Тёмный

Kwanini tuliwakosowa hadharani|1/2|majibu na Muhammad Bachu| 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 591   
@WizzyWizzy-bg7xc
@WizzyWizzy-bg7xc Год назад
Ma sha Allah! Upo sahihi kabisa! Kila nnapo kuskiliza kama na muona sh.nasoro Bachu, Allah amrehemu.
@marwamuhammad5703
@marwamuhammad5703 3 года назад
Allah subhannaw'wataala akulipe kheri sheikh wangu kwa kutuelimisha.nimekupenda kwa ajili ya allahu
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Allah akupende nawe kama ulivyo nipenda kwa ajili yake.
@dawlatbarwani1536
@dawlatbarwani1536 3 года назад
ماشاء الله عليك شيخ، كلامك مفهوم اللي يريد يفهم مافي أي شك. شكرًا وجزاك الله خيرًا
@villaboymatemwe97
@villaboymatemwe97 3 года назад
masheikh zangu kama hatutotumia hekma katika mawaidha tutajenga fitna baina ya waislam
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 года назад
Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bacho Mungu akuzidishiye ilmu inshaallah ..kutoka Kenya khadija said Nahdi .. mld Kenya
@abdulwahidmohamedsaid364
@abdulwahidmohamedsaid364 3 года назад
Ameen yarrabi
@shaabanhassan918
@shaabanhassan918 3 года назад
Shekhe ww unataka ujulikane tu ilikua na alhamdulillah kushajuulikana maana watu woote saivi wanakujua
@shaabanhassan918
@shaabanhassan918 3 года назад
Lakini mm ckushangai umemkosoa babaako je huyo ucie mjua maana ww na babaako ni bora babaako kwa elimu kubwa lakini hukukubali kunamkosoa yani ww aloo
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Atazidishiwa ilmu kwanza akasome kwa hao anaowaenezea ubaya. Kumbe muovu yeye
@hajisalum8028
@hajisalum8028 3 года назад
Mungu atuepushe kuwa na riyaa hii ni riyaa na ujubi
@abuumusabramadhani9944
@abuumusabramadhani9944 3 года назад
We umejuaje kama ni riyaa akhy unajua yaliyopo kweny moyo wake? mana riyaa ni amali ya moyoni anaijua mwenyew mfanyaji wa riyaa pamoja na Allah pekee
@mutomubaya
@mutomubaya 3 года назад
@@abuumusabramadhani9944 pongezi Mwalimu kwa kutoa somo hilo.
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@abuumusabramadhani9944 namna ya uongeaji wake unathibitisha kwasababu mimi nafatilia kila anayemkosoa
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@abuumusabramadhani9944 kama anaweza si awaite wakae chini navitabu kama atatoka huyu nimewashuhudia kama huyu wakibanwa katika vitabu ngumi zinaanza kurushwa
@youngdaddy3085
@youngdaddy3085 3 года назад
Hapa tunaenda kiusomi babaa uislamu umekamilika ..acha tabia za hamasa ..we riyaa unaijua
@issahassanialy7602
@issahassanialy7602 3 года назад
Alio leta madhehebu ali tuweza kweli sasa hivi mtu hamshuhurukii kafili aaaaa sasa hivi mweslam anamshurukia mweslam mwenzake
@khamisgumbo9181
@khamisgumbo9181 3 года назад
Msiba Wallah
@anwarabdallah1301
@anwarabdallah1301 3 года назад
Subhaanallah kukosoa kuna hikma ni sawa na baba ya mtu au mama ya mtu anapofanya kosa kwa mwanaye ambalo ni la aibu vp mtoto amkosoe mzazi wake lazima atumie hikma ya kutafuta mtu mkubwa sawa na mzazi wake mwenye hikma na mwadilifu ili aweze kumsaidia kumkosoa mzaze wake
@abdulngarubulwa5249
@abdulngarubulwa5249 Год назад
Mashaalah!! Hapo umeereweka kabisa shekhe wetu
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 года назад
Asalam Alaikum, MashaaAllah, Ramadhan Mubarak ✨♥Fajazakumullahu khairan 🌹🥀🥀🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘💐🌸🌸💮🌱🌱🌱🌲🌲🌳🌴🌵🌵🌾🌾🌿🌿☘☘🍀🍁🍁🍂🍃🍃🏵🌹🌹🥀🥀🌺🌺🌻🌼🌷💐🌸🌸💮💮⚘⚘🌷🌷🌻🌳🌴🌵🌾🌿🌿🌿🌱🌱🪴🌲🌳🌳🌴🌴🌵🌵🌱🌱🍀🍀🍀🍁🍂🍃🍃🍃🌹🌹🥀🌺🌺🌺🌹🌹🥀🌼🌼🌼🌷⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘⚘🌷🌺🏵🌹🌹🌹🥀🥀🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘💐💐💐💐💐💐💐💐🌸🌸🌸🌸🌸💮💮💮🌹🌹🌹🥀🌺🌻🌻🌼🌷🌷⚘⚘🌹🥀🥀🥀🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷⚘⚘⚘⚘⚘
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 года назад
Allah akuongoze shekh wangu
@adammgana5715
@adammgana5715 3 года назад
@@omarmuhammed8987 sahihi akhy huyu jamaa analeta mambo ya kijinga ambayo hayako katika sifa za waja wema
@abdulwahidmohamedsaid364
@abdulwahidmohamedsaid364 3 года назад
MASHA ALLAH M/MUNGU AMREHEMU SHEIKH NASSOR BACHU HAPO KAZAA SIMBA KAMA YEYE KIJANA HOJA ZAKO ZIPO VIZURI UNAITUMIA ELIMU YAKO VIZURI UNAJIBU KISOMI KWA KUTUMIA VITABU DALILI KILA KITU UNAKIFAFANUA VIZURI ANAETAKA KUELEWA ATAELEWA ASIE TAKA KUELEWA ALLAH AMUONGOZE AELEWE
@salaamahmed2485
@salaamahmed2485 3 года назад
Shekhe Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu na kila kheri, umefanya sawa kabisa. Bidaa lazima ikemewe!
