Тёмный

Muhammad Bachu awatoa waislamu hofu kwa kumpa zawadi Abuu Iddi 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 335   
@husseinibrahim5470
@husseinibrahim5470 3 года назад
JazakAllah Kheir tunafadika sana kwa mawaidha yako natunakuombea Allah akuhifadhi na akulipe Kheiri.
@momatv2019
@momatv2019 3 года назад
Aamin
@minhajsekibaha3499
@minhajsekibaha3499 3 года назад
Sasa arafa wataipataje wale watu ambao maka nimchana kwako niusiku? Jenga hoja tukuelewe
@dawlatbarwani1536
@dawlatbarwani1536 3 года назад
حزاك الله خيرًا شيخنا، wallahi mtu akitaka kupoteza watu ni kusudi yake tu.! Anaetaka kumsikiliza atamsikiliza lakini ni vizuru viko vitabu ni ushahidi kamili
@bintyhamisi8311
@bintyhamisi8311 3 года назад
ALHAMDULILLAH Allaah akuzidishie elimu na umri uzidi kutuelimisha...nilkua na maswali mengi nikijiuliza cpati jibu ila hapa umenijibu maswali yangu yote kwa kuickiliza vizuri clip yko na pia nimeamini kwamba wapo wengi waliosoma Ila kuelewa walichokisoma ndo mtihani
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 3 года назад
Ww kjana umejua kurithi wenzako umewaachia mali ww ukachota elimu ktoka kwa mtambo unaojua kulingania allah amrehemu nassor bachu
@sabihamakami3720
@sabihamakami3720 3 года назад
Amin
@hassancharo1496
@hassancharo1496 3 года назад
Kweli
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
Aaaaamin, maashaallah
@pilotkhelfin4711
@pilotkhelfin4711 3 года назад
@@salmasebastian1340 kweli Dada
@salimalkindi145
@salimalkindi145 3 года назад
Arafa ni tarehe 9 kutokana na siku ya kuandama mwezi. Period! Aliyo sema Sh. Abu Idd Mohd ndiyo sawa. Powa Sh. Abu Idd. Hukipoteza mtu.
@ibrahimalmazruy8765
@ibrahimalmazruy8765 3 года назад
Na ikiwa lazma siku hii kufunga iambatane na kisimamo cha mahujaji pasi na kutoangalia mwezi katika nchi yako uliepo basi watu wengine maisha yao wataisikia redioni tu siku hii ... ikiwa watafata qur an kwa kufunga kwa kuona mwezi ni bora zaidi...
@abdullaothman3772
@abdullaothman3772 3 года назад
Si bora
@alliabdallah224
@alliabdallah224 3 года назад
Nakupenda sheh wangu Abuu Idd lakni nakupenda zaidi sheh wangu Muhammad Bachu ipiganie sunna mpka mwixho wa uhai wako'
@rabiajuma4943
@rabiajuma4943 3 года назад
Hayo siyo maandiko yanayo vunja hoja ya Abuu Iddi
@al-akhsalimoo.9519
@al-akhsalimoo.9519 3 года назад
Tumepokea zawadi yako, alhamdulillah sisi wanafunzi tunafaidika. جزاك الله خيرا
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 3 года назад
huwezi kupata sifa
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Hii zawadi tuniataka kwa funga zote sio Siku ya A'rafa na Ramadhani tu bali swaumu zote Kwamfano swaumu ya siku ya Ashura mfunguo nne ambayo imetokana na kunusuriwa Banu israel na akaangamizwa firaun na jeshi lake. Kwahiyo kwavile tukio lilitokea Misri itabidi sote tufuate muandamo wa Misri ikifika siku hiyo ili tuwe tumepatia kama vile kilivyo kisimamo cha Arafa kiko SAUDIA tu ndio maana mkasema tufuate huko. NAONA TUFANYE HIVYO ITAKUWA TUNAITENDEA HAKI MIANDAMO YOTE. Na pia Kufuata mwezi wa kimataifa iwe ni kweli kimataifa isiwe SAUDIA tu kama wanavyofanya hawa wanaotwambia wanafuata popote utapoonekana kumbe popote yenyewe ni NDANI YA SAUDIA TU sio nchi nyengine.
@amarislam1589
@amarislam1589 3 года назад
ما شاء الله تبارك الرحمن leo nimefaidika sanaaa.
