Тёмный

MWAKINYO NI BONDIA CHIPUKIZI ANAYEPEPERUSHA VIZURI BENDERA YA YA TANZANIA| NI BONDIA MKUBWA DUNIANI 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

9 окт 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 месяцев назад
Niko na mwakinyo diamond wangumi 🔥🔥🙏
@allykayanda6930
@allykayanda6930 9 месяцев назад
Mwakinyo yuko sahihi,hata kama hakuna maandishi ,lakini kitendo chakukataa kupigana kwasababu yakuepo watu ambao yeye haelewani nao hilo nisahihi kabisa,kwasababu huwezi kufananisha ngumi na tangazo la pepsi kama alivosema baba levo,ngumi zina hitaji vitu viwili kabla hujaingia ulingoni....zinahitaji physically fit na Mentally fit....sasa ukiingia kama haupo sawa kwenye jambo moja kati ya hayo mawili ,huwezi kufanya vizuri kwenye pambano hilo,nahapo sio pambano tuu hata kazi yoyote lazima kwenye hayo mambo uwe sawa..... Sasa yeye yuko sahihi kukataa kucheza kwasababu huwezi kuwaweka maadaui zangu meza moja tujadili..
@williamjohn7907
@williamjohn7907 9 месяцев назад
Mkataba ndyo kitu muhimu sana siyo kukubaliana kwa mdomo alikuwa sahii kama walikubaliana kwa mahandishi
@omaryrupia2631
@omaryrupia2631 9 месяцев назад
Wanajisumbua tu kwa uwezo wa mungu mwakinyo atarudi ulingoni mapema tu kabla ya uwo mwaka wasijidanganye kabisa ushauri wangu kwa hassani mwakinyo cha kwanza kabisa kata rufaa mapema kabla ya izo siku 7 walizotoa usisubiri ziishe maana ukikata siku ya 6 uwenda wakakuambia umechelewa kwa sababu awa watu awakutaki wamepanga kukupoteza kwenye gemu kuwa nao makini kaka mungu yupo pamoja na wewe
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 9 месяцев назад
Achen kujifariji yaan watu wote wamchukie mwakinyo yeye nani na ana kitu gan hasa? Sheria zipo ili zifuatwe huo anaotak kuuleta ni ubabaifu analeta utoto kwenye kazi kimemrambaa
@laninjeje8290
@laninjeje8290 9 месяцев назад
​@@zuberimohamed43unatombwa na wachawi wewe😂
@jumaseif2140
@jumaseif2140 9 месяцев назад
Tanga bondia wetu mkubwa ni mmoja hao wengine wa mafua atuwajui kabisa im fans of champez mwakinyo ,,mungu amsimamie ashinde hii kesi inshallah
@angelangaiza2274
@angelangaiza2274 9 месяцев назад
My champz never mind never give up 💪💪💪💪
@user-bw5po7ft9u
@user-bw5po7ft9u 9 месяцев назад
Tuko pamoja champz nobody can stop you.
@StevenMagazi-it3fd
@StevenMagazi-it3fd 9 месяцев назад
Tanzania Kila kitu kimekaa kihuni tu mwakinyo yupo sawa
@josephfrank4446
@josephfrank4446 9 месяцев назад
Tanzania uhuni mwingi team champez
@leonardkapati3125
@leonardkapati3125 9 месяцев назад
Mwakinyo aombe kujivua URAIA AOMBA URAIA WA MAREKANI
@fj8317
@fj8317 9 месяцев назад
angefanya hivyo ingekuwa poa sana
@FarajiLiymo
@FarajiLiymo 8 месяцев назад
Mi nashangaa sana hii kamishen ya ngumi. Maana juzi tu apa dulla mbabe amegoma kupanda ulingon baada ya kubadilishiwa mpinza. Na hawajamsema dulla chochote kwann kwa mwakinyo kuna nini kinaendea kwani mwakinyo ndo bondia wa kwanza kugoma kupanda ulingoni?
