m huyu wa kishua kabisa
@twahaissa3333
@twahaissa3333 Год назад
Mbele ni mbele tu, jamaa kama ana miaka 30
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Год назад
🤣🤣🤣 hadi nimecheka
@jumahamis227
@jumahamis227 Год назад
😂
@twahaissa3333
@twahaissa3333 Год назад
@@EBMSWAHILI 😁 Nchi ngumu sana hii brother
@askofumjema5344
@askofumjema5344 Год назад
@@EBMSWAHILI nahitaj kuja kufanya kaz huko huku nasoma
@ninaelgeoffrey5844
@ninaelgeoffrey5844 Год назад
😀😀😀😀kweli aise
Далее