Тёмный
No video :(

MWANANCHI ALIYEKATWA PANGA 19 AMLIZA MAKONDA "FUKUZA HUYU, MAITI ZINATUPWA MTONI" KIGOGO ABANANISHWA 

Uhondo TV
Подписаться 596 тыс.
Просмотров 132 тыс.
50% 1

#UhondoTV #Uhondo

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 380   
@RehemaMsengi-rp5wg
@RehemaMsengi-rp5wg 3 месяца назад
Machozi yamenitoka pole sana ,Mungu ni mwema pia asante Mungu Kwa kutupa viongozi kama Makonda kuwakilisha vema Arusha Mh Mungu akupe maisha marefu.
@gracerichardmushy8429
@gracerichardmushy8429 6 месяцев назад
Daaaah! Machozi yamenitoka, nimeumia sana, watanzania sisi ni wamoja, ni ndugu, kwa nini kuumizana hivi? Mama Samia Mungu akupe hekima kama mfalme Suleiman uiongoze hii nchi. Tunakupenda sana mama Samia, kika siku tunakuombea Mungu akupe afya na hekima uliongoze hiki taifa letu la Tanzania
@mosesmuhoozi8133
@mosesmuhoozi8133 2 месяца назад
Being honest Makonda you are true and servant of God, I believe that you will still maintain and protect president magufuli's legacy, thank you so much man of God Makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 6 месяцев назад
Asante Mungu kwa kutuletea zawadi hii ya kijana Mpole mnyenyekevu msikivu na mwenye umakini kijana wetu Paul Makonda Mungu akulinde akuzidishie miaka mingi
@gracerichardmushy8429
@gracerichardmushy8429 6 месяцев назад
Makonda Mungu akubariki sana, umefanya jambo la hekima sana. Mungu akutunze daima.
@masaikisawani8534
@masaikisawani8534 6 месяцев назад
Mungu baba mwenyezi tupe mwisho mwema hapa duniani
@SaidyNjenjema
@SaidyNjenjema 3 месяца назад
Makonda ni laisi ajae nilaisi alie andaliwa namungu,,,,,,,mungu amueke makonda..... Makonda mungu ikimpendeza nianze kufa mim yey abaki ailinde dunia ijayo Tanzania,,,,
@salvationisindividualbased8036
@salvationisindividualbased8036 2 месяца назад
Mungu akushikilie Paul Makonda,,,, Afya njema akujalie ,,,, akusamehe ulipowahi kosea ,,, akupe fursa ya kutumika kwa ngumvu nyingi ,,, Mungu akuinue mpaka vilele vya juu,, uongozi ni kugusa hisia na hali za watu,,, Blessed abundantly my sencere prayer,,, Amen.
@agnessslaa1897
@agnessslaa1897 2 месяца назад
Aaaaaah Arusha imepata Neema Mungu ametukumbuka❤stay blessed RC.Makonda kwa unayoyafanya ya kupendeza na kusaidia jamii
@nebartmwakibinga7064
@nebartmwakibinga7064 6 месяцев назад
Yesu akutunze saana Makonda nakuombea kwa Mungu aliyekuumba uishi miaka mingi ya heri na baraka na afyaa kamili
@yoshuasalum8623
@yoshuasalum8623 5 месяцев назад
Binafsi namuona Magufuli ndani ya Makonda, kama dhamira yako iko hivyo kutokea ndani.mimi kama mtumishi wa Mungu,nakuombea Mungu akuinue siku moja uje kuiongoza nchi hii, maana haipingiki, kua Tanzania ilipofikia ,inahitaji Rais wa aina ya Magufuli na makonda.Mungu akulinde na kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa kwa jina la Yesu kristo, aaamen
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 6 месяцев назад
Rais Samia kipekee nakupenda sana.hekima uliyoitumia kumteua Makonda kuwa Mwenezi na kuanza kuzunguka na kuona mambo yanayotendeka.ubarikiwe sana Mama.Na pia Makonda Mungu akulinde na kukutunza.
@jacquilinemakundi1841
@jacquilinemakundi1841 6 месяцев назад
Nakupenda Sana Makonda,nakuomnea Kwa Mungu wewe ni mtu mwema Sana!!
