Тёмный

MUME AMUUA MKEWE KWA RISASI, NDOA YAO YADUMU KWA MIEZI MITANO, MAMA WA MAREHEMU AONGEA KWA UCHUNGU 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 1,1 млн
50% 1

Опубликовано:

 

28 май 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,4 тыс.   
@beatriceben8611
@beatriceben8611 7 месяцев назад
Came here again after listening to Rapcha's 40 missed calls 😭😭😭 may their souls rest in peace🙏
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 года назад
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Pole sana mama
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 года назад
Sasa hapo kwenye raha tumwachie mwenye raha yake yeey ndyo anajua kwamba anafaa kupata raha au hafai, swala ni sisi je? Tumejifunza kipi kuhusu hili tukioo? Ndy kitu cha kuangalia wewe mambo ya raha achana nayoooo
@hkk2450
@hkk2450 2 года назад
Sema Inna lilah waina ilahi rajioon muislam uyo
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 года назад
Acheni kushoboka shoboka ovyo kila mtu anaandika anavyojiskia acheni kunipangia chefuuuu 😏😏😏
@ammydaniel8947
@ammydaniel8947 2 года назад
Raha tena ?? Na apumzike kwa amani?
@asiacruiz5165
@asiacruiz5165 2 года назад
Poleni Sana Wana familia yote ya Bi tiba Mohammed,kwa msiba huu mzito, ALLAH awape subra kubwa kwa kuondokewa na mpendwa wenu😭😭😭😭
@alibalushi4691
@alibalushi4691 2 года назад
Rambirambi ziwafikie wafiwa mungu amlaze mahali pema marehemu Salha.asanteni milliard ayo tv.kwa umahiri kwa kutuletea habari za kijamii.
@ummySheikh72
@ummySheikh72 2 года назад
Pole saana mwanamke mwenzangu! Poleeh Dada! Sina zaidi ya hilo Mungu akupe Subra, mmmmmmh😭😭
@blandinamatagi6723
@blandinamatagi6723 2 года назад
Pole sana sana
@kebibasherry3117
@kebibasherry3117 2 года назад
Pole Sana mamangu ❤️ mungu akufanyie wepesi kwa mdada wako mpaka apumzike salama àmiin yaraab 🙏
@rasheedmbaraka7556
@rasheedmbaraka7556 2 года назад
mama you're very strong mama..Allah akupe nguvu..ila hapo ndoa ilikuwa na changamoto nyingi..kuchukua roho ya mtu sio sawa ila hapa palikuwa na tatizo kubwa lilipaswa kutatuliwa mapema
@georgemlyuka604
@georgemlyuka604 2 года назад
Pole sana
@binti_jannet
@binti_jannet 2 года назад
If you feel someone's son/daughter isn't giving you peace, just release them in peace and NOT in pieces. May she rest in peace 💔
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 года назад
True
@jeanmusamba8906
@jeanmusamba8906 2 года назад
HHHAHAHAHHAHA excelent,in russian we say attlichna,in swahili barabara
@busagibelias2005
@busagibelias2005 2 года назад
Kabisaa Angemuacha tu salama sisi tungemuoa
@dailystories4513
@dailystories4513 2 года назад
Imesemwa kirahisi kuliko vitendo 😂, Kwan si asingemuoa kama alimjua yuko hivyo
@erickwilliamakungu4092
@erickwilliamakungu4092 2 года назад
Nim release bila kionjo
@heriethkusigwa3996
@heriethkusigwa3996 2 года назад
Huyu Mama anaujasiri sana...Mungu ni Mkuu sana .hakuna kitu kinauma kama Mzazi kumzika mtoto wake😥😥😭😭😭😭😭Nyie INAUMA Sana...Mola Akufute mchanga wa Usoni Mpenz..Ulale salama🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@elizabethpeter8456
@elizabethpeter8456 2 года назад
Siku yako ikifika hauna ujanja tumuombe mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema 🙏 wadada turidhike na kina bakari kichwa wetu🥴 matajiri siku zote maamuzi magumu kwao kitu Cha kawaida Sana. Riziki za kulazimisha matokeo yake ni mabaya.
@harrisonzoza6709
@harrisonzoza6709 2 года назад
Ushasema kweli
@stellamsangi4281
@stellamsangi4281 2 года назад
Roho mbaya haina tajiri wala maskini wanaokatwa mikono huko vijijini waume zao nao ni matajiri? Tena maskini ndio wana hasira nyingi za umaskini stress zimewajaa sana. Hawa walikuwa na matatizo mengi ambayo hakuna anaweza kuyajua.
@elizabethpeter8456
@elizabethpeter8456 2 года назад
@@stellamsangi4281 🤗🤗 nafikiri utakuwa ujanielewa nilicho maanisha hapo haijasemwa roho mbaya Ila ni ujasiri. Sasa kwenye ujasiri na roho mbaya ni Mambo mawili tofauti!! Kama ujawahi kupitia changamoto za hao wanao itwa matajiri. Nilicho kiandika uwezi kukielewa. kabisaaa
@stellamsangi4281
@stellamsangi4281 2 года назад
@@elizabethpeter8456 nazijua zote za matajiri na maskini pia. Hiki kitu ni kipana sana its about been poor or rich dear hapo ndipo tunapokosea na hii inasababisha shida kutoisha. Haya ni makuzi, depression, anger management, watu wanatembea lakini wana misongo ya mawazo ya kila aina na hawajui nani wakuongea nae so wanapoguswa kidogo tu hasira inapanda mpaka kupita kiwango. Kwa kitaalam huyo mwanaume tunamuweka kwenye kundi la watu waliokuwa na msongo mwitu na hawakupata tiba kwa wakati sahihi na huenda ni sababu hata yeye hakuwa anajijua kuwa ni mgonjwa. Hiki kitu ni kipana sana na chanzo huanzia toka utotoni ndio maana tunashauri wazazi kuwa makini sana na jinsi wanavyowalea watoto wao pia kuwa na muda wa kuongea na watoto kujua changamoto wanazopitia mashuleni, kwa marafiki zao na mengineyo. Hicho alichoganya huyo kaka ni matokeo ya vitu vingi vilivyokuwa vimejaa ndani yake. Tatizo ni kwamba watu wanaangalia tatizo ki wepesi sana kuliko lilivyo.