@shaunaaboubakary8514
@shaunaaboubakary8514 3 года назад
we mwenyew bidaa
@twahamohammed5135
@twahamohammed5135 3 года назад
Wallahi sio vizuri kudhalilishana ndani ya mitandao
@twahamohammed5135
@twahamohammed5135 3 года назад
Mm nampenda sana shekh nassor bachu ila ww dah umevuka mipaka sio vizur
@twahamohammed5135
@twahamohammed5135 3 года назад
Shekh tumia hekma shekhe unakosea
@twahamohammed5135
@twahamohammed5135 3 года назад
Hakuna mkamilifu usijione ww ni bora kuliko wenzio
@saidimpako5186
@saidimpako5186 3 года назад
SHEKHE MIMI SHEKHE MIMI NAKUELEWA SANA NISAIDIE KWENYE HILI HIVI KUMUOMBA MUNGU NI LAZIMA IWE KWA DUA ILIYO POKELEWA TU? KWA MFANO NIPO KWENYE BIASHARA NIKASEMA "EWE MUNGU WALETE WATEJA KWENYE BIASHAYA YANGU" Je Hii ina faa au haifai kwakua haijatoka kwa mtume?
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Dafuta darsa usome acha Ushabik
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Na siku zote ukisoma dua soma ww kama ww lakini usiseme Mtume kasema hali ya kua hajasema itakua umemzulia
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Na Mtume anasema "Atakae nizulia uongo ajiandae makaazi ya Motoni"
@abusirleem2671
@abusirleem2671 3 года назад
Allah akuhifadhi nawashangaa wanaosema wamekosolewa hadharani kama kwamba wao wamezungumza chooni, mm ni mmoja nilikua nafata maneno yao saa hii nimepata faida
@hakikahajijecha3558
@hakikahajijecha3558 3 года назад
Acha hio,, huo sio uungwana wewe unakijuwa nini unachokijuwa..kama kuna kosa mwezako kafanya kutana nae umjuulishe wapi kakosea unafikiri nani mwenye akili atakusapoti wewe... Peke ya huo unao fanya ni ujinga wa elimu.. Ziko njia za kumkosoa mwezako kwenye uislamu.. Je wewe unawafundisha nini upande mwengine...ndio tuone umesoma sana au vipi.. Mwenye elimu hawi hivyo elimu yako unaitumia vibaya.. Kuna SHURA kwenye uislamu.. Fanya shura na mwezako kama kakosea ,lengo ni moja kuelimisha jamii... Huo sio uungwana kuwa muungwana...
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 года назад
Sheikh Muhammad sasa unataka kunikera. Wewe wakosoe halafu fanya mambo mengine, huna haja ya kuwabembeleza hao. Bidaa imekua ndio mfumo wetu. Sasa haihitaji tu kuwakosoa inahitaji upanga kabisaaa tukate vichwa. Allah akuhifadhi na kukuchunga.
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 года назад
Hiyo pepo yako nenda wewe na familia yako tu, kenge mmoja wewe. Kila mtu mnaetofautiana naye kifikra mnamuita bidaa?
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 года назад
@@nohatredbutlove5786 Dini ya kiislam haiendeshwi kwa fikra. Kaa na bidaa zako.
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 3 года назад
@@mohamedhaji2200 ndio hiyo pepo yako usitupee. Maana mawahabi muna chuki sana, mnatamani sote tuingie motoni ispokuwa nyinyi tu.
@hdh438
@hdh438 3 года назад
@@nohatredbutlove5786 jamny eeeee huyu muhammad sio shekh hili lieleweke anavaa sifa iyo kupitia jina la baba yke tu.ila yy mwenyewe ADABU hana mana angekua na ADABU angewaheshimu hao watu wazima kwnza huku akiwakosoa kwa kuwatafuta private na sio hadharani.sasa shekh gni mwenye utovu wa ADABU ivo?
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Aamin
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 года назад
Sheikh Bachu wa Zanzibar keshatimiza wajibu wake. Nyinyi waislam wa Mombasa mushaelezwa kwa lugha yenu ya Kiswahili, musiposikia endeleeni ukaidi, ndani ya kaburi kila mtu anaingia peke yake.
@johntay8813
@johntay8813 3 года назад
Asalaam Alaykum Warhamatullahi Wabarakatuh Allah akukinge na. vijicho Allahumma Amiiin
@abdallahmohamed8433
@abdallahmohamed8433 3 года назад
شكرا جزاك الله خير يا أستاذ محمد
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 Год назад
Mm ushauri wangu mche allah acheni kuugawa uislam we umeona bidaa aifai wale wanaofanya wamesoma nawapo wanazuoni wakubwa wazama zetu wanafany wao wamesoma nawameona usahihivwao ndiy maana wanafanya
@selemanmartin
@selemanmartin Год назад
Pumbavu wewe, hata huelewi kinachozungumzwa
@hasanisaidishabani3879
@hasanisaidishabani3879 Год назад
Mwenye kupewa hekma amepewa heri zote ukiona unahekma umefauru sana shekh wallah naapa unaniuuzi sana kwahayo ujuwe mkamilifu allah unawez ukaona hoja yako ndy bora kumbe auna ubora hawo ndo wakawa bora sisi tunajitaidi tuusote mkamilifu allah unachokielewa wewe ujue mwengine anawez asielewe ivyo ndy maana maimam weng wametofautiana usijione wewe ndy bora
@selemanmartin
@selemanmartin Год назад
Hapendwi mtu ktk haki; Hekma kaa nayo wewe
@amirashystaubi636
@amirashystaubi636 3 года назад
Mmmh sheikh! Muhimu ungewakosoa kisiri alafu wao ndoo waje kuweka sawa ..lakini njia uliotumia sio...
@abduliazizrished6036
@abduliazizrished6036 3 года назад
Mm cna elim kiivyo ila shekhe wng kazungumza kW dalili sasa ww unarejea kule kule kuliko jibiwa
@hdh438
@hdh438 3 года назад
@@abduliazizrished6036 Jamanyyyyyyyy huyu c SHEKH
@aybkham5795
@aybkham5795 3 года назад
Hata kama kwa DALILI lakini kuna hikma amekosa, sabab inaweza kugawa WAUMINI kwa kukosa hikma,
@ndaimanday6179
@ndaimanday6179 3 года назад
@@abduliazizrished6036 NAKUBALI SHEKH WATU HAWASIKILIZI WANAJUA KUONGEA TU
@ndaimanday6179
@ndaimanday6179 3 года назад
@@hdh438 WEWE SHEKH/MUFT/KADHWI/MWALIMU ILA TUACHIE MSOMI WETU
@criminal03mostwanted71
@criminal03mostwanted71 3 года назад
Maasha Allah...... Taandika BID'A izoooo khurafi roho za korosho na shubuhat nyiingi kusoma ni ngoma tu na BID'A nyingiii
@mohdkharousy704
@mohdkharousy704 3 года назад
A'alykum fitna imelala mwenyezi mungu humlani anaeiamsha!!!!!!!!
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 года назад
@Mohd Kharousy....bora ungenyamaza tu .Hata kuandika jina lako kikamilifu pia hujui.
