Тёмный

MY LOVE |11| 

BHAILAM
Подписаться 101 тыс.
Просмотров 105 тыс.
50% 1

#Bhailam#Mariam#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: / @comedyplustz
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?...

Кино

Опубликовано:

 

3 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 421   
@PurityKyalo-mj6io
@PurityKyalo-mj6io 3 месяца назад
Sijawai kupata ata like moja tafathali naomba mnipee kumi tuh aki
@farajabinrobert2443
@farajabinrobert2443 3 месяца назад
❤❤❤❤ tuko wangapi tunaho hi kubali my love tujuwane basi ❤❤lik apo
@user-fn6tb3si7m
@user-fn6tb3si7m 3 месяца назад
Jamani mjomba na mke wake wananifurahisha❤❤❤🎉🎉🎉
@user-us5cz7kx4i
@user-us5cz7kx4i 3 месяца назад
Nimewahi natokea🇧🇮🇧🇮nawapenda sana Mariam na mme wake munanifurahisha naomba like hata 20
@user-fr4lj7jw9g
@user-fr4lj7jw9g 3 месяца назад
😂😂😂😂JoJo we mwisho kweli..much love from 🇰🇪 nipeni likes zangu hpa
@user-jj4id8vq2d
@user-jj4id8vq2d 3 месяца назад
Wanaefuatilia jojoo na janeti😂😂😂weka like hapa
@moreenrehema1347
@moreenrehema1347 3 месяца назад
😂😂😂😂
@helinasubila987
@helinasubila987 3 месяца назад
😂😂❤❤❤
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v 3 месяца назад
🤣🤣😅😅
@user-vv3vj9gu7q
@user-vv3vj9gu7q 3 месяца назад
Nipo apa 😂😂
@user-zo4qd8jg3b
@user-zo4qd8jg3b 2 месяца назад
Tuko hapa jojo 😂😂😂😂
@magdalenew.mwanyota5901
@magdalenew.mwanyota5901 3 месяца назад
Jojo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂acha nisi comment sana juu Kuna vile hii movie mjomba tu ndio unikosha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Kamoste
@Kamoste 3 месяца назад
Jojo anaupiga mwingi❤❤😂😂alafu mariamu kambee kweli mke wa bhailam yaani mnajua kutufurahisha
@elizabethkabanda4105
@elizabethkabanda4105 3 месяца назад
Mke wake kiukweli au
@anenalukosi6235
@anenalukosi6235 3 месяца назад
Uhalisia n mke wake kweli au?
@user-eb3zt3wc4b
@user-eb3zt3wc4b 3 месяца назад
Kama unakubali bhailam 2juane apa jmn kwa kazi aliyomfanyia bamkwe wke kwa kumunafkia hongera sana bhailam
@nsengiyumvawhite6480
@nsengiyumvawhite6480 3 месяца назад
Jojo pamoja na ndoo uzuli wananiuwa kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂
@barakajoackim-xu3hi
@barakajoackim-xu3hi 3 месяца назад
Kila.mtu ni wa kwanza mnanichanganya kiukweli basi mm ni wa mwisho ila mtoe ushauri kwa waigizaji wenu au mtoe pongezi kwao kama wanafanya vyema
@alilumia9525
@alilumia9525 3 месяца назад
Hongera jomba hamza😅ndo uzuli❤ umevunja kabati
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 3 месяца назад
Kazi yangu pendwa from 🇧🇮💐 tunawapenda san
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂niwambiy kitu kmoja ninyi niwatu maalumu nikisma ivo namaanisha Wa Tanzania 🇹🇿 mnaelewa sana ambavyo mnatengeneza kama sanaa! Ila shida moja mnatuibiya mda 😂 yaani mnafupisha sana movies 🎥 ongezeya 5min please! ❤Asante Choya ki dada 😂❤🎉
@joanbwahama-rx3tc
@joanbwahama-rx3tc 3 месяца назад
Kiukweli mnajua sana kuigiza pokea maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 3 месяца назад
Kazi nzuri sana bailam wajua kutufurahishaa nikadhani naome kafa kweli 😂😂😂 nimeipenda hiyo
