Тёмный

"MWIGULU futa kauli yako haraka" Waziri MWIGULU ashambuliwa vikali na WABUNGE spika TULIA aingilia 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 60 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@user-lx9th4st4l
@user-lx9th4st4l 10 месяцев назад
Waziri hana point yoyote
@c75923
@c75923 10 месяцев назад
Jitu nafiki sana hili kama uliona hakuna political will katika utawala uliopita kwanini usijiuzulu kenge wahed!!
@JumaHamisi-gi9ki
@JumaHamisi-gi9ki 10 месяцев назад
Nyie wabunge wa ccm mungu anawaona mnafanya nchi yakwenu kumbukeni kuna kufa na mtaenda kujibu kwa mungu
@JumaHamisi-gi9ki
@JumaHamisi-gi9ki 10 месяцев назад
Kinacho niuma ni kauli ya kusema eti kama maisha magumu tuhame nchi mana kwamba sis hatuna haki kwenye nchi hii yani natamani sana na nyie muishi maisha tunayo ishi hata mwezi mmoja wengi wako wamezaliwa wazazi wao viongozi akiamka asubuhi chai anaita brek fast na alikuwa na kuingia kwenye uongozi mojkwamoja hajawahi ona hata tattoo wenzake wa hali ya chini wanavyo teseka afu mnampa ubunge dah nchi ifike mahali tubadilike jaman
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 10 месяцев назад
Mwigulu akili huna 😂😂😂 kubali tu auna akili
@godwineliya4686
@godwineliya4686 10 месяцев назад
Jizi tu hilo Alafu kina dharau Sana hicho Sindiyo Alisrma Watanzania Waamie Burundi
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 10 месяцев назад
Ndio chenyewe
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 9 месяцев назад
Ropooo nyiiingii angekua rais angetuuza kwa waburundi
@user-qp2pq1uq4k
@user-qp2pq1uq4k 10 месяцев назад
Naliona giza katika nchi yetu, ukweli utaongea daima RIP Rais Magufuli.😢
@deomuro3557
@deomuro3557 10 месяцев назад
Sijaridhika na waziri wa fedha hata kidogo na je huu ndo utaratibu mbona yeye anataka asikilizwe tu?
@ombendaud5938
@ombendaud5938 10 месяцев назад
Mwigulu mwehu wewe ni mwizi mwizi.Acha sisi tumechoka na uwizi wako ndo maana na mama yako ameruhusu mawaziri muibe kufuata urefu wa kamba zenu na mumevimbiwa .Nenda Mwigulu hatutaki hata kusikia sauti yako
@mfwimiekayuki8692
@mfwimiekayuki8692 10 месяцев назад
Huyu Mwigulu mbona haenei kwenye hiyo wizara? Mawaziri pateni semina ya kujibu,kufanya kazi kwa Mchengerwa.
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 10 месяцев назад
Mwigulu mwizi sana huyu jamaa, jambazi,
@mukhtarkassamali7802
@mukhtarkassamali7802 10 месяцев назад
See how Friendly Supporter supporting mizigo Minister
@alidchaula9708
@alidchaula9708 10 месяцев назад
Hivi Spika huwezi kutusaidia kuzuia hizo vurugu za kugonga meza bila utaratibu hasa huyo mama.
