Тёмный

Mwalimu mbaroni akidaiwa kumuua mwanafunzi kwa kichapo 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 740
50% 1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda imesema mwalimu huyo ambaye ni mkazi wa Kata ya Kanoni wilayani Karagwe, inadaiwa alimshambulia marehemu kwa kumpiga ngumi kwenye paji la uso na kutumia nondo kumpiga nayo miguuni na mikononi baada ya kumtuhumu kuiba simu yake.
"Tukio hili lilitokea Septemba 18, 2024 saa 8:00 mchana katika kijiji cha Kanoni Wilaya ya Karagwe, ambapo mtuhumiwa awali mnamo tarehe hiyo saa 3 asubuhi, imedaiwa alifika nyumbani kwake na kukuta kufuli la mlango wa nyumba yake likiwa limevunjwa na alipotaka kuingia ndani alikutana na Phares Buberwa mlangoni akiwa anatoka ndani huku akijaribu kukimbia," amesema.
Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi
(Imeandikwa na Ananias Khalula)

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@yohanakateko
@yohanakateko 3 часа назад
Mwalimu uyo anakula bangi au kama kweli alifanya ivyo
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 3 часа назад
Mmmmmhhhhh🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿!!!!!!!
@mtakatifutv2101
@mtakatifutv2101 4 часа назад
Iv nyie wenye izi media mbn nyie hua hamtoi maoni??
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 3 часа назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanas2
@mwanas2 4 часа назад
Mtihani jamani kwan mwalim siangempeleka police kama alikua na uchungu sana na iyo sim sasa leo unaozea jela umeua kwa hasira za kijinga.
@billimambo9517
@billimambo9517 4 часа назад
Akmopiga mwanafunzi, kampoga mwizi
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 часа назад
kampigamwizi kasahau mwenzio alihukumiwa kifungo chaMaisha kwa kumpigia mwanafunz kwakumsingizia kaipa mkoba​@@billimambo9517
Далее
Тонкости французской кухни🥰
00:48
AWAKENED THE UNKNOWN
00:17
Просмотров 2 млн
Comparison of the Most Painful Punishments
15:42
Просмотров 1,9 млн
How to win a argument
9:28
Просмотров 562 тыс.
Тонкости французской кухни🥰
00:48