Тёмный

MUDATHIR NA MKE WAKE WALIVYOINGIA KUSHEREHEKEA UBINGWA WA 30 WA YANGA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 109   
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni Месяц назад
Hayakua maisha ya dunia ila ni pumbao na starehe za kupita, sasa mtu ishi unavoweza ila kumbuka kuna kifo na nyinyi munaowaona watu wanahuzunika kwa mavazi ya huyo Mke wake basi mujue alie weka muongozo wa maisha Mungu mwenyewe faida na hasara ya hilo mtu utaliona roho ikianza kutoka, tuachane viburi enyi wanadamu.
@salimmohd8368
@salimmohd8368 Месяц назад
Hiii
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Месяц назад
Wachezaji wa MPIRA asilimia kubwa wameoa.....Wachezaji NGUMI asilimia kubwa wameoa....WASANII wa MUZIKI na FILAMU asilimia kubwa ni MANUNGA EMBE....hivi mna matatizo Gani..?
@winifridarugayana7312
@winifridarugayana7312 Месяц назад
Mavazi ni utamaduni wetu wanadamu, amri kumi za Mungu haziongelei mavazi, hiyo ni mitazamo ya watu, Mungu hakuna na dini alichotuletea ni IMANI.
@errydeo8865
@errydeo8865 Месяц назад
GOD BLESS THIS GUY ;HIS WIFE N THEIR BEAUTIFUL BABY GIRL
@AllyMwinyi-rx8gr
@AllyMwinyi-rx8gr Месяц назад
subhanallah hata muda mke kichwa wazi mavazi sio pia laailaha illa llah astaghfirullah yaarabbi tustiri waja wako jaman mke kama mke siku ya qiama ataenda kutushtaki kwa allah hutokua na ujanja duh nduguyangu muda hii ni dunia2
@hassanmwallimu5767
@hassanmwallimu5767 Месяц назад
Muongo mkubwa wewe kwani ni lazima kujifunika kichwa wacha kujifanya wajua dini sana wewe una yako mangapi wayafanya
@zanzibar.
@zanzibar. Месяц назад
​@@hassanmwallimu5767kwa iyo kma ana yke mangp ndio asiseme asumfundishe usiangalie ana yke mangap fuata maneno ya kitabu
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Месяц назад
Mashaallah 🙏 baby girl cute
@omarmatata-dc3mv
@omarmatata-dc3mv Месяц назад
Jamani me nmesoma koment nimecheka sana😅😂😂
@bahatinassorali5222
@bahatinassorali5222 Месяц назад
Kichwa wazi
@veronicabwamukuru1265
@veronicabwamukuru1265 Месяц назад
Ukiona mtu amekosea mfuate inbox umuelimishe sio kuanza kumuhukumu pengine hajui tukumbushane kwa utaratibu itapendeza zaidi
@GrolyByamungu-r3b
@GrolyByamungu-r3b 24 дня назад
Nyie mnao muhukum mwenzenu nyie mmejisitili muache wivu yenu mmeyakalia matakon mungu anaangalia moyo siyo mavazi ww unavaa juba lkn matendo yako yanatisha .
@user-hp6bf5lh2d
@user-hp6bf5lh2d Месяц назад
Kwani angejistiri angepungukiwa Nini? Daaaah😢
@sailoo5722
@sailoo5722 Месяц назад
Punguza shobo
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 Месяц назад
Hayakuhusu hii sherehe na yupo na mahabuba wake fyuuu😚😚
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Месяц назад
Wasio tambua dini yetu ndio wajibu utumbo wanadhani watu wote makafiri
@neemaneykisanga
@neemaneykisanga Месяц назад
Ukijisitiri wewe inatosha
@user-fb8ju1nv2j
@user-fb8ju1nv2j Месяц назад
Unayesema hajajixitili nani Mbn xjamuona
@darasahuruinfo4002
@darasahuruinfo4002 Месяц назад
oyaaaaaaaaaaaaa mwenzen muda boy mm mkwe Wang Bhan man ana mtoto mkal xana oya bamkwe muda boy yang oeeeeeeee
@AshamohamedAsha
@AshamohamedAsha Месяц назад
Safi sana❤❤❤
@zuleikhamohamed5669
@zuleikhamohamed5669 Месяц назад
🎉
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Месяц назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SudyAmiri
@SudyAmiri 5 дней назад
Uyu mzee kila mtu anamkumbatiya
@winifridarugayana7312
@winifridarugayana7312 Месяц назад
Kabla ya kuangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzako angalia boriti kwenye jicho lako, umeona hicho kwa mwwnzio ukaona ni dhambi ila nawewe una yako hatujaona,mie sijaona kama ni dhambi ,
@AminaTanzania
@AminaTanzania Месяц назад
Ajisitiri nini wew urie jisitiri unamzidi nini kazi kuka macho kwa wezenutuu fanyeni yenu wake zawatu achaneni nao hao aiwahusu wivutuu inawasumbua
@user-ox4ox9jm8j
@user-ox4ox9jm8j Месяц назад
Nakubali sana muda
@MvuviJuma
@MvuviJuma Месяц назад
Ndo mke wa mzanzibar huyo anatembea kujstiri kwake kugumu vipi na huyo wabara wamemuharibu au mumewe hana mcmamo nae
@jumakivumbi-xs1of
@jumakivumbi-xs1of Месяц назад
Best Mudathiri hongera unajuakuchagua yr wife material ni pic karii
@khatibmako3500