@yuusufbadru3294
@yuusufbadru3294 3 года назад
Masha llah swaddakta Shukran Shekh /nimekuelewa ni kweli kuna wasio sikiliza mpa mwisho khaswaa hawa kija Wafuasi wa Jahmi /Mie nakufuatilia kutoka Tanzania shinyanga
@shufaaabdulkarim7262
@shufaaabdulkarim7262 3 года назад
Jeee ungefanya haayoo yotee bila ya kuwataja majina yaaoo ungepunguaaa nini??ina maana gani kuwatoa makosa mitandaonii???km kweli una hikma ungezungumza nao private japokua kutaka umaarufu kwako na kuonekana unajua ukaona uwatoe makosa social media..😏😏😏😏
@rahmabebz6118
@rahmabebz6118 3 года назад
Jamani jamani jamani yaani baada ya maelezo yote haya kwa undani zaidi hujaelewa chochote bado wajaropoka ivi hivi mwasikiza kabla kucomment ama wakurupuka thu ...ndo ubaya wetu unapokuja apa mkirekebishwa mwasema mtu atafta umaarufu hvi kuna umaarufu katka dini ya kiisalma ama mwapenda kupotezwa?
@shufaaabdulkarim7262
@shufaaabdulkarim7262 3 года назад
@@rahmabebz6118 hao ndio maelezo kwa undaniii??😂😂😂😂...wenzake wameitwa kutoa darsa mbona hajaitwa yeye amekaa kuwatoa makosa😂😂😂😂
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Wanaoitwa kutowa daawa ni walokuwa na ilmu. Huyu ilmu yake ni kueneza fitna na chuki. Wivu umemzidi
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 года назад
kweli kabisa maneno yako. shekhe hapo hakutumia hikma wala busara.
@muhamedswaleh
@muhamedswaleh 3 года назад
Shekhe wangu unayozungumza kwa ilmi Sawa lakini tafakari haya: 1. Jee Ungefundisha yote haya bila kutaja mtu, ilmi ingepatikana au la? 2. Fanya 1. hapo juu kisha pia umpigie simu mwenzako 3. Jee kama mtu hakujua, kama vile hiyo hadithi ya makosa, jee ni munk
@yasiniselemani3917
@yasiniselemani3917 3 года назад
kabisaaa angeongea tuu mawaidha yake mbona tungemuelewa
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Ukweli umeshafika huo haupingiki nyinyi endeleeni na chk
@hamzaforogo
@hamzaforogo 3 года назад
Huu ndio uzuri wa uislamu hapendwi mtu hapa wala hachukiwi mtu hapa elimu tu hakuna kustahiana ukikosewa unaambiwa ukimandi shauri yako
@sashaali9207
@sashaali9207 3 года назад
Mashekhe wa mabida'3 maskini wameshikwa na uoga hadi wameshindwa kujibu na kukaa kenya wakakimbia kidogo zenji maskini ili wajitulize. lakini shekhe akawakamata huko huko hehehehe! Shekh Muhammad Allah akuhifadhi kwa kutetea dini yake na sunnah za mtume (ص). Sasa watakua makini hawapotezi tena! washajua yuko wakuwaweka sawa bila ya khofu! 👍👍
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Hawakukimbia Mombasa. Wamealikwa official kufanya daawa. Mbona huyu yuko hapo hapo zenj hajaalikwa. Sababu hana moja analolijuwa ila kufitini tu
@sashaali9207
@sashaali9207 3 года назад
@@mwanakheri2880 wamekimbia!. Kualikwa au kutoalikwa hakumaanishi hujui kitu. Wacha khiyana ilimu yake inaonekana kweupe bila yakijificha vipi unataka kuizima nuru hiyo kupitia maneno yako?! Na unatumia maneno mazito sana kumtuhumu ati "yuwafitini" anafitini vipi? Kusema kweli hugeuzwa kua ni fitna, vipi?? Kua mkweli na acha khiyana!
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 3 года назад
Mashekhe mnatutatiza umuhimu wamuislamu nishahada kuswali kufunga ramadhan zakat na hija uonawatu wanazozana namambo yakipuzi 2 tuzungumze suna za mtume mhmd sws ujinga tuache
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Kua na Na heshma Jina la Babako unaweza kiliandika kama ulivyoliandika la Mtume unaliandika kwa ufpi tena herufi ndogo adabu zako ndogo kweli ww!!!!
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 3 года назад
Ata wewe kuwa naheshima ujui ubinadamu ww wachazako ujui kukosea mwambie mtu kiistaarabu ukizenguwa tutazenguana
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
@@fatumahassan3205 utaweza kuzinguana na mm ww
@fatumahassan3205
@fatumahassan3205 3 года назад
@@شيخنيف niko kwenye funga sitaki mapambano xm yangu mwenyewe xjanunuliwa na mtu heshima nikitu chabure mwenyezi mungu amesema ihfadhu llau yaafadhuka niache kama nilivyo
@hasnahasna1743
@hasnahasna1743 3 года назад
Naaam naaam Sheikh iseme haqq hadharan
@qhatramohamed7006
@qhatramohamed7006 3 года назад
Mashaa-Allah maneno yenye mazingatio makubwa ALLAH azidi kuhifadhi (Nairobi kenya )
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Aamin
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 3 года назад
Aslama alaikm... Nmefuatilia durusi zote za shekh Muhammad na shekh izudin.. wallahi nawapenda nyote kwa ajili ya Allah na lakin pia napenda kusema neno kwa mashekh wote wawili.... Nikianza na shekh Muhammad Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu uzidi kufanya daawa na Allah atulipe tunapopatia na tunapokosea atusameh... Shekh Muhammad katika clip yako ya mwanzo kufanya raddi juu ya maneno ya Dua Ile ulitumia maneno ya kuwadhoofisha wenzio Kama ukasema wanajitia kimbelembel kwenye ramadhan na miandamo tu.. yaan kma kwamba hawajui walifanyalo... Hii sio sahihi shekh.. izudin ni shekh pia na ana dalili za kutoa Dua Ile... Katika clip yake shek izudin amefafanua vzuri matumizi ya Dua hii.. yeye haitakidi kuwa hii hadithi ni sasahihi anajua ni dhaifu lakin je haya maneno ambayo we unasema mijineno mibovu sio sahihi kwa mja kuomba kwa mola wake??? Nna maswali mengi kma mwanafunzi na in Sha Allah nitafanya jitihada kusoma darsa kwako kwa nmna yyte Ile... Nakukubali lakin kma binadamu na ww una makoseo mengi kwenye mjadala huu we hii Dua
@destinymediapro2083
@destinymediapro2083 3 года назад
Nliopomsikiliza shekh izudin Allah amuhifadhi wallahi hakumshusha darja shekh Muhammad Sasa shekh Muhammad lazima uwe na kitu Cha kujifunza kwenye raddi zako.. hekima na busara ni msingi mzuri wa daawa ukizingatia kwa mijadala yenu mnawachanganya waumini wanokifatilieni sembise wasio waumini wakitaman kuingia kwenye dini yetu watarudi nyuma kwa taratibu hizi ambzo zinaleta miono tofauti.... Kulinda heshma ya muisalmu mwenzio ni wajibu Sasa sisi tunachokifanya ni kidhofishana yaan kma maulamaa Kuna busara za kuelkzana kusudi tusiwagawanye watu kwa chuki Bali tuwaelimishe kwa busara!! Swali langu kwa shekh Muhammad.. uliposema mijino mibovu je Kuna dalili yute kuwa Dua Ile ni mbovu na mtu akiomba anapata dhambi?? Na je haifai mja kuomba nje ya Dua alizoelkeza mtume?? Huwenda nmekosea namna ya kuuliza lakin mantiki imejulikana... Allah atukubalie aamili zetu na atuepushe na riaa..
