Тёмный
No video :(

MWIJAKU Amtolea Maneno Mazito DIAMOND "Watoto wake HARAMU/Anachezea WANAWAKE" 

Rick Media
Подписаться 864 тыс.
Просмотров 22 тыс.
50% 1

DC wa Instagram na Mtangazaji wa Clouds Fm Mwijaku amemjia juu mwanamuziki Diamond Platnumz baada ya kutangaza nia ya kupata mtoto wanne licha ya kutokuwa kwenye ndoa
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Mwijaku #DiamondPlatnumz

Опубликовано:

 

8 фев 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 118   
@agonysmartboy9775
@agonysmartboy9775 Год назад
Rick huna hakili kila siku na kwambia unamuogopa diamond..unaweza kutamani kuzaa na huna ndowa ..we mjinga Rick
@khadijahwanjiku
@khadijahwanjiku Год назад
Ni kweli kabisa Wambie MashaAllah, Wambie nimekupenda kwa hayo Wambie ukweli diamond acha Hizo auowe aza mtoto wa halali
@tayoocollection9287
@tayoocollection9287 Год назад
Sawa ili kuamini kuwa wew unaushawishi zaidi Africa mashabiki hacha kumuongelea diamond Platnumz
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Год назад
ww matako ya nyuma
@haysal9619
@haysal9619 Год назад
@@antonywilliama2868 kwani kuna matako Ya Mbele
@tayoocollection9287
@tayoocollection9287 Год назад
@@antonywilliama2868 wew Sawa matako ya mwijaku
@joleal7941
@joleal7941 Год назад
Mwijaku apo nimekupongeza✌✌
@idhaabad548
@idhaabad548 Год назад
Mbona valentine unashrrehekea na kiislamu haifai MBWIGA WEWE
@bisimwamoise284
@bisimwamoise284 Год назад
Mwijaku nakukubali sana 🤣🤣
@allykhamisally9077
@allykhamisally9077 Год назад
King kiba ana watoto wangapi wa nje jaman naomba jibu.
@vodacomhalotel8096
@vodacomhalotel8096 Год назад
duru hii mwijaku umeongea point👍👍🔥🔥
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Год назад
Mwambie DC afungue RU-vid channel yake sisi wakenya tunampenda sana
@derrickwekesa4604
@derrickwekesa4604 Год назад
Wakenya tunampenda babalevo
@kishenjel3527
@kishenjel3527 Год назад
@@derrickwekesa4604 kabisaa💯💯😂😁
@sharlharl5890
@sharlharl5890 Год назад
@@derrickwekesa4604 kabisa
@emmalyanga3726
@emmalyanga3726 Год назад
WaZimbabwe hatumuelewi
@mohdnasser894
@mohdnasser894 Год назад
Mtoto wa kiislamu eti anashehekea Valentina kweli dunia imekwisha alafu anamkosowa DAIMOND
@samwelkeremu4111
@samwelkeremu4111 Год назад
Saf sana rick hilo linatrend kwa sababu ya mondi mbona husemi watoto wa ali kiba wengine fala ww
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Год назад
Ila Mwijaku dah
@halimaamani4095
@halimaamani4095 Год назад
Dc uko sahihi sana
@brightjazmith1055
@brightjazmith1055 Год назад
Bongo kuna vituko
@kantai737
@kantai737 Год назад
mwijaku Na aya zooote hizo, hujui kama valentines haramu.
@awadhally1052
@awadhally1052 Год назад
Valentines ni sikuu ya makafi na manaswara na mayahud.
