Тёмный

MWILI WA MUIMBAJI WA ZABRON SINGERS UMEHARIBIKA SANA | ATOBOLEWA TOBOLEWA KWA UPASUAJI 

MADORA TV
Подписаться 93 тыс.
Просмотров 114 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 198   
@everlinekanini7255
@everlinekanini7255 2 месяца назад
I Wish alipelekwa hospitali hapa Kenya 🇰🇪 Nairobi Hospital to be checked Angepona instead of being flown all the way to Dar..Operation was not Necessary Mungu anawaona hao Madakitari they caused the Death of Marco Joseph Inauma Sana Anyway imetendeka .May his Soul Rest Peace.
@LillianKamusa
@LillianKamusa 2 месяца назад
True hata Agakhan hosp is best kutibu moyo .most patients operations zao hukuwa successful .poleni sana familia yake na zabron singers .kifo ni uchungu
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 2 месяца назад
Kenya watu hawafi?
@susanmwangi2114
@susanmwangi2114 2 месяца назад
Death n life of person is in God's hand. Hakuna mtu anaeza kufa kama mungu hajakubali, ni wakati wake ulifika wa kuondoka nduniani.
@susanmwangi2114
@susanmwangi2114 2 месяца назад
1samwel 2:6 God brings death n makes alive: he brings down to the grave n raises up
@elizawambui7636
@elizawambui7636 2 месяца назад
I second you,,hapa Kenya I don't think our doctor's could rush in operations,wagetake precautions first 😢😢😢,,,Inaumaaa saana😭😭💔
@ReginaUshaky
@ReginaUshaky 2 месяца назад
Yote hayo tumwachie mungu.hata hao madaktar tusiwalaumu.operation wa moyo ndugu zanguni hata angepona asingeish muda mrefu.tuna ndugu yetu alifanyiwa na mpaka Leo hii hatupo nae.tumshukuru mungu kwa yote.hata ss mm kesho yetu hatuijui.poleni sana Wana familia mungu awatie nguvu kipindi hik kigumu.hata ss tulimpenda sana
@majaliwapeterSimon-vl6ym
@majaliwapeterSimon-vl6ym 2 месяца назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mungu ndie kila kitu jaman
@Tripac-photography
@Tripac-photography 2 месяца назад
Pole ni sana jamani kumupoteza muimbaji kipenzi chawatu zaidi sana kipenzi cha familia tunatowa pole tukiwa Congo drc
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 2 месяца назад
Amiin
@MwitaKihugi
@MwitaKihugi 2 месяца назад
Mimi nilifanyiwa jeshini mwanza oppression wanajeshi wako vizuri kuliko hii minywa gongo
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 2 месяца назад
​@@MwitaKihugiusifanye tena hivyo haina afya poti😮
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 2 месяца назад
Nchini Tanzania hakuna Ma-Daktari wazuri ukiumw aukipelekwahospitali ujijuwe unakwendakufa kupona ni asilimia 20 tu. Mr Tundu Lissu angelitibiwa Tanzania sasa hivi tungelimwita Marehemu .Lakini amekwendakutibia ulaya na amepona .
@RajabuKiedu
@RajabuKiedu 2 месяца назад
Kila jambo ni mungu karuhusu kama alifanya kazi ya mungu kwa uaminifu atavalishwa taji tuache lawama
@joyceomboga5906
@joyceomboga5906 2 месяца назад
Heart surgery is very delicate,it's needs the best of the best surgeon to carry the operation and well equipped facility.God knows better.RIp Mwimbaji😭😭😭
@DianahWalukana
@DianahWalukana Месяц назад
Hamujui kitu madakitari wa Tanzania kuendeni huko mrudi mashuleni mmefanya kitu mbaya sna,ama mliongwa kumaliza muimbaji wetungemu ref Kenya,hata nalaumu pia wenye walimurudisha Tanzania eti atipiwe huko mbona hamukumuacha ati iwe huku kueyu Kenya ,na mlikua Kisumu pia kina specialist wa moyo tukampotezandugu wetu mzuri kua njia ka hiyo jamani,sjui ka ntasahau souti na sura yke,rip bro mungu anakujua vzuri sna.
