Тёмный

'MUUAJI ALINIKUTA MTARONI NIMELALA, NIKAMSALIMIA, AKATOA BUNDUKI KWENYE MAKALIO"-SHUHUDA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 318 тыс.
50% 1

Baada ya kutokea tukio la majibizano ya risasi baina ya Jeshi la Polisi na mtu anayedaiwa kuwa ni muhalifu, Ayo Tv na Millardayo.com tumezungumza na mashuhuda wa tukio hilo, leo Agosti 25, 2021.

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 329   
@doublejmrutu8529
@doublejmrutu8529 3 года назад
aliyesikia MJOMBA HAIJAFIKA SAA TANO ILIKUWA SAA SITA gonga like 😂😂😂
@asmahdundo3904
@asmahdundo3904 3 года назад
Wenge acha kabisa, 😂😂😂😂
@ELLYSTVONLINE
@ELLYSTVONLINE 3 года назад
😂😂😂
@mdasad2148
@mdasad2148 3 года назад
Mjomba wewe hatar
@aminasuleiman6402
@aminasuleiman6402 3 года назад
😂😂😂 Ila wabongo 🙌🙌🙌💃💃💃
@sirajially576
@sirajially576 3 года назад
Hapo hata mimi mjomba kaniacha
@mbajawagome936
@mbajawagome936 3 года назад
Wote sisi ni wafrika sio kila gaidi ni msomalia wandishi wa hbari jifunzeni kueheshimu mataifa mengine kwa faida yetu
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 3 года назад
, Police IGP sirro wape police mafunzo mtu mikono IPO​ juu..mnapoteza ushahdi muhimu..je mashertan kama huyo wapo wangapi..police fwaten mafunzo..ulaya hui ni uwaji,hara kama aliuwa..Mungu awalaze mahara Pena peponi..poleni Sana wafiwa. Uyo muwaji kumuwa NI kumsaidia..mgekamata aonje uchungu wamaovu yake
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 3 года назад
Umeongea point sana, yani huyu angepatikana mzima polisi wangepata information za kutosha, inasikitisha sana kwa kweli,, mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi,, mungu atuepushe na matukio kama haya, haipendezi kwa kweli.
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 3 года назад
mtihani kwa kweli, na hao.askari sijui walikua wanachati, wapo 2 lakini hawakuweza kujitetea, mtu kesha sarenda mikono juu bado.wamuua wangemkamata hai wangejua mengi, askari wanahitajika mafunzo zaidi na zaid,
@matinazaidi
@matinazaidi 3 года назад
Tatizoooo issue imebumbuluka kumbe huyu jamaa alidhurumiwa na polisi...alikuwa ameenda kuuza viwanja masaki polisi wakamdhulumu madini yake..ndiyo maana unaona kuwa alikuwa hana shida na raia yeyote yeye alikuwa anataka maaskari tu ambao walimdhulumu almasi zake! Shida kumbe maaskari na ndiyo maana wamemuua ili ushahidi upoteee
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
@@matinazaidi acha usenge wewe unawashwa
@matinazaidi
@matinazaidi 3 года назад
@@kabwelasutiviraka4765 Matusi ya nini ndugu yangu wewe changia mada
@lanlady2504
@lanlady2504 3 года назад
Angalau huyu ameeleza vizuri. Unaweza kupata picha halisi. Inawezekana kuna ukweli khs hizo silaha. Duh, kijana mdogo hamza jamaniii, sijui nini kilimkuta??
@gracekaniki789
@gracekaniki789 3 года назад
Inamaana unamjua anaitwa Hamza
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 года назад
Hana ukweli wewe anasema tukio limeanza haijafka saa5 ilikwa Kama saa6 na nusu vchekesho
@soudame9362
@soudame9362 3 года назад
Pia serekali iache kuonea watu mpaka mtu abapandwa na hasira anachukua maamuzi ya ajabu .