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 года назад
Poleni sana wafiwa kwakuondokewa na mpendwa wetu ALLAH amuhifadhi ampe qauli thabiti .
@mwanakomboernest5941
@mwanakomboernest5941 2 года назад
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali panapo sitahiki Amina
@fravoredstunner5
@fravoredstunner5 2 года назад
Jamaa kakimbilia kuoa kabla ya kuovercome his insecurities. Sad. RIP 🙏🏽.
@vicentmayanda3935
@vicentmayanda3935 2 года назад
Umeongea point sanaa yan ameoa bila kuakikisha security ya mapenz yake
@monamackey569
@monamackey569 2 года назад
Very correct yani alikuwa very insecure na iyo ni mbaya sana
@colletampechi9030
@colletampechi9030 2 года назад
Exactly
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 2 года назад
@@vicentmayanda3935 hahaha babu kasome kamusi
@vicentmayanda3935
@vicentmayanda3935 2 года назад
@@mathewdyzymaleyafrica9128 kwann mzee hana security hamwamini hata anayempenda maana ndoa changa mzee
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 2 года назад
Inna Lilah Wainnailah Rajuun Mungu akampe kauli thabit na akamsamehe makosa yake. Amina
@faylequlatein
@faylequlatein 2 года назад
subhanallah! inasikitisha kuona habari kama hii…mungu aiongoze umma yetu na awape waliomo kwenye ndoa subira na maelewano
@HASSANNGITU
@HASSANNGITU Месяц назад
Daa poleni sana family yote Mungu awatie nguvu amen.
@skyneNews
@skyneNews 2 года назад
Mwisho Kabisa Kila Nafsi Itaonja Mauti Na Kifo Hakikosi Sababu . Tujiandae Tulio Baki, R.I.P swalha
@abelsabibi8836
@abelsabibi8836 2 года назад
Sababu za ovyo ovyo tu,tatizo hatupendi Mungu asimamie mambo yetu duniani hata haya ya ndoa.Hakuna legitimacy ya kumuua binadam mwenzako kwa sbb yoyote.
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 года назад
Mama Mungu akutie nguvu.Hilo tu ndo naweza kusema kwa sasa. Pole sana.
@rahmarama5669
@rahmarama5669 2 года назад
Pole mama yangu pole sana,pole na Baba kwa kupoteza kipnz chako,Mungu wa Mbinguni Awape Subra tu
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 2 года назад
Inna lillahi wainna ilaihim raajiun,mama jasiri sana,Allah akupe subra hivyohivyo mamaangu,mm japo mwanaume lkn nna roho ndogo,siwezi kuvumilia kwakweli.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 года назад
Kutokujiamini ndio sababu watoto wetu wa kiume na baadhi ya watoto wetu wakike wanaua wenza wao, hakuna kingine huyu kaka atakuwa alikuwa anagubu sasa kumuua ndio suluhu.
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Kbsaa wanaume n vishoiya Sana .jmn Kwan kuua mtu 🤔 ndo suluhu ya tatzoo.? Mkichomwa Moto 🔥 mnasem wanawake wanaroho mbya
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 года назад
Mnasahau mna majibu ya hovyo...? Na mkiwa wazuri ndo kujiona na kunyoosha mdomo kunazidi......
@sulekun7245
@sulekun7245 2 года назад
Ww ulimuona kachepuka au unakurupuka tu!
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@sulekun7245 ANGEKUWA DADAKE ASINGESEMA HIVYO.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@erickmichaelmugele2107 KWA HIYO UNAONA SAWA KUULIWA???
@abdulbasittv9849
@abdulbasittv9849 2 года назад
Poleni sana wafiwa nyote, Mungu awape subra , Amina Ali Hamad Mkurugenzi mafunzo na vyuo Vikuu CUF-Chama Cha Wananchi
@niubilityibrose4776
@niubilityibrose4776 2 года назад
Pole Kwa wafiwa. Hata mke akukosee vipi kuua hapana, tutafute njia salama kusuluhisha migogoro yetu. Mwisho, tuweni waaminifu kwenye ndoa, upendo utawale na kuheshimiana, pia kujaliana, tamaa za dunia tuziepuka ili tusije ingia kwenye matatizo.
@josephfelicianlugakingira832
@josephfelicianlugakingira832 2 года назад
Pole Sana Mama , mungu Ampumzishe Roho yake kwa Amani Amina
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 года назад
Sikuiz hakuna ndoa kuna maonyesho ya mavazi na show yanayosimamiwa na kina mcgara b kubwa
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 2 года назад
😂😂😂😂
@fadhilajamal217
@fadhilajamal217 2 года назад
@@aggreyenock1221 sio kitu cha kucheka ila nimecheka 😀😂😂😂😂💔
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Na MC Gara B humo humo amechanganywa
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
@@cheiknamouna2058 kabisaa
@jackyluns8224
@jackyluns8224 2 года назад
Umenena 100%
@alphaxhosa8248
@alphaxhosa8248 2 года назад
Warangi Watu wa Imani sana just imagine Mama Mzazi anaweza kuhadithia tukio zima Namna hio
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 года назад
Pole sana mama Allah akupe subir kwa wakat huumgum😭😭🤝🤝
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
Mtume Muhammadصلله عليه وسلم Amewahusia sana wazazi wa watoto wa kike kwamba.`` Wakiridhishwa na Tabia na Dini ya mwanaume basi wamuozeshe'' Sasa wazazi wetu leo wanatizama sana wanaume wenye pesa na hili ni tatizo kubwa sanaa
@mwagotimwanamvua5883
@mwagotimwanamvua5883 2 года назад
Kweli kabsa
@gerrymroki509
@gerrymroki509 2 года назад
Sasa maalim point yako ni ipi hapa.?