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 3 года назад
Mola akujazekheri
@abutafawa
@abutafawa 3 года назад
Jazzak Allâhu Khayran na Allâh akuhifadhi kwa kubainisha ukweli akhii...
@yussufismail8037
@yussufismail8037 3 года назад
وما أتاكم الرسول فخذوه
@jayramadhan4584
@jayramadhan4584 3 года назад
ukweli gani mbona ile cku haku mradii nurdin kishkii. hyo ni attention seeker tu na pr
@muhsinnainoabdullah1539
@muhsinnainoabdullah1539 3 года назад
Mashallahu Barack llahu lak fiik sheik wetu uko sahihi kabisa yani awa watu wa bidada wanapenda kupigisha watu kelele sana yani lakin usichoke sheik wetu kukemea bidada hakika bidada ni mbaya sana Kwa aliesoma akafahamu dini ya kiislamu inshaaalla tupo pamoja sheik wetu
@allyshambe9855
@allyshambe9855 3 года назад
Maa shaLLAH
@saumukayaa3979
@saumukayaa3979 3 года назад
Si.vizuri.kuwatowa.makosa.hadarani.hao.kuna.watu.wanafatilia.sana.sasawakiona.unawatowa.makosa.uniwatowa.imani.kuwasikiliza
@abduliazizrished6036
@abduliazizrished6036 3 года назад
Fungua video utaelewa lengo LA kukosoa kwa dalili
@sulsamabidaly7782
@sulsamabidaly7782 3 года назад
Assalaaam Alaykum nimeskia mawaidha ya sheikh othman maalim anasema mama akikuita ikiwa unaswali swala ya sunna bc unaweza kumuitikia kwa sababu kumuitikia mama ni faradhi lkn swala ni ya sunna hii ipo vp katika uislamu?
@makameabdalla3147
@makameabdalla3147 3 года назад
Allah akikuruzuku elimu hukuruzuku na maa'rifa
@ibrahimmakame7732
@ibrahimmakame7732 3 года назад
Lkn ufahamu kama unakosowa kwaria uwonekane unaelimu usisahau malipo
@hamzayusuf2999
@hamzayusuf2999 3 года назад
Huna a adabu tutakuja.hapo.tukufunze.adabu kama baheroo
@hdh438
@hdh438 3 года назад
@@hamzayusuf2999 huyu ADABU hana kabsaaaaaaaa Tena hana.anakaa km alokula mripu alaf akaanza Kuongea
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Huyu anajifunza ilmu sasa . Lkn ubaya kwanza anavuta kisha anaropokwa ovyo
@Binahmed1234
@Binahmed1234 3 года назад
Baraka Allahu fiik ammi
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 года назад
Tuacheni kukosoana hadharani.Maimamu wakubwa walihitalifiana.Bingwa ni Allah na Rasul
@ibnaliytv7907
@ibnaliytv7907 3 года назад
Mm nawashauri muache ushabiki kisa kakosolewa aliekosea, mm nadhani mkosoaji yupo sawa mwanzo mpk mwisho, sasa nyie mliokua hamtaki kusoma mnafuata makundi, acheni hizo tabia na muifuate hakki,
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 года назад
Hakuna anapo kosowa hapo huyu ni mijinga n'a mba moja
@dullahmihuri
@dullahmihuri 3 года назад
Hongera
@dullahmihuri
@dullahmihuri 3 года назад
@@fauznuhu9981 hongera
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Na nyie nyote ni wajinga mana hamna dalili hata moja isipokua porojo tu!!!
@abditajir4048
@abditajir4048 3 года назад
@@fauznuhu9981 Ahlulbidaa njaa itawapeleka pabaya sana..yaani nyie hamuoni shida kupotosha watu na hamtaki kukosolewa..hii ni dini sio chama tuna hitaji dalili
@abuibra
@abuibra 3 года назад
Wala usiwache kukosoa wao wanataka kutangaza dini wanavyo taka,elimu yao ndogo lakini hujifanya kujua saaaanaa, (ALLAH AKUHIFADHI DUNIANI NA AKHERA NA AKUZIDISHIE ELIMU NA HEKMA,)wakosoe Wala usiwaache tuko nawewe, unayo yazungumza sawa kabisa. AZAKALLAH'KHEIRAN.
@ahmedzahor9689
@ahmedzahor9689 Год назад
Mara imamu huyu kasema hivi , Mara huyu kasema hivi . Lakini Hamna mtume Muhammad (s.a.w) alifanya hivi mbele za watu
@hdh438
@hdh438 3 года назад
UNA MAMBO WEWE NDUGU..😂😂😂😂😂😂😂😂 NA AO UNAOWAKOSOA WAPO UNGUJA HPA WASHAFIKA WANAFANYA ULINGANIAJI.ILA HAKUNA HTA MMOJA MWENYE HAJA YA KUKUTAFUTA KWASBB ADAB ZKO HAZIJAWA SAWA BDO😂😂😂😂😂😂😂😂
@abduliazizrished6036
@abduliazizrished6036 3 года назад
Kakosea WAP tuletee dalili hatutak porojo
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@abduliazizrished6036 kakosa busara na taaluma yamatumizi yalugha katika kumkosoa wanachuoni kwanza ana zarau anakosoa huku akicheka nakudai hawajasoma vizuri nawanapotosha watu
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuzidishie Elim Mara dufu uzidi kutupa ukweli Aamiin
@hudaaalhussein3841
@hudaaalhussein3841 3 года назад
Waujua munkar? Muogope Allah,unkosa wa kuwakosoa wakosoa wanavyuoni?ya adhwim ni maneno mabovu? Subhanallah,.ndio nyinyi mulotabiriwa tumewaona..kazi zenu kukosowa tu tn wanavyuoni.angalia comments.umejulikana mahali pako.
