Тёмный

MAMA ALIA MTOTO WAKE KUUAWA NA MWALIMU WA 'FIELD' MOSHI KWA FIMBO "WAMEFUMUA KICHWA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 115 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 512   
@dennishyera5448
@dennishyera5448 4 месяца назад
Walimu wa field, wasiruhusiwe kuazibu wanafunzi. Pole ni wazazi. Inauma sana .
@basharanasser1541
@basharanasser1541 4 месяца назад
Q
@SangioNgoo
@SangioNgoo 4 месяца назад
Huyu mama anaonekana alikuwa hayuko karibu na mtoto wake ndiyo maana alikuwa anaogopa kumwambia ukweli. Hili ni tatizo kubwa la watanzania wengi. Wazazi wanakuwa wakali kwa watoto kiasi cha watoto kuogopa kusema wanapopata matatizo. Pili ni mama mzembe sana. Muda wote mtoto anatoa damu puani na mdomoni lakini hachukui hatua za dhararu. Serikali inabidi ikataze matumizi ya viboko shuleni. Hivi mtoto wa miaka 7 anapigwa kwa sababu gani? Kweli ujinga ni mama wa maovu yote. Mtoto amefariki kwa uzembe wa hali ya juu. Uzembe wa kuanzia kwa mama mtu, mwalimu, madaktari na serikali.
@annamussa185
@annamussa185 4 месяца назад
Kabisa,me pia ni muhanga yani mama ni mkali hata kama unashida unabaki kimya tu yani wazazi punguzeni ukali imefika sehemu hata hamu na mama sina Yani Daaah!
@WinnieIkwisa-ts6bz
@WinnieIkwisa-ts6bz 4 месяца назад
@@annamussa185 pole saaana
@florenciajacob5463
@florenciajacob5463 4 месяца назад
Kabisa mzembee kabisa 😢😢😢
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 4 месяца назад
Msilaumu upumbavu kisenge
@user-dn8rm7er1z
@user-dn8rm7er1z 4 месяца назад
@@user-br4tl7jv9j wanadam wanakosa huruma jaman... mwenzao kafiwa na mtoto mnamhukumu kwa kiwango hivyo kweli??
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw 4 месяца назад
Viatu vya huyu mama havinitoshiiii😢😢😢
@umiy1971
@umiy1971 4 месяца назад
Mwalimu amefanya uhasidi wake ila hana uwezo wa kuumba wala kuondoa uhai wa Mtu , sio kila lengo la mwanaadamu Mungu analiitikia , tungekuwa sote tumeshakufa .
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 4 месяца назад
Pole Sana mama na apumzike kwa aman mwanangu 😭🙏
@kimarobeatus
@kimarobeatus 4 месяца назад
Kwakweli
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g 4 месяца назад
Bora tuwahukumu wenyewe fasta! Huko mbele hakuna msaada!! Pole sana mzazi!
@user-eb4nq5du2q
@user-eb4nq5du2q 4 месяца назад
Yan hiii kitu ilishamtokea mdogo wangu ila tulimbana sana aise mpaka kusema ukwel ilichukua muda sana naisi na walimu uwa wanawatishiagaa pia sheria imchukuliee hatua uyo mwalimu😢😢
@carolynendossi1594
@carolynendossi1594 4 месяца назад
Kwanza waalimu wapimwe afya ya akili kabla ya kuajiriwa. Unamkuta mtu yupo na uchungu umekaa huko ndani yake miaka na miaka ana stress mia kidogo. Mtoto anafanya kosa dogo tu anapigwa kwa kiwango ambacho siyo sahihi. Bwana Yesu awe mfariji mkuu kwa huyu mama🙌🏻🙌🏻
@vascombembela3632
@vascombembela3632 4 месяца назад
Poleni sana mtoto alicheleweshwa sana kufika hospitali! Ila walezi na walimu ni vizuri kuwa makini na watoto kwani wengine Wana changamoto kubwa za kiafya hivyo ukimgusa vibaya tu unasababisha matatizo.Inaumiza sana Mungu awe faraja kwa familia hii. Lakini funzo ni kwamba tuwe tunachukua hatua mapema kwa viashiria kama hivyo ambavyo ni hatari.
