Тёмный

MBARIKIWA RASMI CHADEMA, WAMPOKEA KWA KICHEKO NA SHANGWE DU HAPA USHINDI NI LAZIMA. 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@LucasKiboi
@LucasKiboi 3 часа назад
Amina
@ShijaNgassa
@ShijaNgassa День назад
Jamaa yupo vizuri kwanza hataki unàfiki wa uongozi
@Daudimakaza-s1v
@Daudimakaza-s1v 14 часов назад
Muhobir yesu Kaka achana na siasa
@yohanakateko
@yohanakateko 2 дня назад
Nakuelewa sana mchungaji
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w 2 дня назад
Mbarikiwa nakuelewa Sana
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 9 часов назад
Mwambie sifa agombee udiwani kupitia CHADEMA
@SethMwakangata
@SethMwakangata 15 часов назад
Kwa kweli UKRISTO upo kweli makanisani
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i Час назад
Tena usmame lile pengo alilo acha mch:msigwa ukave wwe
@Peterchipemba
@Peterchipemba 8 часов назад
Nashindwa kukuelewa,,shida hujajua nini maana ya siasa,,ungejua nini maana ya siasa ungetudadafulia chama ni nini..
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 8 часов назад
Siasa ni mfumo wa uongozi katika jamii. Chama ni mapatano ya jamii fulani yenye mlengo unaoendana. Sikatai siasa kwa sababu hata kanisani au nyumbani tunaenda kwa utaratibu kwa sababu ni siasa. Ila nakataa kujiunga kwenye chama au jumuiya ambayo msingi wa kweli wa mioyo na maisha yao si haki bali kupata ulaji. Mkitenda haki nitawaunga mkono wewe au chama chako.
@Peterchipemba
@Peterchipemba 6 часов назад
@@Mbarikiwa_Mwakipesile aya nimekuelewa,,baki msikilizaji wa siasa,,ila naamini haki hutafutwa kwenye kundi Fulani aijalishi ni kundi LA chama gani,,siasa ni maisha,,siasa haikwepeki,,
@Jephason-m3z
@Jephason-m3z 2 часа назад
​@@Mbarikiwa_MwakipesileFact mchungaji
@FrancisRogears-w7i
@FrancisRogears-w7i Час назад
Mbarikiwa gombea ubunge ili ukaitetee haki uko bungeni
@JohnKaliadi
@JohnKaliadi День назад
Wewe bado sikuelewi ,mungu adonai kama aisivyo iwadhihirishie watu uchungaji wako,kwamba unatumiwa na shetani au mungu
@HamisiSamweli
@HamisiSamweli День назад
Hujui kitu bado
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s День назад
🎉
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 День назад
HILO NI KANISA AU CHAMA CHA SIASA KILA SIKU KUONGELEA SIASA MAJINA YA WATU NA KASHFA ZINGINE BIBLIA HAAAA
@gotafostv7305
@gotafostv7305 День назад
Ulitaka waongelee majina ya Nguruwe?
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 День назад
@@gotafostv7305 JINA LA YESU. KUONGEA WATU HUO SI UMBEA NA UPASHKUNA MADHABAHUNI? HUKO NI KUFILISIKA KIINJILI
@Mligobmligo
@Mligobmligo День назад
Anawahubiria watu, siasa inawahusu watu, maendeleo yanawahusu watu, haki inawahusu watu, mahubiri yanawahusu watu na mbingu inawahusu watu​@@benjaminlijongwa3715
@helsonjonathan
@helsonjonathan День назад
Naona mbarikiwa kagusa chawa dah povu linamtoka 😂😂😂 safi pastor wagonge hivyo hivyo
@aaaaaah290
@aaaaaah290 13 часов назад
@@benjaminlijongwa3715 HUIJUI INJILI NA MISINGI YAKE. Injili unayoita mbona Ipo nyingi tuu, sikiliza hizo. INJILI YA KWELI TUACHIE WA KWELI.
@DjJohnBashir-oy7cx
@DjJohnBashir-oy7cx День назад
Unajitetea nini wewe Haki inatokana na Nini chama ndicho kinatengeneza haki
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Ni vigumu sana chama cha siasa cha Kiafrika kuamini na kuishi katika haki tu na kikashinda. Zaidi ya hayo ni rahisi kuona mwenye haki akibadilishwa kuwa mwovu akijiunga na chama cha siasa kuliko yeye kuwabadilisha waovu.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 10 часов назад
Apeleke hiyo haki ikashike dola, angeniambia ataunga mkono chama kinachosimamia haki ningemuelewa
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 День назад
Bado huwezi kuwa mwanasiasa wewe! Bado sana!
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o День назад
Ivi wewe ni nani mpaka ujikuze na watu awakujui?
Далее
Women’s Goalkeepers + Men’s 🤯🧤
00:20
Просмотров 6 млн
KAULI YA MTUME MWAMPOSA KWA WATANZANIA.
11:26
Просмотров 40 тыс.
TAMKO KULAANI MAUAJI YA KIONGOZI WA CHADEMA
5:44
Просмотров 4,1 тыс.
'Hata mke wangu sasa wanasema sio raia'- Paul Makonda
17:50