@binhussain3445
@binhussain3445 2 года назад
@@gerrymroki509 Point yangu ni kwamba Wazazi wa Mwanamke hawakutizama kigezo cha dini,, Laiti wangetizama kigezo cha Dini ungesikia Swalher kapewa Talaka moja au 3... YAANI Namaanisha nwanaume mwenye Dini aisngempiga risasi bali angemwacha kwa wema kama wameshindwana
@konderaelias7325
@konderaelias7325 2 года назад
Jaman polen sana ndugu wa marehem mungu ailaze loho yake mahali pema pepon
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 года назад
Innalilah wainnaillah rajiuun mwenyez Mungu ampe kauli thabiti yarabiy polen sana Allah awape subra njemaa familia kwa ujmla
@jasminshemsanga8727
@jasminshemsanga8727 2 года назад
Daaah !Mungu azid kumpa hekima Mume wangu ht mm pia atupe mioyo ya kumuofia yeye. Polen kwa familia daah Dunia hii inaelekea ukingon kwakwel
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 года назад
Allah tunamuomva Allah ampokee dada yetu. Amsamehe. A'miin.
@zaytunimkwata6949
@zaytunimkwata6949 2 года назад
Amiin yarabilghalamin
@marrymaige2481
@marrymaige2481 2 года назад
Huyu nature ya kazi yake asingeolewa kwanza,wanaume waelewa ni kama hawapo tena duniani..RIP. Kuolewa sio lazima jamani, your happiness comes first.
@blackcolour8183
@blackcolour8183 2 года назад
Wanaume waelewa wapo ila tu huyo kaka hakutaka kumuelewa mwenzake ila hatuwezi jua huenda kunalingine zaidi ya hili tunalioambiwa
@jumannerajabu1356
@jumannerajabu1356 2 года назад
kwani wivu mpaka uoe ata bira kuoa Kama nakupenda arafu unareta mambo ya mazanga razim nikutangurize2 japokua njia moja hakuna mwanaume anaependa kuzarauliwa
@Qaswararafashion5041
@Qaswararafashion5041 2 года назад
Wapo kibao tu wew ndo hujawaona wengi tu
@sulekun7245
@sulekun7245 2 года назад
Hajakosea kukubali kuolewa, Kama mume ameona kazi yake ni kikwazo kwake c angemzuia tu abaki nyumbani. Au laa Angemrejesha kwao
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 года назад
Tupo Marry maisha ni kutafuta yaani mke anatafuta amechoka anauliwa kisa kula wakati wadogo wapo wa kufika ukatili
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 года назад
Ukimwambia mtu acha hasira, basi yafaa uache kwanza mambo yanayomsababishia hasira! Ndoa zimekuwa changamoto hasa pale wanandoa wenyewe wanapoingia kwenye ndoa kabla hawajaumaliza ujana, mke mheshimu mumeo, mume mpende mkeo, kuwe na hofu ya Mungu kwa wanandoa, kama mmeshindwana basi gawaneni ustaarabu kila mtu ashike njia yake, japo Ni ngumu maana shetani kapiga kambi na anachochea vita, Mungu ampokee dada wa watu.
@juniorsamuelsamuel1224
@juniorsamuelsamuel1224 2 года назад
Umeandika vizuri sana Mr James,dada hakuwa na heshima kwa mumewe hata kidogo, huwezi kumwambia mumeo eti acha nilale weweeeee lazima mfike pabaya,lkn mwanaume mwenzetu amefanya kitu kibaya sana,hakufakari kuhusu watakao hangaika kwa kukosa wazazi duniani.S
@goodmorning9142
@goodmorning9142 2 года назад
@@juniorsamuelsamuel1224 ndo amuue eishhh
@reganshao
@reganshao 2 года назад
Barikiwa sana ndugu yangu nimefurah kwa ulichoandika ..
@bakariomari8758
@bakariomari8758 2 года назад
Mama hakuwa a namshauri binti yake nini maana ya mume.
@samxx411
@samxx411 2 года назад
Ata Dada awe na tabia mbaya huwezi muua si uachane nae basi, sasa ataoa wangapi mana aso hili ana lile, mwanamme uwe mstahamilivu kama huwezi bora usioe ndo mnaua hivyo
@rosemarymwakitwange6257
@rosemarymwakitwange6257 2 года назад
Pole sana mama wa marehemu, nafikiri kuna shida katika jamii zetu na malezi kwa ujumla. Mabinti wanatak financial freedom, vijana wanataka wake wenye kujitambua. Poleni sana
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 года назад
Wewe mama ise umesema kitu kikubwa sanaaaa 🤝🤝🤝🤝
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
@@jay-nyeye1900 ndio huyu mama ana akili sanaa nampenda japo simjui
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 года назад
mama umeongea kitu kizurii nakupenda sanaa mungu akulinde
@ladyt1471
@ladyt1471 2 года назад
Ndoa za siku hizi jamani miezi mitano tu mume keshauwa mke wake Mungu atusaidie
@limitoboe
@limitoboe 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-N80zk6dLF0s.html
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Shetani yuko Kazini
@user-cm8yz3sb6t
@user-cm8yz3sb6t 2 года назад
Mtu anawekeza kwako anatumia resources kibao. Afu unamletea mauza uza lazima mfike huko tuu
@ladyt1471
@ladyt1471 2 года назад
Kweli kabisa shetani yuko kazini nachoona tu kama ikishindikana nafuu kuachana kuliko kuuwa
@leahmawazo4586
@leahmawazo4586 2 года назад
Analaanat uyo kaka duu
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 года назад
Kwa maelezo ya mama tunapata fundisho kuwa wivu Ni sumu inayoweza kukumaliza wewe mwenyewe! Lakini pia tunapata fundisho kuwa mapenzi Ni kuaminiana, kusikilizana, kuoneana huruma na kujaliana! Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi Amina!
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 2 года назад
Sahihi kabisa Wivu ni sumu ya kukumaliza mwenyewe pia.