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 года назад
Hudaa hiv uwelewa unao hata anachokiongea huelewi umetanguliza mijazba yako na kutaka kutetea usufi wenu sikiliza kwanza anachokisema au iyo misikio ni pambo tu wanazuoni hawasemi ivyo masufi mnavyodhania ebu jibu je wanazuoni juu ya kumkosoa mtu wanasemaje ? Na ww mtaje unaemjua kwenye maulamaa anasema mtu asikosolewe hadharani masufi mnataka muharibu dini ndio maana hamtaki kukosolewa nyie mnajambo lenu.
@kassimchina7882
@kassimchina7882 3 года назад
Dooo bado kijana mdogo Sana soma Kwanza unataka kushindana na watu walio kua juu Sana soma
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 года назад
jazaka llahu khera isie elewa aende zake hap alicho zungumza nihaki siyo porojo kama zaa abui iddi anavyo kosowaga kwafitin
@saadsalminbinwesar9940
@saadsalminbinwesar9940 3 года назад
Asalam aleikum ndugu zangu katika imani mbona naona tunatoka katika mipaka nakuelekea katika ubwana na kibri kwani , au mnataka kujulikana ni bingwa au ni usomi Sana naomba tuzingatie maneno ya Mtume swalallahu aleihi wa salam bil hikma Wal maidhwat hasana . Kwani hakuna mkamilifu . Msikosoane mitandaoni mnamfanya ambaye hajasoma dini mnapotosha watu nyinyi ni viongozi .
@akidanyanje9072
@akidanyanje9072 3 года назад
Nakuelewa sana ostadh
@abdullaabdulla8618
@abdullaabdulla8618 3 года назад
Kosoa bidaa sheikhe kadri ya Allah atakavyokuwezesha, hao wanaocoment upumbavu ni sawa na hao wanaosomesha bidaa(uzushi)
@commander-zerogongah3030
@commander-zerogongah3030 3 года назад
Sheikh kukosoa mwenzako ni sawa lakini mbona usimpigie simu basi mukafahamishiane kuhusu alichokosea. Si vizuri unachofanya kuwakosea masheikh wenzako ADAB usiwe na kibri.
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Ww hem sikiliza vzri hyo darsa utaelewa, sio kukurupuka tu alaaa
@abdulhaleemsalim1059
@abdulhaleemsalim1059 3 года назад
Ww pia bida hio kukosowana hadharani ww huna ilimu wala hujampata babako mungu amrehemu
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Acha ushabik hem sikiliza vzri na uzngatie basi utaelewa
@allybakar4531
@allybakar4531 3 года назад
Sheikh Muhammad a.alykum nahitaji namba yako Nina maswali nataka nikulize
@jabalutv3359
@jabalutv3359 2 года назад
تا الله لأحبك في الله،أسأل الله حفظك من كل شر و كل ذي شر ، نعم الرجل أنت
@husseinswaleh7103
@husseinswaleh7103 3 года назад
Shekhe nakuuliza ya adhwim ya adhwim ni maneno mabovu?
@fauzjibaba5956
@fauzjibaba5956 3 года назад
Hivi nyie mnajua vizuri kuliko mtume
@hamisabdul2961
@hamisabdul2961 3 года назад
nawe shika kalamu na,karatas upitie kweny clip zko zakuwarekebesha wenzio umetumia kauli mbya ww shekh kweny maneno,yko
@i.dclassic116
@i.dclassic116 3 года назад
Kuna watu hawaswali wanafanya mambo ya ajabu au wakristo mpka wanamuita MUNGU upo kimya ila mashe unawaita wabidaa ALLAH akufamishe hekima inshallah
@annurabdil5225
@annurabdil5225 3 года назад
Huyu kijana ni mpumbavu tuh na ujinga mingi ndo ako nayo.... Hebu peleka utoto kando mbna wataka kuleta fitna ktka dini wewe ama hujui kuwa fitna ni dhambi kubwa kuliko kuuwa
@hdh438
@hdh438 3 года назад
Afadahali kwa kumjua kama ni mtoto na ana utoto😂😂😂😂😂😂😂
@annurabdil5225
@annurabdil5225 3 года назад
Eeeh, maana me naona ywapiga kelele tuh hata sijui analingania nn ktka hii dini... Lkn ndio kawaida ya Mbwa kubweka anapoona Simba, sasa huyu kijana hana tofauti na Mbwa.. Mtu mwenye elmu ya kisawasawa hawezi kaa na kufanya upuuzi anao ufanya huyu kijana!! Anatafuta umaarufu tu kwenye huu mtandao
@mussasalimu3487
@mussasalimu3487 3 года назад
@@annurabdil5225 kijana ukosahihi haya ni más alaya ya kielimu watu website hawajui Allah awaogoze
@ahmedbadbess8462
@ahmedbadbess8462 3 года назад
Munashindana kuhusu kula daku ilhali machafu yamezidi...Washirikina watu hawaswali watu hawamtegemei Allah makosa makubwa ya Tawheed lakini mashekhe wanaona kula Daku ndio jambo la kujibizana
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Bidaa ni kitu kibaya sana lazima kibainishwe
@jillokomora
@jillokomora 3 года назад
Hata ww n bidaa hukuepo zama za mtume mm nakuona umiyi unaetafuta umaarufu kwa migongo y wengine
@abuumusabramadhani9944
@abuumusabramadhani9944 3 года назад
Uelew kitu bora unyamaze tu
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@abuumusabramadhani9944 jibu swali bidaa maanayake nini ??
@abuumusabramadhani9944
@abuumusabramadhani9944 3 года назад
@@abufauzan9417 Sijaulizwa hilo swali al akhy
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
@@abuumusabramadhani9944 uliulizwa sasa nimeona ukiwa kimya
@abuumusabramadhani9944
@abuumusabramadhani9944 3 года назад
@@abufauzan9417 nikumbushe swali gani labda nimeghafilika akhy
@hamadrashid5140
@hamadrashid5140 3 года назад
Akhy kukosowa me sioni tatizo. Tatizo ni kutumia maneno ya kuwakejeli hao masheikh. Angalau leo umesema walinganizi lakini siku ile ukasema wanaojiita masheikh.