@khatibmako3500 Месяц назад
Hiii mitihani
@GracieTyno
@GracieTyno Месяц назад
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 Месяц назад
Mbona amevaa vzr sana
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Месяц назад
Simu ya muda hadi nje
@zulfahaji91
@zulfahaji91 Месяц назад
Ila mke umetutia. Nishai hukutaka kuongea na mwandishi
@khatibmako3500
@khatibmako3500 Месяц назад
Jamani kujistiri heee hiii mitihani
@SaidOmar-sd2yo
@SaidOmar-sd2yo Месяц назад
lakin msiangalie kujistiri tuu hata mume mwenywe kakata sjui mkatogan je km muislam mwnye imani yakweli anakata hivyo
@TomaTee-hu7do
@TomaTee-hu7do Месяц назад
Wanawake.wa wachezaji wanakuwa.wakubwa sana kuliko.wenyewe
@Leonardherman-ng1qt
@Leonardherman-ng1qt Месяц назад
Mbona kama umpendi
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Месяц назад
Masini dini yetu iyoo inazama 😭😭😭🙏🙏🙏
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Месяц назад
Haswaa
@malietamaliet
@malietamaliet Месяц назад
😂😂😂😂yanga bingwa bhn mbona wakina zuchu wanavaa vimin amsemi kisa mke wa muda kaonesha nywele tz mbn mnapendaga kujifanya mnajua Kila kitu na mmekamilika nyie kuliko wenzenu lkn??
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 Месяц назад
Tunazama sisi binadamu, Dini yetu ipo tu haizami
@hk_ballers
@hk_ballers Месяц назад
Tulia ww
@neemadaniel6233
@neemadaniel6233 Месяц назад
Waja tunashida sie
@makamezahoro8194
@makamezahoro8194 Месяц назад
Sasa iyo ipo sku utakufa imekujaje apo
@abudalaabdumalik9362
@abudalaabdumalik9362 Месяц назад
Mke wa haji uyo
@jumayahaya3001
@jumayahaya3001 Месяц назад
Kila sehemu kuna mavaz yake
@Mumewangu
@Mumewangu Месяц назад
Kwa mujibu mila tamaduni za kizanzibari mke wake yupo uchi na wazanzibari walio wengi wamechukia. Sasa ukiingia kwenye Dini ndio kabisa inampinga. Na mudathiri hawezi kwenda Zanzibar kwa jamaa zake na mke wake akiwa amevaa nguo ya ndani kama ile. Ujinga tu wa nafsi unampelekesha .
@zaidumohd3125
@zaidumohd3125 Месяц назад
Muda mbona mkeo kavaaa kiahudi
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Месяц назад
Achan4ni la life za watu
@AminaTanzania
@AminaTanzania Месяц назад
Kwenye sherehe ajisitiri nini pereka huko uisiramu wako
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni Месяц назад
Eti uisiramu duh
@user-cy4ll5fk8r
@user-cy4ll5fk8r Месяц назад
😂😂😂
@suleimanabdallah9823
@suleimanabdallah9823 Месяц назад
Fala tu ww
@suleimanabdallah9823
@suleimanabdallah9823 Месяц назад
Halafu unajiita Amina pimbi ww
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Месяц назад
Ww uliye jistili subili pepo tukuone
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni Месяц назад
Wacha kiburi boya wewe
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Muda una kabinti kazuri.
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 Месяц назад
Unaanza. Tafuta wako.
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh Месяц назад
Uyo mkewako Muda nimzanzibari au nimtwana...ata kujistiri nivazi la uchamungu..... nyinyi kwakweli nimtihani.....mke gani huyo anaekaa uchi Hivyo...ilatazama hiariyako hii nidunia tu.....Kuna day of judgement.....Mungu hajaribiwi....
@fortunatafelician5625
@fortunatafelician5625 Месяц назад
Mungu mtu cyo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Месяц назад
Jamani mbona waislam wengi tu wanatembea uchi hamsemi kwani kwa huyu nini cha ajabu.
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Waacheni dini zipo moyoni. Angalia moyo sio nje.
@user-zc9ly7qc5v
@user-zc9ly7qc5v Месяц назад
Nje ndokunakuoonyesha ndugu ndomana tukapewa macho yakutizamia wanatudhalilisha kweli hawa watoto
@user-fs7bs6gy4z
@user-fs7bs6gy4z Месяц назад
Hayo ni maneno ya waliokata kamba kw ajli ya kuhalalisha tu utashi wao, lkn Mungu,manabii na vitabu havijasema kua mtu avae na afny apendavyo tu maana dini imo moyoni ispokua ni utashi wa shetani tu ndio hua yuko moyoni
@khatibmako3500
@khatibmako3500 Месяц назад
Jamani kujistiri heee hiii mitihani
@pilishagata6152
@pilishagata6152 Месяц назад
Akijisitiri mkeo inatosha
@Nuru9568
@Nuru9568 Месяц назад
Kila mtu na life style yake broo
Далее
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 72 тыс.
LIVE#KUTOKA JUMBA LA MATAMKO
Просмотров 36