Haha tumia akir ndo uongee ujaambiwa cmg aito kuwepo na ukitaka kusema hivy virabu vya mpira visinge kuwa na sehemu ya kusajisi wachezaji kwanini wasikuchukuwe wewe wakamchukuwa mwijaku wew si binadamu na mwijaku binadamu
Game ya media ni ya watu hao hao tuu wachache (mabosi). Wanaamua tuu kwenye vikao wanapeleka nguvu huku wakiona kumewaka wanaibuka na uhamisho mwingine.. yani ni hivyo. Wamesha calculate kila kitu, wataishi vipi, ndio mana bongo media inaanza hata haijaruka hewani,hata tathmini ya inawafikia jamii kiasi gani haijafanyika lakini tayari wana dili la bonge la kampuni (benki/bia).. mipango
Mwijaku ana impact gani kwenye radio mara elfu Baba levo,,mwijaku kwenye kipindi Cha ya Leo tena hajawahi kuwa na point,, mwijaku anaweza kumuongelea diamond negative Hana content ya maana redioni
Sasa mcheza kamari baba levo na mwinjaku ambae ni balozi wa wasafi bet si wote njia moja tu nae pia anakula haramu au vile huchezi wakati wew muhamasishaji