Тёмный

MWAKINYO: NITAKUA BINGWA WA DUNIA/ HAWAKUBALI NIMEWAZIDI../ HAWAJUI CHOCHOTE 

Dar24 Media
Подписаться 729 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Mwakinyo #Dodoma #Bingwawadunia

Спорт

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Год назад
Kuna tofauti kubwa sana yakifikra kati ya mwakinyo na mabondia wengine, nikupongeze uko vizur sana champez one time
@khamisimohamed7068
@khamisimohamed7068 Год назад
Mwakyembe we champion mzur usimnyenyekee mtu kwan riziki anatoa mwenyez mungu ata uyo mwakinyo una uwezo wa kumtandika tu, anataka kukwepa kupigana na nyny uyo
@yasrearafat1662
@yasrearafat1662 Год назад
Frm sa nakubali sana champ mwakinyo bro kwanza anajua kutema madini ile kinoma Halafu kumbe mwakinyo anaroho poa sana ila hapendi dharau
@omyjy4819
@omyjy4819 Год назад
Namkubali mwakinyo najua atafka mbali
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Wewe je
@deusntobi1450
@deusntobi1450 Год назад
Jamaa anamambo ya kikekike kutwa kuchwa kulalamika tu !!
@bakaramourshaaban
@bakaramourshaaban Год назад
Wewe jee huna mambo ya kike ? Acha dharau
@lama6310
@lama6310 Год назад
😂😂Yani Jamaa Anajikuta Sana..nakat kwenye boxing Rank Ya Mabondia wa Tanzania Top 100 Duniani Yupo Kama Wa Nane😂
@omyjy4819
@omyjy4819 Год назад
Ko unataka awe wangap usipangie watu kusema wanachoisi ko kakukela nn apo
@lama6310
@lama6310 Год назад
@@omyjy4819 unahasira😂
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 Год назад
Cjui unafikiri kutumia nn au umebeba tu chuki
@khamisimohamed7068
@khamisimohamed7068 Год назад
Mashabiki tunataka upande ulingon atutaki taarabu, unapenda umwinyi kuliko kupanda ulingon
@lama6310
@lama6310 Год назад
Makodinda Makostamina, Show show,bendera Chuma Mlingoti Chuma..wanatanga Wote watoto wa Kike Wanaume Tupo Morogoro ukikasirika Tukana Utakavyo..Mwanaume Unachamba Kama Mama Hadija😂😂😂😂
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Год назад
Dah kwa mimi ninavyo ona huyu jamaa ikitokea siku kasimama na kiduku mchezo utaishia round ya 4 tu
@ibrahimsamson4193
@ibrahimsamson4193 Год назад
Huyu jamaa michosho kinoma
@sabanajunior3243
@sabanajunior3243 Год назад
Mdigo mdigo tu dah
@yusufsong7993
@yusufsong7993 Год назад
Bongo ukiwa unataka kuweka record duniani basi waswahili wanataka upigane na watu wala awakusaidii kukupandisha kuwa bondia wa kimataifa 🤣🤣🤣🤣🤣
@nativeGold.10
@nativeGold.10 Год назад
🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌
@mwaitajuma4140
@mwaitajuma4140 Год назад
Nitaenda inshallah sikuhiyo kwenye pambano nahivi Nipo Dom mwakinyo piga huyo
@BwenzaofficialMusic
@BwenzaofficialMusic Год назад
Kwanza lile pambano na lyam Smith limeishia wapi au ndo tumepigwa
@mwananganzi
@mwananganzi Год назад
Usiwajibu wamejipanga wanataka kuishusha CV yako usiwajibu kk unawapa Kiki. Ww fanya mambo yako yale watakubali mchakato tu.
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 Год назад
Mwakinyo ninakukubali sana uckubali wakutoe kwenye malengo watanzania wanapenda kuwekeza kwenye vitu vyo hovyo vicvyoweza kulifaidisha Taifa na mfano wake ni Mandonga hana chochote chakufaidisha zaid ya kuchekesha ambayo nikazi Yakima kingwendu
@yusufsong7993
@yusufsong7993 Год назад
Si unaona mabondia waliokuwa juu lkn kilicho waumiza ni aya ya kupambana nyumbani kisha ukishaona umepata misifa ya kijinga basi apo na kipaji kinakufa ukishaitwa bingwa tz basi apo kwisha kazi utakufa masikini jina kubwa lkn una kitu
@bdmbega1423
@bdmbega1423 Год назад
B.R.A.V.O
@dominicrobert266
@dominicrobert266 Год назад
Hatuna bingwa wa wBc ninyi!!
@nimrodsigulu6249
@nimrodsigulu6249 Год назад
Ubingwa wa Dunia hi hii???😃😃🤗
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Ya nyerere na imepita sambuse wewe
@Godmaletz
@Godmaletz Год назад
Mbona umemkumbuka Nyerere
@willyngoko8244
@willyngoko8244 Год назад
unaongea sana
Далее
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
Просмотров 3,7 млн
WILL IT BURST?
00:31
Просмотров 29 млн
HOW MY FRIEND WAS KILLED IN DAYLIGHT ROBBERY
48:36
Просмотров 2,6 тыс.
PAMBANO LA ROUND 10: MWAKINYO VS TINAPAY
25:53
Просмотров 302 тыс.