@swabrinnahally8747
@swabrinnahally8747 2 года назад
Wengine sisi tutaogopa ndoa...Allah amlaze pema peponi inshaAllah🤲🏻🤲🏻🤲🏻
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 года назад
@@swabrinnahally8747 hapana usiogope kwa maana kila mtu Ana riziki yake!
@OpportunityTvchambuaonline
@OpportunityTvchambuaonline 2 года назад
Sijafurahia alichokifanya huyu jamaa ila sasa ndoa nyingi zina changamoto, Wanawake kwa wanaume wana take their marriage for granted, pia maisha yamekosa uhalisia, wanawake walio kwenye ndoa wanajirahisisha wanapenda ulaini na miserereko wanaume pia wanapenda kila mrembo anayepita mbele na kuona huo ni umwamba ...ndoa zimekuwa one sided sana kuna anayeumia siku zote. Wanawake mlioolewa jitulizeni maana hali sio nzuri na inauma sana unapojua kuna mtu anakumegea kisela. Pia mwanamke kama hakuna sababu ya msingi kaa nyumbani. Ila kikubwa kwenye ndoa ni uaminifu tu.
@sashahauke2032
@sashahauke2032 2 года назад
Ungeongea 👍kabisa mambo ni mengi sana na watu wanaigiza sana hakuna ualisia kabisa na wadada tuna mambo mengi sana san
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
@@sashahauke2032 kwa hiyo wanawake ndio wenye makosa etiiii
@vicentvenent447
@vicentvenent447 2 года назад
Shikamoo bro...umenena nilioyameza
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
@@sashahauke2032 wanaume ndio wana mambo mengi,,fungua macho ww au utaonewa kila siku
@antonipius1365
@antonipius1365 2 года назад
kazi + ndoa + changamoto za maisha
@mwamvitajeki9212
@mwamvitajeki9212 2 года назад
Allah akupe kaul thabeet Swalha,aameen.. Dah! Inauma sana wallah! Mwenyew unahangaika kujitafutia rizki,halafu mtu anakukatisha maisha hivi hivi yani. 😭
@mariamsaid7076
@mariamsaid7076 2 года назад
pole sana mama mtoto anauma vibaya yaani nimejikuta nalia tuuuuu nikiwaza,mungu akupe nguvu yarab😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Baba-JJ
@Baba-JJ 2 года назад
Unaua halafu unaishi kama digidigi si ujinga huo! Kabla hujaua ulikuwa unaishi kwa wasiwasi wa wivu, sasa umeua unaishi kwa wasiwasi wa kwenda kunyongwa, sasa umetatua nini?
@johnswai9986
@johnswai9986 2 года назад
🤣🤣🤣
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Wewe bado mtoto omba YASIKUKUTE
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 2 года назад
@@mathewdeus9978 huyo mwanaume alikua chiziii kabisaaa kichwani kwake hakuko sawa kabisaaa ni kichaaa
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 года назад
Hahahahaha
@Baba-JJ
@Baba-JJ 2 года назад
@@mathewdeus9978 mbona unaongea kama vile simu ulininunulia wewe? Nina miaka 50, mke na watoto, hiyo ndo unaita bado ni mtoto? Jifunze kumheshimu mwenzako hata kama wazo lake hukubaliani nalo.
@sumeiyamaddy95
@sumeiyamaddy95 2 года назад
Allah awape subra wafiwa na kauli thabiti kwa marehemu na mwisho mwema kwetu
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 2 года назад
Innalillahi Wainna Ilayhii Rajiuun Allah awape Subra Wafiwa
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Ndoa ni nzur mnapokua ukumbin na mnapokua katka maandalz ya ndoa! Ila mkishaingia ndani ya nyumba ndo mtajuamjui 😢😢😢😢
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 года назад
Jn lako zuri
@magrethxamir9816
@magrethxamir9816 2 года назад
Hata mimi nimelipenda
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 года назад
@@magrethxamir9816 😋jmn
@frankmasamaki9640
@frankmasamaki9640 2 года назад
Acha kudanganya watu
@zainulahmed8206
@zainulahmed8206 2 года назад
Pole sana mama etu mungu akupe subra juu ya mtihani huu
@severinmillingasp2145
@severinmillingasp2145 2 года назад
Duuuh! Inaumiza sana pole sana mama kwa kuondolewa uhai, binadamu wenzangu ususani wanaume au wanawake tumuogope mungu jamani tuwe na hali ya imani ya kiroho ktk kujali uhai wa kila kiumbe, tusihukumu tusija tukahukumiwa maana siku zaja
@askofkibwe6106
@askofkibwe6106 2 года назад
Nd mana nawakubali sn wa Afghanistan kwakuwazuwia wanawake kufanya kz nje na kwake !!!!wanawake wameumbwa km ubavu! Wamepinda pinda!! Mda mwingi wanawake wanatakiwa kuusiwa mema!! Mwanaume lzm uwe na wivu kwa mkeo tena sn ! Ni wivu ni sunna na hatoingia peponi mwanaume ambae hana wivu! Nd mana mtume muhammad s a w amesema tuoe wanawake wenye dini! Kwasababu ukiwa na wivu alf ukamuoa mwanamke hana dini bs tambueni kuna hatari kubwa itakuja kutokezea !!
@jennyjayne5745
@jennyjayne5745 2 года назад
Pole sana mama,ndio maana mimi husema if marriage doesn’t work quit.long distance needs trust iko na challenges mingi sana maana huyu amekufa juu ya insecurities issues.ooh God
@MALENGWE
@MALENGWE 2 года назад
Uyu mama nae inaweza akawa sababu ya yote ndio maana ukienda kuoa mahali chunguza mama mkwe kwanza yukoje
@sizadarati1064
@sizadarati1064 2 года назад
Pole sana mama allah akupe nguvu na subra ktk kipindi kigum mnachopitia
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Mwenyezimungu awasamehe wote marhemu na sisi pia atupe mwisho mwema. AMIIIN
@magerebudodi8471
@magerebudodi8471 2 года назад
Mwanamke akimueshimu mme, mme automatically atampenda. Wanawake wa siku hizi wanakosa heshima umetoka kazini kwako umefikia kwenu na unajua umeolewa kwanini usienda kwako. Nabado mwanaume anakupigia sim hupokei unamtia hasira mtu. Lakini sisi wanaume nao tuwe na huruma hata kama mwenzako kakuuzi mkanye kwa hekima akili na kwa upole jitahidi kumjua mwenzako ni wa aina gani. Tuishi na wake zetu kwa akili ....