@NeemaMiaga
@NeemaMiaga 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu wanafamilia poleni kwa kuondokewa na kaka yetu mpendwa
@christinemwakio7870
@christinemwakio7870 2 месяца назад
Mungu awape faraja zake zinazo pita uwezo wa kibinadamu... but ako kwa mikono iliyo salama, Mungu hutukumbusha pia kupitia hili kwamba tuwasafiri... ila Mungu alipanga haya yote, asante Mungu kwa mda wote pamoja na Marco hapa duniani... hii ni transfer Marco akaimbe huko juu Mbinguni.. natushukuru kwamba hata hili Mungu atawapa faraja na litapita.. Mungu ametukumbusha tuko safarini basi tujichunguze tunaelekea vipi🇰🇪🙏❤
@azizanzumbi9637
@azizanzumbi9637 2 месяца назад
Tumezaliwa siku moja tutakufa siku moja muhimu ni kumuomba mwenyez mungu atujalie mwisho mwema msilaumu madaktar sana kwan kila mmoja ataondoka kwa sababu mwenyez mungu alopanga kifo kimeumbwa msiongee sana mkamkufuru mwenyez mungu inauma sana ila tumshukur mungu yote kwa yote innalilah wainalillah rajiun😭🙏
@silvanosamwila
@silvanosamwila 2 месяца назад
All is not lost,he is at the right time in the hands of GOD ,we are all passing by ,diferen time , diferent ours. im Evangelist Silvanos AKOMBO GOSPEL ARTIST FROM KENYA.
@StoneJoyc
@StoneJoyc 2 месяца назад
No operation these days: normaly this is done: Coronary stents are now used in nearly all angioplasty procedures. A stent is a tiny, expandable metal mesh coil. It's put into the newly opened area of the artery to help keep the artery from narrowing or closing again. Tissue will start to coat the stent like a layer of skin once the stent has been placed. Mume wangu alifanywa 2012 aliposikia uchungu huo.
@CoCo-ol6mu
@CoCo-ol6mu 2 месяца назад
🇰🇪 ndugu yetu angetibiwa kenya tu maana hata shida ilimzidi akiwa amefika kisumu kenya. Yote hata yangeisha vyema kabisa..poleni kwa msiba
@DianahWalukana
@DianahWalukana Месяц назад
Mbona mlimpeleka tazania na alikua Kenya,na Kenya Kuna mahosipitali mbona,mbona,nlitaka tu huyo muimbaji wetu aage Dunia,imeniuma sna kuliko wote ju nlikua nwapenda sna sauti yake na dadake,mi sio familia bt imeniuma sna,wakenya tumupenda sana na dadake jinzi walivio kua wakirudishana masauti zao ,tazania hakuna madakitari,n mafala sana,hao na uzembe wao ndio waliomua Jose wetu😭😭😭😭😭
@WitnessAumaNono
@WitnessAumaNono 2 месяца назад
Inauma sanaaa duuuuuuh poleni sanaaa ndugu rafiki jamaaaa familiy MUNGU Awatie nguvu
@lydiahomurwa
@lydiahomurwa 2 месяца назад
Jina la bwana lipewe sifa daima Kwa muda huu mfupi tumekuwa na Marco Kwa uimbaji na kumtukuza mungu
@harrietwaweru9760
@harrietwaweru9760 2 месяца назад
I was So saddened and touched to hear of this sudden death of this dear servant of God...of the Zablon singers. I have been quiet ,in like wondering waaa, is it so? Am I hearing it well or seeing? He served God through music in a great and powerful way # Zablon singers It's not easy to be humanly possible. But I know, our father in Heaven who took Him home knows it, Words may not mean much dear brothers and sisters of Zablon singers,His family and larger family and the entire Nation and East Africa community. May our good Lord uphold you and encampass you this most difficult season.shalom.