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 3 года назад
kweli wanapenda sana kuonea raia haswa waislamu
@majaliwaphilipo8277
@majaliwaphilipo8277 3 года назад
Na siraha analizitoa wapi Kama sio Gaid ,huyo Gaidi hata sura tu Ni Gaid
@jumamustafa820
@jumamustafa820 3 года назад
@@majaliwaphilipo8277 acha ujinga ww kwaivyo watu wanaomiliki silaha ni magaidi acha shobo na dini za watu we umsikia jamaa silaha kachukua maaskari
@monicahovda4524
@monicahovda4524 3 года назад
Juma Mustafa . Wanakataa wacha wakatae, ila wameombe Mungu awaepushe hizo shali, hizo shali wakubwa huwa hazichagui. Huyo Mwenyewe asili yake Sio ya Bongo, na inaeleweka wazi, asili yake ni ya wapi? Aweza kwenda kwenda kwenye nchi yake asilia na huko ndio mambo yote. Mbona kuaeleweka. Wenywe kwa wenywe wamechinjana weeee!!! Mpka wengi wao wameikimbia nchi yao wamejaa kila Kona, ulaya ndio usiseme.
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 года назад
@@mohamedturanardan8871 mmmmmh jamani
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 3 года назад
Sasa mtu kajisalimisha mnapiga risasi , mngemkamata mmuhoji mjue tatizo Ni nini
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 3 года назад
Kweli kabisaa
@subirasamweli8797
@subirasamweli8797 3 года назад
Fact
@mimasaady5638
@mimasaady5638 3 года назад
Pale nahc na wao walipanic na ktk hisia zao wameona wataonekana wadhaifu nafkir ndio mana wakaamua kumpoteza na yy au pengne kuna meng zaidi All in all ukweli anao hamza
@agripinaaudax168
@agripinaaudax168 3 года назад
Ndo kma hivo watu wameanza kuchoka sasa,,,Mungu tusaidie
@tobatimamba3351
@tobatimamba3351 3 года назад
Watu walikua wanamsalimia "shkamoo Kama jambazi" 🙉🙉😆
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 года назад
Ndo ivo wajomba ye haelewi😂😂😂😂
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
Jaman co kila mwenye kibarakashia ni shekh kuna wazee wangapi na vijana wanapenda kuvaa kibarakashia lakini hata kusema Allah Akbar hajui wangapi wanavaa majuba kumbe wezi wangapi wanavaa majuba kumbe wanaume wangapi wanavaa majuba nia yao ni tofauti na kujistiri kama Ambavyo Allah ameelekeza co kila mwenye alama fulan bac ukampa asilimia zote za alama hizo kuwa ni za kweli.
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 3 года назад
Hata Hayati Mzee Nyerere nae pia alikua akipenda huzaa baraghasha.
@febbycosmas6298
@febbycosmas6298 3 года назад
Daaaah hatukuzoea maskini poleni sana Mungu tulinde watoto wako fariji wafiwa
@mwazansaid2753
@mwazansaid2753 3 года назад
Wote hao walio fariki kwenye tukio ilikua ndo hatma yao iyo mwenyezi mungu awape safari njema
@soudame9362
@soudame9362 3 года назад
Inawezekana Hawa mapilisi Kuna kitu wamtenda ndio Mana akafanya Hilo tukio .
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
Halafu kishainua mikono ili akamatwe kwanini askari wamechukuwa sheria mikononi mwao
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
Halafu kishainua mikono ili akamatwe kwanini askari wamechukuwa sheria mikononi mwao
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
Halafu kishainua mikono ili akamatwe kwanini askari wamechukuwa sheria mikononi mwao
@ajmilee4204
@ajmilee4204 3 года назад
Eti naenda zangu Home Boy...! 😄😃😄
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 3 года назад
Kuna chanzo kisicho maalum kinasema, askari walitaka kumdhurumu dhahabu zake, alikuwa na bastora akawawahi kuwashoot kabla hawajamuwahi. Kuna Askari ambao sio waaminifu wanahiyo michezo michafu.