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 2 года назад
Umeongea Vyema Mkuu ila Hapo kiukweli mdada amejisababishia Kwa kumtia Hasira Jamaa ww huwez toka Kwenye mishe zako ukafikia Kwenu wakat umeolewa halaf mbaya zaidi hupokei sm unadhid kumuudhi tu, na kwa uzuri huo akajua kabisa Huko uliko kuwa umetoka Kumegwa upo hoi na bado unaendelea Kumegwa
@fatmatwalib8179
@fatmatwalib8179 2 года назад
Nyie wawili akili zenu ni sawa na uyo jamaa the fact is wanaume muache unyanyasaji hamtuoi ili tuwe watumwa kwenu kwaiyo mtu huna haki ya kuwasalimia wazee wako
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 года назад
Unyama sana 🔥🔥
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 года назад
@@fatmatwalib8179 Kusalmia haukatazwi lakini iwe kiutaritibu sio kwa unavyojisikia weewe kumbuka umeolewa ili ukamtumikie mmeo na ukiolewa wewe hauna amri tena juu ya mwili wako yaan mwanaum ndiyo anakua mmliki wa mwili wako uelewe hilo au haujui maana ya Mwili mmoja??
@jasminshemsanga8727
@jasminshemsanga8727 2 года назад
Fact
@johnmkama5063
@johnmkama5063 2 года назад
Pole Sana Mama kwa kuondokewa na mwanao
@michaelnjobo9242
@michaelnjobo9242 Год назад
Pole sana mama tumwombee alale salama mwanao ya Dunia ndo yalivyo to
@JumaRashidi-qu6nv
@JumaRashidi-qu6nv 2 года назад
Poleni Sana Sana inalilah wainailahragiun 😭😭😭,Ila kwanamna alivyosema mama was marehemu inaonekana hawo hawakua na amani ya mahusiano,ni Bora inapofikia hapo watu waachane tuuuuu
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 2 года назад
POLE SANA MAMA UCHUNGU WA MWANA AJUAYE MZAZI JAMANI,, HALAFU SALHA NI MRANGI NIMEUMIA ALLAH AKUREHEM HABIBTY. SALHA
@ney4121
@ney4121 2 года назад
Kila mtu ana tabia zake acheni kusema warangi nyie wenyewe ni wachafu haswa wa tabia
@williambayo1481
@williambayo1481 2 года назад
Waja wanakera kila tabia mbovu wanatupià lawama warang na wambulu wakat saiv kila kabila n malaya tu
@progressivemetallicmineral4601
@progressivemetallicmineral4601 2 года назад
" KUMBUKENI KWA JINSI HUYO MAMA ANAVYOONGEA NAONA KAMA NI MRANGI " NA KAMA WARANGI WANAVYOJULIKANA JAMANI.
@fulgencejackson5340
@fulgencejackson5340 2 года назад
Haswaaaa
@jacquelineadrian6436
@jacquelineadrian6436 2 года назад
Nimejikuta nacheka jaman 🤣🤣 looh
@hamidamnyika5866
@hamidamnyika5866 2 года назад
hujakosea kabisa
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 года назад
🤣🤣🤣
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Mrangi kabisa
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад
Mpende mwenzio ila kuwa na akili sana na uvimilivu , wivu ni mbaya Sana .., poleni sana familia zote ,
@fainesshaji1221
@fainesshaji1221 2 года назад
Dah Pole San mama ..Mungu kakupa ujasir San 🙏🏼na aendlee kukupa huo huo ujasiri 😭
@sheillalukuba4526
@sheillalukuba4526 2 года назад
Huyu mwanaume alitoa mahari shilling ngapi mpaka kauwa binti wa watu. Ukimshindwa mrudishe kwao. Huyu baba ni wivu
@princessmoses4081
@princessmoses4081 2 года назад
Ule msemo wa haki sawa kwa wote madhala yake ndo haya wanawake wengine wanatumia vibaya ndoa ina miaka mitano kaa nyumban tulia kwa mumeo uone changamoto za ndoa ziko vipi na kama una kazi fanya ila kuwa na heshima kwa mumeo kuna wakati tunaweza laumu wanaume ila ukweli wanawake wengine huwa wanataka kuwa wababe kwa waumezao sio vizuri polen sana wanafamily wote
@divine6145
@divine6145 2 года назад
Ndo maamuzi ya kuua yatumike... Wenyewe wakizingua wanauwawa ?
@ariphkimani3790
@ariphkimani3790 2 года назад
Miezi
@princessmoses4081
@princessmoses4081 2 года назад
@@divine6145 hasira sidhani kama mume alizamilia kama ukiyasikiliza mahojiano ya mama na hatuwezi jua walipishana nini huko ndani
@princessmoses4081
@princessmoses4081 2 года назад
@@ariphkimani3790 miezi mi5
@jumannerajabu1356
@jumannerajabu1356 2 года назад
watu wanaongea2 rakini ki2 ambayo hukijui usiseme sana mana wanawake nao wasiku is niwashenzi sana hasa kwenye mahusiano mtu anakusalit arafu ww unajua kabx kwamba hili jambo lipo kweri unamuuriza mtu anakujibu kunya hata mm sitaweza Moyo uwo sina mm
@mathewdeus9978
@mathewdeus9978 2 года назад
Wanao jua maumivu ya mapenzi naombeni like zenu. Mshikaji kama namwona ambavyo hakupata usingizi mke wake hapokei simu dah inauma hasikwambie mtu bia tamu
@naturelle1097
@naturelle1097 2 года назад
Duu inauma sanaa.polee mama Mungu awapeni nguvu..nakosa hata cha kusema.watu wamekua zaidi ya wanyama pori.