@sabojanvierjaja2007
@sabojanvierjaja2007 6 месяцев назад
Dhaaaaa 😢😢😢😢inatisha sana kabisa inaskitisha kumuona mwanaume kama huyu kulia kama mtoto mdogo kisa kuonewa aisee 😢😢ehh Mwenyezi Mungu tusamehe
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 29 дней назад
Asante sana mweshimiwa MAKONDA Mungu azidi kuku bariki pia aku ongezeye hekima nama arifa yaku tenda majukumu yako kwa ajili ya taifa la tanzania.ni ELIA SHABANI KING toka inji ya DRC CONGO
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 6 месяцев назад
Mungu Muumbaji (Allah) amemchukua Magufuli anatuletea Makonda. Alhamdulillah. Hakika hakuna shari isiyo ja kheri mbele yake.
@nestorysanga3938
@nestorysanga3938 6 месяцев назад
Hivi bila Makondo haya yote tungeyajuaje? Hakika unayaishi maneno yako. Mungu akupe maisha marefu uje kutuongoza kwa nafasi ya juu
@wilgisndunguru8079
@wilgisndunguru8079 6 месяцев назад
Makonda unafanya kazi nzuri sana mfikishie rais mateso hayo ya watu, hapa kuanzia RC na DC na viongozi wote wa eneo hilo wanapaswa kufukuzwa
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 месяцев назад
Hakika
@jameskiroka2549
@jameskiroka2549 6 месяцев назад
Raisi hachukui hatua. Kila Kona watu wanalia machozi hatua hazichukuliwi
@JafariHamisi-gu4ef
@JafariHamisi-gu4ef 6 месяцев назад
Asante mungu kwa kuwafumbua macho viongozi wa tanzania kupitia pol makonda
@BigawaTv
@BigawaTv 6 месяцев назад
Hii nchi ina amani😢😢 Yaani ni sawa na muonekano mzuri wa nje halafu ndani kumeoza😢😢
@MichaelEnock-zq2wy
@MichaelEnock-zq2wy 2 месяца назад
Paulo makonda chuma kwel kweli mwenyez mungu akulinde Kila sekunde uweze kuitumikia Tanzania yetu naomba haya kwajina la clisto amina
@user-dc1qh3nm5s
@user-dc1qh3nm5s 6 месяцев назад
Mungu akulinde baba na anakupenda sana
@irenechuwa3221
@irenechuwa3221 Месяц назад
Hongera sana muheshimiwa Paul Makona nzuri kama Rais Magufuli.Hamia na Mkoa Kilimanjaro kesi za mashamba zimekuwa kilio na rushwa nying
@zakariamakumba5042
@zakariamakumba5042 2 месяца назад
Mhe Makonda umenitoa machozi Mimi ,Much Zakaria,kweli wewe mtu wa Mungu aliye juu
@PatrickMwendesha-tr9dy
@PatrickMwendesha-tr9dy 6 месяцев назад
Mungu akulinde Kwa kazi nzuri ya kutetea nakueneza upendo kwenye nchi yako makonda
@Happy-rm7gs
@Happy-rm7gs Месяц назад
Mungu akubaliki sana makonda wewe nimutu mwema sana❤
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 6 месяцев назад
Makonda Mungu akubariki nilikua sikuelewi ila Leo nimekuelewa sana
@IANA2030
@IANA2030 6 месяцев назад
He is a great leader😢
@patrickkwibe4431
@patrickkwibe4431 2 месяца назад
❤ I am from DRC 🇨🇩 Makonda Mwenyezi Mungu akulinde,kwa kweli Tanzania inasifa nzuri kwa inje ila kwa ndani watu wanateseka sana tena sana
@juniormwaboza
@juniormwaboza 2 месяца назад
daaaaah! kakangu pole sana kila jambo lina mwisho, mungu anakupenda Ssna, paul makonda akuzidishie ujasiri na hekima sana
@JuliethNgowi-n8f
@JuliethNgowi-n8f 6 дней назад
Natamani mama Samia akistafu uraisi makonda awe raisi mungu naomba ukatende
@ndongeyejackobo4059
@ndongeyejackobo4059 6 месяцев назад
I never used to cry because of national issues, now I have deeply cried
@user-ef7pn5wt7g
@user-ef7pn5wt7g 2 месяца назад
Niliwaaambiaa watu Tanzania inapendwa na Mungu...Asante mama Samia kumuona kijana huyu ...Paul Makonda kumleta Tena Kwa wananchi wote ili awasaidie...Mungu akulinde makonda
@triphoniafaraay4499
@triphoniafaraay4499 2 месяца назад
Mh Makonda hongera sana unafuata nyayo za Baba yetu Magu, Mungu akutunze kwaajili ya Watanzania
@user-hu7yc6qf8t
@user-hu7yc6qf8t 2 месяца назад
Mungu akuweke makonda
@halimamtamila8181
@halimamtamila8181 6 месяцев назад
Daah ahsante Mungu Kwa kutuletea hii dhahabu Mungu akutuze Paul makonda