@user-fl3yl4or3e
@user-fl3yl4or3e 4 месяца назад
Pole sana lakini mbona hukujiuliza baada yakuona mtoto anatoka damu mdomoni puani kwanini hujachukua hatua mapema dah walimu wengine
@user-cd8ge8mx7p
@user-cd8ge8mx7p 4 месяца назад
Duuu pole sanaaaaa....pamoja uzembe wa Mama, nimelia sanaaa huyo mwalimu duuuu bac Mungu ndio atakujibu tuuuu
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n 4 месяца назад
Mama Huna woga.damu zinatoka bila ya kumpeleka hospital. Wazazi wezangu tuwe na hofu.
@user-zm2zm7wy1t
@user-zm2zm7wy1t 4 месяца назад
Kama wew ni mzaz huwez kusema hivy cyo kwamba kila kitu utafany kama inavyostahil cyo kama hana woga kutoka damu kwenye viz ni hali ya kawaid ambayo mtu huwez kufkir kwa harakaharak kuw ni tatizo kubwa.
@shosemanjira9015
@shosemanjira9015 3 месяца назад
Inauma machoz yamenitoka, hizo damui kwann wamuongezee nyingi ivyoo
@StevenMremy
@StevenMremy 4 месяца назад
Mama mwenyewe nimzembe kwa maelezo yako ulikua umjali uyo mtoto siku tatu mtoto anatokwa damu usimpeleke hospitali kama vile ukumzaa 😢😢😢😢dah😢😢 RIP
@sueddelft9069
@sueddelft9069 4 месяца назад
Ni Kwli mama ni mpuuzi siku 3 unamuangalia tyuu
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 4 месяца назад
Eti mtoto siku 3 damu zinamtoka yeye ana mwangalia tu. Mama nae kachangia kifo Cha mtoto wake Angempeleka mtoto hospital halafu mambo mengine yafuate
@fatumamakoye5711
@fatumamakoye5711 4 месяца назад
​@@rehemaomary3493msiongee tu kiurahis nyie hv vitu vinaumiza amjui watu wanaishije mtu utakuta hana ata mia hospital zenyew ckuiz km huna ela unaonekan km mbwa tu
@user-cb3vw5fp8y
@user-cb3vw5fp8y 4 месяца назад
Na siku ya tatu ndo anaona mtoto majeraha siku zote hizo alikua hamuogeshi mtoto??
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 4 месяца назад
Fala San ilo Mama
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 месяца назад
Daa mtoto Kapotea bila hatia 😭😭💔💔
@jenipheraron3566
@jenipheraron3566 4 месяца назад
Mama pia mzembe dah ila hawa waalimu sheria zichukuliwe
@user-df9vn1tc5o
@user-df9vn1tc5o 4 месяца назад
Mama ana uzembe gani
@user-dx2zl1vo5s
@user-dx2zl1vo5s 4 месяца назад
Kwel hakua karbu na mtoto
@bennamush4616
@bennamush4616 4 месяца назад
Siku tatu mtoto hayupo sawa anamwangalia tuu bila kumpeleka hospital
@rodjeje5479
@rodjeje5479 4 месяца назад
​@@bennamush4616hapana alimpeleka hospital usiku saaana
@user-dn8rm7er1z
@user-dn8rm7er1z 4 месяца назад
Pole sana Janet jaman... Mungu akutie nguvu kipenzi, kumbe nilipokuona kcmc ndio ulikua na jambo kubwa hivyo
@happinesslema7264
@happinesslema7264 4 месяца назад
La msingi ni kumtanguliza Mungu ktka kila jambo shetani ana mbinu nyingi sana !!!!! Shetani huwa anatafuta chanzo tu aweze kutimiza lengo lake !!!!Mungu ndiye ajuaye yaliyosirini!!!!!