@floranceflorance3923
@floranceflorance3923 3 месяца назад
Jojo kimbao mbao 😂😂😂😂😂😂😂
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 3 месяца назад
Bhailam nakupenda San kazizakozote nzuli nakuomba iyikaziiwendefu kama wakewenza asante san from 🇧🇮💐 tunawapenda san
@fhugghi4109
@fhugghi4109 3 месяца назад
Jaman mie mjomba ake Bhailam kaniacha hoiii 😂😂😂😂😂
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 3 месяца назад
Kumbe mzigo tayari na amsemi aya tusalimiane team furus team WiFi team kupambana nawapenda mno 🥰 kazi kazi
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 3 месяца назад
Nyie hii picha kali jamani kwanza dk za kutosha❤❤
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v 3 месяца назад
Kumekucha team Jojo acha mbavu zitupasuke sasa 🤣🤣😂😂
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 месяца назад
Hamza +Janeti=❤❤
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 3 месяца назад
Mjomba na shangazi nawapenda ndio uzuri nikuchane😂❤❤❤
@alilumia9525
@alilumia9525 3 месяца назад
Bingwa nakubali iyo red barret kaa jesh 😮
@chemsahakizimana
@chemsahakizimana 3 месяца назад
Napenda sanaa kazi yenu ❤️‍🔥 nanawapenda bure from 🇧🇮❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 3 месяца назад
Wanaomkubali bhailam na naomi hapo kwa kukufa weka likes😅😅
@SaadaAdam-pb9hm
@SaadaAdam-pb9hm 3 месяца назад
Wa kwanza leo.❤ I love this movie alot
@user-sy9cu5ef5q
@user-sy9cu5ef5q 3 месяца назад
Mwamanye vandu 😂😂😂😂ndouzuri nikuchane😂😂nawapenda sana kutoka Kenya 🇰🇪
@AgnesMasoud
@AgnesMasoud 3 месяца назад
Janet waimba nyimbo gani jamani😂😂😂😂
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 месяца назад
Kihindii
@user-go4uc4oe4p
@user-go4uc4oe4p 3 месяца назад
Maua kwa Bhailam ❤❤❤❤23.mko vizuri ila mnachelewesha
@helinasubila987
@helinasubila987 3 месяца назад
❤❤❤❤❤wa gapi wanapeda Jojo like hapa tumupe 🎉🎉🎉🎉
@bettynyasuguta5816
@bettynyasuguta5816 3 месяца назад
Kwani siwezi kua wa kwanza😂😂
@aishawangui-pr4ye
@aishawangui-pr4ye 3 месяца назад
Jannet huyo mzee akipata hela sahau kuwa mkewe lol ..atachepuka
@AnithaIrankunda
@AnithaIrankunda 3 месяца назад
Jamani Mariam and Naomie hongereni kwenu Kbx ❤❤Yani mnajuwa sana mko serious na kazi Kbx nawapenda
@77Bdb
@77Bdb 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂huyo mjombaake bhailam na mkewe nawapenda sana ski
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 3 месяца назад
Wakwanza Leo kutoka Kenya 🇰🇪 bt kwa ss nko saudi 🇸🇦 nakunywa shorba polepole like zangu tukiendelea kumaliza ramadhan jamani❤❤ nawapenda sana watu wangu
@user-kv5xr9fx2z
@user-kv5xr9fx2z 3 месяца назад
Pamoja
@AgnesMasoud
@AgnesMasoud 3 месяца назад
Kabisa yaan shorba kwa wingi kenia majinun
@sadcome3213mapenzi
@sadcome3213mapenzi 3 месяца назад
😂😂😂😂bwana wee​@@AgnesMasoud
@user-yg9hj8ps2h
@user-yg9hj8ps2h 3 месяца назад
@@sadcome3213mapenzi mm nikiwa Riyadh nikinywa vimto na shawarma
@Jackillyne
@Jackillyne 3 месяца назад
Wacha kiherehere nkt🚮🚮
@JoyceMatondo-ul2dq
@JoyceMatondo-ul2dq 3 месяца назад
jojo hatariii sana Bailam kiboko yao naomii maua yakoi❤❤❤❤❤❤