@patrickkatanawachengo4317
@patrickkatanawachengo4317 2 года назад
Mungu ailaze roho yake pema peponi but wivu ndio umemfanya jamaa akaua😭😭😭
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Kabisaaa
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 2 года назад
si wivu nikiburi cha wanawake
@irenewilbard9746
@irenewilbard9746 2 года назад
Mwanaume mkorofi tuu uyo, alitaka muuwa mwanzoni. Anavuta bangi mkrofi na mbaba tuu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@georgeigogo9259 ANGEULIWA DADAKO UNGESEMA HIVYO????
@suziedaffa3500
@suziedaffa3500 2 года назад
@@georgeigogo9259 ulikuwepo kwenye ugomvi
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 2 года назад
Huu ni ugonjwa akili. Kama mtu humpendi, unamuoa wa nini? Na kama mna migogoro, kwanini umuue mwenzio? Huu ni upuuzi
@mamananga2849
@mamananga2849 2 года назад
Yani ingekua anae uwa nayeye anauliwa hii tabia ingekoma
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@mamananga2849 KWELI KABISA
@joharishabani2893
@joharishabani2893 2 года назад
Huyu alikua ana mpenda mkewe ila mwanamke alikua hampend. Mwanaume alipenda pesa tu
@bahatinassor9980
@bahatinassor9980 2 года назад
Tena upuuzi uliopitiza
@Munyama675
@Munyama675 2 года назад
Tatizo ni huyo mwanamke
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 2 года назад
Mimi situmi lawama kwa jama Mimi nililipa mali yote zikiwa zimebaki Siku 114 kufunga ndoa mwanamke akatoa mimba akisingizia wazazi wake kwamba wamemwambia atoe nilipo funga ndoa ndani ya Siku 30 niligundua anawanaume 6 ndani yake yupo Ndugu yangu sasa ukiwa na roho ya kipepo unatwanga lisasi 7000
@RajatSharma-uq7pz
@RajatSharma-uq7pz 2 года назад
Innalillah wainna illahi rajiuun, Mwenye Ezi Mungu ampe kaul thabit
@miriamcheya3136
@miriamcheya3136 2 года назад
Mwanamke ni mzuri sana kama wanaume hawawezi kuvumilia mapungufu ya wanawake wazuri oeni wa kawaida muishi mpk kofi
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 года назад
👍💯
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 года назад
Exactly
@Tee-King
@Tee-King 2 года назад
Na kama uwez kutulia usiolewe kwa nn ukubar kuolewa nan mwenye kosa sasa apo muolewaj au muoaji.
@kelvinaudax8287
@kelvinaudax8287 2 года назад
So kwa sababu mzuri ndio usitulie??
@haniikim4876
@haniikim4876 2 года назад
@@kelvinaudax8287 comment ya kijinga hii kuna wanawake wazur huyo mbaya na wanatulia kwenye ndoa zao.
@abdulmubason7542
@abdulmubason7542 2 года назад
Huenda kweli mke alikuwa na jeuri ,na mume anaonekana mwenye hasira na wivu mkali mno ,lakini kutoa roho ya mtu sio sawa ,huwezi kumuua mkeo kwa wivu ,kama imethibit umechoka kuvumilia ni bora umpe talaka inatosha
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 2 года назад
Jamani kweli miezi4 na mda wote hawakai wote hasira gani hizo jamani😭😭😭
@magnomint-254
@magnomint-254 2 года назад
Jamani kabisaaa Kaa umechoka na mtoto wa mtu mrudishe kwao
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 года назад
Hata uwe na wivu gani lakini huwezi kumuua mkewako
@solomonnkohozi607
@solomonnkohozi607 2 года назад
Umeongea point
@jacobolucas5935
@jacobolucas5935 2 года назад
Wanawake wanatia hasira mm nilikuwa na mtu tuliahidiana kuoana na ilikuwa ukimaliza 4m 6 tuoane kamaliza na kunichenjia nakuhudumia kote mbaya zaidi mm nikimpigia sm anasema Yuko busy kumbe ako na mtu kwingine sema tu Sina bastola
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 2 года назад
Hii inaonyesha Hawa wanandoa walikuwa na mzozano wa mda lkn pia mume alikuwa na wivu na hakumuamin mkewe.hii ni tatizo kubwa jaman polen wafiwa Mungu awape faraja
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 года назад
Apumzike kwa amani! Ila kuwa na silaha ndani ya nyumba ni shida! Huyo mwanaume anaroho mbaya humuwezi mkeo muache!
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 года назад
Kwa namna alivyosema bi mkubwa inaonesha kwamba mwanaume alikua na wivu mkali sana kwa mkewe, na mkewe alikua bado hajawa tayari kwa ndoa. Inaonekana wazi hakua mkweli hata kwa mama yake. Pia hata kama alikua hajachepuka upo nje ya nyumba kwa nini unapigiwa na mumeo simu hupokei? Unamjaza maswali mengi na hisia mbaya kichwani, hilo linatemgeneza hasira mwanaume. Kingine huenda majibu hayakua mazuri waliokutana face to face, ila maamuzi ya mwanaume ni wazi kwa sasa anayajutia sana. Wanawake wana changamoto sana, ila huona wapo sahihi. Mungu atujalie akili kuishi na wanawake hasa wale wasiokua tayari kuolewa wakaolewa
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 года назад
Ndugu hata siku moja usitetee ukatili kwa kuuwekea sababu eti kwa nini hakupokea simu, acha kabisa kuweka sababu, huyu Mwanaume ni katili na mnyanyasaji na ni mgonjwa wa akili
@nouratykatimba1357
@nouratykatimba1357 2 года назад
ameen inshallah natamani nipate mume mem na mwenye mapenzi
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 2 года назад
Point mabint wengi hawaheshimu ndoa
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 2 года назад
Kweli kbs..