@hellenjulius7790
@hellenjulius7790 4 месяца назад
Hakika ni kumtanguliza mungu maana shetani yupo kazini
@omarymtegwa2299
@omarymtegwa2299 4 месяца назад
Eeeehe angekuwa mwanangu....huyo mwalimu serikali ingepata majibu ningemuuwa kwa mikono yangu
@user-df9vn1tc5o
@user-df9vn1tc5o 4 месяца назад
Weeeeeee
@bonita329
@bonita329 4 месяца назад
Inauma sana 💔ila huyu dada ni mzembe sana kwakweli 😢huyu angepeleka hospital siku hiyohiyo ... Mtoto katoka damu mdomoni na puani na sio kawaida yake bado tu ushutuki jamani😫😩na hii sheria ya kupiga watoto ipigwe marufuku Tanzania kote... Ni kheli kumpa mtoto adhabu lakini sio kumchapa mtoto wa watu ujui anamatatizo gani🤦🏽‍♀️
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 месяца назад
Yani we Mwalimu unakuja shule na stress zako za vikoba na mikopo,unakuja kunipigia mtoto wangu kama hivi mpk unamjua,Wallahi hata polisi hufiki tutamalizana!
@ailenyanthony1550
@ailenyanthony1550 4 месяца назад
Alikuwa na tatizo la kiafya, fimbo tumepigwa sana tena zaidi ya 50, poleni ndg jamaa na marafiki roho ya marehemu ipumzike kwa amani
@sophyodago5062
@sophyodago5062 4 месяца назад
Acha ujinga wewe,, fimbo uuua watoto kichapo kikizidi au akipigwa pabaya
@Kabwela776
@Kabwela776 4 месяца назад
Kuma ya mama yako mbwa wewe wakapige fimbo mama zao ingekuwa Mimi ningemuua huyo mwalimu ningelipa watu wamchinje shetani huyo
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 4 месяца назад
Acha ujinga kuna sehemu hazitakiwi kupigwa.walimu wetu kuna maeneo walioyokuwa hawagusi kabisaa.
@victorhabonimana9055
@victorhabonimana9055 4 месяца назад
​@@Kabwela776mbona na ww unafaa kupigwa unatukanaje ivo
@Kabwela776
@Kabwela776 4 месяца назад
@@victorhabonimana9055 unaongea hivyo sababu sio mtoto wako ndio kuuwawa siku akiuwawa mtoto wako au ndugu yako ndio utaelewa uchungu wake, huyo mwalimu Ningekuwa Karibu ningeshawishi watu kumvamia na kumpiga Hadi kumuuwa au ndugu ni kumvizia na kumkupiga risasi ya kichwa mbwa huyo
@neemareuben311
@neemareuben311 4 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢aiseeeee hii kitu skia kwa mtu km hiviii Pole sn mama😢😢
@paulpastory1193
@paulpastory1193 4 месяца назад
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake Libarikiwe Ameen
@user-ej9sn1qq1p
@user-ej9sn1qq1p 4 месяца назад
Pole sana mama .wazazi tuendelee kujifunza tatizo linapotokea kufatilia kw karibu .
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 месяца назад
Sasa muda wote kwanini asimpeleke hospital jamani huyu mama….!!😢😢Yaan mimi nikimuona wangu anamafua tu mbiooo hospital mtoto ana bleed toka katoka shule kweli jaman….sijaribu kulaumu Ila nasikitishwa tu Poleni sana familia kwa kumpoteza mtoto…Mungu akutie nguvu mpenzi wangu 😢
@Yusudav
@Yusudav 4 месяца назад
Nilitaka kusema ivoivo..Asante kwa kuniwakilisha..Yaan huyu mama hakujiongeza kabisa
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 4 месяца назад
Do maana Ni Mambo ya rohoni huyu mama alifungwa kote asijue la kufanya mzigo wa mwenzio Ni Kanda la Sufi pole dear wangu lisikie kwa mwenzio
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 4 месяца назад
@@beatricehenry6776 alifungwa na nani…?unataka kusema ni nguvu za giza….?
