Тёмный

Kwanini nilisoma Ph.D in Nursing in USA, na pia kuwa Financial Advisor | Dr Veronica 

EBM SWAHILI
Подписаться 67 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Dr. Veronica Njwaba alikuja USA mwaka 2008 baada ya kumaliza high school, Tanzania 🇹🇿. Sasahivi ana PhD in Nursing na pia Certified Financial Advisor
Kwa waliopo USA 🇺🇸 wanaweza kuwasiliana naye kwa namba +1 501 269 8958 kupata ushauri wa emergency funds, debt management, retirement planning etc
#retirementplanning #retirement #ebmscholars

Опубликовано:

 

4 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 74   
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Год назад
Dr. Veronica Njwaba alikuja USA mwaka 2008 baada ya kumaliza high school, Tanzania 🇹🇿. Sasahivi ana PhD in Nursing na pia Certified Financial Advisor Kwa waliopo USA 🇺🇸 wanaweza kuwasiliana naye kwa namba +1 501 269 8958 kupata ushauri wa emergency funds, debt management, retirement planning etc
@dickenshuko8068
@dickenshuko8068 Год назад
PingeZi Dada👏
@williammduma4180
@williammduma4180 Год назад
How to connect with you bro
@dyamwalesaid2176
@dyamwalesaid2176 Год назад
Hii ni moja kati ya interview bora kwangu....maana imeonyesha uhalisia wa maisha ya USA katika suala na kodi na uwekezaji.Shukrani kwa muda wako EDM na hii elimu
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Год назад
This lady sounds like a tax lawyer right? Nimekupenda bure. Well composed.
@unique_god
@unique_god Год назад
Dada umekaa marekani muda mlefu lakini kiswahili chako kipo vizuri sio kama wadada wa hapa bongo wakienda marekani mwaka you know , you know nyingi sana
@emtv9675
@emtv9675 Год назад
Ila wabongo
@collinmhema5443
@collinmhema5443 Год назад
Dada mzuri mjanja msomi ana shule za kutosha anaongea kiswahili kizuri licha ya kukaa us kwa mda mrefu kuna kenge zipo hapa dar zikienda tu hapo kenya zikakaa wiki mbili tu zikirudi tunapata tabu tayar zishasahau kiswahili na maringo kibao nimempenda sana huyu dada naninamuombea
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Год назад
Uyo dada nimempenda sana yuko mbele lkn English kidogo sana kiswahili sanaa🤝Upendo mwingi kutoka hapa Finland 🇫🇮
@oxwad3836
@oxwad3836 Год назад
Financial education is very important 👏👏 . 🇹🇿
@elphazimanyiri
@elphazimanyiri Год назад
Mahojiano bora sana kaka EBM, appreciate.
@irenebarakelimnene4895
@irenebarakelimnene4895 Год назад
Unadumisha lugha hongera sana dada
@hassanabubakari3992
@hassanabubakari3992 Год назад
Asante sana EBM, huyu dada akili nyingi sana 👏👏👏👏👏
@tamarikyando8943
@tamarikyando8943 Год назад
Marian girl
@Burner_Acc
@Burner_Acc Год назад
Ernest unamkatisha sana Veronica muache aongee amalize. Wewe ni interviewer ila ndo unaongea zaidi kuliko Vero mwenyewe. Good interview nonetheless.
@harunakayega5531
@harunakayega5531 Год назад
Sana alafu anaongea utumbo muache mtu azungumze vitu vya msingi unaleta story zako unprofessional
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Huyo ni muha og
@allygibu7003
@allygibu7003 Год назад
Na Mimi nashangaa mtangazaji anaongea kumzidi muhojiwa🤣🤣🤣
@jafaritego4142
@jafaritego4142 Год назад
Vero yuko very detailed😘✊🏾
@wanyoikenaftali4114
@wanyoikenaftali4114 Год назад
So so inspiring,,proud of our very visionary daughter
@mimsbaibemimskim9556
@mimsbaibemimskim9556 Год назад
Congrats all the best i need ur advice thanks guys for sharing good information
@sportsnyahanga5504
@sportsnyahanga5504 Год назад
EBM naomba mtafute doctor kulwa Yuko kule north Carolina. Binti wa daktari kulwa wa mwanza. Wananikumbusha mbali.mamake alikua mwalimu wangu Busia Kenya.