@Alkindy.001
@Alkindy.001 3 года назад
Ni wengi walio soma ila hawakuelewa au hawakufahamu walichokisoma....Abu Idd asema mengine wewe unasema mengine....RUDI UKASOME....WEWE BADO MTOTO SANA KUMFANYIA RADDI AL A3LAMA FADHILATU SHEIKH ABUU IDD MUHAMAD EID... Hata siku moja babako Nasor Bacho hakuwai kuyathubutisha ulio yafanya wewe...Aisee Nyie masalafia mna mabalaa kibao....Allah awaongozee
@buherokozi1097
@buherokozi1097 3 года назад
Weww wacha upuuzi wako hii ni dini sio unaongea upuuzi wako
@Alkindy.001
@Alkindy.001 3 года назад
@@buherokozi1097asante kaka kwa kuniita mpuuzi...Allah akujaalie kheri duniani na kesho akhera na akujaalie usitukane yeyote... Ameen Haya ndio mafundisho nilio yasoma kwa mwalimu wangu mpaka kwa mtume..wala sio kurusha cheche za matusi kama wewe
@karimdaud3993
@karimdaud3993 3 года назад
SASA MAKAFIRI WANAFURAHIYA SANA TUKITUKANANA SISI KWA SISI BA KILA MMOJA WETU KUJIONA BORA KULIKO MWEZAKE . KUMBE SOTE TUMEPEWA UWEZO NA ALLAH ((S.W)).
@bebisheni4380
@bebisheni4380 3 года назад
Ahaaa kumbe siku ya arafaa ni siku ya kazi ya mahujaji allah atupe kheri tusikilizane tupendane shukran shekh bachu
@habibumohamed1543
@habibumohamed1543 3 года назад
Allah akulipe sheikh Muhammad bachu, na akuzidishie 'ilmu fahamu tuwe wenye kuzidi kufahamu na kunufaika duniani na kesho Akhera na kwa umri mrefu Allah akuruzuku Wenye manufaa duniani na kesho Akhera JazaakAllahu khayr ba adal khayr Jannatul na'eem
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 3 года назад
Mm hata sijakuelewa leo. Sheikh Abuu Iddi amesema “ suala la kufunga kwa kuwaangalia mahujaji lini wamesimama halina maandishi, suala la kufunga kwa kuangalia mwezi tisa dhul hijja lina maandishi” sasa wewe umeeleza utukufu wa siku ya arafa katika dua na mambo mengine. Kwani yeye Abuu Iddi kapinga hayo matukufu? Jipange upya kuleta zawadi hii imeoza njiani.
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 3 года назад
Kwani hiyo siku ya Arafat ni siku ya ngapi?
@fahadali4188
@fahadali4188 3 года назад
kuwa muelewa unapo sikiliza kwani hapo huoni ayo maneno ameyaonesha kutoka kwenye vitabu vwili tofouti kuwa arafa inafungamana na kitendo cha mahujaji kusimama arafa na sio mwezi 9 kama alivyodai abuu iddi Allah akuwafikishe ktka kuitambua hakki na kuifuata
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 года назад
umeoza wewe
@momatv2019
@momatv2019 3 года назад
@@fahadali4188 Aamin
@abditajir4048
@abditajir4048 3 года назад
Rudia tena kuangalia video hauja elewa ww
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 года назад
MashaaAllah Sheikh nakupenda kw ajili ya Allah peke yake,,,Allah akuzidishie elimu na hekma,,, MashaaAllah Sheikh hapo hakuna kwako hakuna kubahatisha yaani ni suali bin jawab khalas 👊🙌
@suleimanlutumo8271
@suleimanlutumo8271 3 года назад
Shuklan shehe
@mwanamkasinyumbwe8314
@mwanamkasinyumbwe8314 3 года назад
Jamani kwani Tanzania na makka tunapishana Massa mangapi
@abdallahbahry6583
@abdallahbahry6583 2 года назад
Umeeleza kwa njia tofauti hukuelewa alivyosema sheikh
@muhammadmrmj6228
@muhammadmrmj6228 3 года назад
Mm nilikua namsbria kwa kuhusu hii mada ustadha wangu sheikh wangu muhammad nassour bachu ili nipate faida
@abouwaraqa6408
@abouwaraqa6408 3 года назад
Bachu hebu tuambie baina ya yaumu Arafa na hajji ipi ilitangulia
@farhatrashid2063
@farhatrashid2063 3 года назад
@@saidiramadhani4422 🙄🙄🙄🙄
@mohammedmatumla538
@mohammedmatumla538 3 года назад
Jazaakallah khayraa wabaraallah fiyka
@hashimiddi4789
@hashimiddi4789 3 года назад
Mashallah muhamedi bachu Allah akujalie mwisho mwema
@ganjosuleman9263
@ganjosuleman9263 3 года назад
Uyu bachu njaa tu
@ibrahimyussuf1705
@ibrahimyussuf1705 3 года назад
جزاك الله خيراً
@munirriyamiy4194
@munirriyamiy4194 3 года назад
