Тёмный

MWABUKUSI AMUANIKA MSIGWA KWA KUJIAMINI "SI KILA ANAYEKIMBIA NI MHALIFU/CCM WENGI WANAMAPENGO" 

MwanaHALISI TV
Подписаться 303 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

MWABUKUSI AMUANIKA MSIGWA KWA KUJIAMINI "SI KILA ANAYEKIMBIA NI MHALIFU/CCM WENGI WANAMAPENGO"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Опубликовано:

 

9 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 21 день назад
Mwabukusi you have spoken, nimekukubali kwamba wewe ni Msumeno kata huku na huku🎉
@DittoSylvester
@DittoSylvester 21 день назад
Msigwa yale alokua ameyatamka kwenye mikutano ya Lisu atayabadili?hata huko kanisani kwake akiwa mchungaji ajihoji.sana!?aangalie achunge ulimi .jana alipinga mikataba ya bandari leo ataiunga?!wa Tz!??
@rogersiddy
@rogersiddy 21 день назад
Sahihi kbs point nzuri sana
@jacobletema3681
@jacobletema3681 21 день назад
Hata kwa Yesu Kristo anaweza kuhama akaenda upande ule mwingine!
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 21 день назад
Mwabukusi ana akili sana anaamini ndani ya CCM kuna watu wazuri sana lakikini kimetekwa na majambazi. 🖐🖐🖐🖐🖐
@laninjeje8290
@laninjeje8290 21 день назад
Umeongea point sana, sio kila anaehama amenunuliwa. Good point kwasababu CHADEMA wakipokea watu kutoka ccm wanafurahia kwahiyo na wenyewe wananunua kutoka ccm??
@jesaminzo
@jesaminzo 21 день назад
Au unataka Msigwa atusomee meseji?
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 21 день назад
Mh CHADEMA kweli MSIGWA ame wa-touch sana.
@gifatmahundi8750
@gifatmahundi8750 21 день назад
Safi sana mwambukusi
@cristinaruka9293
@cristinaruka9293 19 дней назад
Hana thamani Tena anaenda kutumika akili ndogo pole sana msigwa sawa na mtu anayo safari ya mbinguni Kisha akaanza kuelekea kuzimu
@EliaHiluka
@EliaHiluka 21 день назад
Kwani kwenda ccma nikuonyesha yupo upande wamafisadi na hayuko tayari kutetea maslahi ya wananchi
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 21 день назад
muandishi unatia mpaka Aibu Msigwa Msigwa Msigwa hakuna mambo ya kujadili yanayoguza maisha ya watanzania walio wengi zaidi ya Msihwa.
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 20 дней назад
@@hamisimuhunzi7916 Hukuelewa Mahojiano
@user-gk6ty7tt9o
@user-gk6ty7tt9o 21 день назад
Kuhama vyama siyo sifa njema. Hapo tusidanganyane.
@eliphasmlengu6331
@eliphasmlengu6331 20 дней назад
Kuhama it personal interest lakini unachokihubiri kuhusu ulikotoka kinatoa maswali mengi that why Msigwa ananaonekana kwenye hayo anayo waziwa nayo
@jesaminzo
@jesaminzo 21 день назад
#Adv Boniface Mwabukusi, mimi sina shida mtu kuhama lakini kuhamia CCM kweli?
@reginas1832
@reginas1832 21 день назад
Alichokifanya msigwa kinatia aibu. Alikuwa mpinzani njaa
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 21 день назад
Kwahiyo msukuma ni muongo aliye sema Msigwa anafadhiliwa na hela za ccm na akamwambia afungue mdomo kama haajachia message hewani na msigwa hajafungua mdomo hapo Mwabukusi kuna namna unataka kutuingiza chaka
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 21 день назад
Kwahiyo na wewe Mwabukusi Unataka kutuaminishaje umma wa CHADEMA
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 21 день назад
Iko hivi sisi hatukatai mtuu kuhama chama lakini sauti yake itelendelea kuwa haki kwa watanzania tukagundua kuwa msigwA alikohamia kaenda kupangiwa maneno ya kusema Hilo ndilo kosa chama alichoenda hakiwezi mruhusu kukosoa yoyote yule atalamishwa kusifia hata km ni kibovu ndio kosa lake tufanye akili ndogo kuendesha akili kubwa Haina tena thamani kwakwe kuwa ccm Bora angeenda CT wazalendo hata km mtizamo wake ulikuwa tofouti na freeman mbowe asingeenda huko ccm ili uwezo wake wakisiasa ubaki pale pale angechukua tuu Jimbo lake la lranga na kuwa kiongozi na angesaidiwa na chadema vile vile sababu lngekuwa lile Jimbo ngumu wakaa chini wakubaliane lakini kwa Sasa chadema na ccm himo haliwezekani tena
@knight6757
@knight6757 21 день назад
Tumbo....🤑🤑
@dentomedicalresourceslimit4602
@dentomedicalresourceslimit4602 21 день назад
Sikia, Msigwa kahama kwa kukosa CHEO. Full stop. hayo mengine ni Blaah blaah tu
@rashidissa5887
@rashidissa5887 20 дней назад
Uko sawa
@erickmsigala138
@erickmsigala138 21 день назад
Huyu jamaa mimi simuelewagi kabisa
@SixbertDamo
@SixbertDamo 21 день назад
Kuhama ni hiari yake tu
@EliaHiluka
@EliaHiluka 21 день назад
Sisi tungeweza kumwona msigwa kama msaliti pia kitendo Cha yeye kuhamia ccm mi kuonyesha yeye ni mtu mwenye tamaa ya madaraka
@JafetGuzuye
@JafetGuzuye 20 дней назад
Aa
@theophilmakumbuli
@theophilmakumbuli 21 день назад
Kwa maelezo hayo mbowe hawez kukupenda
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 21 день назад
Msigwa kahama Kwa Kukosa Cheo, Hana kingine ni hicho tu
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 21 день назад
Ungemsikiliza mpaka mwisho
@rashidissa5887
@rashidissa5887 20 дней назад
​@@TegemeaFutemakatifuYes
Далее
Как пронести Конфеты В ТЮРЬМУ
19:16