@uwembatvonline
@uwembatvonline 3 года назад
Stress tu za maisha
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
Acha upumbavu wewe huyu ni gaidi na bahati mbaya wameumuuwa
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 3 года назад
@@kabwelasutiviraka4765 How sure are you? Do you have any evidence? au kwasababu anaonekana ni muislam na ana smg, mbona hakuuwa raia sasa kama kweli ni gaidi? Kwanini iwe polisi tu?
@dativagabriel3188
@dativagabriel3188 3 года назад
Ndiy iyo itakuwa kweli ndipo alipochukua silaa zao yeye alikuwa na bastola tu
@harithfowler9452
@harithfowler9452 3 года назад
@@kabwelasutiviraka4765 acha kupotosha watu .. jamaa si gaidi angekua gaidi angeiba na kuua raia ila aliua askari tu
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 3 года назад
Alikuwa na bastola halafu akawanyang'anya askari bunduki 2🤔ni aibu kwa jeshi la polisi
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 3 года назад
WAcha zile bunduki zilikuwa za jeshi la polisii ??????
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
@@muzafarsharif9465 ni za polisi hapo kituoni alipoenda akawapiga na kuzichukua.we wa wapi?
@ahz6907
@ahz6907 3 года назад
Ni kweli hili tukio limeonyesha madhaifu mengi ya polisi wajitathmini. Cha kushangaza wafuasi wa vyama pinzani na viongozi wao wanawakomaliaga sana.polisi wapo kisiasa zaidi. Shame.
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 3 года назад
@@muzafarsharif9465 ndio zilikuwa za polisi
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 3 года назад
@@ahz6907 hata ukiangalia zile clip kwakweli jeshi letu ni dhaifu mnoo
@barakakangalo8529
@barakakangalo8529 3 года назад
Mmmh wajina umenivunja mbavu...mjomba hakufika saa tano ila ilikuwa saa sita au ni wenge la usingizi
@haidamwakyota229
@haidamwakyota229 3 года назад
Sawa mjomba tushukuru kwa msaada wako wa statement 🙏
@frankfungo8414
@frankfungo8414 3 года назад
Acheni police kutudanganya mlikuwa mnajua dili zenu
@raiye5621
@raiye5621 3 года назад
Alijua km wew mjomba mweziwe Innalillah wainna ilayh rajoun Allah Amsameh makosa yake
@SHOLLAH804
@SHOLLAH804 3 года назад
Aamin
@__-gr7gd
@__-gr7gd 3 года назад
Dah! Ila angeshikwa kwanza aulizwe kwann anafany ugaidi uo wenda wapo wengi angetoa ata Siri nzitoo
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 3 года назад
Subhannallah, mtihani kwakweli 😥
@staarishstar311
@staarishstar311 3 года назад
Saum mremb hujmb
@timothmziray4709
@timothmziray4709 3 года назад
2:42 daladala ya taqbir
@bercahot152
@bercahot152 3 года назад
Kazi zangu mishe mishe 😂 mjomba huyu
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 3 года назад
Ù
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 года назад
Hahahaha eti mjomba vipi😂
@chalesmalicha7798
@chalesmalicha7798 3 года назад
F
@abelypeter3225
@abelypeter3225 3 года назад
Hyu jamaa dishi limeyumba kwa mlio wa risasi et tukio limeanza ilikwa haijafka saa 5. Eti ilikwa Kama saa sita na nusu😂😂😂😂😂 jomba kapoteza network
@yesejohn1034
@yesejohn1034 3 года назад
😂😂😂 Amin mwanangu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 года назад
Labda alifikiri saa 5 ya kizungu🤣🤣 au ya usiku!