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd 10 месяцев назад
Yaani linakera kweli.....lenyewe kqzi kugonga tu meza...kila anayesimama ni kugonga meza tu
@meshackgelson672
@meshackgelson672 10 месяцев назад
Bunge linalaaana, mmepita bila kupingwa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 месяцев назад
Watanzani tunakubali wewe mwiguru ni jambazi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 10 месяцев назад
Kuna .... inagonga meza inatia hasira 😢😢😢
@wilsonyeza8202
@wilsonyeza8202 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ili taifa tumepigwa
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 2 месяца назад
Ujumbe umefka mwigulu wambie ukweli mama oyeee👍👍👍
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 месяцев назад
Kiufupi tu huyu Waziri wa Fedha hatishi Rais wangu ondoa huyu jamaa eti ana PhD😂😂😂
@mashakambugi6730
@mashakambugi6730 10 месяцев назад
Sijaelewa zaidi ya real time audit na compliance audit ambayo kwa sasa ni requirement ya kimataifa. Pili kusema Prof. Assad aliondolewa kwa zengwe ni mpya sana kwangu. Na inaashiria zaidi nazaria iliyopo ya cag kunyimwa uhuru ama uhuru wake kutegemea utashi wa mkaguliwa.
@JaneJennifer-zk7bk
@JaneJennifer-zk7bk 9 месяцев назад
Sijawahi kujua anaongeaga kitu gani jamani
@user-jt4lo1og8w
@user-jt4lo1og8w 10 месяцев назад
Huyu ni waziri mpigaji tu, rais alibugi sana kuteua hili jitu .
@aishahasan7722
@aishahasan7722 10 месяцев назад
Hili ni jiz sana😂😂😂
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 10 месяцев назад
Linavyojikuta Sasa na hizo tai za bendera ya taifa utafikiri mzalendo
@nassoroigalawa5329
@nassoroigalawa5329 10 месяцев назад
Dah! Hii imeendaaa
@sifaheryjeremiah9725
@sifaheryjeremiah9725 10 месяцев назад
Mwigulu kumbe mjinga hivyo
@cleophacemasole
@cleophacemasole 2 месяца назад
Nampenda sana Mh Dr. Mwigulu Nchemba anajua kujenga hoja. Hongera sana
@mohanmashine3518
@mohanmashine3518 2 месяца назад
huuna unachokipenda kwa mwiguru na km kipo bac hukijui
@user13375
@user13375 2 месяца назад
Ufinyu wa fkra
@PartySekemi
@PartySekemi 2 месяца назад
Mwizi siku zote anajaribu kujieleza hana lolote
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 месяца назад
Kwa bunge hili na waziri wa fedha aina kama Mwigulu sioni Tanzania ikisonga mbele kiuchumi pamoja na kumsifia mama Samia Kama ametoa pesa zake mfukoni mwake
@emmanuelademba7919
@emmanuelademba7919 10 месяцев назад
Mwigulu siku izi anaachia ndevu!!!,zamani alikuwa ananyoa, nadhani sabu hiyo imemsababisha kujiamini zaidi.
@StevenMgaya-h9l
@StevenMgaya-h9l 2 дня назад
Ivi watanzania tumekutwa na nini lakin majizi yanavo utetea wizi wao mwigulu ni mwizi kama majizi wengine tu
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 10 месяцев назад
We kwenda zako huko mwigulu, nafuu mh msukuma awe waziri wa fedha kuliko wewe
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l Месяц назад
Huyu waziri nijipu tena rimekosa mtumbuwaji maana hana hoja ya misngi unajitahidi kuongea lakini bado khaaa mungu atuaideye sana wanichi
@yapukahassan
@yapukahassan 10 месяцев назад
Huyo mwanamke anaye gonga meza anaonekana anagonga meza nae
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 10 месяцев назад
Nchi hii mkitaka iwe salama wafanyabiashara kwenye uongozi WA nchi wawekwe pembeni( conflicts of interest) nchi itazama, Azimio la Arusha wenye akili ya kuona mbele walijua hayo.
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 месяца назад
Ooh wanaiba kwa njia ya sheria ?