@stellashame7545
@stellashame7545 4 месяца назад
Yani 😥
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 4 месяца назад
Jmni mtot mdog wamekatil ndoto zake jamni wazazi na walezi tujitaid sana kutokupuuzia jambo tafadhar
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 4 месяца назад
leukemia damu inaisha haikai wanapewa hiyo damu iliyochuja ili isaidie kwenye huo upungufu wa damu na kuongeza plateletes kansa ya damu ina hivyo vyote anavyoelezewa na wataalam,kama alichapwa ni adhabu wengine walipitia ila bahati mbaya alikuwa na hiyo changamoto ya kansa ya damu kwa vyovyote huyo mtoto alikuwa anapata homa za hapa na pale ni vile mama mzembe
@christinefuraha1513
@christinefuraha1513 4 месяца назад
Sio rahisi kupokea kama mzazi Hakika mtoto huyu alikuwa anachangamoto ambayo mama hakutambua mapema... saratani ya damu huweza mchukua mtu ghafla... Mwalimu alisimama katika nafasi ya kutoa adhabu ya fimbo kwa nia ya kujenga. Imekuwa tuu bahati mbaya kuambatana nyakati za hali ya ugonjwa... fimbo hizo angeweza kuwa amemchapa mzazi... Tuheshimu na kuwa na imani na wataaluma tulio nao... yapo mengi kujifunza tusitie chachu pasipo kuwa na uhalisia. Wanahabari mpate nafasi pia kuzungumza na wataaluma husika kwa ajili ya kuelimisha jamii na sio kujenga uchochezi usio na tija.
@shosemanjira9015
@shosemanjira9015 3 месяца назад
Ile fimbo iligusa mships wa uti wa mgongo
@AishaMohamed-wh9bs
@AishaMohamed-wh9bs 3 месяца назад
Jamani walimuuuu me mwanangu amepigwa Kofi na mwalimu jichoni kidogo jicho litoke
@sabamdekago
@sabamdekago 4 месяца назад
Mwalimu mkuu na mwalimu komo pamoja na DR wote walio simamia vipomo vya huyo mtoto wachunguzwe wawekwe chini ya ulinzi. Pls Waziri Wa Afya naomba ulifuatilie hili jambo hapo kuna janja janja zimetumika huyo mwalimu wa field ajulikane
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 3 месяца назад
kwa serkal gani hiyo hadi wazir wa afya afatilie??😂😂😂😂
@luciacosmas-nq8lv
@luciacosmas-nq8lv 4 месяца назад
Wazazi musiwe na ukali na watoto wekeni urafiki na watoto ili vitu vibaya vinavyo wapata waseme aisee nimeumia Rest in paradise Jonathan😢
@user-op8tz6vj3g
@user-op8tz6vj3g 4 месяца назад
Pole sana mm jaman uyo mwalim achukuliwe atuwa za kisheria.
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 4 месяца назад
Dah pamoja na uzembe wa mama ila hawa walimu hawa haki ya Mungu aniepushe tu ila nitakufa na mtu nitaenda jela kwa niaba ya uyo mwalimu 😢😢😢
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 4 месяца назад
Kcmc wanasema mtoto alipimwa alikuwa na leukemia na hizo damu hadi fizi puani hizo uvimbe ni dalili za leukemia mume wangu alizipata zote hizo, huyu mama ni mzembe alikuwa hafuatilii mtoto wake
@berthajacob3433
@berthajacob3433 3 месяца назад
si uzembe bwana yaan n kutojua na isitoshe mtu akiugua at kichw imezoeleka anapew Pcm maisha yanasonga that's why akamwambia aweke maji kinywan na kutema..... kwenda hospital mpaka awee amezdiwa wabongo bwanaa weee ni atar!! but inategemea na uchumi piaa elimu.🤒🤒
@Kabwela776
@Kabwela776 4 месяца назад
Mngemsaka huyo mwalimu na kumshushia kichapo Hadi kumuuwa au mama tafuta mtu mwenye bastola amvizie na ampigie risasi ya kichwa Na kumuuwa!
@hawaabdi6209
@hawaabdi6209 4 месяца назад
Mama ana uzembe ila madaktar ndio wazembe zaid hyo ilikua n emergency kwa maelezo ya huyo mtoto tumbo kujaa mojakwamoja tumbon kulikua na shida kwahyo mtoto alitakiwa angizwe kwenye upasuaji yan hao madaktar nao wamechangia kifo cha mtoto pumbavu sana mxuuuu
@carolynemokono8782
@carolynemokono8782 4 месяца назад
Pole sana mum.Mungu akushikilie na neema yake
@FlorenceMuthon
@FlorenceMuthon 3 месяца назад
Pole mama,wazazi tusiwe wakali sana qw watoto dio watuabie ukwel na walimu wasilete tress qw watoto wetu
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 месяца назад
Hicho ni kifo cha mashaka madaktari walete udhibitisho. Kwa nini mtoto achapwe shule na atishwe kiasi cha kushindwa kumwambia mzazi?