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 года назад
Yule mjomba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@asmahdundo3904
@asmahdundo3904 3 года назад
😂😂😂😂😂😂 mjomba ake. Ila na wewe unatembea dada hadi huku
@patriciawambui1123
@patriciawambui1123 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
@@asmahdundo3904 lakini kishainua mikono juu kwaio askari walioua wafunguliwe kesi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
@@asmahdundo3904 kashainua mikono juu kwaio askari walioua wafunguliwe kesi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 3 года назад
@@asmahdundo3904 ndio mana mnakufa masikini kwa kushindwa kudai haki zenu
@godlovesyou9259
@godlovesyou9259 3 года назад
Kupitia ushuhuda wa huyu jamaa theres something behind police forces
@jenipheraron5071
@jenipheraron5071 3 года назад
Kuna kitu
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 3 года назад
Dah. Mvurugano. Baharini alifata nini? Huyu jamaaa anaweza kuwa gaidi au Mpiga deal,, maskini mwendo kaumaliza
@feisalissa3009
@feisalissa3009 3 года назад
Huyu jama marehemu hunaweza kujuwa police kunakitu walifanya kibaya kwake ndio maana yeye na police tu
@annadaniel6427
@annadaniel6427 3 года назад
Mimi mwenyewe najiuliza kwann awadhuru maaskari kunakitu
@aishahamisi9050
@aishahamisi9050 3 года назад
Kwann walimshoot wakati Alisha jisalimisha
@dogotwaanails_mafunzo
@dogotwaanails_mafunzo 3 года назад
Nomaa kwel
@martinmngeni2092
@martinmngeni2092 3 года назад
Milla Ayo tv naomba no zako
@dayanandege137
@dayanandege137 3 года назад
Hapa ipo shida kwann askari wamuue kwann hawakumuacha ili wapate maelezo kwann afanye hivyo na uyo mkaka mnaesema jambazi why asiwauwe watu wengine ila ni askari tu lazima kuna tatizo
@jitacamp8342
@jitacamp8342 3 года назад
Hamza alidhulumiwa madini yake na askari na yaezakua askari alomuua hamza kamuua kupoteza ushahid mana angaliachwa hai ukweli ungebainika TU...ila Hawa askar wetu hawa hata hawafati ethics za KAZI yao wanakurupukaga tu
@farhanixhaka2840
@farhanixhaka2840 3 года назад
gaidi hawaimbii watu waende na yao hapo kun kitu
@joshualazaro9168
@joshualazaro9168 3 года назад
My god
@jessymalembeka6181
@jessymalembeka6181 3 года назад
Daaaaa naona hakuwa na shida na raia ila askari tu.Mungu tusaidie
@jstn5193
@jstn5193 3 года назад
Waandishi wetu bwana, wanauliza maswali km watoto wa shule ya msingi😁
@Mussajohn99
@Mussajohn99 3 года назад
Akamatwe huyo kumbe mjomba ake🤣🤣🤣
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@Mohamedkasim2
@Mohamedkasim2 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣eti mjomba ake
@Elite_Forex_Academy
@Elite_Forex_Academy 3 года назад
😂😂😂😂
@esterlugayila3266
@esterlugayila3266 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 3 года назад
😂😂😂😂
@asiakheir8684
@asiakheir8684 3 года назад
Kwanini aue askarituu?
@fatmarashid2066
@fatmarashid2066 3 года назад
Lakujiuluza hilo
@robbemanase9051
@robbemanase9051 3 года назад
Eye witness always wana kosea tukio zima , video ndio zimeo yesha ukweli wa tukio zima hakujisalimisha
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 3 года назад
Kwa sababu eye witness anaona tukio kutokea angle tofauti…. Ndio sababu hata mpirani kuna video replays kusaidia
@funnymen194
@funnymen194 3 года назад
From the video I didn't see any surrender besides the guy has already killed two cops security cannot be negotiated.