```arafa kwa mahujaji ni sehemu(arafa penyewe) na wakati (tarehe 9 dhulhijja) kwa Muandamo wa saudia , ama kwa wasiokua saudia ni wakati tu(tarehe 9 dhulhijja) kwa kuzingatia muandamo wa kila sehemu peke yake kwa mfano Tanzania tarehe 9 yao sio lazima iwe sawa na saudia kwahivyo watafunga swaumu ya arafa tarehe 9 kwa mujibu wa muandamo wa Tanzania ila kama muandamo wao utakua sawa na saudia basi watafunga siku ya kisimamo cha arafa pamoja na saudia wallahu aalam``` @munir_elriamy . . #eidmubarak #arafa #ibadhi #ibadayahija #dhulhijjah #chinjakwaajiliyamolawako #zanzibar #oman #tz #عيد_مبارك #istiqama #abu_muslim_alghammawi
@aishamtwana1323
@aishamtwana1323 3 года назад
Mahujaji watoka kila pande ya dunia yote arafaa ni siku ambayo mahujaji hao wanashiriki toka dunia yote siku ya arafaa ni kwa dunia yote alhamdulilah mwenyezi mungu atuzidishie iman ameen
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 года назад
miongoni mwa swadakt jaalia mzee alizoziacha huko aliko anavuna tu thawabu,tuandeeni vijana wetu
@grupoporfavorlda5221
@grupoporfavorlda5221 2 года назад
Assalam Alaikum Akhy, Mimi njinanangu ni Faquihe Jelane. Mosumbiji Asalaf sunna ya kueli kuahio entelea
@feisal6592
@feisal6592 Год назад
Jee sunaar kubwa yafaa mwezii nnee itaitwajee mashekh
@bacteria5184
@bacteria5184 3 года назад
Ssa kwa maana hio wachina na wamerekani na waliosehem ya kusini mwa duniani hawana arafa au idd.mashehee wakubwa pia wanasema kuwa watu waangalie mwezi ya kwao.
@abuuikramkalokaza1496
@abuuikramkalokaza1496 3 года назад
Mashallah Allah atuongoze inshallah
@khadijahassan1844
@khadijahassan1844 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-mAdeyo6Ce44.html
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 3 года назад
Asant sana sheikh Muhammad nilikua nasbiria sana hii darsa mna nilikua sjaelewa kbsa nishike wapi ila shukran nmefaham jazaka llah lkheir
@almandroo8258
@almandroo8258 3 года назад
A/alaikum wazo langu kwa mashekhe wa tz kwann musifanye semina ya kudadavua haya mambo yakaisha kushanyikeni mashekhe wote na mukiongozwa na viongozi wenu wa kiislam waliopo serikalini muyatatue haya na so mutubabaishe na kuanikana kwenye mitandao
@suleimansaid4244
@suleimansaid4244 3 года назад
Nimekusikiliza lkn kusema ukweli naona bado haujaelewa ulichokisoma na huwo ndio ukweli na Abuu idd ameeleza vizuri na anaeleweka kabisa na ukweli ni kwamba unaweza kusoma lkn Allah asikupe ufahamu au ukaamua tu kwa kibri au kujiona kwako kuwa unajuwa kumbe haujuwi na unabomoa kabisa, na ukweli siku ya arafa kila watu na miandamo yao hii dini ni ya waislamu dunia nzima siyo makka na Tanzania sasa wale amabao mchana wa saudi kwao wao ni usiku inamaana wao always hawana arafa? Hilo litakiwa si sawa ukweli lazima turudi pale pale kuwa lazima arafa iwe ni mwezi 9 dhulhija kwa kufata muandamo wa mwezi wa nchi ulioyo na ikiwa hivyo manaake kwamba dunia nzima watapa arafa lkn ukisema tufate kisimamo cha mahujaji baadhi ya nchi hawatopata arafa, mara jibuni hoja za watu ufasaha na mtu akisema haki kubali hata km huyo msemaji haumpendi au haupatani naye iyangalie haki ifuate, kwa hili Abuu iddi yupo sawa na hoja msingi na hakuna hata 1 katika wapingaji aliojibu hoja zake, ushauri fateni haki msifate ushabiki
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 3 года назад
Shukran yaa sheikh tunazidi kustafidi juu ya bayana zako m/mungu akuhifadhi
@jumakumala1337
@jumakumala1337 3 года назад
Sheikh wng Mohammed Nassoro Bachu , ALLAH akuzidishie Elmu ili utufikishie nasi , na sheikh Abuu iddi uwezi kutukosesha Arafa kw maneno yk , uenda ss wengine hika hii ndio Arafah yt ya mwisho
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 года назад
Mashaallah huyu mjamaa mdogo lakini ilmu yake kubwa sana
@kibokokabisa5246
@kibokokabisa5246 Год назад
Allah amjaze elim azidi kuwazinduwa waliolala
@abousumayyahhassandjuma1332
@abousumayyahhassandjuma1332 3 года назад
Barakallah fiik akhiy
@zahormbwana690
@zahormbwana690 3 года назад
Asant tunakupenda kwa ajili ya Allah
@khadijaiddi4887
@khadijaiddi4887 3 года назад
Masha Allah jazakAllah khayran
@mohamedsuleimansuleiman1620
@mohamedsuleimansuleiman1620 3 года назад
Kwaiy sisi tulokuwepo brazili tutafunga lini wakati watu wamesimama arafa sisi kwetu ni saa 6 za usiku?