@meshackgelson672
@meshackgelson672 10 месяцев назад
Mwinguru afungwe
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 10 месяцев назад
CAG ni mtu au kikosi?. Maana nasikia alipwe bilioni kukagua miladi 😂
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 3 месяца назад
MH Sp Mwgulu Ana sema ukweli una mwambia Afute kauliyeke kwani kusema kweli kwenye Bumgelako ni dhambi?Lakini Wa Tanzaia wote wana jua kufukuzwa kwa Saad kulitokana na kusema kweli kwamba kuna Wizi Mkubwa
@MartinChawangula
@MartinChawangula 10 месяцев назад
Bravo
@user-vv9kk3gz5f
@user-vv9kk3gz5f 2 месяца назад
Raisi wetu mpendwa magufuli alimuona hafai sijui sijui kwa nn mama anamlea
@user-vv9kk3gz5f
@user-vv9kk3gz5f 2 месяца назад
Hufai bwana sijui kwanini huyu mama haoni
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 2 месяца назад
Huyu mwiguru ni mwizi na mnafiki sana 😮😮😮😮anacho sema tofauti na anacho ulizwa mnampigia makofi mwizi. Mnafiki kweli ccm ni mazuzu kweli
@thomastarimo
@thomastarimo 10 месяцев назад
hivi huyu mwingulu ana nini aswaa asikamatwe
@user-ds2qr6fx6c
@user-ds2qr6fx6c 10 месяцев назад
Sulangumu ilatu nilangi kidogo inalizisha 😂😂
@jeremiahdioniz2927
@jeremiahdioniz2927 10 месяцев назад
Mnajifanya nchi kuwa yenu wenye CCM yenu ipo siku mtajuta tu na nyie
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 10 месяцев назад
Mafanikio yako wapii??? Kupandisha bei ya chakula maisha haya mna piga elauko tunaitaji mabadiriko makubwa sana Tanzania
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 10 месяцев назад
Atamfanyaje huyo anakula na mama, ameiba mpaka kachoka sasa anawatukana hivi mtamfanya nini mnanini kumzidi huyu, eti wabunge amumuwezi huyo muwekeeni mdomo muone kama kwenye kamati ya wabunge mtapita mwacheni huyo wa mama
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c Месяц назад
Mwiguru Yuko sawa wizi mnaosema atuna ushaidi
@tumainiellyimo4657
@tumainiellyimo4657 2 месяца назад
😂😂😂😂mbunge anayekubalika jimboni kwake?
@rasnchimbi
@rasnchimbi 10 месяцев назад
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi !✍🏿
@khamysamursally5932
@khamysamursally5932 9 месяцев назад
Mama huyuu mtu sio mzuri kwakowatu hawamtaki mtoee
@danielchacha1305
@danielchacha1305 10 месяцев назад
Yaani Mwigulu anamtetea Samia na sio nchi yetu. Kwani ishu ni Samia au wizi unaoendelea katika nchi hii?
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd 10 месяцев назад
Anatetea teuzi yake
@flova7022
@flova7022 9 месяцев назад
Wezi wenzie ni kumpigia makofi Tu...kama watumishi WA afya wakikosea hapohapo wanachukuliwa hatua why not these ministers
@flova7022
@flova7022 9 месяцев назад
Kwan makonda kwann asimhoji nchemmba kma kweli yuko kikaz
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 2 месяца назад
Mwiguru watanzania unao mbunge mpaka wajue Yako hivi kwenu Kuna wakulima subili kiama 2025
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 2 месяца назад
Sijaridhishwa na waziri mwigulu
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 месяца назад
jamaa hawezagi kuongea bila kurusha mikono na kupiga kelele..😢
@The1979bornagain
@The1979bornagain 3 месяца назад
Huyu bwana (Ng'wigulu Nchemba) nadhani ana tatizo la kisaikolojia, hana utulivu na ana-lack u - serousness katika jukumu lake la uwaziri wa fedha. Huyu nafasi hii ya uwaziri wa fedha haiwezi. Huyu arudishwe chamani huko akawe mfanya propaganda na uongo uongo. Utendaji ktk serikali ni lazima uzingatiape sheria, kanuni na taratibu hakuwezi. Lakini yeye anaonekana ni mtu asiye serious na majukumu yake. Anapenda siasa badala ya kutenda na kuisaidia nchi na wananchi kukua kiuchumi!
