Тёмный

Mwigulu amvaa Mpina asema alifanya sherehe kwa kuchoma nyavu 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Wewe hufai kwenye wizara. Mzingo kwa serikari.
@georgebajuty7549
@georgebajuty7549 Год назад
Mwigulu akili hauna kweli mpina kakosea nini
@realswahilicultural8140
@realswahilicultural8140 Год назад
Huyu waziri anadhani anaongoza wanyaturu wenzake😅😅😅😅
@desolz3809
@desolz3809 Год назад
Hujajibu hoja Mwiguru umepuyanga 🤣🤣🤣🤣
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Kelele tu, labda kwA vile mke na binti yake walikuwepo aliona amtambie luhaga
@donaldmarco576
@donaldmarco576 Год назад
Leo mheshiwa waziri umeongea points za msingi sana kwa muelewa atakuwa amekuelewa sana
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Год назад
Alipowaambia watu waende wakaishi Burundi aliona anafanya vizuri
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Год назад
Unaziba hoja zilizopo mezani kwa kisingizio cha mpina jibu hoja zake kwa sasa yale ya mpina na nyavu yalipita. Kama unauchungu na sisi watanzania fanya VAT iwe mauzo bilioni moja kuliko kutukimbiza na mauzo ya million Mia moja
@SilvesterRaphael-xb6it
@SilvesterRaphael-xb6it Год назад
Acha kutuzuga mwigulu ss watu wa kanda ya ziwa tunamkubali mpina sababu saidia sana kuongezeka kwa samaki katika maziwa yetu hata ss wenye uwezo wa chini tulimudu kununua kitoweo cha samaki lakini leo hii samaki kwenye maziwa yetu wamepingua kwa sababu mambo yamerudi kama zamani mwendo wa uvuvi haramu harafu unamsema vibaya mpina kwa lipi acha hizo mwigulu jibu hoja za mpina
@ejidemaswalikinoja5643
@ejidemaswalikinoja5643 Год назад
Leo kaona ka point mpina katereza sasa ndo anaogerea kama bata mzinga😂😂😂😂Kama msomi mwenye phd huwezi kukaa kusemea kaneno kamoja kwenye point mia za mtu
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Год назад
Mpina yuko juu utapasuka musamba
@simonkitaly9767
@simonkitaly9767 Год назад
My challenge Iko kwenye kumwekea Rais maneno kinywani kwamba amesema au anataka ....
@simonkitaly9767
@simonkitaly9767 Год назад
Wow! Doctor safiiiiii
@pamaco_wa_viwanda
@pamaco_wa_viwanda Год назад
Mindset mbovu sana Huyu amepataje uwaziri na Udokta maana ni kichwa panzi
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Doctor wa mchongo bora hata musukuma
@oscarkitime2698
@oscarkitime2698 Год назад
Safi sana.Umeeleweka vizuri sana Dr.
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 Год назад
Mm mpina naona ndio mbunge Wang yaaan uyo jamaaa yupo care sanaaa
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
Mpina jiandae kwenda chadema maana utakatwa
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Stick to your points nyavu na viwanda then what
@mshombozimbanda3418
@mshombozimbanda3418 Год назад
Acha kuharibu sifa ya mwenzio.Mbona ulikuwa umenyamza mpaka rais ndio umeiingilia kati.
@hamismwangwale563
@hamismwangwale563 Год назад
Jibu hoja sio mpina
@reganmartin5485
@reganmartin5485 Год назад
Mpina hajapinga mjibu kwa hoja na sheria za nchi
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Mpina kashasema uelewa na usikivu wa mwigulu upo chini. achA mpina aendelee kuchapa kazi
@saramwanagamilo4429
@saramwanagamilo4429 Год назад
🎉uongo
@alexanderjey257
@alexanderjey257 Год назад
wazir hebu jikite kwenye hoja, acha chuki binafsi ,mpina anaongea wa nidhamu kubwa sana
@BRYNGROUP
@BRYNGROUP Год назад
TANGU MKUTANO WA WAFANYABIASHARA BAADA YA KUA ATTACKED BY WANANCHI SASA AMEANZA KUJITAMBUA WAZIRI WAFEDHA
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Uongozi wangu ningemtumbua
@2003hintay
@2003hintay Год назад
Mpina anaona wivu kuukosa uwaziri
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Год назад
WW mwingulu acha ujinga kiukweli WW hufaii kuwa wazili WW ndo mwizi MKUBWA
@ramdanmbara8500
@ramdanmbara8500 Год назад
Kwakweli Mwigulu ni katika Mawaziri wa hovyo waliowahi kupewa nafasi kuongoza, hivi Samia S. Hasan ananufaika kipi hasa kutoka kwa mtu huyu wa hovyo?
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Год назад
Good. leo kidogo nakuelewa
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Год назад
dah huyu jamaa amejua kujificha kwa mama, hebu jaribu kumjibu Mpina kwa maswali aliyokuwa anakuuliza maana wewe unalalamika tu , yaniungejua tunavyomuelewa Mpina hatausinge mpakazia hivyo maana wew ndo kilusi wa Nchi hii na genge lako Ila Mungu anawaona na Watanzania tunawaona
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Год назад
Mpina kabila gani? Magufuli alisema,alimtafuta waziri Chizi wa uvuvi,ndio akampata Mpina,akaanza kuchoma nyavu, kupima samaki hata bunge lilipigwa faini. Leo amedhulumu ardhi ya watu morogoro.
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 Год назад
Wote mnajenga Nyumba moja yanini kugombea fito?
@zacharialameck1980
@zacharialameck1980 Год назад
Hivi kukua kumbe inachukua muda mrefu sana🤔.
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Год назад
Mbn wengine had mauti huwa inawakuta hawajakua, huyu nae kashachelewa kukua😂
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Год назад
Safi sana Mhe Mwigulu
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Год назад
We jibu hoja za wabunge sio mpina,majibu ya mikopo inayokopwa,kero za cig,na mengineyo usijifiche kwa rais
@pamaco_wa_viwanda
@pamaco_wa_viwanda Год назад
Mmenikosha Mwananchi Digital Mwigulu is useless
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834 Год назад
Swala la mizigo,swala kodi moja mfano kwenye vyakula sio kila mmoja anakwenda kukusanya nimekuelewa na kukusapport
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 Год назад
Acheni mabif yenu. Too much malumbano.
@sadickbudoda4361
@sadickbudoda4361 Год назад
Acha ngonjera, nyavu haram haziruhusiw nchin kulingana na mujibu wa katiba yetu, kasome ujikumbushe acha kutetea ujinga pia acha kujificha kwenye kivur cha rais
@theleo3899
@theleo3899 Год назад
Duh zero brain badala ya kujib hoja we unakomaa na madhaifu ya mkosoaji wako
@mhifadhi797
@mhifadhi797 Год назад
Wewe na mpina kila mtu ana bifu na mwenzake
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 Год назад
Msamehe tu Mpina atakuwa hajawahi kufanya biashara au kujiajiri
@saramwanagamilo4429
@saramwanagamilo4429 Год назад
Anaongopa
@froma3732
@froma3732 Год назад
Hao ndio wele walikuwa wanaongozwa na mkono wa chuma
@peterrandego1489
@peterrandego1489 Год назад
Mwigulu hapa naona akili yako inaanza kuchambua pumba na mchele ongera ila ujue gendere wa biashara ni hawa vijana wa TRA tafadhali wakemee wasije wakarudia tena wakome
@saramwanagamilo4429
@saramwanagamilo4429 Год назад
🎉😢fhrgoso
Далее
MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 4)
13:27
Просмотров 1,9 млн