@christophermazigwa8480
@christophermazigwa8480 3 месяца назад
Mheshimiwa Makonda Mungu aendelee kukulinda na uendelee na moyo huo huo Amina
@noelnoel4916
@noelnoel4916 6 месяцев назад
Makonda unafanya kazi nzuri, Fanya hivyo hivyo mungu akubariki Tanzania itumikie Tanzania ni watu Piga kazi Muwakilishe mama samia
@PrinceKelvin-ht2hm
@PrinceKelvin-ht2hm 4 месяца назад
Kwa kweli Makonda tulikuwa hatujakuelewa mwanzo sasahivi tunakuelewa
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 6 месяцев назад
Ipo siku mtanikumbuka tena mtanikumbuka kwa mema ilisikika sauti kutoka nyikani rest in peace jpm
@FrancisJoseph-i2k
@FrancisJoseph-i2k 2 месяца назад
Makonda mungu akubariki sana
@akbarsuleimanmdimilage8371
@akbarsuleimanmdimilage8371 6 месяцев назад
Pole sana makonda kazi yako ni changamoto
@RamaZuberi
@RamaZuberi 5 месяцев назад
Na kubwa mmmmno ila mungu atamlipa hapa duniani na kesho ila mungu mpe umri mlefu makonda na waziri mkuu maana mama wanamdharau sana live bila kificho Allah ilinde nchi yangu 🤲
@user-ef7pn5wt7g
@user-ef7pn5wt7g 2 месяца назад
Makonda wewe....Mungu akutunze daima...sisi tunakuombea ulinzi wa Mungu aliye juu yetu
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 месяца назад
Daaaha pole sana bro😞😞😞😞😞😞Makonda fukuza Viongozi wachafu ❤❤❤❤❤❤
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl
@ANYELWISYEMWALUKASA-zd7yl 6 месяцев назад
Asante Baba makonda Mungu akubaliki
@StewartUkason
@StewartUkason 5 месяцев назад
Kwanini mambo haya yanaendelea kufanyika katika maisha ya watanzania hawa!? Mh. Makonda una kazi ngumu sana. Mungu akutunze, na maadui zako wapeperushwe.
@IdiOruwa
@IdiOruwa 2 месяца назад
unafanya kazi zuri sana tunge pata mtu kama wewe tungenyorosha kenye yetu
@user-sq1mh5np8v
@user-sq1mh5np8v 2 месяца назад
makonda tunakuomba ukawe rais wa awamu ijayo tunakuombea tu mwenyez mungu awe pamoja nawe pamoja na viongozi wote mungu awabariki samia tunakupenda sana
@user-dt1kf4nj6o
@user-dt1kf4nj6o 6 месяцев назад
Mwezi mungu akulinde, na mw, mungu amjaalie raisi Samia akusaidie, hata Mimi ninalia kwa matukio kama hayo ya kinyama , dah pole sana
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 месяцев назад
Pia
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v 3 месяца назад
Nimelia jmn😭😭😭😭😭Mungu itunze Tanzania na utujalie viongozi wazuri Makonda MUNGU akutunze uwe na Moyo uwo uwo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Bakari_motors7
@Bakari_motors7 6 месяцев назад
Makonda is alive for real reasons dah Mungu ampe uhai
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 6 месяцев назад
Ubarikiwe Mhe.Makonda
@user-ld6ys6ok6e
@user-ld6ys6ok6e 6 месяцев назад
Nimeumia sana juu ya mtu huyu, inaliza sana, eee Mungu waone watu wako hawa, Mungu akubariki sana mh makonda hakika wewe ni mbeba maono
@saadyusuph6554
@saadyusuph6554 6 месяцев назад
Inauma Sana mungu tu ndo jibu
@julimwai1456
@julimwai1456 2 месяца назад
Mmh pole muheshimiwa, kazi yako ni ngumu sana ila naamini Mungu ndie aliekupa hiyo kazi
@user-nb5hw4wj1y
@user-nb5hw4wj1y 6 месяцев назад
Makondo mungu yupoo atakusimamia tu mungu akupe ulaisi tu
@user-gc3ro1fl6g
@user-gc3ro1fl6g 2 месяца назад
Ohh my God very painful makoda may God protect u 🙏 may God bless you
@user-mr3fn1hc2y
@user-mr3fn1hc2y 2 месяца назад
Barikiwa Sana Mahali upo Makonda
@pearlMoson
@pearlMoson 2 месяца назад
Mungu akutunze akupe afy njema maisha marefu kizaz chako kiepushwe na mabaya yote Mimi ni mwananchi wako tu naitwa mama irene wa mto wa mbu ninamuomba mungu akuzingire kila utakapo kwenda
@AmbroseThomas-gs3lc
@AmbroseThomas-gs3lc 6 месяцев назад
Makonda si awe raisi tu ainyooshe hii Nchi.