@StanleyMolla
@StanleyMolla 2 месяца назад
Hii dunia hakuna kazi isiyo na lawama,, kikubwa ni kufanya kwa moyo ukiamini hakuna wa kukulipa zaidi ya Mungu..mnawalaumu madaktari lkn kuna mambo mengine yapo juu ya fahamu za binadamu
@DamarisLangat
@DamarisLangat 2 месяца назад
Hiyo Sura ya huyo doctari hatujafurahia Kenya😭😭😭😭 it's painful wangejua hawange fly Tanzania 😭😭😭mungu anakuona wewe uchungu Sana 😭😭😭
@hopedavid3531
@hopedavid3531 2 месяца назад
Poleni wafiwa mungu awafaliji katika kipindi hiki kigumu.
@FaithLnayi
@FaithLnayi 2 месяца назад
Rest in peace mwimbaji ,yote ni ya MUNGU , inaniuma zaidi 😢😢😢😢
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 месяца назад
Samahani ndg jifunze kutamka kiswahili vizuri. Kwani kwenye R unatamka L. Ni aibu kukusikiliza
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 2 месяца назад
Inakera sana na anayejua kiswahili kizuri inakatq stimu kusikiliza
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 2 месяца назад
Kukosea sio aibu mana hakuna mkamilifu hata wewe una makosa kibao watu wanakuvumilia mjuwaji wakila kitu ni Mungu tu wengine wote sisi tunapuyanga tu
@RoseMbeiyan
@RoseMbeiyan 2 месяца назад
Inauma sn jmn hatutokuona Tena kweli muimbaji mzuri sn Mungu aipokee roho Yako kw kweli nyimbo zako zitabaki kuwa kumbukumbu kwangu
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 2 месяца назад
Mungu ndiye mponyaji madaktari husaidia tu maumbile..tunawapenda madaktari hata hivyo❤
@DorisKaranja
@DorisKaranja 2 месяца назад
😭😭😭😭😭so painful may God come through my favorite singer Marco Joseph umetuwacha and a friend to many
@joycewanjiru2202
@joycewanjiru2202 2 месяца назад
Tumenguzwa myoyoni sana muyimbaji mwema.mungu amupumuzishe kwa mani❤
@christinemwakio7870
@christinemwakio7870 2 месяца назад
Familia na Zabroni singer's Mungu awatie nguvu , ni ngumu sana bt yote yawezekana kwa Mungu 🇰🇪
@upendoelia-b7x
@upendoelia-b7x 2 месяца назад
Polen sana family Mungu awatie nguvu 😭😭 pumzika kwa Amani mpendwa
@doradaniely2036
@doradaniely2036 2 месяца назад
Dah jmn inàuma sana poleni sana ndugu mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
@mohamedkipingu9471
@mohamedkipingu9471 2 месяца назад
Waandishi jitahidini kwenye lugha tofautisheni kati ya L na R Kama daktali badala ya daktari Opaleshen badala ya opareshen(operation)
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 месяца назад
Dah inaumiza sana kuna namna hiyo operesheni haikuenda vizuri.