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Ndio MTU anajinasibisha na Usheikh alafu anazua inakua Mushkeli
@kosemraul3419
@kosemraul3419 3 года назад
Ha!ha!ha!😂😂😂 lol! He nailed it! Allahumma baarik lak. Allah akuzidishie ilimu sheikh.
@mustafahakim-iq7dj
@mustafahakim-iq7dj Год назад
Mtamuelewa tu inshallah ata mtume aliitwa kila majina sababu ya kuifundisha haki
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 3 года назад
Niuovu kabisa
@lamynlogan9599
@lamynlogan9599 3 года назад
Kuwa na heshima na masheikh wa Kenya wewe. Baba yako Mungu amrehemu hakuwa na tabia mbovu chafu kama yako wewe. Wewe bado hujawa sheikh wala kufikia cheo cha kuitwa Sheikh. uNAKUJA VIBAYA KIJANA WEWE kwa kutokuwa na adabu wala heshima kwa wakubwa zako. Mtoto mdogokama wewe hata haya huna huogopi hata Mungu unapurukuka na kuongea upuuzi mbele za watu bila khofu. Nani amekuroga wewe? Inshaalla Mungu atakuongoza uongoke.
@khamisabdu3594
@khamisabdu3594 3 года назад
Swali langu Shekh , mbona maimamu wanne wa kiislamu , walitofautiana kwenye sheria za kiislamu mbona hawakukosoana hadharani , kila mtu alikua anaheshimu msimamo wa mwenzio, hebu tafadhali hebu lete ufafanuzi, kwasababu imamu shafi anasema atakae nikosoa mbele za watu amenitukana
@athmansaid7782
@athmansaid7782 3 года назад
Kama utasoma utaona warekebishana katika duruus zao.
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 3 года назад
@@athmansaid7782 ndio hawa wasiosoma
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 3 года назад
Ndugu hao maimamu wanne hawakuwa watu wa bid'aa
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Maimamu hao wanne walikua wanatofautiana misimamo lakini walikua hawazui katika dini
@saidabeid8178
@saidabeid8178 3 года назад
Shekh niswa kweli unatowa hoja nyingi kwa hata kwa qurani na tumepata faida nawe mola akuzidishiye elimu na uombe mungu akupe hekama mana kuna makosa mengine hufaikutaja watu ukitowa daras itafika kwa aliye kosa hatuko kwenye ubishishano muombe Allah akupe hekma ama elmu ukonayo
@ibrahimaboker9086
@ibrahimaboker9086 3 года назад
Kuwakosoa Mashekhe hadharani sio vizuri kwani ni faida kwa makafiri, Allah SubhanaAllah wa Taala, anasema ukisitiri aibu ya ndugu yako mwislamu basi ALLAH atasitrii aibu yako. Usitafute Umaarufu, Fuata nyendo za marehemu Baba yako,
@sweetmeena5970
@sweetmeena5970 3 года назад
Mi naona angewarekebisha wao wenyewe warudi warekebishe kauli zao kama wasiporekebisha basi yeye angekuja akarekebisha hapa lkn hivi kukosoana hadharani kwa dunia ya sasa waislamu tayari tunapigwa vita tukionekana tunaingia kwenye kukosoana na kukejeliana tunawapa nguvu maadui wetu..kwanza masheikh wa Kenya hakuna anaepigania umaarufu haswa Mombasa hakuna mtu anaethamini umaarufu sidhani kama kuna sheikh anaweza kusema kuwa wewe watafuta umaarufu kupitia yeye hapana Mombasa hakuna mambo hayo hata sheikh Mubarak aliposema wengine wametuelewa vibaya sidhani kama amekujibu kwa sababu Mombasa kuna dharsa za saa kumi jioni ramadhan nzima huwa zinaendelea na kuna vipindi vya uliza ujibiwe itakuwa amewajibu watu waliomuuliza au wanaowahutubia
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 3 года назад
Nww kwa nn umwsmbie astafute umaarufu kwenye comment ungetafuta no yk ya simu. Maana wanosoma comment wengi tumia ligha sahihi usitumie kejeli
@mustayoo
@mustayoo 3 года назад
Lazima uzushi upingwe kwa nguvu zote sababu uzushi ndo chanzo cha migawanyiko kwa umma.mtume wetu s.a.w ametuamrisha tuwe kwenye sunna zake
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Hiyo sim ni uzushi au sio ?? Mbona watumia adhana kwenye mike nibadaa ama laa kusujudia kwenye kapet siobidaa
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 года назад
Kuvaa kimini nisunna au uzushi
@hemedmedy693
@hemedmedy693 3 года назад
Subhana llah maneno mabovu bado muhammad hujaleta hoja unajitetea ila kubali tu kosa
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 3 года назад
Huna ujualo ww. Inaonesha mtu wa madufu
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 года назад
Ukikosa mizani ya elimu ambayo ndio inayopimiwa haqi na batili hata ukisomewa aya utasema hujapewahoja Muhammad amewajibu ki elimu ila asieelim atabakiakuona uzushindio njia
@yussuphmbaroukalliy8669
@yussuphmbaroukalliy8669 3 года назад
@@muhidinali8180 tena uzuri wake kila kitu ana nukuu kutoka ktk vitabu vya wanawazuon hatowi lake kichwani lkn kuna vichwa ngumu jamani hawaelewi na uzuri awo waliokosolewa hawaja kataa kama zile hadithi walizotowa km sio sahihi sasa wao sijui wanachobisha nn
@rajabathman1471
@rajabathman1471 3 года назад
Siku zote ukitaka kufika lazima uchafue walioko juu, kama ulikua wataka kuondosha mukar ungemfwata muusika kisha akarekebisha katika kipindi chake akiwa kwa darsa pale alipoteleza......SubhaanaAllah sahi dini tunaipeleka kwa KIKI 😱😱😱
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Tena kiki la 250 😆😆 mtu anaesema kwenda kuomba maiti inafaa eti arekebishe maneno yake😆😆 siku zote chizi anawaona wazima ndio hawana akili 🛌🛌
@bakariathman3858
@bakariathman3858 3 года назад
Hivi hizi ibada za kuomba makaburi ziko vp nahawa juwi kuna Allah
@rajabathman1471
@rajabathman1471 3 года назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. sheikh watu hawaendi kuomba maiti bali wanatawassal.... Na Tawassul ipo katika dini.
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
@@rajabathman1471 lakini tawasull kwa maiti hakuna ni Shirki tu hakuna jengine
@rajabathman1471
@rajabathman1471 3 года назад
@@شيخنيف kwaiyo maswahaba walifanya shirki walipotawassal na kaburi la mtume..... Nani bora kuliko maswahaba....??? wale wamesoma kwa mtume na wakaelewa tawassul yafaa itakua nyie.....
