Тёмный

Mwananchi Aliyewashitaki Vigogo Serikalini Atoa Neno Sakata la Bandari 

The Chanzo
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Kupitia kampeni yao ya #OkoaBandariZetu CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati mbalimbali na viongozi wengine wa kijamii wanafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Bulyaga Temeke.
Wanaharakati na CHADEMA wameendelea kusisitiza mkataba wa bandari kati ya Tanzania na Dubai hauna maslahi mapana kwa nchi. Mkutano huu wa CHADEMA unafanyika ikiwa ni wiki mbili toka CCM kuanza mikutano yao ya hadhara ya kufafanua kuhusu suala la bandari.
Endelea kufuatilia The Chanzo tupo hapa katika viwanja vya Bulyaga kurusha Live
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 41   
@kilimohub580
@kilimohub580 Год назад
I like this guy - mtanganyika halisi . Big up sana bro . God bless you
@EmanuelPallangyo-n4q
@EmanuelPallangyo-n4q Год назад
Naomba mungu aliye hai apambane na wapiga dili wa nchi hii AMEN.
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Год назад
Amezongwa na majambazi oh my gosh!!!
@Clement-px8eg
@Clement-px8eg Год назад
Watu kama wewe si wengi Mungu akubariki sana
@cottamanywele1396
@cottamanywele1396 Год назад
Akiwemo tulia aksoni spika feki wa bunge la jamh ya muungano wa Tanzania, hii nchi tumechoka kuburuzwa na ccm hawa ccm ni wezi wakubwa wa Mali za watanzia ccm wooote ni wezi tupu,
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Год назад
SAFI SANA KAMANDA, WEWE NI MZALENDO NA SHUJAA, WA KUJIPAMBANIA
@mvunge7108
@mvunge7108 Год назад
Laana ya jpm inamtafuna mama ...
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Umeona eh?
@stephenwakunyala4004
@stephenwakunyala4004 Год назад
Mungu akulinde
@jacoblongo6814
@jacoblongo6814 Год назад
Thanks Thanks kiongozi kwa maneno mazuri
@terevaelislla1713
@terevaelislla1713 Год назад
Ccm ni mzigo mkubwa mungu tunakuomba tutue mzigo huu
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Amen
@gerraldchristian2001
@gerraldchristian2001 Год назад
Watanzania tuungane kwa mda uhu CCM wote ni wezi
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Год назад
😂😂 huyu jamaa kawapa na namba wezi
@hamidamedia514
@hamidamedia514 Год назад
Hahahaha
@oscarkasalile3966
@oscarkasalile3966 Год назад
Kwahiyo chama Tawala hakipo Kwa ajiri ya wananchi?
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Год назад
Good Person
@godsgiftgreat4752
@godsgiftgreat4752 Год назад
Hii ni nzuri sana. Natamani nieepo nitoe neno moja tu
@makeresiapawa7947
@makeresiapawa7947 Год назад
Thomas Nkollla jembe la ccwt
@HekimaLutego-jx8li
@HekimaLutego-jx8li Год назад
Safi
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Год назад
Duuuuuh kweri alishuka na majambawazi wakubwa tena unahaki ya kusema
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Год назад
Safi sana kamanda
@robertmujuni4102
@robertmujuni4102 Год назад
0:41
@sabatoelia312
@sabatoelia312 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂Huyu❤jamaa ni don't care about vitisho 😂😂😂 nampenda
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Год назад
Ukisia Wasukuma ni washamba ndio huyu Sasa. Yaani anawasifia Wapemba kuwa ni watu wenye akili sana na Wapole, ila aseme Mbarawa hana “akili na ni Criminal” , ina maana Hili Hamaa la Maswa halijui kwamba Mbarawa ni Mpemba Pure, yaani Mbarawa ni Mpemba wa kutoka Pemba tofauti na anachoamini Rais ni Mpemba wakati hajatoka Pemba kabisa. Huu ni umaskini wa Akili.
@levidavid1156
@levidavid1156 Год назад
hujaelewa vyema anahoja nzito
@SuzanaKasanya
@SuzanaKasanya Год назад
Uwekezaji si bandari pekee. Mbona maeneo mengine hamsemi? Mna ajenda zenu ninyi
@PPLPPL-ld3vu
@PPLPPL-ld3vu Год назад
Bakwta bakwat bakwata
@emmanuelmtega5852
@emmanuelmtega5852 Год назад
Viongozi wajiuzuru ni wapigaji tu.
@danielkanso
@danielkanso Год назад
daaa hivi ni kweli wananchi ndiyo wehu mmmhh
@deusmbassa9749
@deusmbassa9749 Год назад
Kabisa Sisi wananchi tunazingua Sana
@mohamedmoledina6403
@mohamedmoledina6403 Год назад
Hayo mapesa kayapata kwenye ualimu? Duh!
@isaacmollel345
@isaacmollel345 Год назад
EeMungu uwalinde hawawatu
@patrickKitambo
@patrickKitambo Год назад
Kidenepedi😂😂
@harunmruma2291
@harunmruma2291 Год назад
Acha chuki waarabu ni nini?
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
Bahati mbaya kabisa walioteswa na utumwa wa waarabu hawapo wameshatangulia mbele ya haki wangekujibu😢😢
@harunmruma2291
@harunmruma2291 Год назад
@@mamboshepea8888 ndio mlivyo danganywa na wazungu, mkaambiwa binadamu wakwanza alikuwa nyani fungua akili acha uboya
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
@@harunmruma2291 Hata ungebinuka kichwa chini miguu juu huwezi kufuta historia we mtumwa tu😀😀
@salbokosaid8992
@salbokosaid8992 Год назад
Afadhali mwigulu hao wengine majambazi kweli
@johanneskallya364
@johanneskallya364 Год назад
Una uhakika kweli na hilo?
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Год назад
Safi sana nkola
Далее