Changamoto ni kwa kila mwanaume. Tumshukuru Mungu amemlinda muda wote huo ,hivyo tumchangie aweze kuendeleza maisha yake.kumbuka "shilingi ina pande mbili".tutazame pande zote 2
Kaeni kwenye nchi nzenu mtulie maisha hata huku yapo, Tamaa za watu kutaka mafanikio ya shotkati kwenye maisha zinawafkisha pabaya! Kitu unacho jua serikali haitaki achana nacho,
Hapo nyumbani utapata maisha gani bila ya kuibia watu au serikali?? Tamaa ukiwa nayo ppte ukaapo, hapo nyumbani watu si kila siku wanauana kwa imani za kishirikina??? Mtu anaambiwa lete mtto, mama, mke utapata hki au kile na anapeleka.
Kwa wale wanao comment kuwa huyu ni mkenya sio kweli TZ kuna wajaluo pia huko mkoa wa Mara na wengi wapo serikalini.. mfano Wamasai wapo kwetu na Kenya pia wapo wengi tuu, wadigo wako pande zote pia, wakurya wapo pande zote pia hadi wapemba wakenya mombasa wapo pia kwahiyo lugha ya ubaguzi kwa huyu mzee haina maana unajichumia laana tuu. Alafu East Africa kihistoria sisi ni ndugu wa damu.
Kitu inaitwa Munigeria ni kitu chafu na kitu cha kujihadhari nacho.kama nyoka wa hatari sumu unapoona akikuchekesha. Lazima atakuingiza kwa madawa ya kulevia 🇰🇪
Sasa wewe mzee hizo dawa za kulevya si ni kuharibu watoto wa wenzako, mbona watoto wako umewafurahia kwa masomo waloyapata ? Hukufanya kitu kizuri kabisa.