@moddykiluvia1116
@moddykiluvia1116 Год назад
Dr Kurwa alihama NC. Yupo Washington DC now.
@queentz8314
@queentz8314 Год назад
Mashaalah Mashaalah Dada Veronica keep blessing
@thanksgivingchannel6247
@thanksgivingchannel6247 Год назад
Congrats Dr Veronica
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 4 месяца назад
Dr. Vero, hongera I like the way you express yourself.
@wazomyakinifu2301
@wazomyakinifu2301 Год назад
Asante sana kwa elimu hii
@amanimwakilembe791
@amanimwakilembe791 Год назад
Shukrani sana kwa maelezo haya. Kazi nzuri. Kila la kheri wakuu.
@batungwanayojonathan3009
@batungwanayojonathan3009 Год назад
Nakuburi kazi zako mkuu
@kennychristian6882
@kennychristian6882 Год назад
Habari njema sana
@safhe-mpungi6075
@safhe-mpungi6075 Год назад
Nzuri sana hii, karibu Denver-Colorado
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Год назад
Alikuwa best friend wangu marian girls secondary school❤
@BarakaWaya
@BarakaWaya Год назад
Profound
@fredymwakalunde5544
@fredymwakalunde5544 9 месяцев назад
she talk truly in open
@florianntulo5731
@florianntulo5731 Год назад
Huyu dada yupo vizuri sana, anamaono makubwa sana, Ernest naomba nipate mawasiliano yake
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 Год назад
Ebm uko vizuri kaka
@ndollafans2339
@ndollafans2339 Год назад
Jamn amaizing,akili nyingi sana
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule Год назад
Dada ana sumu sana ,well done
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Год назад
Nimempenda sana hana majishauo anatiririka kiswahili vyema. Siyo vijibongo vya hapa vikijua kakingetrza ka kuomnea maji tu baaaaaas. Nino moja la kiswahili mawili ya kiingereza tana kibovu
@piusgadau6328
@piusgadau6328 Год назад
safi sanaaaa
@nahimanauthman7425
@nahimanauthman7425 Год назад
Very interested
@ernestfelix8596
@ernestfelix8596 Год назад
🔥🔥
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 Год назад
Dada Vero ana madini muhimu mno,kuna haja ya kumtafuta.......
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Год назад
Kwa kweli
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 8 месяцев назад
Dr Veronica habari dada angu mm naitwa Kisagenta Mollel baomba msaada wa kunisaidia kuja huko Marekani lakini mm ningependa kwensa Canada kufanya kazi ya Truck Driver kwa saabu huku Tanzania mm professional yangu ni driver naomba msaada wako Dr nakuombea kwa mungu ili uwe na moyo wa kunisaidia mungu akubariki Dr Veronica
@alhajiabed7479
@alhajiabed7479 8 месяцев назад
Apply lotery green card
@ummyidriss1972
@ummyidriss1972 Год назад
Wee baba unakera unamsemea saana achaa ajieleze mwenyewe
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 Год назад
mnatuumiza tu na kwenda kwenu mbele, maisha yenyew bongo hayaeleweki, tubebeni bas tuwe watumwa tu kama vip
@shabanielia6905
@shabanielia6905 Год назад
Kwaiyo sisi wapiga box 📦 iyi interview haituhusu🤣🤣🤣
@khalidinadhiri2370
@khalidinadhiri2370 Год назад
Great
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 Год назад
Tupokigwe oyeee
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Год назад
Tanguliza utanzania nadhani umenielewa. Makabila hatutambiki
@edwinjosef2202
@edwinjosef2202 Год назад
Congraturation...
@ALEX_0383
@ALEX_0383 Год назад
You are beautiful
@emmanuelmalanga9275
@emmanuelmalanga9275 Год назад
Hi Dr Veronica. Robert Kiyosaki teaches us a lot about financial freedom. What is the easiest place to have financial freedom in the USA compared to Tz.?