@jeremiahisambi9324
@jeremiahisambi9324 Год назад
Mwijaku leo wewe leo umesema ukweli kabisaa mbona ameongopa kuoa basi anandanga sanaaa diamond mbona diamond anamutesa zari tarehe moja 2023 akawa Tanzania tena jana tarehe 14/2023 hakwenda sauzi alienda kudanga diamond ni malaya mukubwa sanaaa
@jeremiahisambi9324
@jeremiahisambi9324 Год назад
Mwijaku uko sawa kabisaa eti anasema anampenda tiffah dangote muongo kama anamupenda tiffah dangote muongo zari amevumilia sanaaa hake
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Mwijaku bhana
@nurdinchangendo109
@nurdinchangendo109 Год назад
Mwijaku wewe ni mwanamke mwanadada
@johanesdeogratias5106
@johanesdeogratias5106 Год назад
Mwijaku, jina lenyew kama miti shamba ng"ombe huyo
@aysharashid1049
@aysharashid1049 Год назад
Sahihi mwijaku mtt wa nje ya ndoa ni wa mama arusiwi kumuozesha
@jeremiahisambi9324
@jeremiahisambi9324 Год назад
Mwijaku mwijaku mwijaku unasema ukweli kabisaa
@OMANOman-qc1lm
@OMANOman-qc1lm Год назад
apo umesema point kuza nje ni mtoto wa haram hata ukienda kushtaki mahakamani mtoto Hana haki yoyote zaid ya mwanamke mwenye ndoa ndo mwenye haki anae julikana kidini na family na serilikali
@alivunga2378
@alivunga2378 Год назад
Yani hayumo uyo achana naye anatafuta ugali tu
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc Год назад
Nimeamini huyu jamaa choko
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
Wewe mwijaku kwanini aujielewi
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
Wewe mwijaku apimwe akili kwanza mana aujielewi
@iceplay18
@iceplay18 Год назад
hehe hapa naona mwijaku kafika mbali eti watoto wa diamond wote ni wanaharamu , alafu anatafuta diamnond ampe kazi , huyu afutwe kazi mara moja kama diamond ako na damu
@josephgoliama8068
@josephgoliama8068 Год назад
Huyo mtangazaji mpuuzi sana. Kweli Mwijaku umemfunika huyo mjinga aibu imemshika. Katika hilo uko sahihi Mwijaku
@oman6124
@oman6124 Год назад
Na kidini ya kiislam ikiwa baba wa mtoto wa haram kafariki mtoto haruhusiwi kurithi chochote haijuzu.
@sethny112
@sethny112 Год назад
Salute sana Mwijaku lol very wise
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 Год назад
Leo nimeona kama mwijaku sio mtu ni ibilisi. Huwezi chafuwa mtu ambae anakupa riziki, hebu wa Tanzania jamani saminisheni huyu diamond bado yupo hai. Warundi 🇧🇮 hatupendi anachokifanya huyu mbwa mwijaku
@Badest_gaming508
@Badest_gaming508 Год назад
Tuache sisi waislam kuambiana ni wajibu pesa ni jambo la mpito tuu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Год назад
Bro uyo na diamond hawana shida wanachangamsha Sanaa tu
@gidenproofficiel
@gidenproofficiel Год назад
Mwijaku DC nakukubali sana umbwa wewe 😂
@bakarikombo2694
@bakarikombo2694 Год назад
Halina ubishi hilo kwenye kufuatiliwa
@salmakwayu3951
@salmakwayu3951 Год назад
Mwijaku unasema ukweli
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
Mwijaku anamabaya mengi ayaoni
@tabasamtv6728
@tabasamtv6728 Год назад
Media zina sapoti namn mwijaku anavyo muongelea Diamond mna hakuna Interviews 2 bila Mwijaku ajaulizw kuhsu Mondi.