@muhammadbilali8209
@muhammadbilali8209 3 года назад
Kwan funga huwa zinaanza mchn wkt wa kisimamo! Hiyohiyo jumatatu kwako utaifunga, iwe ya kuutangulia muda wa Makkah au kwa kuchelewa.
@muhammadjani7290
@muhammadjani7290 3 года назад
Subiri kuche ufunge acha kujitia kichwa ngumu usicho elewa ni kipi hapo
@mohamedsuleimansuleiman1620
@mohamedsuleimansuleiman1620 3 года назад
@@muhammadjani7290 sas kukishakucha mahujaji watakuwa washaondoka kwenye uwanja wa arafa
@al-akhsalimoo.9519
@al-akhsalimoo.9519 3 года назад
masha Allah baarakaa Allah fyk
@kipetasaidi3020
@kipetasaidi3020 3 года назад
Bado hoja huna mtoto wabachu hanajambo
@harunategera2462
@harunategera2462 3 года назад
acheni kusufia msivyo vijua Muhammad Bachu hajafikia kuitwa shekh bado mwanafunzi saaana, Ushauri wangu kwake atumie elimu yake kidogo kufundisha wa chini yake na achane na mambo ambayo yako juu ya uwezo wake atajikuta anapata dhambi badala ya kupata manufaa kwa hicho kidogo alichonacho. ELIMU NI KITU BORA SANA KATIKA MAISHA USIIFANYIE MZAHA.
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 3 года назад
Na huyo anayemjibu ni sheikh? Mbona humradi kwa kauli zake
@Jakotybokono
@Jakotybokono 2 года назад
Ku kosoana,kuhitilafiana mitandaoni yaweza yakaleta chuki , ukafiri na ukatili katika umma wa kiislamu.Mwaweza tumia njia zingine katika uelimishaji.Huenda masheikhe wengine wakaona mnawaingilia sana kwa pupa na kukosoa kazi yao ya da'wa wanaoufanya kwa nia ya kumridhisha Allah.Mwawezafanya kongamano.Usiwe na niya ya kuwadunisha masheikhe wetu ilhali kwa ajili ya Allah kupitia mawaidha zao wengi maisha yao yamebadilika na wakaanza ibada.Hatakama wajua zaidi kuwaliko hao.Tumia hikma KIJANA.huenda ukajeruhiwa au kuwawa kwa da'wa huu wako mzuri unaotufahamisha kwa kutumia njia isiyo stahiki.
@suleimancomplex2036
@suleimancomplex2036 2 года назад
Uko sahihi kabisa. Na huyu nae amezidi ktk hili
@faisalyahya7186
@faisalyahya7186 2 года назад
Kama sheikh Abuu I'd alipotoshwa hadharani wacha asahihishwe hadharan tulia tu taratibu mtaelewa
@NoorAli-vj4gn
@NoorAli-vj4gn 2 года назад
Hivi wamaanisha haki isibainishwe
@hassanmohd7541
@hassanmohd7541 2 года назад
@@suleimancomplex2036 Allah atuhfadhi inshaalah nazani nimeeleweka
@hassanmohd7541
@hassanmohd7541 2 года назад
@@faisalyahya7186 Allah atuhifadhi
@saadiawarfa3480
@saadiawarfa3480 3 года назад
Sheikh Idi anajua fiqi lakini hajui jiografia
@rabiajuma4943
@rabiajuma4943 3 года назад
Sheikh katika mchana arafa kuna nchi nyengine ni usiku je wao watafunga ucku, kijana hebu kasome tena
@omarhababuu3159
@omarhababuu3159 3 года назад
Kweli lakini huko maka watu wanakoswali hija nahuku kweti tz masaa dk siku mpaka taimu zaswala sawasawa mbona tunawafuata bakwata nasuraga wanaopokea amri
@feysalsalum2018
@feysalsalum2018 Год назад
Bachu ni mtu wa ajabu sana yani kila mtu yy kamzidi elimu duh..
@allyrashid9568
@allyrashid9568 3 года назад
Umejitutumua kijana, ndio ishakua fashion mtu anasoma kwaajili ya kuja kujibu mambo ambayo hayaishi, kwani hii dini ina mambo ya mwezi tu na Arafa, hakuna mambo mengine mnayo somea huko.
@haji352
@haji352 2 года назад
Wasipo jibiwa hawa ndio upotoshaji utakuwa mwingi na upotoshaji wao hautakoma
@mshamumpoyo9033
@mshamumpoyo9033 2 года назад
Mm namuelewa sana huyu shekhe bachu
@meekman1805
@meekman1805 2 года назад
Sawa, Kijana tumekuelewa.