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Год назад
Ernest badilika acha tabia ya kuingilia mahojiano. Unqnoa sana. Wewe tumeahakuchoka
@mohammedbaraka9230
@mohammedbaraka9230 Год назад
Nimechelewa kuingia kwenye Channel ila nakupata vizuri brother EBM..
@msemasungura5651
@msemasungura5651 Год назад
Namba
@joycesichone1175
@joycesichone1175 Год назад
Nimekupenda unadumisha utamaduni,Swahili lang.
@salimbahatisha3003
@salimbahatisha3003 Год назад
Me nimempenda tuu huyu dada....VP Kwanza kaolewa?😊
@LifestyleSaverTweaks
@LifestyleSaverTweaks 3 месяца назад
Dr vee ana youtube channel yake?
@adammakoba4793
@adammakoba4793 Год назад
EBM nicheki inbox tuchonge nakutafuta Sana
@samigenge9762
@samigenge9762 Год назад
Jamaa anaongea kuliko mtaalam mwenyewe
@explorelondon3695
@explorelondon3695 Год назад
Kama hujui ulisoma Kwa nini, samahani dada
@samrack4779
@samrack4779 Год назад
Trump allegedly wrote off $70,000 in hair cuts as business expenses. Looks like I’m getting a full makeup and hair upgrade. #BusinessOwner Get you a LLC!
@brishi5274
@brishi5274 Год назад
What is your worth worth net ?
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Год назад
Naweza Pata namba yako?
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Год назад
Diaspora wengi wameridhika na Kazi za warehouse au care wachache Sana wanajiendeleza kielimu
@organisedme
@organisedme Год назад
sio kupenda . ukiwa na watoto au familia inakutegemea its so hard . my self I would have loved to go back to school but decided to educate my son first he is getting his masters degree in london .
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Год назад
Siyo kupenda MAISHA ya Ulaya yako Magumu and so stressful unatakiwa kulipa chakula nyumba usafiri kodi hata hao wenye elimu kubwa nzuri MAISHA Siyo mazuri HIVYO kama tunavyoyasikia humu. Nenda utaona
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Год назад
@@edwardmkwelele nimeishi sana huko,wenye ujuzi wana nafuu kidogo ya maisha
@jumakauli
@jumakauli Год назад
Sijambo. Hamjambo? Ninawaomba WATANZANIA mnaoishi Marekani na nchi zingine za nje, muungane watu wawili au watatu au wanne au watano kisha muanzishe kampuni za kuwapeleka watanzania kikazi na kimasomo katika nchi za nje hasa mnakoishi sasa. Kampuni za kiuchumi na biashara ili mfanye biashara za Import and Export kati ya nchi mnakoishi sasa na nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki na nchi 16 za SADC. Mje Tanzania mjenge viwanda, hoteli za kitalii, Real estate, mashamba makubwa ya kisasa, migodi na viwanja vya kisasa vya soka. Mmiliki kampuni za kuleta watalii Tanzania. Ni vizuri mtengeneze nafasi za ajira nchini Tanzania na nje ya Tanzania. Mmiliki kampuni na malori na mabehewa ya kusafirishia mizigo Tanzania kwenda nchi jirani. Pia huko mnakoishi mmiliki kampuni na malori ya kusafirishia mizigo ndani ya nchi mnazoishi sasa. Kwani tatizo kubwa la wasomi wengi wa Tanzania hivi sasa ni ukosefu wa ajira na mitaji. WAKATI NI HUU.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Год назад
Mmmh akili namna hii anaolewa kweli?
@imeldamwasenga9892
@imeldamwasenga9892 Год назад
Tatizo sisi tunafikiria kuolewa zaidi
Далее
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Просмотров 827 тыс.
МНЕ ИСПОРТИЛИ МАШИНУ #shorts
00:30
Просмотров 713 тыс.
Untold Truth About Why People Are Leaving Canada
19:15
Kazi za Usiku wa Manane Marekani, Canada na Ulaya
9:59
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
Просмотров 827 тыс.