@magrethibrahim9636
@magrethibrahim9636 2 месяца назад
Kupasuliwa kifua kabisa mhh ni changamoto hata marco sema tu ana imani sana ndo ulomlinda mpk akakubali lakin vingine mh bora ufe hvyohvyo kuliko kwenda kuchnjwachinjwa hvyo aisee
@DRHUSANY
@DRHUSANY 2 месяца назад
Ukimsikiliza Daktari vizuri huna mahali pa kutoa lawama kabisa na Sijaona kucheka kwa namna yoyote ya kubeza msiba kwa Dr. R.I.P gone too soon Mungu awe mfariji mkuu wa familia
@EvaNgomuo
@EvaNgomuo 2 месяца назад
Inauma sana,mnoo!poleni sana zablon singers
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 2 месяца назад
YOTE tumwachie Mungu maana YEYE ndo anajua YOTE ila Cha msingi sisi tuliobak tujiandae mwisho mzuri
@RoseWiston
@RoseWiston 2 месяца назад
Poleni sana jamani Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe
@lucykiwelu4451
@lucykiwelu4451 2 месяца назад
Kuna wakati hata kila kitu kikiwa ktk uangalifu bado madaktari hawajui kinachotokeaga.....Tumtafakari Mungu zaidi
@majaliwapeterSimon-vl6ym
@majaliwapeterSimon-vl6ym 2 месяца назад
Mungu ailaze mahari pema peponi roho ya marehem alitoa ametwaa jina lake litukuzwe
@JamesNyakweba-xb6mb
@JamesNyakweba-xb6mb 2 месяца назад
Pole sana ndugu wakristo
@ngoma_studio7
@ngoma_studio7 2 месяца назад
Ok sawa lakn kila binadam ana mapungufu yake
@janepherjackson9693
@janepherjackson9693 2 месяца назад
Nairobi hospital is the best even though expensive.
@daltonpaul5838
@daltonpaul5838 2 месяца назад
Nairobi is not heaven thank you
@imeldanamwambah1680
@imeldanamwambah1680 2 месяца назад
Were really those doctors qualified to make surgery??
@JeniphaDonard
@JeniphaDonard 2 месяца назад
Ikitokea imetokea hatuna budi kulaumu madaktari kikubwa tumuombe maiko apumzike kwa aman aminaa😢😢😮
@carolinewangari6652
@carolinewangari6652 2 месяца назад
Ni ngumu kuelewa mambo ya kifo,wuii bro tulia hamna neno,katukuze mungu huko mbinguni😢🙏🙏
@AnceeBy
@AnceeBy 2 месяца назад
Polen sana mungu awatie nguvu ni mpango wa mungu
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 2 месяца назад
Hata kama wangempa referral kwenda mbali ikiwa Mungu ametuwekea mipaka ambayo mwanadamu hawezi kuivuka.wko waliyopelekwa mbali lkn hawakurudi wazima,hivyo badala ya kulaum tushukru kwa yote ingawa ni ngumu kulipokea kwa ndugu zakee.nafikri haya yaliyotokea ndiyo mapenzi ya BWANA.
@samuelkeya
@samuelkeya 2 месяца назад
after kufanya Yuko mzima Sasa au Ni nguvu zako tw doctor ulikua nazo better mkemuacha tw MUNGU amponye c angeletwa Kenya rip bro
@JeniphaEmanuel
@JeniphaEmanuel 2 месяца назад
Mungu aitie farajaa familia ya marehemuuu jaman inaumaaaa sanaaa 😢😢😢😢😢😢
@VanessaMct
@VanessaMct 2 месяца назад
Pole sana ndugu zetu🇴🇲🇧🇮😢😢😢
@bahaticharles2013
@bahaticharles2013 2 месяца назад
Kaka tengeneza habari nzuri na za ukweli hakuna Mungu anabaki kuwa Mungu acha kutengeneza story zisizo na msingi.
@JACOBNDASHUKA
@JACOBNDASHUKA 2 месяца назад
Uhifadhiwe vizur au vibaya ukishakifa umekufa haisaidii chochote la msingi umejiandaaje katika safari yako ya kuondoka hapa duniani cku yako ya mwisho? Tuombeane mwisho mwema polen wote tulioguswa na msiba huu mzito R.I.P Marco
@ScolaEdward-v7q
@ScolaEdward-v7q 2 месяца назад
Mungu.mpokee.mtumishi.wako.
