Тёмный

MWANASHERIA ALIYEBISHANA na MAKONDA APEWA za USO - MKATABA FEKI - ''INABIDI MFUKUZWE KAZI''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 167 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 332   
@globaltv_online
@globaltv_online 4 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@cosmasthobias5408
@cosmasthobias5408 4 месяца назад
Makondo you deserve everything brother,,, uongozi ni kipawa toka kwa mungu na siyo kujifunza,,,,,makonda nikiongozi huyu ni mwamba wa wakuu wa mikoa wote,,,,,,,rolu modo wa wakuu wa mikoa wote,,,,kama wananchi lazima tuwe wakweli,,,,,,,umeona alivyomnyosha huyo mwanasheri ni nomaaaaaaaa apewe maua yake🎉🎉🎉🎉🎉
@amsiabbas3809
@amsiabbas3809 4 месяца назад
😂😂😂😂 Napenda sana Kuskiliza Mikutano ya Makonda ananikumbusha Mikutano ya Marehem Rais wetu wa awamu ya Tano
@Erickkweka05
@Erickkweka05 4 месяца назад
Mheshimiwa sasa nakuelewa ...hii ndio kazi wengi tulitamani kuiona hasa kusimamia haki na kutoa adhabu stahiki kwa wanaokwenda ndivyo sivyo..am now proud of you, and you are my inspiration
@VitusSamwer
@VitusSamwer 4 месяца назад
huyu mkuu wa mkoa apewe ht mikoa mitano mbona anaimudu
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 4 месяца назад
Makonda oyeeeeee Nakupenda sana makonda mpaka Nakupenda Tena M/mungu akupe maisha marefu 🌹
@josephmahando493
@josephmahando493 4 месяца назад
Hapa Sasa naona umuhimu wa nafasi ya ukuu wa mkoa, ila Kwa hapa Tanzania, tunae mmoja tuuu Makonda ,
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 месяца назад
Hata mimi sikujuaga kazi za wakuu wa mikoa mpk umri wangu wa miaka 70. Na naamini wakuu wengi wa mikoa hawajui, niulize, je wakuu wa wilaya majukumu yao ni yepi?
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 4 месяца назад
Haswaaa
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 месяца назад
Huu ni uongoz wa ki governor wenye sifa za kuchaguliwa na wananchi ebu Ccm mkubali serikali za kimajimbo tupate viongoz wengi km huyu nchi isonge kwa speed ya digital.
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu
@LuhanyaMipawantobi-pj1iu 4 месяца назад
Kuwapata Sasa hao viongozi wazuri ndo issue ​@@saleheinnocent7636
@natihaikastephano661
@natihaikastephano661 3 месяца назад
Huyu mwanasheria mrefu Yuko vizuri sana.Huyu mwingine wa mji mdogo hamna kitu
@rithamatiko4952
@rithamatiko4952 4 месяца назад
Mh Makonda Asante tumakuelewa wale tunaopenda haki Hakika wewe ni Kiongozi unayoeleza Kila mwanainchi anafunguka masikio mwenye kuelewa Asante Baba
@deusisindwa616
@deusisindwa616 4 месяца назад
Makonda hujawahi kuniangusha Mungu akujalie afya njema wewe nihazina Kwa taifa,❤❤❤
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 4 месяца назад
Amina makonda 🎉🎉
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 4 месяца назад
Mh. Makonda tafadhali waamshe wakuu wote wa mikoa ya Tanzania wa chape kazi kama wewe. Mikoa miimgi Ina shida nyingi sana hasa Bagamoyo. Basi sisi wananchi tunatamani ungekuwa unazunguka mikoa yote tungeishi kwa matumaini. Mungu akubariki sana lakini ombi letu ni kukuomba uhamasishe wakuu wote wa mikoa wafanye kazi walizoomba. Makonda Kila jambo jema hutoka juu. Tunakuombra sana baraka na afya njema na hatimaye uweze kuhudumia taifa lote maana Mungu anakitumia.
