Тёмный

MIILI YA WALIOCHOMWA MOTO HANDENI YATAMBULIWA, YUPO MTOTO WA MIAKA NANE 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@StellaJohn-dz6gv
@StellaJohn-dz6gv 3 часа назад
Sasa mtoto na binti wa kazi walikuwa na kosa gani jamani😢ila hii Dunia🙌mume wa marehemu sijui ana hali gani,na wazazi wa binti wa kazi,Mungu usiache waliofanya huu unyama waishi kwa amani,Mungu awatie nguvu ndugu wote
@OfficialA83640
@OfficialA83640 8 часов назад
Ni unyama mkubwa sana huu haya mtoto kawakosea nn jaman😢😢
@OlivreKimario
@OlivreKimario 18 часов назад
Eee mungu turehemu
@KiringoMtemi
@KiringoMtemi 17 часов назад
Polisi mnafanyakazi gani? Nyie mnawalinda chedema huku raia wanakwisha sijui mmaakili gani
@davisnyandindi4917
@davisnyandindi4917 16 часов назад
Yan ndan ya dakika tatu hii nimekutana na bahar zaid ya mbili ya watu waliouliwa duh hii hatar
@leokamil6284
@leokamil6284 13 часов назад
R.I.P poleni sana wafiwa
@rasheedmbaraka7199
@rasheedmbaraka7199 8 часов назад
Watu wamekuwa wakatili sana
@maryamtan682
@maryamtan682 19 часов назад
Daaaah jmn dunia ya leo,!
@ObediiLaizar
@ObediiLaizar 17 часов назад
Police mmeku adui na raia mtapataje ushirkiano? Na wakat nyie wenyewe adui wa raiya?
@leokamil6284
@leokamil6284 13 часов назад
Wao wapo kulinda Mnyika kanisani, na wanasema wanaitelejensia za kujua mikutano ya Chadema na kila kinachoendelea sasa wanaulizia nini sisi raia wanatuwinda na kutuswaga
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 часа назад
Hii ninlaana inaliandama Taifa la Tz. Rais atangaze siku ya maombi kwa taifa zima tukusanyike viwanjani tufunge, na kulia laana hii ipiotee
@naqiahmad26
@naqiahmad26 16 часов назад
wafiwa wote poleni
@leokamil6284
@leokamil6284 13 часов назад
Uchunguzi uanzie kazini kwake huko kwenye mahesabu je kamkagua nani?au kuna biashara gani kafanya na mtu ?.Pia atafutwe Mama wa huyo Mtoto aeleze ilikuwaje Baba akawa na mfanyakazi wa ndani na Mtoto tu ?.Je hawapo pamoja ?Je analolote analojua kuhusu maisha ya Marehemu?.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 8 часов назад
Unaelewa vzr ndugu...alifariki ni Jonaisi ambae ni mama na mtoto wake pamoja na dada wa kazi baba au Mume yeye alikua Yuko dar kwaiyo dar wanamji na huko wanamji kwaiyo Alie fariki ni mwanamke
@leokamil6284
@leokamil6284 19 минут назад
@@ireneshao7950 Ebu kasikilize vizuri wewe kafariki mume sio mke au huelewi mume mtoto na mtumishi Binti
Далее
Тонкости французской кухни🥰
00:48
Ozoda & Dilime - Lada
00:36
Просмотров 506 тыс.
Comparison of the Most Painful Punishments
15:42
Просмотров 1,9 млн
TURKEY | A Muslim Superpower?
13:52
Просмотров 91 тыс.
Тонкости французской кухни🥰
00:48