@herrymbishi9170
@herrymbishi9170 9 месяцев назад
Sasa uyo mwenyekit wamabondia tanzania nae kama mwwenye kit kwel ucjue chochote au mwenyekit kivuli
@mrflyover9928
@mrflyover9928 9 месяцев назад
Mwakinyo sioni kosa lake hapo maaana amechagua kati ya adhabu au hausaliti utu wake akachagua avunje mkataba,maana alimwambia promote mm sitaki show yangu ismamiwe na mafia ila promote kwa dharau hakumskiliza mwakinyo kisa anamkataba na zile voicemail aliskika mwakinyo kwa sauti ya upole kabisa akimuomba promota ...je ungekuwa ww ungefanyaje?
@allykwaya
@allykwaya 9 месяцев назад
Uonevu sana. Vita, chuki na fitna
@kazumarihamisilikumbato9213
@kazumarihamisilikumbato9213 9 месяцев назад
Japheth Kaseba ni mtu makini na anojiheshimu hata mimi namheshimu pia, ila kusema Hassani Mwakinyo ni Bondia chipukizi hapana hilo neno halijakaa pahala pake kwani tayari kashavuka hizo level. Kwa kauli hii tukubaliane kuwa umeteleza na kuteleza ni jambo la kawaida kwa mwanadamu ila yote kwa yote ni kiongozi mzuri na tukiachana na hiyo kauli umeelezea vizuri na umesimama kama kiongozi Mungu akuongoze na endelea kuwa makini zaidi katika uongeaji zaidi ya hapo nakuona mbali sana kiuongozi. NB: Maneno yako ndio yawe matendo yako na ufuatiliaji pia uwe juu zaidi hadi hatima ya jambo lifike mwisho ndo utafanikiwa zaidi kiongozi.
@user-gy5gp8ej1y
@user-gy5gp8ej1y 9 месяцев назад
Hassan mwakinyo pole
@dicksonmmari8667
@dicksonmmari8667 7 месяцев назад
Mchezo wa ngumi ni mchezo ambao swala la kujigamba kujisifia ndiyo mchezo huo unataka hivyo,kama alivyowaita mabondia wenzake wanawake ni sahihi ili wa panic. Sasa cha ajabu ni kipi akijiskia, bondia unatakiwa uwe na maneno shombo sanaaaa. halaf unamfungia mtu analiyeweza kuamsha zaidi mchezo wa ngumi kwenye taifa letu, mtu anayetuwakilisha ki dunia eti amefungiwa mwaka mmoja. Hii nchi hii
@ladslausisdory8048
@ladslausisdory8048 9 месяцев назад
Mwakwinyo hajitambui maana ili kuua nguvu za watu wanao kuchukia ni kushinda mapambano na sio kula mdomo ndio maana wanamwita mwimba taarabu mara anavaa vikuku mpka anawapa airtime akina mtango achape ngumi apunguze mdomo hii ni bongo sio marekani hapa
@omarypetro3207
@omarypetro3207 9 месяцев назад
Binafsi naona kwa hayana yanayoendelea na ninayoyasikia mpaka sasa nina mashaka na haya maamuzi yaliyotolewa hata ukiyasikiliza kama watoa maazi walisikiliza sana upande wa wadhamini na hawakukaa na kudiskasi/kuusikiliza upande wa pili, kifupi naona hapa kuna namna na ikibidi TAKUKURU iwachunguze hawa waliotoa adhabu - "mawazo yangu tu".