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 2 месяца назад
Tz nchi yangu 😢, duh rushwa imezidi kiwango jamani wanyonge hatuna haki ndani ya Taifa letu
@MarryKamage
@MarryKamage Месяц назад
Samia baada ya kustaafu kijiti chako mpe makonda ataingoza nchi vzr sana
@user-qq5yp1zm4f
@user-qq5yp1zm4f 6 месяцев назад
Mungu akupe maisha malefu makonda
@mapendomeela7166
@mapendomeela7166 3 месяца назад
Makonda mungu aliye juu akulinde utakuwa raisi ukitenda haki mungu yu nawe daima
@naomikatharinaandrewmnkai6760
@naomikatharinaandrewmnkai6760 6 месяцев назад
Kaka natamani ugombee uraisi una weza ❤ ni vile bac
@RamaMwiru
@RamaMwiru 2 месяца назад
Pole
@user-ee5ph1tm9n
@user-ee5ph1tm9n 6 месяцев назад
Pole sana kaka yangu mungu yupo
@delickmarco3945
@delickmarco3945 6 месяцев назад
Nimelia sana mungu bariki sana viongozi wanao jua wajibu wao
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 месяцев назад
Pia
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 6 месяцев назад
It's so pity
@aidaharuna5549
@aidaharuna5549 2 месяца назад
Mungu atawahukumu sana mbinguni awato muona Mungu hii nchi itatumaliza sana
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 месяца назад
Yaani watanzania roho mbaya kuua kupiga mapanga panya rodi mmh tunaenda wapi hebu tubadilikeni jamani it’s sad 😢😢😢😢😢😢😢
@JeyJey-y8t
@JeyJey-y8t 2 месяца назад
Mungu kujalie makonda akuna mkuu wamkoa tanzania mdano wamakonda mungu akuweke itokee sikumoja ukahamuriwa na raisi ujetanga tanga kumeoza tanga nishida sinalakusema mungu akusimamie
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p 6 месяцев назад
Kweli mchoz umenitoka makonda uwe na moyo huohuo mungu akubariki kwa msaada wako happy ndo utajua limkulugenzi limesimama hapo hata Hof halina
@EvanceMputa
@EvanceMputa 2 месяца назад
Makonda shikamoo your the best leader enough to say
@user-ik8cf1kd4i
@user-ik8cf1kd4i 6 месяцев назад
Makonda mungu akubariki sn sn
@DanielMhamaka-el1do
@DanielMhamaka-el1do 6 месяцев назад
Kaka mako kaacha posho ila hicho kimbunga kwa watendaji hao wabovu hizo zitawatokea puani BIG UP KAKA MAKO
@mariomachecajoaquim1921
@mariomachecajoaquim1921 5 месяцев назад
God Bless you Kaka Makonda
@georgemallya4311
@georgemallya4311 6 месяцев назад
Asante makonda.wewe ni kiongozi chapa kazi
@nawafalbusaidi9354
@nawafalbusaidi9354 6 месяцев назад
Makonda mwenyezi mungu akupe umri mrefu akulinde na kila mwenye kutaka kufanya ubaya ashindwe
@hellenenock7458
@hellenenock7458 2 месяца назад
Makonda mungu akubariki sana mpaka nimelia kwanguvu
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 6 месяцев назад
Jamani nimejikuta machozi tu yananitoka. Nyie viongozi ambao hamtendi haki kwa wananchi wetu hayo machozi wanayolia hakika siku moja yatalipwa.Muogopeni Mungu.