@mathewmalewah
@mathewmalewah 3 месяца назад
Mmmmh huyu Jamaa ana husubutu wa kweli na sio sifa
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 месяца назад
Makonda nilikua nakuchukia, ila kwa sasa hakutoi mtu moyoni mwangu. Nimekukubali 100%. Kumbe ulikuwa unasingiziwa ubaya na Askofu feki
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 месяца назад
Kabisaa ❤!@@!! Tansania yetu ukiwa unafanya kazi nzuri maadui ni wengi ,haswa wala rushwa
@erickmisilakuba6426
@erickmisilakuba6426 4 месяца назад
Naungana na ww kwakwel
@kiondosaimon6149
@kiondosaimon6149 4 месяца назад
Kama mm tuu ❤❤
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 4 месяца назад
Amina npo pamoja na wew
@AliMasudi-td7gy
@AliMasudi-td7gy 4 месяца назад
Makonda kuwa natakwimu ukibishana nae unapoteswa duniani
@issarashid7707
@issarashid7707 4 месяца назад
Ndio kamanda wetu Makonda Mungu akusimamie katika kutenda hakki
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 месяца назад
Wanaomuelewa mhshmw Makonda na team yake tusichoke kuwaombea kwa sababu hawatakosa maadui, kama tujuavyo, alipo Mungu shetani hakosekani. Hivyo maombi ni lazima.
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 4 месяца назад
Npo pamoja na wew
@hamidaawadhi835
@hamidaawadhi835 4 месяца назад
Piga kazi Makonda ,wananchi hawakuwa na mahala pa kutoa malalamiko yao,Mungu Akusimamie
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 4 месяца назад
Malouda you're the best may Allah protect you ❤
@menelus911mene5
@menelus911mene5 4 месяца назад
Huyu mhe Makonda mkuu wa mkoa wa Arusha kaziunayo endelea naohao wababaishaji nakuzurumu wananchi pole yao piga kazi mhe ❤
@philipomwazyunga4572
@philipomwazyunga4572 4 месяца назад
Ha ha ha makondaa ni genious kwenye uongoz
@abdul-rahimkadhi766
@abdul-rahimkadhi766 4 месяца назад
Bravo Paul christian makonda....unamuwakilisha vyema mama SAMIA...keep it up
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 4 месяца назад
Huyo anatafuta sifa naye anajitafuta kwani hajui kama wewe
@MnubiMm
@MnubiMm 4 месяца назад
​@@marcokaroje8980Hayo MAWAZO yako wewe na ndivyo ulivyo elewa
@fadhilmaxom4760
@fadhilmaxom4760 4 месяца назад
We nae lipumbavu sijui lawapi mtu anatatua kero zs wananchi wewe unaleta hija zako zakifala hapa malaya wakiume wewe nyie ndio mnafanya hii nchi iuzwe nakuonekana wote niwapumbavu kebge wewe​@@marcokaroje8980
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 4 месяца назад
Rais Samoa naye ni mbabe ?
@MsAggie5
@MsAggie5 4 месяца назад
​@@marcokaroje8980sifa yake faida kwa wanyonge
@HappyYusuph-ru3nn
@HappyYusuph-ru3nn 3 месяца назад
Kazi iendelee kaka mungu akulinde na maadui
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 4 месяца назад
I love makonda ❤️
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 4 месяца назад
Si jambo zuri kutetea maovu mheshimiwa mwanasheria. RC ana nia njema kwa wananchi.
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 4 месяца назад
Ubarikiwe Mh. Makonda tenda haki kwa kuzingatia kesho kwa m.mungu malipo mwema. Umeletwa na mungu shukrani sanaaa 🤲 mpaka machozi yanatoka💪💯🙏✅🇹🇿🌹🌹🌹🌹
@justinog3105
@justinog3105 4 месяца назад
Makonda jameni ni mtu na nusu❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@KennethMgona-jy4vc
@KennethMgona-jy4vc 4 месяца назад
Amin
@Magufulitanzania-d6e
@Magufulitanzania-d6e 3 месяца назад
Umeuaaa vibe uhakika
@JaphethIsmail-wt1rx
@JaphethIsmail-wt1rx 3 месяца назад
Congratulations mh makonda niko na appreciate kazi yako
@RASHIDMPUMU
@RASHIDMPUMU 3 месяца назад
RC P Makonda, upo vizuri una jeshi kamili la wataalam kwenye vikao nyako ,asante sana
@TeresiaAplonary
@TeresiaAplonary 4 месяца назад
Mungu mbariki makonda
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 4 месяца назад
Wanasheria waserekali kuweni makini msilitafutie taifa hili matatizo ni madudu tuu wasomi fekii😂😂😂😂😂😂
@beathersengerema
@beathersengerema 4 месяца назад
Makonda uongozi wako una hofu ya mungu. Endelea umtegemea mungu ktk kazi zako❤
@maxsenciusalexander2213
@maxsenciusalexander2213 4 месяца назад
“Mwanasheria profesheno”😂 Enheee🤣🤣
@ReginaKivuyo
@ReginaKivuyo 3 месяца назад
Hahaha😅 baba even pole sana,safi sana makonda , mungu akulinde makonda
@ReginaKivuyo
@ReginaKivuyo 3 месяца назад
Hahaha😅 baba even pole sana,safi sana makonda , mungu akulinde makonda
@yunisluvanga4211
@yunisluvanga4211 4 месяца назад
Tuna tuzo kuubwa Tanzania mungu ametupatia makonda piga kaziiiiii babaaa 🙏🙏🙏
@ChristinaFlorian
@ChristinaFlorian 4 месяца назад
Kuanzia Sasa wew nimagufuli mungu akubaliki akuepushe na mabalaayote
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 месяца назад
mwanasheria acha kutetea mkataba BATWILI!! Ahsante BROTHER MAKONDO!!