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 9 месяцев назад
Inaonekana hili jambo limeamuliwa kihuni hakuna haki hapo ikiwa chama cha boxing hakina taarifa na hakijashirikishwa sasa kuna haki gani hapo walioamua ni wahuni wenziwe yule promoter
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 9 месяцев назад
Ata Tayson alifungwa jela ila alitoka na ngumi ziliendelea km kawaida (firigisu)
@masudikaswala7898
@masudikaswala7898 9 месяцев назад
tusiishi kwa kutafutiana sababu tukaja poteza utanzania wetu
@LiberatusBaraka-yw2kb
@LiberatusBaraka-yw2kb 9 месяцев назад
Namkubal sana mwakinyo ira kuna uhuni unaenderea
@kiya0910
@kiya0910 9 месяцев назад
Munge mfungia miaka miaka kumi😂😂😂😂 fala huyo mwakinyo
@eliezamachaku7177
@eliezamachaku7177 9 месяцев назад
Tatizo Tanzania ukianza kufanikiwa2 kila mtu anakuchukia na kukufanya kua adui anaanza kusema unalinga unajishaua badala ya kujifunza wewe umefanikiwaje tunajenga chuki za kijinga ndo maana hatufanikiwi kwa kufuga chuki zisizo na sababu
@MaulidiMkassiwa-bq4bw
@MaulidiMkassiwa-bq4bw 9 месяцев назад
Hatuna Cha kujifunza kwa mwakinyo anawaita mabondia wa Tanzania kuwa wanawake huyu hafai
@user-gw4qi8ri9o
@user-gw4qi8ri9o 9 месяцев назад
Ivi baba levo hapo nimwandishi au ninani apo
@bakarisarai2285
@bakarisarai2285 9 месяцев назад
Mwakinyo Colorado King ni Che govar mtakuja kumuelewa wakati ni too let
@lucymsheshi5871
@lucymsheshi5871 9 месяцев назад
Huyu kijana mwakinyo ni mjuaji sana Na anakiburi kuwa anajua sana anajisikia Na hili ndio fundisho apigwe faini za halali na imnyooshe iwe mfano. Watu tunalipa hela alafu anazingua
@mrflyover9928
@mrflyover9928 9 месяцев назад
Usimuhukumu mtu kisa mjuaju maana oyo inaitwa wivu mwache mtu aish maisha yake chamsing tu anafanya vzur
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 9 месяцев назад
Hujierewi ww
@Ibrahmagesa_tz
@Ibrahmagesa_tz 9 месяцев назад
Mpenda haki siku zote anaonekana hana kiburi na sio kweli mwakinyo mungu atakusimamia
@laninjeje8290
@laninjeje8290 9 месяцев назад
Unagongwa nyuma, achana na mwakinyo
@DonathmauyashedafaShedafa
@DonathmauyashedafaShedafa 9 месяцев назад
Yaani wewe uchi wa mbuzi kweli ivi ingekua wewe ungekubali kusimamiwa na adui zako kwenye kazi zako? Kuma wewe acha uchoko
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 9 месяцев назад
Wahuni tu hawa watu wasiachwe ngumi zitapotea tena
@barotvonlineofficialramaba4334
@barotvonlineofficialramaba4334 9 месяцев назад
baba levo analala studio
@herrymbishi9170
@herrymbishi9170 9 месяцев назад
Kwaufup michezo yote yatanzania niujanjaujanja watu hawapo seriously
@patrickkasumbi8899
@patrickkasumbi8899 9 месяцев назад
Mwakinyo kiukweli ni mpambanaji mzuri lakini maamuzi yake muda mwingine yalikuwa Sahihi sababu maana huwezi fanya kitu ambacho hasa hujajiandaa nacho
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 9 месяцев назад
Kitu gan ambacho alikuw hajajiandaa nacho?
@user-tl6zt6dv3c
@user-tl6zt6dv3c 9 месяцев назад
Kufirwa
@jkifutu7936
@jkifutu7936 9 месяцев назад
Kaseba umekua sasa yani tuna waitaji watu kama wewe ndo wawe uwe rais wa ngumi tanzania 🇹🇿 umeongea kwa ekima sana
@user-ld1hv5sz1p
@user-ld1hv5sz1p 9 месяцев назад
Kaseba ameruka kusema kwa uwazi. Kuna kitu anakifahamu. Kama ni kweli Mwakinyo alikubaliana na PAF kuwa watafanya kazi kama double promotion, Mwakinyo ameonewa. Na hao wajinga wa kamisheni kwa kujua wamemuonea Mwakinyo wamempiga fine ndogo, na hawajamuamrisha kuwalipa hasara ya maandalizi PAF promotion.
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 9 месяцев назад
Waliomfungia ni wahuni tu hawana lolote
@aliymwazoa3051
@aliymwazoa3051 9 месяцев назад
kwani TPBRC ni chombo cha Dola? au ni sawa kusema TFF nichombo cha dola
Далее
🍁 Твой дружище
0:15
Просмотров 1,3 млн
Easy Egg Peeling Hack with Water! 🥚💦😂
0:40