@mtotowayesu2733
@mtotowayesu2733 2 года назад
Alikuwa malaya huyu mwanamke
@salimmariga149
@salimmariga149 2 года назад
Innalillahi wainnaillayhi rajioun...Allah amrehemu....wivu ukizd na kukosa uaminifu Kwa mwenza wako ni hatar sana
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 года назад
Pole sana mama mungu atakupa subra yaarab
@jeanmusamba8906
@jeanmusamba8906 2 года назад
tatizo kubwa wa tz wengi sana tuna maisha ya kuigiza,wengi wapo kwenye ndoa huku wana tamaa ya kuwa na wapenzi wengine,unaweza kuta dada mzuri kweli kaolewa ila hawezi acha wapenzi wengine,na hata kumjibu mumewe vibaya akiomuona hana thamani maana anajua pa kwenda ukimuacha.Na wanaume michepuko kibao,na ku over love,mtu mmoja amewahi sema ndoa ni a couple of best forgivers.watu hawawezi samehe na kuachilia,maisha ya duniani sio matamu kama wengi tunavyojidanganya.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 2 года назад
Awww ndoa zina sili nyingi mno usijaji watu mpak huwe uko mwanamke ambaye anampenda Mume wke atakama anakitu atavumilia ukimwona anatoka ujue kuna tatizo kubwa arafu atujui ukweli wapo wanaume wanawivu kam ugonjwa atakama unamtu wamezaliwa ivyo yan mwanaume anayepiga mkimbie siku ni kifo
@jeanmusamba8906
@jeanmusamba8906 2 года назад
@@allthingdranabeauty noo! let us be practical tusiiishi kwa kufuata hisia na mihemko,wote walikuwa na makosa,hao nimeisoma na kufuatilia kwa karibu,me taaluma yangu ni ya kumsoma binadamu,movie zinawadanganya sana,mnadhani maisha ya ndoa ni that too superficial?why ur husband calls you hupokei?mara 35?why should you shoot ur wife?mbona hukufanya hivyo last year unafanya leo?THINK AND NOT SINK
@trumptz6821
@trumptz6821 2 года назад
Fact sana kaka
@aishaathuman3592
@aishaathuman3592 2 года назад
@@jeanmusamba8906 ww acha uongo
@aminaibrahim4148
@aminaibrahim4148 2 года назад
Innalilah Wainna lilah rajioun poleni sana familya 😭😭
@grassryobaryoba3381
@grassryobaryoba3381 2 года назад
Inatisha sana wanawake tuwaogope wanume MUNGU Amlaze mahali pema peponi AMEN
@ashrafhashimu7261
@ashrafhashimu7261 2 года назад
Innalillah wainnaailayh raajiuun , Poleni sana Siku yake ilikua imefika, hakuna ambae angeweza kuzuia 🙏
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 года назад
Usikivu,Heshima,Kuiga,Magroup,Umaarufu kunawafelisha sana wanawake..... Nature yetu wanaume mwanamke wewe ni uwe msikivu.
@modeemojombo5662
@modeemojombo5662 2 года назад
Acha kukariri maisha, kwa hiyo watu wasifanye kazi? Mnaweza kutoa mahitaji ya wake zenu? Huyo Mwanaume hajiamini, ana gubu
@yasnaghump5763
@yasnaghump5763 2 года назад
tatzo unaweza kuwa msikivu sehem ambyo haikunufahishi kwa maish ya baadae kwasabab unanilish isiwe sababu ya kuninyima uhuru wangu
@kingmtetezi6670
@kingmtetezi6670 2 года назад
@@yasnaghump5763 ukiisi hujawa tayali kuolewa ishi maisha yako pekeako maana si lazima kuolewa
@angelmushi8044
@angelmushi8044 2 года назад
@@kingmtetezi6670 kuolewa si utumwa acheni kukariri maisha yamebadilika
@jessykadaraja2691
@jessykadaraja2691 2 года назад
@@yasnaghump5763 omba talaka ukafanye Mambo yako..mbona simple.
@khadijaymohammed4002
@khadijaymohammed4002 2 года назад
ndoa zasaiv mtihan sanaaa,ni kuomba mungu sanaa awasimamie na ndoa ukiona imedumu ujue mmoja alijifanya mjinga polen wafiwa
@salimtsuma3391
@salimtsuma3391 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-HisVj5RQuTQ.html #zuhurashaaban #kimasomaso👌
@grassryobaryoba3381
@grassryobaryoba3381 2 года назад
Inatisha sana wanawake tuwaogope wanume MUNGU Amlaze mahalo pema peponi AMEN
@kuryaboytv3426
@kuryaboytv3426 2 года назад
Mwanamke akiwa anatafta ndoa huwa anakuwa mpole mno na hapo ndo wanaume wengi huwa tunaingia kingi.
@nth3512
@nth3512 2 года назад
Kuna haja ya serikali kuweka mafunzo ya ndoa kwa kila channel ya TV kwa lazima japo siku moja kwa wiki. Sio mnaweka kampeni za choo kizuri mnasahau jambo hili. Vianamke vya siku hizi hasa vinavyotumia mitandao sana havina adabu kabisa, vinawaza kudanga ndo alternative. Alafu kuna nyimbo nazo zizuiliwe hasa singeli sababu zinapotosha jamii. Mfano nyimbo kuachana shilingi ngapi. Yani shetwan ametulia plan kona mbalimbali
@daudlukumay2741
@daudlukumay2741 2 года назад
Asante umeongea kitu..
@chikuomary7207
@chikuomary7207 2 года назад
Acheni kuoa wanawake warembo by pastor mgogo mana wivu sio mzur
@marybenny9719
@marybenny9719 2 года назад
Apumzike kwa amani Swalha,na Mwenyezi Mungu awape faraja na nguvu wafiwa😭😭.......