@frankangira7909
@frankangira7909 10 месяцев назад
Siasa bana,!sijui wanasiasa wanafaham tunafaham kuwa wanaatuibia,,!?
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 2 месяца назад
Huyu waziri mbona simulewi watu wanakimbiana wakati wakuandaa sio wakati wa kula
@ChristerShao
@ChristerShao 10 месяцев назад
Kama waliambiwa wale urefu wa kamba zao,ndo wamekula sasa hawajafikia huo urefu wa kamba.
@gasperaroni5751
@gasperaroni5751 2 месяца назад
Hakuna waziri hapo huyu ni wa mama samia
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 10 месяцев назад
Hili limama linalogonga meza ovyo ni libunge la wapi au viti maalumu?
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 месяцев назад
Yaani likera
@johnsonngowo1183
@johnsonngowo1183 6 месяцев назад
Hasira 😢
@SaidNjenjema
@SaidNjenjema 2 месяца назад
Hvi wanaepga makofi wanaelewa?
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 10 месяцев назад
We ni mwizi unapenda kuvaaa s skafu ya bendera unatuzuga TU.Braza we ni mpigaji tyu
@Ashahabibu-yr1rn
@Ashahabibu-yr1rn 6 месяцев назад
Mwigulu huna lolote ,ndiomaaana magu alikutumbua ,huna lolote yani wewe ni jibu tu
@givenkessy9540
@givenkessy9540 10 месяцев назад
Tuna genge la wezi ,hatuna viongozi
@user-vv9kk3gz5f
@user-vv9kk3gz5f 2 месяца назад
Nyie pigen makofi mtu anafanya ujinga mnashangilia mtakuja kuomba kula
@lipandapiyumba1405
@lipandapiyumba1405 10 месяцев назад
Hii inchi imehalibika mtahan hakuna ela watu hawanauluma kabisa na taifa lao
@flova7022
@flova7022 9 месяцев назад
Haka kamama pembeni mbona kanampigia xn makofi?
@ombendaud5938
@ombendaud5938 10 месяцев назад
Mbona huyo huyo Raisi Samia ameruhusu kuiba mawaziri hapo unafunika funika Samia ni mwizi mwizi kama wewe mwenyewe
@PartySekemi
@PartySekemi 2 месяца назад
Hakuna waziri hapa ni ujinga tu
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 2 месяца назад
R.I.P JPM
@sifaheryjeremiah9725
@sifaheryjeremiah9725 10 месяцев назад
Alafu mnaiba na hamchukuliwi hatua very stupid
@leylasaid9641
@leylasaid9641 10 месяцев назад
WOTE WAMEPENDEZA.
@KwikwegaKwikwega
@KwikwegaKwikwega 10 месяцев назад
Kanyoe ndevu kwanza mwigulu
@levissanga8867
@levissanga8867 10 месяцев назад
Mh Bashe umebadilika lini kuwa mgonga meza badala ya critical thinker as you used to be?
@monicachacha455
@monicachacha455 2 месяца назад
mmmmm
@mangashajunior242
@mangashajunior242 10 месяцев назад
Waendeè ni mzigo kwa nchi....