@omarjuma438
@omarjuma438 3 года назад
Umeeleka vizur mkuu
@twaibungwira8843
@twaibungwira8843 3 года назад
Asalam alaykum,sheikh naomba unitajie calendar inayoendana na calendar ya saudia
@salhacker7728
@salhacker7728 3 года назад
Calenda ya Kenya
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
@@salhacker7728 😂😂😂😂😂
@aminahassanihassani7377
@aminahassanihassani7377 3 года назад
Bachuu unapenda tuu lakin bado hebuuu fas aluu ahludhikr elimu yako bado ni ndogo mnoo wallah hebuu wayatrukul illma lil ulamai
@kitwanashem3272
@kitwanashem3272 3 года назад
Elimu hiyo aliyokuwa nayo ya kuweza kumjibu Abu Idd inatomtosha kabisa wala haina shaka yeyote
@jumasaid8777
@jumasaid8777 3 года назад
Safi sana shekh
@edyamir1257
@edyamir1257 3 года назад
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah
@fatumakale7004
@fatumakale7004 3 года назад
Shukrn Sana
@ismailowino2866
@ismailowino2866 3 года назад
Barakallahu feek akhui!
@marymwetu4798
@marymwetu4798 3 года назад
Tyr kaisha kusikia abuu iddi na kakuelewa vzr labda ataona taabu kuwageuka bakwata
@disantojevnco2718
@disantojevnco2718 3 года назад
😀😁😄😃😂😆😅🤣
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 3 года назад
Assalam alaykum Sheikh naomba utapoona comment yangu nakuomba unijibu Mimi Niko Kenya Jana nilikua nimefunga Swaum ya Arafat na nikawa natarajia kusali Leo Ila msikiti ambao uko karibu yangu wakasema Swala ya Eid ni Jumatano nauliza ntafanya nini tafadhali naomba jawabu alafu yeyote atakaeona comment yangu akiwa na Eilimu kuhusu jambo hilo anijibu tafadhali
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 года назад
wengeenda sehemu nyengine ukaswali
@eddysele7543
@eddysele7543 3 года назад
Hijja na eid kwanza ni vitu ambavyo havina connection iddi imeteremshwa mwaka wa pili wa hijria na hijja mwaka wa tisa hijria kwaiyo miaka saba iddi ilikuwepo bila hijja kasomeni acheni ujinga
@khamismbarouk8242
@khamismbarouk8242 3 года назад
Nenda usome vzr
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Hee! Wewe ndio kichaa zadi kwanza ni mwana wachuoni gani anae tegemewa aliesema maneno haya kua hijja na iddi havina mnasaba? Pili Lete aya au hadithi sahihi inayo elezea hii fikra yenu mbovu.
@khamismbarouk8242
@khamismbarouk8242 3 года назад
Kumbe ww mtambo ee bora niache t
@salehmussa9371
@salehmussa9371 3 года назад
Shekh kwahaki umeelezea kwadalili nawala c kwajazba , binafc nashukuru kwakuniokoa kutokupoteza mdawangu bure kwakufunga ckuya ckukuu ambayo niharam kufunga ckuhio,Allah atuwezeshe kuitambua haki na kuicha batil . . . Aamin.
@abdullaothman3772
@abdullaothman3772 3 года назад
Amin, amin
@nassorhamadi
@nassorhamadi Год назад
Tatizo ni uelewa tu wa hayo maneno.
@zafarmohamed9413
@zafarmohamed9413 Год назад
bado sheykh hujasema arafa ni mwezi gan
@omarjuma438
@omarjuma438 3 года назад
Safi sana
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 3 года назад
Zamani east Africa wote tunafunga pamoja na tunafungua pamoja lakini ivi sasa wallah ni mtihani bachu upo vizuri Allah akuongoze wala usirudi nyuma
@alithabit648
@alithabit648 3 года назад
Ikitokea Mungu ameleta Maradhi kuliko Corona ikapelekea Arafa isifanyike (Watu wasiende kusimama) Je Arafa itakuwa ni siku gan?
@mafaza.tv.tz255
@mafaza.tv.tz255 2 года назад
Hijjah
@mafaza.tv.tz255
@mafaza.tv.tz255 2 года назад
Mfunguo tatu(dhulhijja) mwezi 9 wa nchi husika inayofanyika
@alithabit648
@alithabit648 2 года назад
@@mafaza.tv.tz255 kwahiyo arafa ni siku ya mwezi 9.