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 месяца назад
Inalillahi wainailahi rajuun. ..pole mama Allah.akupe subra
@user-vn6so3on7z
@user-vn6so3on7z 4 месяца назад
😮😊😊jamani mtoto mdogo kwakweli dunia imekwisha
@MellanieKay
@MellanieKay 4 месяца назад
Poleni sana
@andrewjuma2485
@andrewjuma2485 4 месяца назад
Inauma sana
@hildakimaro-we6mb
@hildakimaro-we6mb 4 месяца назад
Pamoja na hali ngumu ya maisha mama mzembe unaiyona damu unatulia kweliii😢😢😢poleni jamani
@user-nb6cd7rx6v
@user-nb6cd7rx6v 4 месяца назад
Pole Sana mama😊
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 4 месяца назад
Mungu ailaze Roho yake mahali pema
@achenikigava
@achenikigava 3 месяца назад
Ila duniani kina mapito jamani. Jambo likiwa kwa mtu mwingine ni rahisi sana kusema ningekuwa mimi ningefanya hivi, kumbe lingekukuta huenda usingejua cha kufanya kwa haraka japo inaonekana mama alikuwa mzito kuchukua hatua za kwenda hospital saa nyingine kipato na madaktari nao siku hizi hawatibu mgonjwa bila hujalipa kiasi kilichotajwa yaani ni Mungu tu amebqki wa kutusaidia.
@steramwanakira7183
@steramwanakira7183 4 месяца назад
Pole sanaaa
@honestandakidemi2332
@honestandakidemi2332 4 месяца назад
Mungu akupe NGUVU mama,da nmelia sana
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 4 месяца назад
Walimu Walimu Walimu jmn munashida gani walimu wasikuizi si mlisomea wenyewe hiyo fani lakini
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 4 месяца назад
Mtasumbuka sana huyo mtto kuna nguvu za jiza ila mwalimu ikikuwa chazo tu huyo katolewa kafara km sio baba yke mzazi alioko iringa au babu mana sasa ni hatari maisha ya sasa watu hawana uruma 😊
@clintonmsafi26
@clintonmsafi26 4 месяца назад
Na wewe kama huna cha kuandika ukae kimya saw sas baba ake amuue ili iweje labla mwezetu ndo umemuua mtoto wetu umemtoa kafala et baba ake au babu yake hzo ndo akili zako ulizonazo
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 4 месяца назад
​@@clintonmsafi26kwakwel uyu aliesema katolewa kafara ameongea utopolo ambao Ata hauusiani na hichi inamaan Yuko Dunia ipi uyu ajui walimu wa field wanavouwa wanafunzi kila sku
@emmanuelmashauri
@emmanuelmashauri 4 месяца назад
Kuanzia hao madoctor mpaka mwalimu mpumbavu huyo wakamatweee.. Inauma sana aisee 😢😢 huo ni uzembe kwa madactari hawako vzr wanatuua tu jmn daah😭😭😭
@hamidkololeki5009
@hamidkololeki5009 4 месяца назад
Usikurupuke madaktari wanafanya kaz kwa matakwa ya kitabibu na c kwa jnc unavyotaka ww
@levinaedrmf
@levinaedrmf 2 месяца назад
Pole sana mam ,ila jaman inatkiwa tukae karibu na watoto wetu
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 4 месяца назад
Daaah! Hivi hawa walim walio ajiriwa hawaon ukatil unaofanywa jamn
@user-xp6xw8fy8o
@user-xp6xw8fy8o 4 месяца назад
Yaaani Hawa walim wana bahati ninge zaa na yeye Adharani uni pigie mtoto wangu af uko hai mpka saivi wewe mwalimu oooh kama ungeishaji chimbia kaburi kwetu mbya nzuri aniii
@EdwardsaibuluMollel
@EdwardsaibuluMollel 4 месяца назад
Pole sana mm
@pendomushi6351
@pendomushi6351 4 месяца назад
