wakwanza kuona ni charming 😭😭 eeh mungu ipumzishe roho yake mahali pema🙏😭😭 movie nzuri kaka zangu kutoka Tanzania keep moving mwakatobe daah😹😹😹dubu on 🔥
🤣🤣🤣🤣shenge shenge shenge tana. …. Ila haijaisha vizur , cjapenda… angeokoka amjue Mungu wote wawe plan … sasa apo namba ya wachawi mjini c inaongezeka😂