@mafaza.tv.tz255
@mafaza.tv.tz255 2 года назад
Ndio ni mwezi tisa mfunguo tatu, ila utata unakuja pengine saud mwez tisa znz mwez nane... Anyway shikilia unapoona ni haki zaidi na Allah atalipa kwa nia yko Insha Allah
@dulaseif5001
@dulaseif5001 3 года назад
Shekh kasome tena kuhusu hilo kamsikize mbarak awes akiichambua kwa majibu ya uhakika
@0656840872
@0656840872 3 года назад
Haha nyie hua mnachekesha sana
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 года назад
Ndio kajikoroga asa uyo awesu mwisho anasema mufunge siku 2 arafa msiklize Kwa makini
@0656840872
@0656840872 3 года назад
@@warshysaid8564 kitu ambacho hakiezekani kwa mwenye akili anaelewa
@abdullaothman3772
@abdullaothman3772 3 года назад
Mbaraka awesu anajua nini, katika wasiojua na wanalazimisha kujua ni huyo mburure uliemtaja
@abdullaothman3772
@abdullaothman3772 3 года назад
@@saidiramadhani4422 sawa lakini nitaendelea na bin bacho na wewe endelea na mbaraka awesu wako
@midysarahani4510
@midysarahani4510 3 года назад
Wamaa ghalayna illa lbalaau lmubiin
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 года назад
jazaka llahu khera
@hussnasaad7503
@hussnasaad7503 3 года назад
shukran
@hassanmohd7541
@hassanmohd7541 2 года назад
Mimi ningesema kitu kimoja uislamu haujapitwa na wakati kiasi ambacho kwasababu ya tv na simu tutofautiane,nikiwa na maana alivotuachia mtume ndio sahihi kwasababu ata hivi viwili vikiwa havifanyi kazi tv na simu (technolojia ) kwa alivotuachia mtume mbona tutafunga mwenzi mtukufu wa ramadhani na arafa pia tutafunga vizuri bila ya zogo,hii maana yake uislamu unakwenda na wakati (umekamilika kama alivosema mtume umekamilika yaani unakwenda na wakati bila ya kupata usaidizi katika maisha yajao.vile alivoacha mtume visibadilishwe viachwe vile vile.vya faradhi viachwe vile vile na vya sunna viachwe vile vile (pasitiwe mkono wa mtu )tuache vile vile
@hassanmohd7541
@hassanmohd7541 2 года назад
@@ibnually1512 sasa hapa sikua na maana hiyo ulioizungumza wewe, tunajua kuna mambo mazuri yapo hivi sasa na si haramu kuyafuata ila yasipinge alivoacha bwana mtume swallawahualaihi kwasababu alivoacha mtume ndio bora na ndivo inavotakiwa,sasa kama sisi huku kabla ya kuja technolojia tulikua tunafuata vipi ,yaani hapa mtume swallawahualaihi alituachia mwenzi nikiwa na maana mwenzi upo bado ,kwa mfano simu nzuri tukiitumia vizuri ila simu iyo iyo tukiiona inaendana na wakati tukatengua kidogo tu na tunaona rabda bora hili lililotokea kwenye simu kuliko alivoacha mtume swallawahualaihi wasallam itakua ni mtihani. hivi ndio maneno niliozungumza nilivokusudia .( mtihani Allah atuhfadhi inshaalah)
@TheBlkk100mk
@TheBlkk100mk 2 года назад
Assalam alaykum Kwenye mambo mazito ya kidini tuwache utoto kama huu wa kufungia zawadi. Hii inaonesha ni ubishani na mtu kujifanya anajuwa sanaaaa. Kwani ungesema tu ushahidi upo nao ni huu hapa kwenye kitabu hichi na hichi.
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Zawadi hii Mkono kwa mkono mpaka kwa Sheikh wetu Abuu Iddi.
@suleimanmussa3212
@suleimanmussa3212 3 года назад
Mashallah akuzidishie afya njema na akulipe ujira bora wa kutoa elmu ya manufaa kw misingi ya sunna
@saiditara7235
@saiditara7235 3 года назад
أحسنت يا بطنا
@abbyramso7763
@abbyramso7763 3 года назад
Vipi kama nipo ktk mji ambao hauniwezeshi kutambua mwandamo wa mwezi kwa makkah ila kwa kuuona hapo nilipo?
@abbyramso7763
@abbyramso7763 3 года назад
Funga yangu haitaswihi kwa kufunga kwa kutumia mwandamo wa mwezi wa mji wangu baada ya kutokuwa ktk mazingira ya kujua mwandamo wa mwezi wa makkah
@rashidmohammed9128
@rashidmohammed9128 3 года назад
Sasa we who are in Australia you saying we should not bother fasting because of the difference in time zones... We are over 1. 5 billions muslims in countries which are not in the same time zones so all 1.5billion Muslims we don't hv Arafat n idd is this a kind of a joke or wat?
@abdallahbahry6583
@abdallahbahry6583 2 года назад
Angalia unavyosema eti ukipata kitu kipya basi lazima utakileta uwaelezee waislam, hata jahili uko akitunga maneno yake we unachukua unawaletea waislamu ukisema kuwa ni hoja, jiangalie sana mwalimu unapotea
@abubakaribashiru7525
@abubakaribashiru7525 3 года назад
Hapo umechoka shekhe
@rashidmohammed9128
@rashidmohammed9128 3 года назад
Shehe hebu clarify hapa ulio Sema kuwa sisi tulioko Australia tufanye ibada nyingine kwa kuwa huku niusiku? Hatuna funga ya arafa?