@zenakavinga1648
@zenakavinga1648 2 месяца назад
Inauma sana Mungu ampumzishe,
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 2 месяца назад
hiyo hospitali ingekuwa hapa kenya tungeichoma moto hadi mwili hauwezi kuhifadhiwa cku kadhha hapoo
@JamesIbrahim-n5y
@JamesIbrahim-n5y 2 месяца назад
Polen ndg zangu tupo pamoja.
@GodfreyMhando-gn7ok
@GodfreyMhando-gn7ok 2 месяца назад
Education challeng vizuri sanaa
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 месяца назад
Tuacheni lawama wanadamu. Daktari ni professional si wa kienyeji. Pia tumuachie Mungu ndio muamuzi
@ZawadikisamoKisamo
@ZawadikisamoKisamo 2 месяца назад
Madaktari wa sasa wachache wanawito wengine ni pumba nakumbuka mwaka jana nilitaka kurudiwa sindano nikakata nililalamika walipogundua walimsimamisha kazi uzembe upo
@LovenengaKiliii
@LovenengaKiliii 2 месяца назад
Poleni familia mungu awatie nguvu
@margarethmwampondele7858
@margarethmwampondele7858 2 месяца назад
Mbona mnaweka picha za wote wawili wakati aliyefariki mmoja?
@Kevin-h5l
@Kevin-h5l 2 месяца назад
Sasa niyo hiyo mmemfanyia operation amepona hata nyinyi madaktari mwe makini binadamu si kama engine yagari in shot we live once so once you are handling human being be careful hatukaki hiyo mahojiano ju haisaidii kwa sasa
@victorianjau8856
@victorianjau8856 2 месяца назад
🤔🤔🤔 mmm kuna maswali mengi sana?? Katika hichi kifo mwenye ufahamu afahamu' kwanini asiangwe na kuagwa watu wanamtizama usoni 'eti kaharibika sana'pili kwanini wa harakishe mazishi' kama hakuna mchezo mchafu unao endelea ila 👉👉 nyie 'mungu anawaona mliomfanyia mwenzenu hivi' na nyinyi mapua yenu yameinamia chini' nanyi mtafuata Msijisaulishe 'kazi kuwachukua watu misukule'kukatisha maisha ya wenzenu ole wenu siku zenu zaja
@fadhilkassanga5386
@fadhilkassanga5386 2 месяца назад
Wewe unabooa Sana madakitari walifanya Kazi yao vizuri Mimi nilifanyiwa na nikatoka operation hilichukua masaa 12 na sio masaaa 5 Kazi ya dakitari sio kama yako kwani Kenya ndio nini wacha kutuletea upumbavu
@olicej7837
@olicej7837 2 месяца назад
Na mimi nimewashangaa saana op ilienda vzr shida ikaja badae😢
@joycelinekobero7724
@joycelinekobero7724 2 месяца назад
Yani uelewa wake ni sifuri kabisa
@windrosechelangat
@windrosechelangat 2 месяца назад
Poleni Sana kwa familia mungu Ako na nyinyi
@agrcem6707
@agrcem6707 2 месяца назад
Jamani upasuwaji wa moyo unaweza ukachukuwa Hata masaa 12,kutokana naoperation
@olicej7837
@olicej7837 2 месяца назад
Tatzo watu hawajui taaruma ya udactari ndiyo maana wanasema ivo 😢😢😢
@GodfreyJ.GMasunga
@GodfreyJ.GMasunga 2 месяца назад
Hata madaktari sio wa kuwaamini Sana. Kufanyiwa utafiti ni kawaida Sana.