@harithfowler9452
@harithfowler9452 3 года назад
@@chuggaboy9877 safiii
@godwinemanuel1873
@godwinemanuel1873 3 года назад
Kabisaa ku surrender lazima utupe silaha pemben utembee mikono juu kutoka ulipo kukaa sejemu ya wazi na hakuna kujishika ppte mpaka maaskari watakapofika karibu na kukumata lakn huyi hata baada ya kutoka kwenye kile kibanda alikuwa na bunduki na bado alikuwa anamtageti askari aliekuwa ndani ya fens, jamaa alokuwa na shida yake nyingne tu na sio kuuwa watu ila ndo hivyo ushahid hakuna
@samiaselemani5094
@samiaselemani5094 3 года назад
@@godwinemanuel1873 0ppp
@heridadia9634
@heridadia9634 3 года назад
Shikamoo kaka jambazi but imekuwaje wakuue wakat umenyoosha mikono juu au ndo kupoteza ushaid aya we umetangulia nasi twaja
@kelvinmwikeve2944
@kelvinmwikeve2944 3 года назад
Askari kama alinyanyua mikono msingemuua ilimjuecheni yake yaualifu
@ImpressiveFacts
@ImpressiveFacts 3 года назад
Wasingemuua tungejua nini kipo nyuma ya pazia.
@happierkomba9536
@happierkomba9536 3 года назад
Kweli
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Taarifa zipo rundo zima kama ni mfanya biashara za madini na kama kadhurumiwa wenzake wapo na wataeleza yooote..tuwe na subrs
@mussanganda505
@mussanganda505 3 года назад
Wasinge muuwa wangeambiwa na kujua chanzo cha mauwaji ya maaskari,
@Mohamedkasim2
@Mohamedkasim2 3 года назад
Labda alipomwambia vp mjomba huenda atakuwa mjomba ake 🤣
@bwayteen2615
@bwayteen2615 3 года назад
Khaaaaa huyo kaka noma
@maxcharles5436
@maxcharles5436 3 года назад
kashakili angekamatwa na kuhojiwa
@amosbarasa3557
@amosbarasa3557 3 года назад
Nilikuwa natoka zangu kuvulugavuluga kazi..... Huyu alishuhudia hata akamsalimu lakini yule gaidi hakumpa salamu😁😁😁
@annrobin9291
@annrobin9291 3 года назад
Duh jmn
@shayodumwe3368
@shayodumwe3368 3 года назад
Dah aisee ni balaa
@jobakitz6013
@jobakitz6013 3 года назад
hamna ugonvi usio na chanzo itakua baadhi ya maafande wamemchokoa ndomana akachukua sheria mkononi polisi ilibidi watumie mbinu za kivita kumkamata mtuhumiwa ahojiwe upelelezi ufanyike kisha sheria ifate mkondo wake serikali ya tanzania mnafeli
@elishalgabriel3517
@elishalgabriel3517 3 года назад
Harafu huyo shekhe wa hapo nyuma anamuangalia sana mjomba😀😀
@mimmahpampy2303
@mimmahpampy2303 3 года назад
😂 nlikuwa sijamuona mpaka ulivocoment
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 3 года назад
Sasa mbona huyo mtu raia alikua anawaona na hawafanyi kitu jmn hao maaskari walimfanyeje😰
@adambakari9276
@adambakari9276 3 года назад
Hapo kuna kitu
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 3 года назад
@@adambakari9276 Yaani Nchi Inatisha Hii Sasahv, Mana Kama Alikua Kachanganyikiwa Siangeua Watu Walokua Kwenye Madaladala Na Zile Gari Ndogo! Mbona Alikua hadili Na Raia Ni Police Tu.
@neemayohana7978
@neemayohana7978 3 года назад
Ametoa kwenye makalio 😂😂😂
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 3 года назад
...Piga mishe zangu naona sielewi. Vijana wamepigika
@jamesmumba9985
@jamesmumba9985 3 года назад
Hahahaha uyu bwana ako kinoma bt poleni watanzania
@raphaeljackison5470
@raphaeljackison5470 3 года назад
Mhhhhhh!!!!
