Mwaka 2021 ni mwaka uliokuwa na changa moto nyingi sana lakini tunakokwenda ndio moto kuliko mwaka jana 2022 ni mwaka wa maamuzi magumu tusipo badilika haitusaidii hata tuombe kiasi gani.MUNGU anawapenda waombaji wanachukua hatua ya kubadilika.🙏
16 сен 2024