Тёмный

FUMBA TOWN ZANZIBAR | MJI MPYA WA KISASA | 

Spesho Kabwanga Online
Подписаться 104 тыс.
Просмотров 55 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 ноя 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@AnwarAli-vs9mp
@AnwarAli-vs9mp 2 года назад
Mashallah tabArakallah NYC places mm nataka lkni Niko Kenya mombasa munauzaje apartment nahitaji SANA mm kuishi znz na familia yngu itawezekana
@youngbob9761
@youngbob9761 2 года назад
Zanzibar beautiful Island of Africa
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 года назад
Sio kweli ,Zanzibar mjengeko wake sio mzuri, haikujengwa kwa mipango miji .
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 года назад
@@jumamohamed3168 Imeanza sasa! Na zile nyumba chafu na chakavu zibomolewe, waanze kujenga upya...
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 2 года назад
Mashaa الله. Kumetulia.
@zahiribrahim7418
@zahiribrahim7418 2 года назад
Alhamdulillah 😍🥰🤩🌺🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gracegrace6200
@gracegrace6200 2 года назад
Nyumba zenyewe ni mpya zimeanza kuona ukungu.
@MosesEmanuel-fs3lc
@MosesEmanuel-fs3lc 2 месяца назад
❤❤❤❤🇹🇿🙏☝️
@romanb4927
@romanb4927 2 месяца назад
Leben hier auch Menschen?
@solomonadams6337
@solomonadams6337 2 года назад
Mtu baada ya kusema malipo...Ana sema maripo😂🤣😂🤣😂🤣
@kassimomar7589
@kassimomar7589 2 года назад
Zanzibar
@arqamkhamis1383
@arqamkhamis1383 2 года назад
Uwekezaji si wakitoto
@michealnicholas1503
@michealnicholas1503 Год назад
this video was good i wish 1 of you was translating in English to help attract foreigners t come and buy
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 11 месяцев назад
Why Fumba town Play or kids fun play is closed within a year and half
@nadrajuma6958
@nadrajuma6958 2 года назад
Home land
@meekman1805
@meekman1805 Год назад
Sawa
@abdullaalwikabil3371
@abdullaalwikabil3371 Год назад
2 bedroom apartmen how much tanzania money
@achsahcharles6728
@achsahcharles6728 Год назад
Kasema mteja akinunua atapewa residence permit yake na mkewe meaning jamaa anasema hakuna mwanamke anaweza kuja kununua 😂😂😂
@wardajumaa1272
@wardajumaa1272 Год назад
Tunataka namba zasimu
@josephlwago5950
@josephlwago5950 Год назад
Aloo
@khumayraabdulla96
@khumayraabdulla96 2 года назад
Kitumbo chako haha
@SalumJuma-iz2gj
@SalumJuma-iz2gj 21 день назад
Mbona pemba hamjengi mnaijeng ungujatu mabaguzinyie
@jumamnemo8383
@jumamnemo8383 15 дней назад
Mwambie Bakhresa ndie mwenye mradi wake.
@kiri5807
@kiri5807 2 года назад
wewe jamaa unayehusika na mauzo kwanza umediscriminate uliposema mutamtengezea residential permits yake yeye, mke wake na mtoto. umeonesha kuwaacha nje wanawake yakuwa km hatuna uwezo wakununua nyumba huko . ilikuwa useme ya mke wake au ya mume wake . Mimi najipanga hapa nataka kununua na ni mwanamke Wallah tena niko serious . nataka nijue 4 bedrooms zinasimama bei gani , musitudharau wanawake nasi tunajituma wakati mwengine tunawapita kwa mishahara hata hao wanaume , musione kila mwanamke ni tegemezi tu hatuna chetu .
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Год назад
Wanafuga nyau humu😂
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 2 года назад
Rwanda. wanaitangaza sana nchi yao katika RU-vid sisi Watanzania tupo nyuma kuyitangaza nchi yetu na maeneo mazuri yapo amkeni sio jatika Bongofleva
@josephatmwalongo9961
@josephatmwalongo9961 Год назад
Kwani hapo wanafanyaje si matangazo hayo unataka Nini?