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 Год назад
Hakuna msafi ktk hii dunia alieondoka msafi no mtume na waliobashiriwa pepo ☺️
@samwelkeremu4111
@samwelkeremu4111 Год назад
Kumbe hata lenyewe lina mtoto wa haramu nyani haoni kundule
@jeremiahisambi9324
@jeremiahisambi9324 Год назад
Diamond ngeuka tunakushanga sanaaa Africa yote mbona utaki kuoa unaogopa nani mungu ndio mambo yote ama unangopa wanawake wako ama unaogopa utakuwa utakuwa unadanga diamond umetusinya sanaaa
@Wazimamoto
@Wazimamoto Год назад
Hao watoto ote ni wandan ya dowa Bada ya apo ndowa imevunjika akiwa kasha zaa
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Ludi shule ukajifunze kuandika
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
Mwijaku tutoleye fujo
@YogweMwakulola
@YogweMwakulola Год назад
SOMA VIZURI DINI USIPOTOSHE WATU MAMA ULOLALA NAE AKAPA MTOTO UYO MTOTO NI HARRAM KUMUOA USIJIZIME DATA HAPO
@abdisalamshee3698
@abdisalamshee3698 Год назад
DC lazma uwe ndani ya ndoa ndo uowe ??? 🤣🤣🤣 Sjaelewa hapo bana 🤣
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Kazi yake kuleta matoto ya haramu tuu
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
😁😁😆😆😆😅😅
@daudjohn3458
@daudjohn3458 Год назад
Rick humuwez mpaka B levo baa😂
@user-hn3km9ex5r
@user-hn3km9ex5r Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Daniel-kg9rp
@Daniel-kg9rp Год назад
Rick huyu museng usiw unamuogi nakam utamuoj usiwe unatuletea
@isackyusuph7881
@isackyusuph7881 Год назад
Mwija kwa kusawazsha haujambo
@aysharashid1049
@aysharashid1049 Год назад
baba
@Badest_gaming508
@Badest_gaming508 Год назад
Apo kwenye dini kweli Yule mond haruhusiwi ata kugusa coz ni halali kwakwe sio mtoto wake
@kaditokenya6873
@kaditokenya6873 Год назад
Ninachokijuwa shehe Mwijaku kitanda hakizai haramu ila tendo ndio haram.. point noted maalim
@Badest_gaming508
@Badest_gaming508 Год назад
Kwenye Islam kitanda kinazaa haram vizuri tuu ao maneno ya wazinifu baada ya kufanya machafu
@kennedyokochwe7292
@kennedyokochwe7292 Год назад
Hauna jipya ww Ng'ombe
@shehugakwaya71
@shehugakwaya71 Год назад
Yani shanga watu wanapo jesifia kubeba na kubebesha mimba kharam!!!!!!!
@shadyandizeye9453
@shadyandizeye9453 Год назад
Nimependa mwishoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ashuu7772
@ashuu7772 Год назад
Nwijaku kwaleo nipo pamoja nawe
@gilbertkalash3846
@gilbertkalash3846 Год назад
Diamond Platinumz ni diamond kabisa kama uyu pumbavu mwijaku alisha anza kujipandisha ni kwasababu ya simba
@hashimlowela294
@hashimlowela294 Год назад
😄😄😄yan huyu hawez kumaliza maneno bila kumtaja mond
@galileemsangwa9311
@galileemsangwa9311 Год назад
HUYO ANGEKUWA NCHI YA WATU WANAOJIELEWA ANGEKUWA ALISHAGA ULIWA MAANA AKUNA MAISHA YA IVO YA KILA SIKU KUCHAFUA WATU
@abubakari8684
@abubakari8684 Год назад
Jee muulize Alikiba hana watoto wainjee.yani daimonde alikufanya nini Yani namb moja ni moja tuu
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 Год назад
Rick wewe uliza maswali sio kubishana..
@soudnassor2956
@soudnassor2956 Год назад
Mwinyijaku jibu suwala " ili ndoa ikamilike inatakiwa watu wangapi wahusike
@alibinali_
@alibinali_ Год назад
Hapo kwenye mtoto ameongea kweli kabisa hakuna piga mizi hapo
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Год назад
ficheni uchumba tangazeni ndoa
@mosesgoldenboy9911
@mosesgoldenboy9911 Год назад
Mtume ana sema tufiche ndoa tutangaze walima uyo mwijaku mu ongo sana
@JIMBO_MEDIA
@JIMBO_MEDIA Год назад
Kuficha ni posa si ndoa
@mussaayubu1167
@mussaayubu1167 Год назад
Ila huyu jamaa ni kichaa Saiz naamini huyu zimepungua
@sadikishabani4779
@sadikishabani4779 Год назад
Anatembelea upepo wa diamond
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Год назад
Jinga Hilo,linaisha bila jasho
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Год назад
Diamoo anataka kuwa na wamama na watoi wengi inje ya ndoa,tebu waambie
@sadikishabani4779
@sadikishabani4779 Год назад
Yeye mwenyew mwijaku ni haramu awaulize wazazi wake
@daudjohn3458
@daudjohn3458 Год назад
Unatumika kisiasa mi huniwezi😂
@allyabdalla5894
@allyabdalla5894 Год назад
Mwijaku na diamond ni Pete na kidole wasiwaumize vichwa wanajuana.
