Тёмный

MUONEKANO MPYA WA KARIAKOO ZANZIBAR 

AL FATAH TV ONLINE
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 6 лет назад
waalaykum salaam warahmatullah wabarakaatuh maa shaa Allah, mambo mazuri Allah awabarik wahudumiaji wa bembea hizo na awape nguvu na uwezo wa kuziendeleza na kuimarisha...pia ni vyema mlivyofanya na bei nafuu, coz wenye hali za chini ni wengi pia, alhamdulillah watoto watazidi kufurahia...furaha ya watoto ni neema ya wazee...tufurahini kwa furaha imridhishayo Allah, thanks
@mubarakakilango3708
@mubarakakilango3708 6 лет назад
mashallah
@Fetty-r4o
@Fetty-r4o 6 лет назад
Elfu moja kupanda pembea hata kumi kwa wakati mmoja! basi afadhali saana maa shaa Allah tabaarak Allah 🤲🏾 alhamdulillah
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 лет назад
Maa shaa Allah mtangazaji
@aishasamora907
@aishasamora907 5 лет назад
Mashallah
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Год назад
Mashaallah mashaallah
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 6 лет назад
Mashallah znz inaendelea lakini pba maskini iko nyuma daima na nyie mlio na nafasi nendeni mkajenge pemba
@twilindeissatwilinde3434
@twilindeissatwilinde3434 6 лет назад
Yani watu wenye asili ya Pemba niwengi sana na wanauwezo mkubwa sana lakini humpukuti mpemba anajenga kwao utasikiya ananyumba kumi dar na nyumba kumi unguja lakini Pemba mamaake analala kwenye kijumba cha udongo ndiyo maisha yaliyoko Pemba
@AA-no6kz
@AA-no6kz 6 лет назад
Ipo nyuma kimaendeleo ya dunia lkn ipo mbele kimaadili. Allah atulindie Pemba yetu, hao viongozi madhwaalim wabaki Unguja kuendeleza ukame. mana viongozi wana chuki zao binafsi ndo mana pemba hawaishughulikii, wala hawaruhusu wenye nia nzuri waiimarishe. Ila kila lituepukalo lina kheri na sisi.
@AA-no6kz
@AA-no6kz 6 лет назад
Swadakta, mana Unguja wameshaliua wkt znz ni yetu sote
@faizasaid8262
@faizasaid8262 6 лет назад
Fatma Said mbona iko vizuri tu ya pemba
@khadijahamed7616
@khadijahamed7616 6 лет назад
Ma shaa Allah Ma shaa Allah
@hafizabubakar2840
@hafizabubakar2840 5 лет назад
Mtangazaji una saut nzuri masha allah utafikir umeiseti!!!
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 6 лет назад
Nimekusudia Unguja kukosea binadamu nilazima hakuna mkamilifu ila Allah peke yake
@AA-no6kz
@AA-no6kz 6 лет назад
Sio kosa lako dada ni hawa viongozi wetu uchwara, mana hata ukienda bara Unguja haijulikani, Ni znz na pemba...duh
Далее
Cole Palmer Revenge vs Man City 🥶
00:20
Просмотров 1,1 млн
Makame nuhusi na Kisakasaka mpya
4:40
Просмотров 6 тыс.
Kariakoo - Zanzibar
7:25
Просмотров 1,8 тыс.
Al Rahma Hospital - Wodi ya wazazi
7:01
Просмотров 3,3 тыс.
SHEREHE ZA EID 2021 PEMBA ZA VUTIA DUNIA
11:51
Просмотров 49 тыс.
FUMBA TOWN ZANZIBAR | MJI MPYA WA KISASA |
5:28
Просмотров 57 тыс.
Kariakoo
5:53
Просмотров 1,6 тыс.