@ismailahmed5133
@ismailahmed5133 3 месяца назад
Makondo ni yupi?
@Alexismadimo
@Alexismadimo 3 месяца назад
​@@ismailahmed5133error
@Olafkaria123
@Olafkaria123 4 месяца назад
Mh! Mkuu wa mkoa Paul Makonda kwa kweli sijawahi ona uongozi uliotukuka kiasi hiki Mungu akuzidishie hekima na busara na utetezi huo wa wanyonge; natamani siku moja uwe waziri fulani
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 4 месяца назад
Muombeeni Makonda Mungu amkinge kila aina yamabalaa
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 месяца назад
MAKONDA ❤❤❤
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 месяца назад
HUU ni UTAPELI,unajenga eneo la biashara,kisha baada ya muda anakuja mwenye nguvu anahonga ili utolewee!!
@robertzamani5612
@robertzamani5612 4 месяца назад
Bora mgekaa kimya tu maana hamjui wanayopitia maumivu wananchi wasio kuwa na uwezo
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 4 месяца назад
Lkn mwenzie akinyolewa hajui anatakiwa zake atie maji...
@niyongere86
@niyongere86 4 месяца назад
Tatizo nikwamba inch za Africa azipendi msamakweli. Makonda anafaakuwa hata rais wa inch, acha tusubiri. Tanzania mnabahati yakupata viongizi wazuri lakini mnatamani watoke. I wish him he can becoming a presindent for my coutry. Makonda oyeeeeeeeeee❤
@EmmanuelMarceli
@EmmanuelMarceli Месяц назад
Braza makonda i appreciate you kamanda, pika kazi, wewe hakuna mahali unapwaya, popote wakikuweka upo safiii, hahaha uongozi upo ndani yako kaka piga kazi, wakuu wa mikoa mingine igeni hiyo mashine ni hatareeee😂😂
@yordanyona1234
@yordanyona1234 4 месяца назад
wanasheria wa serikali ni shida kwenye Taifa hili
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 4 месяца назад
Hawa ndo wanaoliingiza taifa kwenye mikataba mibovu inayoitafuna nchi kwa kushirikiana na walafi
@japhetlinus3891
@japhetlinus3891 4 месяца назад
Mwanasheria Profeshenoooo
@MsAggie5
@MsAggie5 4 месяца назад
😂
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 4 месяца назад
Mwanasheria professional
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 месяца назад
MGEMSHITAKI KWA UTAPELI HUYO MWANASHELIA SIO KAZI YAKE 😂😂😂😂😂
@NyarubangoMashacka
@NyarubangoMashacka 4 месяца назад
Hakika Makonda wewe ni mfano wa kuigwa.umevaa uzalendo wa kweli,Mungu akupe maisha marefu
@athumanbalozi9748
@athumanbalozi9748 4 месяца назад
Kumbe rais. Samia Kumpa ukuu wamkoa Makonda sahihi Haya angekuwa Katibu asingeyaweza Kwasasa watanyooka
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 3 месяца назад
asante sana mwanasheria makonda ni mpigadebe
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 месяца назад
Wahuni tu wanasheria ndio wanao wapa vichwa wapigaji wanachanganya sanaa serikali inapata shida hao ndio nuksi
@yothamlameck2973
@yothamlameck2973 4 месяца назад
Makonda Bi up 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TedinetusSauli
@TedinetusSauli 4 месяца назад
Aiseeee
@biomedicaleliatosha7485
@biomedicaleliatosha7485 4 месяца назад
Daah..hii nchi
@JosephLoy-k2g
@JosephLoy-k2g 4 месяца назад
Kweli kapata za uso
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 4 месяца назад
Hakika
@YassnKalyango
@YassnKalyango 4 месяца назад
Makonda anastahiki kukabidhiwa Inchi yetu yawatanzani awe raisiwetu mungu akubaliki sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 4 месяца назад
