Mnaobisha ni kwa sababu mlishaharibiwa kisaikolojia na watu juu ya UKIMWI na ndio maana hata dada wa watu anapofafanua mnabisha, kama serikari yetu ingepokea taarifa za corona vibaya na kutujaza ujinga tungeogopa sana, kwa sasa china amegundua tiba kisukari na anatibu kabisa hivo Watanzania wenzangu muamke muache ujinga