Naomba kuuliza jaman Nini Siri iliyo kwenye like maana watu wanakuwa bize na kuomba like kuliko kujadili move na ubora wake na kutoa maoni wapi kiongozeke na kupunguza mtakuwa mnasaidia kupata mafunzo mazuri kuliko kuombaaa like..... Just ushauri.
Yaani nilichogundua wanawake wanapenda kuzagamuliwa kuliko kitu chochote hlf wana roho mbaya aisee km hao ni ndugu kwann wasiseme tuzagamuwe wote sisi😅