@kikombeselemani6278
@kikombeselemani6278 Год назад
Wewe mwijaku kwenye sheria ya dini ya kiislam, hakuna mtoto wa haramu. Kitendo njo kinakuwa haramu.
@daudjohn3458
@daudjohn3458 Год назад
Hilo koti baba levo kalisha livaa kama sikosei😂
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 Год назад
Hamjaelewa alichoanfika diamond platnumz. Mondi anatambulisha msanii mwingine
@Baba_Ben.
@Baba_Ben. Год назад
Basi sawa haina shida . . . . 😆😆😆😆😆
@Levokarumna
@Levokarumna Год назад
P
@b-brightakapella7734
@b-brightakapella7734 Год назад
HUYU JAMAA UTANGAZAJI WAKE NI WAKUPENDELEA HUYU NI WCB KABISA
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Eti sina mabaya
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh Год назад
Kwa mwenye akili timamu akimsikiliza mwijaku atajua kua anaongea maneno ya maana ila wazinifu hawatamkubali Big up mwijaku
@itNeza
@itNeza Год назад
Bila Diamond huli Maliza mwezi Bila kumtaja Tutakupa Tuzo. 🙄😏🤔
@itNeza
@itNeza Год назад
Rick upo juuu umempa makavu huyu Pumbu. 🙄😏🤔
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy Год назад
ye wakwake wa halali huyo malipaka?
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Год назад
Muongo hakuna sheria ya kumuoa mtoto ambaye ni damu yako acha kutukana watu
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
Mbon uchafu alomfanyia MENINA hazungumzi.atuachie mond we2 kwendraaaaa
@uwerapraxeda7240
@uwerapraxeda7240 Год назад
Nalichukia hili lijitu😏😏
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Год назад
Lkini mtoto sio haramu tendo hilo ndilo haramu mtoto haezi kuwa haramu hio sheria Illa umuhimu ni kuoa
@oblangatamakhakas9593
@oblangatamakhakas9593 Год назад
Una hakiri ww una mtoto haramu nawee chizii ww
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
Ivi kwanini usiseme yako wewe mwijaku
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
CHOTI uyo
@rgmoussa
@rgmoussa Год назад
mwijaku uislam hukuacha kituu so ongeleya yote vp unakaziya upande umoja tuuhh nawewe una mambo kibao machafu sana tuu usafi siyo inje jichunguze wewe mwijaku
@zezenature
@zezenature Год назад
Presenter anamuogopa simba n hiyo iko wazi.....alafu unapobishana ili mwingine kuonekana mwongo,hapo ndipo unatuboa Kaka. Hii Ni entertainment so hoji mtu Wala usibishe unatoa utamu akh!
@donatienkamate1370
@donatienkamate1370 Год назад
Hapo muna danganywa eti mwijaku ana nushawishi wauongo
@amisjabubakari7734
@amisjabubakari7734 Год назад
CHOTI uyo
@samwelkeremu4111
@samwelkeremu4111 Год назад
Aseme watoto wa king kiba wa nje ni haramu
@elizabethsamwel8628
@elizabethsamwel8628 Год назад
We mbwa acha kusema mtoto wa nje haramu tena ukome
@aishamagoshi2852
@aishamagoshi2852 Год назад
Nikweli
Далее
Будзек и рецепт🐝
00:25
Просмотров 80 тыс.
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55