@MaryamMaryam-gi9zw
@MaryamMaryam-gi9zw 3 года назад
Mjomba labda ana kisasi na police
@alikhamis6326
@alikhamis6326 3 года назад
Kwa unavyoongea bahari huyu kijana sizani kama alikuwa gaidi iweje asimuuwe huyu kijana kina kitu apo ametendewa huyu kija hongea baharia kwa kuelezea vzr ila umenichekesha hapa uliposema kiswahili chake kama kipemba hahaaaa au Kama kiarabu
@mimimwenyew361
@mimimwenyew361 3 года назад
Tatizo tunalaumu kwa nn kauawa tunasahau aliowaua ndio waliomkosea. Je haki inatafutwa kwa kuua???
@maureensteven5898
@maureensteven5898 3 года назад
Eye witness bwana 😂😂
@samjomatata296
@samjomatata296 3 года назад
Askar muache kudhulumu watu mnaona mmegharimu maisha ya wenzenu mmevuna mlichopanda
@jeremiahsanare8754
@jeremiahsanare8754 3 года назад
Hahahahahahah cjui baba me sijuikisomali
@santosclassic9935
@santosclassic9935 3 года назад
🥺🥺🥺🥺
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
Hawa watu wa jamii ya kisomali sio watu kabisa nyie chukueni hilo tukio poa poa tu, watakuja kuwauwa kama kuku, waulizeni Kenya waliwakaribisha wengi sasa wakenya wazawa wanajuta. Ni bora mkaribishe waafrika wengine hawana tabia za kigaidi na roho mbaya na ubaguzi Ila sio wasomali hawana maana kabisa hao watu.
@jitacamp8342
@jitacamp8342 3 года назад
We nawe wanayemfahamu wote wanasema hakua mkorofi kafanya tukio lile ajili askari walimdhulumu madini yake na mbeya alikua anamiliki migodi ya marehem babake hasira za kudhulumiwa ndiyo ikawa vile
@kabwelasutiviraka4765
@kabwelasutiviraka4765 3 года назад
@@jitacamp8342 kumjua mtu haimaanishi hawezi kuwa gaidi . Kwa hiyo hawa alio wauwa police wali mdhulumu ? Kwa hiyo una mtetea muuwaji ndugu kweli una dini wewe au hofu ya Mungu ?
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
Bac huyu jamaa alikuwa na stress zake kabla
@daudisaid6198
@daudisaid6198 3 года назад
Hapo anajiita mjahidina kweli waislam tuna jiharibia jina sana.
@mishikikoti2948
@mishikikoti2948 3 года назад
Aki amungu uyu mwamba nimejikuta tu napenda anavyoongea😂😂😂😂mishe mishe nalala mtaronii🏃🏃
@pioustrevol3468
@pioustrevol3468 8 месяцев назад
Ila katika hili tukio Hamza Ndo Alikua Yupo Fiti sana
@upendomwasinga8531
@upendomwasinga8531 3 года назад
Kufanya kwake kunaweza ficha ukweli au kukazua uongo
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 года назад
Haikustahili apigwe risasi, Kunajambo limejificha juma ya pazia.
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 3 года назад
Jmn mbona matukio tuuu jmn
@obeidjoseph3610
@obeidjoseph3610 3 года назад
Kisomali sijuh baba sijuh kama nikisomali ☺️☺️😁😁😁
@tobatimamba3351
@tobatimamba3351 3 года назад
Anasherehekea mapinduzi ya Afghanistan huyoo. 😎😎😎
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 года назад
😁😁😁😁😁
@caslidajosephat8912
@caslidajosephat8912 3 года назад
Huyu mtu siyo chizi kunakitu maaaskari walichomfanyia
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 года назад
@Caslida,, na uozo wanaowafanyia Raia hawa Askari wetu, ni kweli pna kitu hapo!!