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 6 месяцев назад
Haijawahi kutokea Kiongozi wa Juu kufanya anayoyafanya Rais Samia na nauhakika atayafanyia kazi mengi ambayo Makonda anayapata machungu ya Wananchi . Hongera Mh.Rais Samia Hongera Mwenezi Makonda.
@BrunoMakweta-dm5sb
@BrunoMakweta-dm5sb 6 месяцев назад
Daa mama huyu makonda mngu kakuonesha mngu akuongoze kupata watu kama makonda tunaomba na ali hapy alikua anatusaidia sana wananch alud kwenye systime
@samirshabani-yu4xu
@samirshabani-yu4xu 6 месяцев назад
Mewenyezimungu atakujalia
@comedianjaphetajey7018
@comedianjaphetajey7018 4 месяца назад
Asante sana kwa. Vile unavyo mfanyiya
@mwaminijeremia2855
@mwaminijeremia2855 2 месяца назад
Kiukweli makonda mung akubariki sana
@stanastana3199
@stanastana3199 6 месяцев назад
Daah tanzania sio mchezo,wasiojulikana ni wahuni sana.
@user-ik1rd5ts4z
@user-ik1rd5ts4z Месяц назад
❤❤❤ fukuza huyo jamani makonda ni magufuli
@user-rw6cj8jy8m
@user-rw6cj8jy8m 5 месяцев назад
Makonda jamani Mungu akubariki sana miye siko mutanzania lakini unanifurahisha ohhhhhh Makonda muzulisana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Mungu akupe mbinguni
@ndagijimanakibibi7381
@ndagijimanakibibi7381 2 месяца назад
Nakumbuka baba wetu wagufuli kweli makonda mungu akulinde
@EmmanuelyMissanga-cn5on
@EmmanuelyMissanga-cn5on 2 месяца назад
Pole baba makonda kwa kaz ngum
@salimamasanja4659
@salimamasanja4659 3 месяца назад
Pole sana kaka ,mkuu makonda mungu akutunze
@HasaniShija-ye5xg
@HasaniShija-ye5xg 2 месяца назад
Pole kwahuyo jamaa kwakukwatwa namapanga pole kwaote waliopoteza Ndugu zao kutokana nahilo tukio ,pia pongezi kwamakonda kwamoyo alionao mungu azidi kumpa maisha malefu yenye baraka ,baviongozi wengine waige mfano huo
@simiyumorgan986
@simiyumorgan986 6 месяцев назад
A true son of Africa
@user-zw6xz3lq1x
@user-zw6xz3lq1x 6 месяцев назад
Nyayo za Hayati makufuli zinaonekana kufuatwa kwa mheshimiwa wetu.Mungu akusimamie kila hatua
@LadouceIranyibutsa
@LadouceIranyibutsa 2 месяца назад
Ongera BaBa mimi nimwanaichi waburundi naomba usichoke
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 2 месяца назад
Dah Mungu tusaidie
@lizzykoyo9307
@lizzykoyo9307 6 месяцев назад
Pole kaka angu mungu yunawe usikate tamaa
@mgonasipapune1383
@mgonasipapune1383 6 месяцев назад
Siku zote huwa nasema kwamba Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu. Na yeyote mwenye karama hiyo huyaona yale ambayo wengine hawayaoni. Mungu akulinde Katibu mwenezi wa chama cha CCM Paul Makonda.
@SamuelHalitoshaPatrickmwansopo
@SamuelHalitoshaPatrickmwansopo 2 месяца назад
😢😢😢 machozi yamenitoka VZR havidumu Mungu mtunze MAKONDA siku MOJA aje awe raisi nimeumia sana😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😡😡😭😭😡😭😭😡
@Chr196
@Chr196 5 месяцев назад
Ndugu Makonda Mungu akulinde
@user-gj7qk8hk2q
@user-gj7qk8hk2q 5 месяцев назад
hii video imenitoa machozi sana watu wanateseka makonda yawezekana uteuliwa na mungu kwa ajili ya wanyonge wa nchi hii pambana kwa ajili ya taifa la wanyonge
@Everline398
@Everline398 6 месяцев назад
Jamani asee Mungu atusaidie kweli nimeamini mwenye haki haachwi. Mungu ni muaminifu na amesema neno lake halirudi bure akikuambia nitakutetea anamaanishaa
@AlexisAjwantos
@AlexisAjwantos 4 месяца назад
Yana umiza aksanti makonda hutakufa bb Mungu akulinde mi ni mcongo tunapitia hayo naipenda kzi yako naipenda tz
Далее
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 276 тыс.