Mkabidhi mkeo aowe kama unae kunguni wewe
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 4 месяца назад
Hawezi kuwa Rais is incompetent
@barakalukeha6184
@barakalukeha6184 4 месяца назад
​@@marcokaroje8980kwani vipi ndugu makonda amekugusa na wewe ??????maana wezi mko wengi tanzania
@bakarykijazi293
@bakarykijazi293 4 месяца назад
Arusha mungu kawaona wenzetu
@JerryGasper-ft6kr
@JerryGasper-ft6kr 4 месяца назад
Me naomba makonda akabiziwe mikoa yote ya Tanzania awe anasimamia yeye
@saidkhatib9146
@saidkhatib9146 4 месяца назад
Mwanasheria anatamani ayeyuke kama mchaw😅😅
@benardpeter3562
@benardpeter3562 4 месяца назад
😅😅😅😅
@shamidubadru9505
@shamidubadru9505 4 месяца назад
Sukuma ndani hao
@DidierAKILIMupimbidjumaDidier
@DidierAKILIMupimbidjumaDidier 4 месяца назад
Makonda yuko vizuri zaidi
@jerrymfinanga3773
@jerrymfinanga3773 4 месяца назад
etii umepigwa spana😂😂😂😂😂
@stephenkalidush5446
@stephenkalidush5446 4 месяца назад
lizards never lack
@MagrethHaule-x3q
@MagrethHaule-x3q 4 месяца назад
Huyo mzee wa nyuma alivyoshangilia mpaka mwanasheria kamgeukia😂😂😂😂
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 4 месяца назад
Kashamkariri
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 4 месяца назад
Huyu mbabaisha tu hana sifa za uanasheria maana anaonekana ni sehemu ya wahujumu uchumi wa nchi
@josephyamathlaizer-op9sw
@josephyamathlaizer-op9sw 4 месяца назад
Makonda juuuuuuuuuuuuuuuuuu
@dullahbakari4813
@dullahbakari4813 4 месяца назад
Kama viongozi wote wa ccm watakuwa kama makonda upinzani wakazi sasa
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 4 месяца назад
Huyu mwana sheria nimemkumbuka mwaka flani hivi usharikani alikuwa nana kashutuma 😊
@JuliusLomanya
@JuliusLomanya 4 месяца назад
Alafu ety na Sisi tunasema tunao wanasheria duuh
@godwinnkya2023
@godwinnkya2023 4 месяца назад
@HamisiMauridi
@HamisiMauridi 4 месяца назад
Mkuu wa mkowa ongera sana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 месяца назад
Muongp huyo mwanasheria wa michongo michongo 😂😂
@amisindondi4549
@amisindondi4549 4 месяца назад
Sijuwi Kama watasalimiana 😅😅😅😅
@MagrethHaule-x3q
@MagrethHaule-x3q 4 месяца назад
Umewaza kama mimi..Yan nimecheka balala😂😂😂
@MezdDimoso
@MezdDimoso 4 месяца назад
RC OYEEEE🎉
@MaryLee-sh4nd
@MaryLee-sh4nd 4 месяца назад
Mungu wa mbinguni akulinde
@kakuyajumanne7335
@kakuyajumanne7335 3 месяца назад
Ifikia hatua kuwe na cheo cha kusimamia wakuu wote wa mkoa halaf Makonda awe ndo top wananchi tungeenjoy
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 4 месяца назад
Tunashukuru sana Mhe RC Makonda kusikia mikataba ilikuwa endelevu. Lakini kosa lilikuwa kwa Mkuu wa Nchi JPM ambapo ndie aliagiza watu kunyan'ganywa vibanda hivyo. Lakini uhalisia ni kwamba vibanda hivyo vinapaswa kurudi kwa waliovijenga vyote Nchi nzima Mhe RC Makonda jamani.
@NeemaJuma-os6uo
@NeemaJuma-os6uo 4 месяца назад
Akichukua fomu ya urais makonda alafu akipita dah watammaliza afiki mbali watamuuwa
@nestorypastory6882
@nestorypastory6882 4 месяца назад
Wengi wanaofia hatua huyo ila itakuwa vyema sana akichukuwa form
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 4 месяца назад
Piga kazi kaka
@geoffreymzaga4644
@geoffreymzaga4644 4 месяца назад
Makonda wewe uko juu.....