@reginabeno1904
@reginabeno1904 3 года назад
Naalikua mmoja wangekua kumi jaman si polisi wetu wangeisha yn mtu mmoja walishindwa kumvamia kwapamoja duh yn muhalifu mmoja kauwa watu wote hao wangekua kumi je mungu tusaidie Sisi na Askari wetu
@timbukwa9771
@timbukwa9771 3 года назад
@@reginabeno1904 Polisi wetu hawana utayari kabisa hilo tukio limewatia aibu kubwa sana, yani hawajamdhibiti ila wao ndo walidhibitiwa. IGP ajitathmini na vijana wake wanaowaza kila siku kuonea watu
@kilalaurio9922
@kilalaurio9922 3 года назад
Hongereni Polisi huyo kapata haki yake.
@sallahsultan2404
@sallahsultan2404 3 года назад
Kapata haki yake 4--1??
@truelovepawanza2046
@truelovepawanza2046 3 года назад
Al Shabab Kumi wanaiteka Dar nzima..Kwa staili hii.. hahaha napita tu
@kisuramtam5894
@kisuramtam5894 3 года назад
Inatoshasasa duh kilamtuu anajua
@muminahmed1863
@muminahmed1863 3 года назад
Sasa ww maelezo umeshanganyikiwa au hakufika saaatano kitu kama saaa sita na nusu
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 года назад
Dunia simama nishuke yarab tupe subra wajawako
@samgwazay1208
@samgwazay1208 3 года назад
polisi wetu wakitakiwa wamkamate akiwa hai.sasa sijui wanafeli wap
@godwinemanuel1873
@godwinemanuel1873 3 года назад
jamaa alikuwa na shida yake nyingne tu na sio kuuwa watu ila ndo hivyo ushahid hakuna wa nini hasa chanzo cha lile tukio kwake, angekamatwa hai yule ingependeza zaidi cjui kwann wakaendelea kumpiga risas akiwa ameshaannguka wakiwa kama askar wenye mafunzo nadhan lile halikutakiwa Kuhusu ku surrender lazima utupe silaha pemben utembee mikono juu kutoka ulipo kukaa sehemu ya wazi na hakuna kushusha mikono wala kujishika ppte mpaka maaskari watakapofika karibu na kukukamata, lakn huyo hata baada ya kutoka kwenye kile kibanda alikuwa na bunduki na bado alikuwa anamtageti askari aliekuwa ndani ya fens na mpka anakufa alikuwa na bunduki mkononi utasema vip ka surrender ?? Kwan nilivyoona alitaka msaada wa magar kutembea ili tu apate urahc wa yeye kuondoka na alipotoka katika kibanda tayar jamaa alishajikatia tamaa ila haku surrender
@jitacamp8342
@jitacamp8342 3 года назад
Maskini
@hadijakazumary2318
@hadijakazumary2318 3 года назад
Hv wewe umeisikia clip aliyokuwa anaongea na umeisikia anasema nn au watu nikuandika andika tu huku mtandaoni muonekani mnajua kukoment
@godwinemanuel1873
@godwinemanuel1873 3 года назад
@@hadijakazumary2318 wewe uliekuja kupanda hapo juu ya comment yangu umeelewa nilichoandika au umekuja tu kichwa kichwa? Wew uliesikia alichoongea tuambie bc kuwa aliongea nn ? Soma elewa ndio u reply hakuna mahali nimeandika Hamza alisema, na hakuna mahali nimeandika nilimsikia, ila nilichoandika ni haku surrender, na jins ya mtu ku surrender nimeandika hapo na usikilize na clip vizuri
@godwinemanuel1873
@godwinemanuel1873 3 года назад
@@hadijakazumary2318 afu mbna kama umepanic ?? Huyo anaetoa maelezo hapo amedanganya clip zipo na tunaziona sis sio fala
@hadijakazumary2318
@hadijakazumary2318 3 года назад
@@godwinemanuel1873 wewe unasema anadanganya kwa kuona clip ambazo zimetolewa baada ya kuwauwa askari na hao wanaelezea tukio lililotokea hata kabla ya kurekodiwa hayo unayoyaona.UWE UNAELEWA
@salumkassim7949
@salumkassim7949 3 года назад
Ah mjomba ilikua haijafika saa 5 ilikua nisa 6 bangi mbyaa hahahaaaaa
@abellutonja4589
@abellutonja4589 3 года назад
Daaaah et saa Tano ilikuwa haijafika ilikuwa saa Sita 🤪🤪🤪🤪🤪🤪hizi TOZO zitaua watu
@mdyoung5163
@mdyoung5163 3 года назад
linaona raha kuojiwa🤣🤣👏
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Aaaa na wewe.acha roho mbaya.mwenzio kaonekana duniani wewe je ??? Aliyekuambia ukae Tandika nani?? Njoo mjini.kuna mambo eeeh .