@janejoel2465
@janejoel2465 2 месяца назад
@@GodfreyJ.GMasunga kabisa , watuwanasema tuna walaumu madaktali . Hayajawakuta, sisi wengine tulikutw na maswaibu madaktali omba yasikukute
@muscato50
@muscato50 2 месяца назад
Jifunze kutofautisha LA na RA inakera kusikilisa “mwili umehalibika! UMEHARIBIKA ndio sahihi
@joycelinekobero7724
@joycelinekobero7724 2 месяца назад
Yani anaboa,halafu Hana facts kabisaaa,analaumu kitu asichokielewa,anakera huyu mtangazaji
@Esendi564
@Esendi564 2 месяца назад
Hao doctors kuna mshali waligunza wakammaliza juu mbona alidungwadugwa
@marthaopilli4500
@marthaopilli4500 2 месяца назад
Jamani Marco was in Kenya when he fell sick i wish he was treated in Kenya jamani.
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 2 месяца назад
Umewaza kama mimi
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 2 месяца назад
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo wakati wake uliokusudiwa na Mungu ulikuwa umewadia, hata angepelekwa wapi kusudi la Mungu lingetimia. Tusirahumu sana tuiombee familia Mungu awatie nguvu ya kulipokea
@MediatrixAnyango-w7b
@MediatrixAnyango-w7b 2 месяца назад
Mungu ndiye anaeyejua kila kitu 😢😢rest easy marco😢😢😢😢
@LeahMathias-ls4fm
@LeahMathias-ls4fm 2 месяца назад
Polen sana kwa kuondokewa na mpendwa wetu bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libalikiwe
@LeahYona-zn5sn
@LeahYona-zn5sn 2 месяца назад
Unajina kama langu yote mawili duh😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 месяца назад
Jamani si wangeweka huo mwili dawa ya kutosha? Ndugu walipaswa wasimamie utaratibu mzima wa kuhakikisha mwili unahifadhiwa vizuri.
@lynetteondieki565
@lynetteondieki565 2 месяца назад
I wish they didn't take him back to Tanzania,we have very nice Doctors in Kenya.heart attack needs agency.time was wasted
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 месяца назад
Figo zilibaki salama?
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 2 месяца назад
Mimi pia Mme wangu alikataa kuweka sahihi Mimi nikifa asilaumu Mme wangu alikataa wakasign madaktari na Mimi mwenye.niliingia kwenye chumba cha upasuaji Sana mbili nilirudishwa hodi alfajili ya saa Kumi na moja ndio nikazinduka.kuna kupona au kufa na kupona huwa Ni Mungu tu anasimama
@MaryGamba-z5y
@MaryGamba-z5y 2 месяца назад
Yan waandsh wa habari punguzen uongo n uchochezi mngepewa nyinyi mumfanyie angepona!!? Mnakera sana yan nyooo
@hackileo
@hackileo 2 месяца назад
Tunasahau ya kuwa daktar yeye anatibu ila anayeponya ni mungu hata tulalamike vip mung humchukua yule anayemtaka kwa wakat anao utaka yeye
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 2 месяца назад
Nawashagaa sana Mimi maana aina aja kutueleza megne,
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 2 месяца назад
So sad 😞 but wangemleta huku nairobi sad 😥
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 2 месяца назад
Ninaomba tunaocoment tusiwalaumu madaktari, wanafanya kazi kubwa sana. Tusiwakatishe tamaa kwa lawama. Wapo wengi wanaotibiwa na kupona na wapo wanaotibiwa wanafariki kulingana na hali ya mgonjwa.
@SophiaFutteh
@SophiaFutteh 2 месяца назад
Mungu ni mungu tuu pimzika kwa aman mtumishi 😭
@EuniceAndrew-zm8de
@EuniceAndrew-zm8de 2 месяца назад
Mimi mwenyew sijapendezwa kucheka kwa dokta anaona kawaida tu mungu akusamehe haufai kabisa
@AlphonceKomba-go3xu
@AlphonceKomba-go3xu 2 месяца назад
JPM angeenda nje angetoboa lkn uku janja janja nyingi
@JacksonMutinda-jw5qw
@JacksonMutinda-jw5qw 2 месяца назад
Maneno nmengi yameogelewa uko Tanzania tangu afe,,ili kusema mwili umeariba sana cwezi amini Mimi,hakuna kosa la dactari apo,nmidomo mumeeka sana ju mmekosa LA kuogea enyi waogeaji
@OliverKarege
@OliverKarege Месяц назад
Mungu amrehem jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
@tabithawairimu7961
@tabithawairimu7961 2 месяца назад
I wish they had sought medication in Kenya 😢
@GeorginaMkumbwa
@GeorginaMkumbwa 2 месяца назад
Poleni.Huko ni nyumbani tutamkuta .