@jamesmgimba7403
@jamesmgimba7403 4 месяца назад
Huu ushindani umeelemea upande mmoja,wakili wa upande wa pili hawezi kufanya kazi kwa confidence
@ismailahmed5133
@ismailahmed5133 3 месяца назад
Huyu mzee wa nyuma alitaka amgonge na maiki hili boya na suti yake ya bluuu😅😅😅😅 ndo kwanza anapigishwa pindi na litaaramu TANGANYIKA LAW SOCIETY ...mwanasheri a miyeyusha huyo 😅😅😅 kwanza hajui anacho sema
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 4 месяца назад
Wasomi wa kizazi kipyaa wanazidiwa akili na maalifa ata na Mama ntilie ni vile tuu Mama ntilie hawana vyeti vya kuheshimika na wao wamepata nafasi ya vyeti vya kuheshimika Lakini uchukue msomi Na Mama ntilie uwape laki 5 kilammoja ndani ya miezi 3 msomi utamkuta atamaniki.... Na Mama ntilie utakuta amefanikiwa kupita kiwango na laki 5 yako atakurejeshea
@abednego3876
@abednego3876 4 месяца назад
Huyo mwanasheria alikua anachunga ngombe.
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
😂😂😂😂😂
@Juke995
@Juke995 4 месяца назад
Wanasheria wa Tanzania ni hovyo kabisa
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 baba eveniii pole sana
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp 4 месяца назад
Nyosha baba
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 4 месяца назад
Wakuu wa mikoa mingine wako wapi? Hatuwasikii
@JumaOmari-w2z
@JumaOmari-w2z 3 месяца назад
Tatz advocate mnasahau nguvu ya media 😂😂😂😂
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh 4 месяца назад
Eeeeeeeeee Arusha mtanizeeeesha 😂😂😂😂😂😂😂
@SeleNdiboi
@SeleNdiboi 4 месяца назад
makonda uwezo wako uko juu sana kaka
@MourineJohn
@MourineJohn 2 месяца назад
jamaniiiii huyo mwanasheria chetiii ni fekiiiiiiiiii😅
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 4 месяца назад
Uwezo wa kusikiliza hoja upo chini sana. Hivyo kujua kiini cha tatizo hakiwezi kupatikana.
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 4 месяца назад
Dah jamn mpaka uruma mzee wetu
@kingthedon508
@kingthedon508 3 месяца назад
Hiv wakuu wa mikoa wengine tofaut na makonda na chalamila wanafanya kaz gan?
@ElisanteMollel
@ElisanteMollel 4 месяца назад
Mheshimiwa mkuu wa mkoa fanya kazi kisawasawa,viongozi wa arusha niwazembe sana na awatekelezi kazi zao,kazi zao ni rushwa tu...Barabara ni mbovu vijijini..wanyooshe...wewe ni rais ajaye pindi Samia atakapoachia ngazi.
@mturimesso8907
@mturimesso8907 3 месяца назад
Ni ishara nzr na unawakilisha vyema vijana tujifunze kupitia kwako.
@ngatatv1365
@ngatatv1365 4 месяца назад
MAGUFURI BABAAAAAAA
@Edwin-tw3yj
@Edwin-tw3yj 4 месяца назад
❤❤
@giftmusa6543
@giftmusa6543 4 месяца назад
Namjua huyo mzee wa dear gambe?
@mohdymuddy-464
@mohdymuddy-464 4 месяца назад
Wanasheri hapo hakunaaaaa😊😊hao ni Wanavipara Wapare wapigaji tu😂😂😂
@yunisluvanga4211
@yunisluvanga4211 4 месяца назад
Makonda ubalikiweeee
@matridamakange7286
@matridamakange7286 4 месяца назад
Kumbe ndio maana alitaka kuusoma mwenyewe hataki mwenzie aushike kumbe anajua una madudu, aibu kwake
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 4 месяца назад
Kwenye mikoa yetu na halmashauri zake ni madudu matupu ila makonda anaonyesha njia wengine wanazurura tu
@ladislausmsongole8479
@ladislausmsongole8479 4 месяца назад
Huyu mwanasheria mwenye mkataba feki ndio ameshapoteza wateja wake na wengine hawawezi kumpa kazi tena
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz 4 месяца назад
Uuuuwh uyu mzee jamn mwachen
Далее
Лучше одной, чем с такими
00:54
Просмотров 942 тыс.