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 года назад
Hilo swali halijibiki anajigamba tu
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 года назад
Hilo swali halijibiki anajigamba tu
@0656840872
@0656840872 3 года назад
@@ahmadbadawi9664 ameshalijibu ila hukua makini kuskiza au umeskia ila hukuelewa
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 3 года назад
@@0656840872 hajajibu
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 года назад
A alykum Australia imepishana na makka Kwa masaa 7 Kwa hyo unaipata siku ya arafa kwa7bu arafa ni siku nzima hata hujaji akichlewa kusimama arafa attlazimika kusimama hta saa9 usiku kwani mtume kasema hijja ni arafa
@chidimohd6490
@chidimohd6490 3 года назад
Arafa ni siku ya mwezi 9 na sio kuangalia mahujaji yakwamba wamesimama au vp k7bu kila sehemu na masaa yake kunawatu wanatangulia kufunga kwa mfano kuna nchi yawezekana ikawa ni mwezi pili dhuulhija na saudia ikawa ni mwezi mosi sasa hawa ikifika mwezi kumi saudia wao ndio itakua ni mwezi tisa nandio itakua siku ya arafa jee!! Hawa ambao kwaio ni mwezi kumi wanatakiwa wafunge funga ya arafa au itakua ni skukuu kwao au vp sh naomba ufafanuzi
@fakihsaid1225
@fakihsaid1225 3 года назад
Asante kwa zawadi
@abdullahjuma9206
@abdullahjuma9206 3 года назад
sheikh bachu acha kubishana na masheikh ubwabwa we toa darsa tu
@kasumunigwasa
@kasumunigwasa Год назад
Umepuyanga Maelezo Hayo yanawahusu waliosimama Arafa na sio kufunga na ndio mana wamesema Dua hio ni khaswu kwa haji
@disantojevnco2718
@disantojevnco2718 3 года назад
Ukweli uzungumzwe #Uislamu #dini wote
@hassansingano1150
@hassansingano1150 3 года назад
Apa tunazunguka tu. Ukweli ni kwamba :arafa ni mwezi 9: huu ni mgongano wa kalenda.
@niyakhalid5650
@niyakhalid5650 3 года назад
Swadakta
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Mwezi 9 kwa kalenda ya wapi?
@ahmedabdalla2595
@ahmedabdalla2595 3 года назад
wafahamishe wana ukaidi hawafuatilii hadithi vilivyo
@reonidajohn7857
@reonidajohn7857 Год назад
Hadithi inazungumzia na manabii waliopita.....Je hao manabii waliopita walikwenda kuhiji( au na wao walifaradhishiwa hijja)
@timetravellor5367
@timetravellor5367 2 года назад
Arafa ni kitendo Cha mahujaji sawa Ila swaumu ni mwezi tisa cz tukisema tuendane sawa na mahujaji haito wezekana cz kunanchi ni usiku wakati Makka mchana
@nooor1120
@nooor1120 3 года назад
Masheikh kila mmoja ana points zake na ufaham wake hizi hitlafu zipo zaman na hazishi kwahio mtu afuate moyo wake unamwambia vipi tusipigane klele muhim tu ukifanya kitu ufanye kwa ajili ya Allah kwani siku ya qiyama Allah atawalipa waliopatia na waliokuwa hawakupatia kwa juhudi zao.Allahu aalam yupi yuko sahiih.
@karimdaud3993
@karimdaud3993 3 года назад
hapakua na hitilifu wakati wa maswahaba katika hili . hitilafu imeletwa na mayahudi kutuletea technology na waka warubuni watu kutafuta wapi .penyo wa kuwagonganisha .hili halikuvutana ..
@allyrashid9568
@allyrashid9568 3 года назад
Kweli mashekh mwezi hadi kero kwani hii dini haina mamb mengine
@abdallahbahry6583
@abdallahbahry6583 2 года назад
Watafta kiki upate umaarufu umeongea vizuri ila hujaizungumzia arafa kwa matwaalii umeizungumza arafa kwa mahujaji ni sawa mahujaji wao wako kwa arafa kwa matwlai yao ungesem hvy
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 3 года назад
Na mbaraka awes pia anataka dawa naona kaibuka tena...muhammad kazi hii
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 3 года назад
Video ina miaka 3 hajaijibu wamuonyesha leo
@ahmadsaid5845
@ahmadsaid5845 3 года назад
@@bahashachembea6922 Ata hio ya abuidi nizaidi yamiaka mitatu kma hujui
@bahashachembea6922
@bahashachembea6922 3 года назад
@@ahmadsaid5845 alikua mda wote huo
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 3 года назад
Jazakallah alf hasanaat
@muhidinzaidi1408
@muhidinzaidi1408 2 года назад
Me ninachokiona nikwamba unasumbuliwa na ujinga
@hajikhamis1686
@hajikhamis1686 3 года назад
Wacha ujinga Muhammad Nassor, usijifanye unaelimu kuliko wote, jaribu kua na hekma katika kulingania, utakwenda pabaya.