Huyo mwalimu Mungu anamuona kakatisha maisha na ndoto za mtoto mdogo jamani inauma Sana sijui alimkosea Nini kikubwa hvyo kiasi Cha kumpiga mpaka kumpelekea umauti 😢😢😢😢😢
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 4 месяца назад
Pole sana
@AnnaSangamungunimwematunabarik
@AnnaSangamungunimwematunabarik 4 месяца назад
Hiv walimu mna shida gan
@teedullah5708
@teedullah5708 4 месяца назад
Pole Sana wamemuuwa jmn
@didimeandrewngowi
@didimeandrewngowi 4 месяца назад
Mwalimu wa field?? Ni mwalimu gani huyo?? Ni mzazi kweli anauwa mtoto wa watu kwa ushenzi wake, serikali vyombo vya haki za binadamu analieni uonevu huu, sisi wananchi tunataka kujua hatma ya huyu mwalimu asiyejua maana ya taaluma anayojifunza achukuliwe hatua stahiki. HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI TU.LAKINI SHERIA ICHUKUWE MKONDO WAKE.
@halimamusaamiri4187
@halimamusaamiri4187 4 месяца назад
We mzazi mkali sanaa ndiyo maana ata mtoto ameshindwa kukueleza mzazi inabidi mtoto umkague mtoto kila anapurudi nyumba laki pole
@RachelMethod-rt1qx
@RachelMethod-rt1qx 4 месяца назад
Pamoja na huyu mwalimu kupiga huyu mtoto, lakini pia kulikuwa na roho ya mauti unamuwinda huyu mtoto hyo imekuwa nisababu ya kifo chake, Mungu Awalinde watoto wetu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 месяца назад
Mama pole. Mungu atalipa hili tunamuomba
@paulntalima6998
@paulntalima6998 4 месяца назад
Haya ndio matokea ya serikali ya CCM na sera mbaya ya elimu watanzania tuamke
@rehemaomary3493
@rehemaomary3493 4 месяца назад
ACHA ujinga wewe Sasa Ccm Imeingiaje hapo. Ka senge na wewe.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 месяца назад
Baadhi ya walimu wa field wanakuaga na viherehere sana,tumewaona wengi. ni sheria ichukue mkondo wake ili kufundisha wengine
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 4 месяца назад
Nikwel sikuna yule mwingine mwaka juzi nazani alimuuwa mwanafunzi mwanza alikuwa ni mwalimu wa field wamezidi sasa jmn
@user-gs6dy8uc2r
@user-gs6dy8uc2r 4 месяца назад
Jamani Walimu wakumbuke wao ni walezi.kumchapa mwanafunzi kiasi kwa kumrekebish na cyoo kupiga km wanauwa heee.
@FelisterAyubu-pk2fl
@FelisterAyubu-pk2fl 4 месяца назад
Pole sana mama mtoto Mungu akutie nguvu
@umiy1971
@umiy1971 4 месяца назад
Unamchapa mtoto hadi anatumbuka damu kwa ndani ? Huyu hakuwa mwalimu alikuwa ni jambazi na Muuwaji
@MaryNikodem
@MaryNikodem 3 месяца назад
Pole sana dad's angu mungu hakutangurie
@onyaluoma848
@onyaluoma848 4 месяца назад
Pole Sana mama Jon ila usikubali kuzika mtoto hadi ukweli ujulikane, Yule mwalimu asshikwe mwanzo
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 4 месяца назад
Ila mama wewe mzembe damu zilimtoka hivo hata hospital usimpleke
@florenciajacob5463
@florenciajacob5463 4 месяца назад
Kabisa my dear😢😢
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 4 месяца назад
Uon maisha yake magumu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 4 месяца назад
Hospitalini ni hela tena utakuta hata bima ya Afya huna na ndani pesa hamna
@toptopress4909
@toptopress4909 4 месяца назад
Hatakama hospitalini ni hela, mpeleke tu.
