Mahojiano na bondia Dullah Mbabe kuhusu mambo mbalimbali kuhusu ngumi, ungomvi wa mabondia Mwakinyo na wezake pia amejibu suala la mabondia kupewa pesa ili kupoteza mapambano ughaibuni
Dah maneno yamepenya hadi kwenye damu ...this is how kila mmoja ajifunze kwenye manano yako na pia uyaishi maneno yako ...kwahii umetuongeza mashabiki wako big up👍
Champion Dullah kwa kweli upo vizuri Sana, huna maneno ya shombo na huna makundi na unanyoosha maneno.Huna chuki na mtu ndio maana umempa Mwakinyo maua yake.Mungu akuweke ndugu yangu.
Champion Dulla .Wambie Mwakinyo katengeneza mbali c v yake .Na wao wakatengeneze mbali.Kama mapafu ya mbwa Idd Kila siku anamtaka lakini anamkimbia.Kwanini Mapafu kumpiga Idd kawaida Lakini Idd siku akimpiga Mapafu biashara imeisha .
Mwana kulonga vivyo umelonga miyago.maneno Yako kuntu tungekua na mabondia wenye moyo kuntu Yani umenyooka.nilijua tu mzaramo lazima utambike kutamu tena.ila mwakinyo baba lao huo ndio ukweli na anaiwakilisha vyema Tanzania tuache unafiki tumpe mauwa yake.
Jamani tuwe wakweli asilimia kubwa ya wazaramo huwa hawana wivu wa chuki wala roho mbaya wao wanamaneno mengi tu ila sio ubaya kabisa, huyo dullah mbabe huwa hana majungu kabisa, tangu mwakinyo atoboe kwakumpiga mzungu uingereza jamaa yeye alimpokea na akakubali uwezo wake, hao kina mfaume chuki na wivu mbaya vimewagubika yaani jamaa wanaroho mbaya mno.