@rachelrodgers5080
@rachelrodgers5080 2 месяца назад
mmmh kutobolewa tena mmmmh jaman ....
@SwabahaFaridi
@SwabahaFaridi 2 месяца назад
Mbona tunasingizia madaktari lkn? Kama kifo kimefika kimefika hata madaktari wafanye nini, ulikua moyo hauezi work bila operation hata afanyeje lets understand first the system of the heart.. Tumshukuru mungu kwa kila hali na kwa kila jambo tusisingizie kifo hiyo ni mipango ya mungu
@marysynaider4981
@marysynaider4981 2 месяца назад
Hio ilikua ngumu,, angetibiwa Kenya, karen heart hospital naamini wangeweza
@sarahmwakipembe5033
@sarahmwakipembe5033 2 месяца назад
Jamani duuuuu inauma Sana huyu kijana daaa anayejua Ni Mungu
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 2 месяца назад
May his soul rest in ☮️☮️🕊️
@zuhur0mar-g2d
@zuhur0mar-g2d 2 месяца назад
UpasuJi gang saa 5 mlikuwa mnachukua viungo vyake
@WitnessChristian-t7i
@WitnessChristian-t7i 2 месяца назад
Apumzike kwa amani
@kayungilojuma7361
@kayungilojuma7361 2 месяца назад
Jamani tusisingizie tena Madakitar Tumwombe marehemu apumzishwe KWA amani
@EdithNeddy-hs9xv
@EdithNeddy-hs9xv 2 месяца назад
Kama hangepona mngemuacha ninyi madakitari mumechangia kwa kifo chake mungu atawaukumu vikali
@asteriashios1852
@asteriashios1852 2 месяца назад
Moyo ni kitu kingine ni rizki sana Tena hadi usaidi sana
@jenirwegasira
@jenirwegasira 2 месяца назад
Poleni sana😢
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 2 месяца назад
Yani kuna watu mnaongea km mnatumia huko nyuma mlitaka wampulize apone na doctor mnataka asicheke kwan lipi geni duniani
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson 2 месяца назад
Mbona inajulikana tu kuwa mtu aliyefanyiwa upasuaji mkubwa huwa ni vigumu kumtunza kwa muda mrefu.
@margarethamwony7009
@margarethamwony7009 2 месяца назад
It is really very painful😭😭💔💔
@viviankemunto4435
@viviankemunto4435 2 месяца назад
Ak wangempeleka tu india ,tungechanga pesa lakn mungu ako na sababu ,,lakn daktari walikuwa careless
@MamaPrince-kd9cw
@MamaPrince-kd9cw 2 месяца назад
Hali yake...hangefika India...
@ghatigikaro677
@ghatigikaro677 2 месяца назад
Mmmh
@EuniceAndrew-zm8de
@EuniceAndrew-zm8de 2 месяца назад
Mungu awatie nguvu katika hiki kipindi jamani 😢
@Petitejollie
@Petitejollie 2 месяца назад
Jifunze kuongea kwa kutofautisha L na R
Далее
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 321 тыс.
SIMANZI :  MWILI WA PETER MAUGGO  WAAGWA DODOMA
10:34
Просмотров 2,1 тыс.
ИСТОРИЯ ПРО ШТАНЫ #shorts
00:32
Просмотров 321 тыс.