@frankchuwa4962
@frankchuwa4962 4 месяца назад
Wewe hujui mazingira ya huyo mama,yeye hali yake ni duni sana elewa hata pesa ya kumpeleka hospital hakuwa nao. Tatizo ni huyo mwalimu kwa nn hajachukuliwa hatua na wanajaribu kumlinda huyo mtuhumiwa.Pia kwa nn Madoctor walimfanyia postmortem wakati ndugu wa huyo mtoto hawakuwepo? Kwa nn mnalichukulia kwa wepesi sana hili jambo au kwa vile ni mtoto wa maskini?
@GodJakobTash-mu9zf
@GodJakobTash-mu9zf 4 месяца назад
Dah kwa syle hii lazima nijeniue mtu akiamungu, pole mama.
@elizaminja4249
@elizaminja4249 4 месяца назад
aliumia sana mtoto jmn
@colethanyaku1077
@colethanyaku1077 4 месяца назад
Kwa kweli mama pole sana!
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 4 месяца назад
Yaniii wewe dada kwe kweli sijui
@mariakalama3014
@mariakalama3014 4 месяца назад
I feel bad about the story but praying to god almighty and protect you and give you strength 🙏
@esterdavid2686
@esterdavid2686 4 месяца назад
Inaumiza jaman 😢😢😢
@brunobalama6046
@brunobalama6046 4 месяца назад
jaman wazaz mjifunze kutokana na uzembe wa mzaz mwenzenu huyu ...hata kaama huna hela omba msaada kwa watu mungu atakusaidia kupitia ukarimu wa watu ..... nimejisikia vibaya sana mama umefanya uzembe mkubwa sana ....but all in all mungu amlaze mahala pema peponi huyu mtoto 🙏
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 месяца назад
Shinda nini jamani?. Kwanini tuue watoto wetu?. Uyo mwalimu anataka nini?. Pole sana mama.
@stevennenelwa3192
@stevennenelwa3192 4 месяца назад
Binafc sielew hapa kuna shida gn mtt alikua na shida gan shida ni fimbo za mwalim au kulikua na shida nygne kwa mtt
@veronicamasawe7893
@veronicamasawe7893 3 месяца назад
pole sana dada
@CarismaBaltazary
@CarismaBaltazary 4 месяца назад
Habari Sanaa,walimu kuweni makini
@user-zv9td4ni4n
@user-zv9td4ni4n 3 месяца назад
Jaman jmnn,kama mtu hana wito asivamie Kazi,huu ni ukatili Jmn😭😭😭😭😭
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 месяца назад
Pole sana mama
@joycekalago532
@joycekalago532 4 месяца назад
Angekua mwanangu pangetakata nawaambia ukweli kwa sababu ametumwa kufanya kaz na sio kuumiza mpaka kuua watoto wa watu,nina watoto we aalim kama klmtaona hii comment yangu nawaomba sana kwa wanangu mkome kabisaa
@saididodi3988
@saididodi3988 4 месяца назад
Pole sana mama mungu akutie nguvu
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 4 месяца назад
Maisha yanatufanya tunashindwa kuwa na. Makini na watoto wamama tijitahidi na Mungu atisaindie
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 3 месяца назад
fimbo ziwe marufuku shuleni. mbona wenzetu nchi zilizoendelea hawachapani. huu utumwa wa kuhalalisha kuchapana mpka lini jamani. sisi ni wanadamu sio ng'ombe. afrika kweli hatujitambui pumbaff
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 месяца назад
Walimu kila mwaka wanaua watoto x bukoba x Lindi moshi n x2 sasa, serkali, Iko wp,hilo bunge lina kaz gan Dodoma,
@robertmsukwa8466
@robertmsukwa8466 4 месяца назад
Binafisi mtoto wangu kupigwa na mwalimu kiasi cha kupoteza maisha hiyo nailipa kwa gharama yoyote na kwa njia yoyote ile siwezi lizika na upuuzi wa mwalimu mmoja asiyejua nini maana ya kuzaa lazima afe anajiona hiiiiiii😢 labda sio mimi
@toptopress4909
@toptopress4909 4 месяца назад
Mlimchelewesha sana kumpeleka hospitali, dah??