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Wewe mpumbavu upumbavu wako mfanyie mkeo na mamaako usiwafanyie mashekhe
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Kama wewe kiziwi wenzako wanasikia,kama kipofu wenzako wanasikia
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Yani jamani ujinga ukizidi nikhatari kubwa!!! Wewe waelimishwa na kupewa ushahidi wakile bwana wako mbabaishaji abuu iddi alicho kisema kwa kukurupuka baada ya kushukuru umeoneshwa njia leo unajifanya ziwi ziwi ziwiiiiiii eh jamani mtihani simdogo huu kufikia mtu mpaka akawa kipofu wa akili mhm!!!
@abasisimai1546
@abasisimai1546 3 года назад
Shekhe kazi yake ni kuwasaidia wajinga kama wewe ili wapate werevu kwa taufiki ya Mola,sasa mambo ya kujifanya yanatokea wapi na yanamnasaba gani na hichi alicho kizungumza shekhe???
@bintykhuwailyd7567
@bintykhuwailyd7567 3 года назад
Mashaallah,
@abubakaribashiru7525
@abubakaribashiru7525 3 года назад
Mbona hapo kumeandikwa kwa fatha ya hamza wewe ndo umekosea ama kitabu naomba jibu وأن وصف اليوم. الي آخر الكلام
@aminagerard8096
@aminagerard8096 3 года назад
Ya Rabbi waongoze ambao hao wasie elewa maana ya Arafa
@aidarusahdaly5516
@aidarusahdaly5516 3 года назад
hebu nikuulize 100 yrs back kwani mulikuwa mwajua watu wako ARAFA???
@saidmwakimako3617
@saidmwakimako3617 3 года назад
Assalam alykum warahmatullahi wabarakaatuh. Mimi sio msomi na swali langu ni hili,. Wanaposimama mahujaji nchi kama Australia, New Zealand huwa wametangunlia kwa masaa zaidi ya tisa. Africa huwa sawa na Saudi pamoja na mahujaji. America wakati huo huwa wako nyuma masaa zaidi ya tisa, so Itakuwa vipi watu wafunge sawa? Naomba jibu tafadhali
@rashidmohammed9128
@rashidmohammed9128 3 года назад
Huyu sheikh muhubiri KASHA ZUSHA KUWA FANYA IBADA NYEGINE HUNA ARAFA WEWE KWA KUWA MASAA YAKO HAYA LINGANI NA SAUDIA.... MSIKIZE AWAMO YA MWISHO YA VIDEO RELEASE YAKO... SHIDA TUPU KUPOTASHA WATU
@bilaalngenya695
@bilaalngenya695 3 года назад
Jamani elimu zetu robo kilo zisitufanye kutoa fatwa au kwa sababu hiko kitabu Cha Al bani Vitu vingine haviitaji vitabu ni akili tuu hii dunia haiko sawa haiwezi kuwa Arafa ni siku moja..ya mahujaji tuu
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 года назад
Arafa ni siku nzima wao Australia wakiamka asbuhi atanzwa kufunga 7bu siku kwao ishaingia ikifika saa 7 makka ni 12 Kwa hyo watakuwa wamo ktk siku ya arafa
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 3 года назад
@@warshysaid8564 Umesoma wapi paliposema Kua Arafat nisiku yote?
@s.ridhwali1569
@s.ridhwali1569 3 года назад
Shekhe natafuta comments zangu za maswali kushazifuta 😁😁😁😁😁😁
@mwanamwantumazizi1869
@mwanamwantumazizi1869 2 года назад
Kiukweli munatuchngaya maan hukuna hata mmoja ambae anayoyasema anatoabkichwani mwake kilammoja anatoa kwenye kutabu sasa sijui tumfwate nani
@zafarmohamed9413
@zafarmohamed9413 Год назад
sheykh umetoa maelezo tu na fadhila za siku ya arafa . mm nataka nijua arafa mwezi ngapi bac.
@unaysatafawzaan1749
@unaysatafawzaan1749 2 года назад
Yaan ww wajigonga sana kijana Ww waongea kwa kejeli kumsema shekh qasim Kwamba eti wamjibu sufii Wewe hapa wafanyaje?
@abdulsalum1691
@abdulsalum1691 3 года назад
Mashaallah
@saidomar8992
@saidomar8992 3 года назад
hivi ndivyo alifundisha mtume
@ipmalu9947
@ipmalu9947 3 года назад
Ipo Siku mtatiana ngumi
Далее
RADDI KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR || Muhammad Bachu
44:23