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 2 года назад
Huo mji si kwa wenyeji wa zanzibar ni kwa wakoloni wetu na foreign
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Kwa kila mwenye uwezo tu. Ni kama MASAKI AU OYSTERBAY AU MBEZI BEACH tu na dunia nzima ndivyo ilivyo kuna maeneo wanaishi wenye uwezo na kuna maeneo ni yetu sisi walalahoi.
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 2 года назад
No siyo unafikiria wewe nambie mtu mwenye kibatu cha kati anaweze kufikisha dola milioni mia 200 kwa mwaka
@baharanmasoud9825
@baharanmasoud9825 2 года назад
Watu watanganyika ndo Wana mahela
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 года назад
@@jambo3751 waambie hao wasiojielewa
@birianination7097
@birianination7097 2 года назад
@@rafaelmarquez9396 sio kwa tharau ila inaonekana wewe bongo bado hujaijua.
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Oman ndogo
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 года назад
Wewe Omani ndogo wapi .
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
@@jumamohamed3168 utakufa na roho mbaya ndugu kuna miradi mingi tu saiv Zanzibar so utaumia roho Sana
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 года назад
@@mudighurayra Mimi nipo hapa Zanzibar nani nyumbani nilipozaliwa ,maendeleo yaliopo Zanzibar ni madogo sana labda uwe na ushabiki tu ,kwa anayesikia hajafika Zanzibar anaweza kufikiria kuwa imejengwa kweli lakini uhalisia haupo hivyo.Zanzibar hata vituo vya gari hakuna ,barabarani ndio kituo cha gari vichekesho kweli kweli.
@mudighurayra
@mudighurayra 2 года назад
@@jumamohamed3168 unajua kujengwa na mandhari vitu viwili tofaut, coz sehem inaweza isijengwe ila ikawa na mandhari nzur, Ila na me kwetu ni hapa hapa na ndio ninapo ishi
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Bi Asia umepatia kabisa Zanzibar ni Oman ndogo. Na sasa itakuwa nzuri kutokana na miradi mingi ya kimaendeleo itazidi kupendeza.
@kuntakintekoko5320
@kuntakintekoko5320 2 года назад
Mbona hujawaeeleza kwamba kila asubuhi mkaazi wa hizo nyumba lazima aseme kidumu chama cha mapinduzi mara tatu la sivyo itabidi afunge virago ende zake.
@maryamalli9090
@maryamalli9090 2 года назад
Mmmmmm!!!!!! Ni kweli au una lako la moyoni?
@sashoright8213
@sashoright8213 2 года назад
@@maryamalli9090 wangehama wengi😂😂😂😂jamn atujuzee
@solomonadams6337
@solomonadams6337 2 года назад
Hawa wote sio Wazanzibar...hawa wato ni Watanganyika na ndio Watanzania sawa¿Wazanzibar wapo wapi¿
@camicapoty9415
@camicapoty9415 2 года назад
Hawa ndio wachafua lugha
@abdillahhamad890
@abdillahhamad890 2 года назад
Hatufanani kwakweli bara na znz
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 7 месяцев назад
Watanganyika ndo wenye nchi Yao na uwezo wa yote hayo wazanzibar so mashoga tu
Далее
ОСКАР И ДЖОНИ ПОДРАЛИСЬ 😳
01:00
Просмотров 382 тыс.
MJI MPYA WA KISASA KUJENGWA ZANZIBAR.
2:48
Просмотров 2,2 тыс.
KASRI YA MFALME WA ZANZIBAR
14:34
Просмотров 7 тыс.
Hoteli mpya ya Kisiwa cha Bawe, Zanzibar
4:17
Просмотров 15 тыс.
KUMEKUCHA HII NDIO KAULI YA DKT MWINYI
11:33
Просмотров 9 тыс.