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 4 месяца назад
Poleni,,,pumzika salama mtoto mzuri,.Nashindwa kuelewa ni fimbo tu jmn?? Au kuna jambo jingine nyuma ya pazia? Na kwann huyo mtoto alimwaga babu jmn, kuna nn na huyo babu au ndo mtoto alikua kamzoea sana
@user-df9vn1tc5o
@user-df9vn1tc5o 4 месяца назад
Nguvu za Giza naiyoo!! Mwalimu ni kama daraja tuu
@user-fh3of4yc6s
@user-fh3of4yc6s 3 месяца назад
Pole Sana dada
@bernabetadeugabriel5808
@bernabetadeugabriel5808 4 месяца назад
Mungu amlaze peponi
@ElishaElia-jh1bx
@ElishaElia-jh1bx 4 месяца назад
Pole mama
@tumainimgonja2826
@tumainimgonja2826 4 месяца назад
Waziri wa afya Tuma timu ya uchunguzi madaktari wamechangia kifo cha huyu mtoto naomba Tafadhali wote walio mhudumia wawekwe kwenye uchunguzi tunaomba hii haukubaliki madaktari wamechangi hili
@toptopress4909
@toptopress4909 4 месяца назад
Mtoto ametokwa na damu siku zote izo anapelekwa dakika za mwisho, alafu unalaumu madaktari??
@user-ps8nl3fv3f
@user-ps8nl3fv3f 4 месяца назад
Pole sana mama yangu Mungu akupe nguvu rest in peace mdogo wangu duh inauma sana
@FggFff-sg2gm
@FggFff-sg2gm 4 дня назад
Pole sana 😭😭😭😭😭😭🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
Aisee mtoto wangu mwl ntakuchemsh supu ninywe. Pumzik pema mtot mzuri 😭😭
@HafsaShayo-iv5xh
@HafsaShayo-iv5xh 4 месяца назад
Omba Mungu yasikukute maana hata kugombana hutawez
@judithminja6386
@judithminja6386 4 месяца назад
IYO nguvu Sasa utakua nayo😊
@user-is4xo4pp8v
@user-is4xo4pp8v 4 месяца назад
Pole sana Mama jamani, hawa waalimu jamani. Nataman hadi mtu asome ualimu wachunguzwe. Na huyo mwalimu akamatwe
@pendomkumbo8262
@pendomkumbo8262 4 месяца назад
Mwanamke mwenzangu wewe ni mzembe kabisa na hauko karibu na wanao
@maureenmuhenje916
@maureenmuhenje916 4 месяца назад
ukweli kabisa hii mda yote no big noo
@pendomkumbo8262
@pendomkumbo8262 4 месяца назад
@@maureenmuhenje916 yaaan watoto wanakueleza hali ya mwenzao we unaendelea na shughuli zako ,Mara panadol Mara kuloweka kichwa kwenye maji wakati unajua iyo hali haijawahi mtokea mwanao? aiseeeeeeee ! Binafsi hunambii kitu kwa wanangu .....wao ni kipaumbele kuliko chochote kile haswa kwenye usalama Wa afya zao....hata siwezi lala fofofo bila kwenda kuwatizama mara mbili mbili vyumbani mwao,Sijui nawazaje aisee kwa huyu mwanamke mwenzangu.....ngoja nibaki nayo moyoni
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 4 месяца назад
We unajiongelesha tu....mtoto mwenyewe alikua anaogopa kusema kwa hiyo mama wala hana kosa ata kama ingekua siku 3..inaonekana alitishwa asiseme
@maureenmuhenje916
@maureenmuhenje916 4 месяца назад
@@andrewmallya1704 no hakuna kitu kama hiyo huyo mama n mzembe kwa kitu inaitwa damu hiyo n direct kwa daktari ama call ur neighbour akuangalie please kuna vitu zengine c zakunyamazia
Далее
The most dangerous prisons in the world
41:07
Просмотров 13 млн
БАССЕЙНЫ ПО ЦВЕТАМ ЧЕЛЛЕНДЖ !
38:20
БАССЕЙНЫ ПО ЦВЕТАМ ЧЕЛЛЕНДЖ !
38:20