Тёмный

MWANAMKE TAJIRI ANAEFANYA KAZI ZA NDANI 

Kidani Show
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Aliamua kaunzisha kampuni yake ya Lojary housekeeping baada ya kaucha kazi aliyoifanya kwa miaka zaidi ya 10, akizoea kushika hela kila mwezi, lakini baadae akabuni namna nyingine ya kujipatia kipato nayo ni kufanya kazi za ndani, ikiwemo kusafisha nyumba, kulea watoto kuhamisha vitu kwa wanaohama, na maisha yake yanaendelea kwa kusaidia wanawake wengine katika kujipatia kipato kupitia kazi hiyo

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@NeemaKamwela-r1e
@NeemaKamwela-r1e Год назад
Ubarikiwe naomba kazi na mm
@Kubwimanaanderson
@Kubwimanaanderson 8 месяцев назад
🔥🔥❤️
@NeemaKamwela-r1e
@NeemaKamwela-r1e Год назад
Ee jaman nimeipenda sanaa
@am12ghh37
@am12ghh37 4 года назад
Mashallah tabarakallah am proud of u sister✋👌👍💋💋💋❤❤🙏
@felistamanya2677
@felistamanya2677 3 года назад
Honger sana upo vizur
@leilamohamed1298
@leilamohamed1298 4 года назад
Wajiri wanatakiwa wajitambue wafanya kaz za ndani ni kaz kam kaz zingine waishimun wafanya kaz za ndani ndio kila kitu kwenu,,,pesa yako aiwezi kufanya kaz ivyo waeshimun sana Wadda wa kaz....kam pesa yako ndio kila kitu iweke chin bas ikufanyie kila kitu
@raymondmwambete2330
@raymondmwambete2330 4 года назад
Good initiative and creativity. Kindly provide here her company contacts
@lesthermulagha6687
@lesthermulagha6687 3 года назад
Asante kwa shule nzuri naomba namba yako
@MerekeTradingcompany
@MerekeTradingcompany Год назад
Tujuanee pls tutende jambo niko dar airport
@user-bd6if2vn8s
@user-bd6if2vn8s 10 месяцев назад
Nami naitaji dada naomba namba tuwasiliane
@prettyh7509
@prettyh7509 2 года назад
Mashallah 💕💕tulioko gulf kazi zoote zinatuelemea tujuane jamani
@neemaloveness7210
@neemaloveness7210 3 года назад
Nimekukubali sna dada ila na mimi nataka kazi zandani ila nina mtoto mmoja anamiaka miwili nanusu maisha nimagumu nisaidiye dada
@amalahmad6590
@amalahmad6590 4 года назад
Nimeipenda hii biashara jamani
@user-wv6qr4vx3c
@user-wv6qr4vx3c 5 месяцев назад
😊naomba namba sis No
@allysaidd4623
@allysaidd4623 4 года назад
Nimekupendaa kwa kwl mpenz mie nam ni maid mascat Oman ilaaa nimekupendaa mnoo
@kapeljjkapeljj5407
@kapeljjkapeljj5407 4 года назад
Woow good idea
@mercymichael476
@mercymichael476 Год назад
Nahitaji huduma yenu.Naomba namba ya simu tuwasiliane.
@hildaqorro2225
@hildaqorro2225 4 года назад
Anapatikanaje ?
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 4 года назад
Huyu dada ni mchaga maana kwa akiri hiyo naona ni shimbon
@Layla_Sulaiman88
@Layla_Sulaiman88 Год назад
Dada kwakweli nime penda tutumiye namba yako na mimi nataka kazi dada
@jacqlinemacha9307
@jacqlinemacha9307 3 года назад
habar kwa jina naitwa fides macha nilikuwa naitaji kaz dada kwa maan ninauzoefu nayo kama miak 2 natokea tabata kimanga namb yng hii 0756099237
@rukiyarashid9170
@rukiyarashid9170 4 года назад
Hi show ndio imenifanya ni sabscrime.walai hii idea ni poa
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 4 года назад
Kweli dada pambaneni
@NeemaKamwela-r1e
@NeemaKamwela-r1e Год назад
Ee jaman nimeipenda sanaa
Далее
JUKWAA PEKEE LA WADADA WA KAZI ZA NDANI…
14:59
СМЕЛОЕ РЕШЕНИЕ #shorts
00:14
Просмотров 23 тыс.
Usiyoyajua Kuhusu Biashara Ya Nguo za Mitumba
7:32
Просмотров 3,4 тыс.
DADA WA KAZI MFANO WA KUIGWA
8:48
Просмотров 189 тыс.