@mudynkofia4063
@mudynkofia4063 2 года назад
Ukishajua una Moyo mdogo usimruhusu mkeo afanye kazi mfanye tu awe mama wa nyumbani
@omarykusah9719
@omarykusah9719 2 года назад
Wadada wamekapu wanaume Kama hamuezi Bora mtulie 2 kwasabubu Kaz zao muwe wavumilivu
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 года назад
M/mungu ilaze rohoyamarehem mahali pema peponi..poleni sana familia
@whitestartz5024
@whitestartz5024 2 года назад
Polen sana ndugu jamaa na marafiki,,shida ni kwamba wanaume wengi wanashindwa kutambuah kuwa kumfuatilia sana mwanamke ni kuanza kujenga chuki,,,muamin mpende akikosea muelekeze sio kujichukulia maamuzi mkononi
@daathuma7843
@daathuma7843 2 года назад
Mama ungemkalisha chini mwanao ukamwambia haiwezekani anapuuza cmu za mumewe hapokei na wewe humkanyi hata unge mfukuza aende kwa mumewe hasira ni mbaya unaweza kuua bila kukusudia. Mtu katoka kazini ana stress akija nyumbani mke hayuko na akipiga cmu haipokewi anazidi kuwa na stress.
@gabrielmshiu6719
@gabrielmshiu6719 23 дня назад
Mwanàmke Yuko kwenye ndoa, uondoke nyumbani, usafiri kwenda mkoa mwingine, ukafanye kazi Hadi usiku wa manane, utoke huko, badala ya kwenda nyumbani kwa mmeo, unaenda Kwa mama yako kwanzà, ulale, alafu asubui ndio uende Kwa mmeo! Inaingia akilini kweli?
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Sasa kuuwa ndo solution ?? Wote hawakuwa naibada ya Mungu,Mitihani mtupu yaraby
@gracemrema9815
@gracemrema9815 2 года назад
Jmn msiwe wepesi wa kununua au kumiliki silaha za moto. Iwe kwa namna yoyote ile, nikimaanisha nia nzuri au mbaya kwa sababu ukishakua na silaha shetani (roho ya mauaji) haitaacha kukuandama akili ya kuua itakua inakuandama kila siku japo unaweza usielewe lkn ndivyo inavyokua. Wanaomiliki wanaweza kunielewa kwa urahisi, hata paka unaemfuga mwenyewe siku akidokoa samaki akili inayokuja fasta ni hivi huyu paka hajui naweza mshoot moja tu chali, like jokes lakin ndicho kinachokua kwenye akil zao
@jumannerajabu1356
@jumannerajabu1356 2 года назад
mbona wengne wanachomana visu marungu nahata bira siraha unaweza kupigwa2 mpaka ukafa kikubwa nikueshimiana2 kira mtu kwenye nafasi yake
@nelsonjonathan5296
@nelsonjonathan5296 2 года назад
𝙉𝙤𝙩 𝙩𝙧𝙪𝙚
@marechojohn4289
@marechojohn4289 2 года назад
sio kweli
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 2 года назад
Unaponunua silaha ya moto ujue umenunua na roho ya kuua, na uchizi wa akili nao lazima, huyo mshenzi anyongwe Hadi kufa
@gracemrema9815
@gracemrema9815 2 года назад
Kikubwa kumshika sana Mungu usibishe maroho yapoo
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 2 года назад
Poleni wafiwa Jamaa kafanya maamuz ya ovyo Anyway,kuna aina fulani ya wanawake hutakiwi kuoa kabisa
@magdalenasimon4511
@magdalenasimon4511 2 года назад
Pole sana Mama kuondokewa na mwanao mungu akupe faraja
@Stunners4Life
@Stunners4Life 2 года назад
Mapenzi ya siku hizi siyo Kama ya zamani. Siku hikuhizi mahusiano yamebadilika sana digital inaharibu vijana na mahusiano ya watu wengi unadhani Kama siyo mitandao sangapi angepigwa risasi hizo
@gabrielnyangasi240
@gabrielnyangasi240 2 года назад
Kitu kingine nilicho jifunza ktk tukio hili ni kuepuka kuishi na mwanamke jilani na mazingira ya kwao.ukichunguza kwa makini utagundua huyu dada alikua akai au kushinda nyumbani kwake muda mwingi .
@smarttv3272
@smarttv3272 2 года назад
Kbsa yaan mzururaji acha amekiona alichokuwa anakitafuta
@comulusnimbuss931
@comulusnimbuss931 2 года назад
Angelimuacha tu..katika sababu zote ,a kumuua mwenzio ni hio..wanawake wapo tele...hakuna cha kumruhusu unyama kama huo..
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Juzi mama alienda kwao Leo baba kawaida watoto hawa ndo wanawaharbia watoto ndoa zao
@halimasuddy9294
@halimasuddy9294 2 года назад
Inalillah wainnalillah rajiun Mwenyezi Mungu mpokee swalha amiin tujalie mwisho mwema polen sana wanafamilia
@himidijenga535
@himidijenga535 2 года назад
Hongera milard kwa picha Safi.
@netlity5532
@netlity5532 2 года назад
Hapa nachokiona ni dharau au kutokujali maswala mazima ya ndoa. Au yawezekana kauli zilizotumika kwenye majibizano ni kali. R.I.P Lakini huyu mama mtu nae hata chozi hamna ... Mkavu kama marehem sio mwanae duh 😱
@zoey2635
@zoey2635 2 года назад
Don't judge Kesha Lia sanaaaa
@mankarichard5851
@mankarichard5851 2 года назад
Kuna mtu atoi chozi anaumia ndan na aneza lia kwa sauti tu uwez amin uwaga wanaumia sanaah kuzid watu wanaolia machozi yakatoka.
@jenniphergiovane2688
@jenniphergiovane2688 2 года назад
Yaan hata hizo nguvu za kujieleza kaitoa wp
@smarttv3272
@smarttv3272 2 года назад
@@jenniphergiovane2688 c anajua mwanae labda alikuwa anamakosa
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
Donald Trump, le survivant
24:11
Просмотров 430 тыс.
Brexit : le regret après le vote | Regards | ARTE
32:10
Top U.S. & World Headlines - July 17, 2024
13:39
Просмотров 126 тыс.
In full: MPs debate King's Speech in Parliament
3:48:40