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Hayo makofi ni nn ee ccm bac tu
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 10 месяцев назад
Haya majizi mnayataja mbona hatuoni yanatajwa na yanafungwa? Mwigulu ni mwizi ana jazba .Mwigulu pita huku
@consesaphelician9266
@consesaphelician9266 10 месяцев назад
Jenista ckuelewi? Hiyo meza unaigonga ya nn Kuna nini baina yako na mwigulu Make mwigulu kapanik vibrant mno
@chidampiri1012
@chidampiri1012 10 месяцев назад
Zengeli anaingiaje hapa
@MwitaSenso
@MwitaSenso 4 дня назад
Jina lenyewe chemba maan yake huyu ni jemba ya maji machafu Amna kitu apo
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 10 месяцев назад
Rais wangu inatisha wizi huu umekisili huku barabara hatuna rami tunaugua tibii vumbi tu masika taabu kutoka ispii mbaka mafinga inauma kuona watu wanapiga hela tu
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k 10 месяцев назад
Mwigulu ujumbe umefekaaa
@stevinngenza8704
@stevinngenza8704 3 месяца назад
Tapeli tu
@user-ey8zi1es4p
@user-ey8zi1es4p 10 месяцев назад
Kama ameaidi kushughurikia ki katiba,mbona sasa ataka kuleta katiba mpya?mafisadi ni nyie wenyewe tu mmeashindwa kuwakilisha vyema
@charlestogolai1407
@charlestogolai1407 10 месяцев назад
Njie jipigieni tu makofi tutaona huku mtaani
@zachayojohn7065
@zachayojohn7065 10 месяцев назад
Hivi Nini mtu kabla hajapa wadhifa ndani ya Serikali anakuwa mzalendo lakini akishapata Uongozi hawezi katu kutetea wanyonge!
@sultansallah8772
@sultansallah8772 10 месяцев назад
Uliona wapi mvuvi anampa sanaki chambo baada ya kumvua
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 10 месяцев назад
Huna lolote na wewe ni walewale wanaoifisidi nchi mafisadi ni wale
@isackbosa2628
@isackbosa2628 10 месяцев назад
usituunganishe nawe sisi watanzania hatuusiki, ukiiba unagawana na nani?
@ndugaijacob359
@ndugaijacob359 10 месяцев назад
Kunani.kati ya Mwigulu Chemba na Mpina,acheni kuzodoana,
@JumaDea
@JumaDea 10 месяцев назад
Nyieee
@victorjames3730
@victorjames3730 10 месяцев назад
Tangu lini mwizi akakubali kuwa ni mwizi
@mlimakenedy-qi4jz
@mlimakenedy-qi4jz 10 месяцев назад
Kubwa lamaizi ludisha helsazatozoonaulisema twendebulundii
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 10 месяцев назад
Maji hufuata mkondo.
@claudiusbernard8178
@claudiusbernard8178 10 месяцев назад
Jamaa mbona kapaniki sana kuna nini hapa😂
@PantaleoBundala-tl2kd
@PantaleoBundala-tl2kd 10 месяцев назад
Kuna mirija yao mipana tu
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 10 месяцев назад
Hakutemea anachokumbana nacho
@mukhtarkassamali7802
@mukhtarkassamali7802 10 месяцев назад
Mtu ya ma na na na , feki
@leylasaid9641
@leylasaid9641 10 месяцев назад
BAADA YA KUKAGUA KUNA HATUA GANI ZINACHUKULIWA?
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n 2 месяца назад
mashavu kama matako ya mtoto
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Месяц назад
Piga makofi ccm howe
@josephshee
@josephshee 9 месяцев назад
Kuiba kwa utaratibu maana yake ni nini?
@BenedictorMatemla
@BenedictorMatemla 2 месяца назад
Forensic audit ukaguzi wa papopapo
@BenedictorMatemla
@BenedictorMatemla 2 месяца назад
Compliance legal anasemea wataiba kwa kufata taratibu
@thomastarimo
@thomastarimo 10 месяцев назад
lijitu lijambazi kama nini
@chellususnkungu4333
@chellususnkungu4333 10 месяцев назад
Comedy
Далее
DR SLAA AFUNGUKA A-Z UTEKWAJI WA ALLY MOHAMMED KIBAO
15:08
Сказала дочке НЕТ!
00:24
Просмотров 1,1 млн
Mark Rober vs Dude Perfect- Ultimate Robot Battle
19:00
LIVE: Putin hosts economic forum in Russia
3:13:11
Просмотров 10 тыс.