@yasiniselemani3917
@yasiniselemani3917 3 года назад
Hekma nikitu cha msingi
@hdh438
@hdh438 3 года назад
Kabisa
@omarmuhaj6905
@omarmuhaj6905 3 года назад
Sanaaaa broo hawa ama huyu atafuta umaarufu
@mohdalwaili5289
@mohdalwaili5289 3 года назад
Mie naona sasa nichuki hio
@youngdaddy3085
@youngdaddy3085 3 года назад
Hayo ni maoni yako ..huna dalili yoyote
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 года назад
Km wataka kujulikana toa darsa tu si lazima ukosoe walimu walokuzidi ilmu.. nakwambia NENDA KASOME KWANZA JAHILI MKUBWA WEWE
@ibnaliytv7907
@ibnaliytv7907 3 года назад
Mbona mnaongea bila kujielewa
@siddiqnassor7328
@siddiqnassor7328 3 года назад
Usicheze na dini ya Allah sw ni bora ukae kimya kuliko kutoa ujinga wko
@achanifumos1093
@achanifumos1093 3 года назад
@@siddiqnassor7328 ujinga upi?...huyo anaokosoa na ww pia nendeni mukasome..wacheni kibri...kmwajua Mtume s.a.w alipoulizwa kibri nnini alijibu kuwa KIBRI NI KUIKATAA HAQ...
@abdulmuttwalibalanswaary
@abdulmuttwalibalanswaary 3 года назад
ndugu angalia kazi ya kufanya nawe upate umaarufu usitumie umaarufu wa wenzako kwa kudandia tizama kazi alofanya mzee wako allaah amrehemu nawe ufanye shukran sana
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Ikiwa wewe huna kazi mimi ntaipata wapi rafiki yangu? Usile daku tambi 😆😆
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 3 года назад
Sheikh leo nimeona video diamond kafuturisha watu kwa jumba la amani je walikwa kina dada kwanza wamejipodoa mwezi mtukufu kabla ya adhani mahrib pili walikwa ni wasani wakiwemo waislam na wasokua waislam michanganyiko waume na wake na sheikh kipozeo alikuwepo na isitoshe je chumo la haram yajuzu kufanyia mema?
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 3 года назад
MI NINGEMUOMBA USTADH KITU KIMOJA... APATE SIKU JAPO KIDOGO ATUELEZEE NINANI SUFI MPKA AMUITE SHEHE IZUDIN NISUFI..AU ATUELEZE NIWAPI ALISEMA MWENYEWE KUA YY NISUFI..MAANA HUKU NIKUPEANA MAJINA SIYO.. MAASALAM..
@saidomar8992
@saidomar8992 3 года назад
ndio kabisa
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 3 года назад
@@saidomar8992 sisi tutamjuaje kua nisufi
@mohammedudu6641
@mohammedudu6641 3 года назад
الدعوة بالحكمة والموعظة الحسنة
@hdh438
@hdh438 3 года назад
طيب
@mohdsaid7488
@mohdsaid7488 3 года назад
Hii ndio shida yetu waislam...tunapoteza muda mwingi sana katika mambo ambayo solution yake haihitaji hata dakika 3...na ilhali tuna mambo muhimu sana katika kuiimarisha dini yetu na jamii yetu ila hatuyapi nguvu.....tujitafakari
@lauptechnews8418
@lauptechnews8418 3 года назад
Hii si sawa masheikh kuanza kupigana
@mutomubaya
@mutomubaya 3 года назад
Hili somo ni muhimu ukweli umedhihiri. Sasa tuelimisheni kuhusu Maulidi
@mustayoo
@mustayoo 3 года назад
Ww waona hayo ni mambo madogo?kwa taarifa yako mambo ya uzushi ndo chanzo cha mgawanyiko kwenye umma
@ramadhanibrahim1543
@ramadhanibrahim1543 3 года назад
Huyu hajui hata munkari ni nini/ kwahiyo waliopita walilaaniwa kwasababu wanawazuoni wao walikosea maelezo nasiyo kwasababu hawakukatazana maovu/ huyu Hana elim analazimisha awe Kama baba yake/ ww hujasoma bali umesomwa
@zainabsadick8796
@zainabsadick8796 3 года назад
Sheikh toa clip za mawaidha ya kuelimisha jamii fanya na wee jitihada zako.
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Wanazuoni lakini hawakua watu wa bidaa
@munaashakir8752
@munaashakir8752 3 года назад
قال العلامة ابن عثيمين رحمه الله: "ومن القواعد المعروفة المقررة عند أهل العلم: الحكم على الشيء فرع عن تصوره؛ فلا تحكمْ على شيء إلا بعد أن تتصوره تصوُّرًا تامًّا؛ حتى يكون الحكم مطابقًا للواقع، وإلا حصل خللٌ كبيرٌجدًّا
@ramadhanibrahim1543
@ramadhanibrahim1543 3 года назад
Watu wanapiga kelele bidaa bidaa hali wao wanaziogele bidaa kila siku/ تقولون ما لاتفعلون
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 3 года назад
Wewe Ramadhan ibrahm taja izo bidaa ambazo watu wasunnah wanazifanya uzitaje kwa mujibu wa data za kielim uwe na wanazuoni wakutegemewa katika iko utachokisema kua ni bidaa kasema mwanachuoni gani usije ukataja wewe kua ni bidaa kumbe mbele ya maulamaa sio bidaa ilo moja. Pili ujue kua bidaa aloizungumza mtume ni ile ya kisheria sio ya kilugha,
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 3 года назад
Allahu Akbar nimemaliza mpakamwisho
@ramadhanibrahim1543
@ramadhanibrahim1543 3 года назад
الرياء شرك خفي /الله سيجزيك بريائك تطلب الشهرة/ قال رسول الله( ص) من ستر مسلما ستره الله يوم القيامة
@hdh438
@hdh438 3 года назад
Muelewesheni huyu BWANA MDOGO...hajui alisemalo
@abuunufaysah5328
@abuunufaysah5328 3 года назад
Umeweka maneno pasipohitajika,soma sharhu za hizo hadiith utaelewa tu.
@abuumusabramadhani9944
@abuumusabramadhani9944 3 года назад
haya maneno sio mahala pake kwanz we unajuaje kam anafanya riyaa unajua yaliyopo moyoni mwake.
