Тёмный

MWAKINYO ULINGONI TENA ARUDI NA STYLE MPYA "NGUMI INABIDI IPOTELEE KWENYE MBAVU, ATASIMULIA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@hidayapaulo6752
@hidayapaulo6752 Год назад
Amini shabiki wakweli hawezi kwenda na upepo MR Mwakinyo piga KAZI💪
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 Год назад
Big up mwandishi ametulia kwenye kuuliza maswali, wangekuwa hawa makanjanja wetu ungesikia 'Unamwambiaje Mandonga? Hiyo miwani sh ngapi?? Hahahahaha!
@carlyboytz
@carlyboytz Год назад
Kwakweli mileo wakwanza like zenu Kwa familia
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Mwakinyo jembe la ukweli,bondia aliyekamilika nakubali sana mwanang mwakinyo
@managmentjr-bg5pt
@managmentjr-bg5pt Год назад
Champez 1tyme Let's Gooo champ 🔥🔥🔥❤
@FredBadista-lj8ml
@FredBadista-lj8ml Год назад
Champezi time let's gooo champ wbo nakutakia mafanikio kaka
@meedyshow8807
@meedyshow8807 Год назад
Yaaan katika mabondia ambao sipotezagi mudawangu kumtazama ulingoni ni huyu ...mwakinyo hahahaha viatu vilikubana ulayaaa hahahah
@kingmediatz5243
@kingmediatz5243 Год назад
Safi sana mpiganaji .. KING MEDIA TZ .. KWA MOVIE KALI
@mussamajisu9781
@mussamajisu9781 Год назад
Kaka mungu hakuongoze tuko pamoja
@SebaLyandala
@SebaLyandala Год назад
Piga Kaz mwakinyo wambea wakalale
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Год назад
mwenetuu ✌️💥
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Mwakinyo hanachamba😂😂et wambea ...Kwer katoka tanga kijana
@hizamwaimu6012
@hizamwaimu6012 Год назад
Mungu akutie nguvu lakini tulimmisi sana ulingoni .lakini pia tulimisi ngumi sio maneno
@sadyzabrone
@sadyzabrone Год назад
Nakukubalii mnooo unajua pambana utafika mbaliii sanaaa amini kwenye Vision yako kaka
@othumanabdallah-kg4ml
@othumanabdallah-kg4ml Год назад
Bigap mwakinyo upo vizei
@AmosSniper
@AmosSniper Год назад
Huyu ndiye bondia bora Kwa nyakati zote kumshudia katka ardhi ya Tanzania
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Mi nakupenda wew yan ukipigana nakua roho juu kama nimebandika nyama
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Sasa ww unampenda upend ngumi
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Sasa ww unampenda upend ngumi
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
@@cleartzboy samahan na mmewangu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@salcle9702
@salcle9702 Год назад
Viatu vilimbana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mosongatz4534
@mosongatz4534 Год назад
Huyu ndio basi tena uoga unamsumbua sana mdomo mwibngi vitendo ziro
@Shine_Tz
@Shine_Tz Год назад
Hatari sana
@JosephAlexBey
@JosephAlexBey Год назад
One Time champez
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
Pee a boo style ndo stail ambayo inapotelea kwenye nyama.
@frankkikambako9281
@frankkikambako9281 Год назад
Umeanza kuiga Mandonga majina ngumi🤣🤣🤣
@aminaomarimaidi
@aminaomarimaidi Год назад
Wtba5ns🎉😂❤❤❤😂5a enh bw3shvt2aYx1wyw5bxwh😏😳🤪😊😊😊😊oòilĺĺllo2k21
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 Год назад
😆😆😆
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
😍😍😍😍💯
@danielsimon1260
@danielsimon1260 Год назад
Dar wew kiboko.....
@gideonleonceelias5423
@gideonleonceelias5423 Год назад
Aachege tu dharau, Biblia inasema Heri sifa njema kuliko Marhamu nzuri. Mandonga anaweza asiwe mpambanaji mzuri ila hadharau mtu yule mwamba ndio maana amekuwa kipenzi cha watanzania.
@fatimahants1526
@fatimahants1526 Год назад
Allah akuongeze kwa kila khatuwa mwakinyo fans
@elisanteshayo3882
@elisanteshayo3882 Год назад
Hamna kitu humu jamaa anayachezea maisha hayupo seriously at all
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Год назад
Tangu auze mechi Uingereza huyu jamaa simkubali fala sana huyu
@Shine_Tz
@Shine_Tz Год назад
Like zenu jamani nizione
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Год назад
Unalia ugali
@mkanganails5839
@mkanganails5839 Год назад
Tunaomba mpinzani tumjue mapema maana nyie mnajanjajanja sisi tunataka tunajua kurudiana na Smith mpaka upandishe nyota kwa Sasa nyota zako ziko chini sana nyota tatu aziwezi kufanya ukatafutwa pandisha nyota acha maneno maneno
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 Год назад
Ww hivyo viatu vinakuhusu ? We eleza atapambana lini co unazungumzia viatu kila cku mwakinyo ndo tegemeo la Africa yetu hajatokea mwingine bado Sana
@emmanuelbarnabas2577
@emmanuelbarnabas2577 Год назад
Good
@dullawest7778
@dullawest7778 Год назад
Tumemic sana ngumi zako wengine wanarukaruka tu
@franciskomba8057
@franciskomba8057 Год назад
Saf sana
@frankmushi8892
@frankmushi8892 Год назад
Jitahidi kaka usituongushe alfu ucwe muoga wangumiii we pigana kaka
@kamilagwajuma8384
@kamilagwajuma8384 Год назад
Ujamaa ana kera una hojiwa wewe una utaja usilamu
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 Год назад
Huyu altuambia pambano lake la Uingereza litarudiwa Januari 2023,kwann alitudanganya????
@mosongatz4534
@mosongatz4534 Год назад
muongo huyu hana hadhi ya kurudiana na smith
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Год назад
Huyu kwasasa si hana mkanda wowote?
@meedyshow8807
@meedyshow8807 Год назад
Huna lolote manemengiiii hunajambo .kazi kulamba lipsi tu mdigo mshamba mmoja
@djsandi4419
@djsandi4419 Год назад
Naomba mungu udundwe sijui unajikutaga nani
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Akipigwa mtanzania mwenzako utafaidika nn wew acha roho ya kichawi
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Год назад
Tumsapot mwenzetu
@djsandi4419
@djsandi4419 Год назад
@@cmb6342 sio roho ya kichawi mm mchawi kbisa
@franksosoma4267
@franksosoma4267 Год назад
Nyie ndo mnaoumia juu ya mafanikio ya wenzenu
@abuusirleh8196
@abuusirleh8196 Год назад
Muongo mkubwa we😏😏
@sikujuahamisi7252
@sikujuahamisi7252 Год назад
Msenge wewe uliuza pambano
@goddamwakimi5889
@goddamwakimi5889 Год назад
Mwakinyo sikuizi mi msikubar kabisa, na amepolomoka, saiz habari ya mjini ni mandonga mtu kazi
@johnycavishe5207
@johnycavishe5207 Год назад
Mandonga amna kt ajaktana na watu wa kazi ngumi jiwe
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
Hata usipomkubali mi namkubali
Далее
4 Year Sibling Difference! 😭 #shorts
00:11
Просмотров 9 млн
HOUSE GIRL EP 30 | S3 | Love Story 💕💞
21:00
Просмотров 6 тыс.
4 Year Sibling Difference! 😭 #shorts
00:11
Просмотров 9 млн