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 3 года назад
Watu tuamini kwamba mtu akichoka anaweza kufanya chochote anachotaka.Huyu mtu anaonekana ni mtaalam wa kutumia silaha. Sasa swali je polisi wameona practice ya ugaidi ikoje? Maana wamezoea kushughulika Na viongozi wa vyama vya siasa
@waziriomar1414
@waziriomar1414 3 года назад
Huyu anaehojiwa cyo mzima ni taahira huyu 😁😁😁
@rashidsaad7948
@rashidsaad7948 3 года назад
Kaka jambazi shikamoo
@hishamally4846
@hishamally4846 3 года назад
Wewe hujuwi kuwelenza
@iceg9770
@iceg9770 3 года назад
🤣😂😂🤣👏🙌🙌🙌wandishi wa habar
@mdasad2148
@mdasad2148 3 года назад
Mjomba kiswahili 😆😆😆😆
@is-hakaali745
@is-hakaali745 3 года назад
Musiogope
@hazjay4671
@hazjay4671 3 года назад
#MjombaHamza Alikua Mwamba!!
@ruwahysalim9609
@ruwahysalim9609 3 года назад
Watu wa habari na nyinyi munapotosha mtu anasema hajui ni kiswahili gani mara kiswahili cha kiarabu mara ni km wapemba tushike lipi tuache lipi musiwe munatoa habari zisizokua za ukweli mutafanya watanzania wagombane wenyewe kwa wenyewe uislam ni kitu kengine uarabu kitu kengine na ugaidi kitu kengine alipotajiwa msomali mbona kakataa lkni kawataja wapemba bila ya woga nia yake tugombane wenyewe kwa wenyewe watanzania
@jhjg8705
@jhjg8705 3 года назад
Hawa wanaosema huyu jambazi sasa ataiba nini katika Polis station na Hutu alotoa statement nakusema kama nuarabu wa Pemba ivo Pemba watu wanazungumza kiarabu?
@djjoe_tzmixingmaster5872
@djjoe_tzmixingmaster5872 3 года назад
Jamaa alikua hana shda na wananchi kwa inavo onekana nikwambwa alikua labda ana visasi vyake na askari
@allyally9915
@allyally9915 3 года назад
Hao hao ayo tv wamemhoji dereva wa taxie amesema anamjuwa yeye na familia yake amezaliwa hapo hapo dar amesoma hapo hapo baba yao kafa miaka kama 6 iliyopita. Wao walikuwa wanaishi na mama yao muda wote, kwa hio ni mtanzania lakini weye unasema alikuwa anasema kiswahili kigeni. Nyie mbona WAONGO HIVI ?
@gastordominic410
@gastordominic410 3 года назад
Daaah so sad
@wardahsalum9073
@wardahsalum9073 3 года назад
Nyie kumbe bongo inawezekana tukafanya movie kama hollywood
@kelvintangawizi691
@kelvintangawizi691 3 года назад
Mungu inusuru Tz na mapolice wenda wamemkosea uy jamaa
Далее
ЗАБЛУДИЛИСЬ В ТРАВЕ #shorts
00:25
Просмотров 540 тыс.
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 2,9 млн
World’s Tallest Man VS Shortest Woman!
15:07
Просмотров 17 млн
NAMTAKA HUYU
10:37
Просмотров 789 тыс.
MASHUHUDA WA TUKIO LA MAUAJI YA ASKARI DAR
4:38
Просмотров 227 тыс.