@ahmedesmail4488
@ahmedesmail4488 3 года назад
Kukosolewa ni jambo ambalo uje ujirekebishe bora mkamateni kuliko mkimbizeni
@abumuhammad5261
@abumuhammad5261 3 года назад
Masha Allah, Jazakumullahu khairan
@mustafasharif4761
@mustafasharif4761 3 года назад
Ust muhamed bin bachu, ww ulimuambia Abdalla humed kuwa anawaita watu majina mabovu na anawataka waingie ktik njia yake je wataingiaje, na ww ulivyomradi mbaraka uwesu ulimuita msusi je hili sio jina baya au masusi wao wependa kuitwa masusi
@Abubakarnaaman001
@Abubakarnaaman001 3 года назад
WW WATAFUTA UMAARUFU LAKINI INSHALLAH UTAPATA. KISHA KESHO AKHERA HAUNA LOLOTE😢😢😢
@allyathman9584
@allyathman9584 3 года назад
Mashallah Allah akubariki
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 3 года назад
Kujibiana ki elmu sio kukoseana heshma bali sisi pia tunapata ilmu afadali majibizano hya kuliko mingine ya maovu,so sisi ni tuchukue ya faida.
@shayrani8307
@shayrani8307 3 года назад
Hizi kweli Zama za mwisho sheikh katika zile raddi unahoja dhaifu kama hiz hadith dhwaif zenyewe
@realmadrid3832
@realmadrid3832 3 года назад
Mashekh kuweni na hkm mana hikm ni k2 kikubwa mm na sem nyote muko sawa Allah awaongowe
@ibnaliytv7907
@ibnaliytv7907 3 года назад
Uliziskiliza vizuri au unaongea kwa ushaabik
@realmadrid3832
@realmadrid3832 3 года назад
Wote wako sawa
@sidadaid6891
@sidadaid6891 3 года назад
Toka zaamani mashekhe walikosea na walikosolewa ila heshima ilizingatiwa. So ungekosowa si kwa hadharani.
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Nna uhakika ume comment bila ya kusikiliza😆😆 vipi utafafanikiwa ndugu yangu🛌🛌
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 года назад
Baado unasema wakosolewa kisiri??? Maana hujasikiza muhadhara kamwe. Subhanalllah. Allah akuongoze
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 года назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. bila shaka. Hajasikiza muhadhara
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 года назад
Sheikh hii kucheka kwenye majibu kama haya ya kitàaluma ya dini inamaanisha nini?
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 года назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. Allah akuzidishie elimu yako na uzidi kutuelimisha. Sheikh Bachu endelea na kazi yako ambayo Allah amekupa kipaji kizuri MASHAAALLAH uko sawa kabisa. Allah akuhifadhi, Allahumma Amin ya Rabb
@jibrilmupenzi9730
@jibrilmupenzi9730 3 года назад
Asalamu alaikum Sheik sasa tunakuelewa
@abuuyusra3920
@abuuyusra3920 3 года назад
Barakallah feek akhy
@twahangenya4829
@twahangenya4829 3 года назад
kweli unatambua haqqi sheik bacho mrithi
@nassirmohamed8437
@nassirmohamed8437 3 года назад
Ma shekhe kama hawa hawana tofauti na wasanii maana anatafuta sifa ili aonekane maskini shekhe huyu🤣🤣🤣anajitahidi awe maarufu kama Ustadh izzuddin au shekh mbarak awes lakin Kwa mwendo huo utakuwa maarufu msikitini kwako tu.ila ukitaka uwe kama hao jitahid uwe na heshima jielekeze katika kufundisha sio kubishana.sawa kijana wetu🤣🤣🤣🤣
@abduliazizrished6036
@abduliazizrished6036 3 года назад
Duhhhh!!kwl kila mmoja na.ufaham wake huyo katoa dalili pia unaongea umaarufu tu huo umaarufu ndio chanzo cha kuingia peponi?
@sadikiabdallavuri1760
@sadikiabdallavuri1760 3 года назад
@@abduliazizrished6036 hamna asiekua na daili ,asione nyuki wametulia akaona hawangati,hawaoni sheikh lake bahero kenya na wa vetenar tz waliokua wanawika washangatwa na nyuki ,kimyaa kama maji ya mtungi,wewee mwenye elimu habweki,huyo ndio anaanza kazi ,waliobobea wapo,kila mjuzi kuna mjuzi zaidi,simda mrefu ataamsha waliolala naye atakimbia meza mwenyewe
@suleymanislam4015
@suleymanislam4015 3 года назад
Ndugu nassor Umaarufu haumpeleki mtu peponi hata fir'aun ni maarufu Hadi wa leo
@nassirmohamed8437
@nassirmohamed8437 3 года назад
Unaweza kuwa maarufu Kwa ajili ya Allah pepo huwezi kuikosa lakin unaweza kutafuta umaarufu Kwa gharama ya kuwavunjia heshima au kuwakosea adabu hapo Allah mwenyewe anajua akulipe nini
@leswa5153
@leswa5153 3 года назад
Wewe unatafuta kiki tu...umeona video ya kwanza hujajibiwa sahii umeamua kutoa nyingine. Tafuta kazi ya maana ufanye!
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Kweli kabisa. Anataka umaarufu
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Kwa hvyo kubainisha bidaa so kazi ya maana
@leswa5153
@leswa5153 3 года назад
@@شيخنيف kabsaa mwambie aje tumpe mishipi tukavue samaki
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
@@leswa5153 acha Ujahili ww tafuta Darasa usome dini yako usiwe katika wenye kufuata mkumbo
@leswa5153
@leswa5153 3 года назад
@@شيخنيف hata ww kasome bro😂
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 года назад
Shekhe shida sio kuwakosoa hadharani shida n kuwa umekosa adabu na lugha nzuri ktk kuwakosoa mashekhe (waislam wenzako) imagine nabii Ibrahim babaake alkuwa kafiri hasa, Mtume Muhammad (S.A.W.) babu yake na ami yke walkuwa makafiri hasa na hawakutumia lugha km zile ambazo ww ulizitumia kw Izudini..
@commander-zerogongah3030
@commander-zerogongah3030 3 года назад
Sheikh wachana na masheikh wa kenya
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 3 года назад
Ana chuki nao na wivu . Hawapati kabisa ilmu yao
@شيخنيف
@شيخنيف 3 года назад
Ukweli utasemwa hata mkinuna hatutaki uzushi katika dini
Далее
RADDI KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR || Muhammad Bachu
44:23
THEY'RE EATING THE DOGS DANCE REMIX!
00:10
Просмотров 164 тыс.
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 37 тыс.
THEY'RE EATING THE DOGS DANCE REMIX!
00:10
Просмотров 164 тыс.