@Mokogoti181
@Mokogoti181 3 месяца назад
😂😂😂jojo kweli you're talented 😅❤nakukubali sana❤❤❤
@joharmussa
@joharmussa 3 месяца назад
Woooh my beautiful movie
@matanoabdhalla2603
@matanoabdhalla2603 3 месяца назад
Asalaam alaikum kaka bhailam,nimeisubiri sana hii ila naomba like yako
@SaloumMp
@SaloumMp 3 месяца назад
Walkumusalam walahmatullah wabarakatuh
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 3 месяца назад
Assalamu alikum kwema bro baila😢 wafunga Ramadhan kweli izo sigara na kupigwa busu shavuni na mwanamke nae mariamu uwafunga kweli kwa kuvaa izo nguo izo za kuonesha nusu uchi ungo
@user-ko4in4uy1u
@user-ko4in4uy1u 3 месяца назад
Jojo Kwel Unanimariza Wallahi 😂😂😂 Mbamvu Zangu Jameni 😅😅😅 Guys Much Love From Burund 🇧🇮❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Benson-it1nf
@Benson-it1nf 3 месяца назад
Jojo a good actor fts janethi and hamsa
@modiyuu6287
@modiyuu6287 3 месяца назад
Mke wa mjomba ana mambo😂😂😂😂
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 3 месяца назад
Mjomba kama mjomba ndo uzuriii😂😂😂😂😂😂
@stephenkianga6643
@stephenkianga6643 3 месяца назад
Eti inabidi tusafiri twende ... Singapore!! Hatari sana from 254
@user-lb9sl5nd9r
@user-lb9sl5nd9r 3 месяца назад
Nzur sana🎉🎉🎉❤❤❤
@cocutweezy2532
@cocutweezy2532 3 месяца назад
Wakwanza Mimi Leo
@benoseaone
@benoseaone 3 месяца назад
Nimetazama My Love kutoka Episode 1 hadi 11. Nimeona kipaji na ubunifu mkubwa kwenye tungo hususani jinsi ilivyounganisha matukio mengi mhimu katika mazingira tofauti. Bahiram amefaulu sana na ninaona real replacement ya Kanumba. Lakini natamani nione mwisho wa ubaya ikiwa ni mapatano kwa makundi yote hasimu na kuwa watu wema. Lakini sijaona, baada ya Bahiram kupima na mke wake waligundua nini ikiwa tayari Bahiram alisha lala na Kibonge Tajiri kule Kijijini ambaye ni Muathirika? Hongera sana team kwa ujumla maana imesimama sana ii chuma.
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Lkn jojo ww! Mikono mieusi ka dhambi zako😂😂😂😂 🙌 🙌 🙌
@rosettenadine452
@rosettenadine452 3 месяца назад
Wa kwanza from burundi 🇧🇮 nipeni liké 5😢😢
@user-qr9xt7lj6k
@user-qr9xt7lj6k 3 месяца назад
Nambie
@aminaabdulrahman9589
@aminaabdulrahman9589 3 месяца назад
Kwenye makochi watu hawakai na vijora janeti...ndo uzuriii😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Fiscoofficial
@Fiscoofficial 3 месяца назад
Gangster bhailam
@KhadijaSaid-vj9kh
@KhadijaSaid-vj9kh 3 месяца назад
Kaz nzr
@MrMona_TZ
@MrMona_TZ 3 месяца назад
Hahahaha. Umefik mda wa msaliti kuaga asije kuharbu plan za bailam jawan pamoj n naomy za kumuangamiza mzee Simba 😅🎉🎉 gud creative bailam 🙌🙏
@Kavulajuma5
@Kavulajuma5 3 месяца назад
Huu mwaka wa kofoc jamani😅😅😅😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 3 месяца назад
Bhailam upewe tu mauwa yako🎉🎉🎉
@MariamuRajabu-el9ev
@MariamuRajabu-el9ev 3 месяца назад
waooh mm wamwisho lakn naomben like🎉❤😢
@MrKimond-ip2zp
@MrKimond-ip2zp 3 месяца назад
Jojo😂😂😂😂 unajua
@johnrogeo2161
@johnrogeo2161 3 месяца назад
Nimechelewa lkn nimefika, kazi nzuri 🔥
@MWANAIDIRULIMBIYE
@MWANAIDIRULIMBIYE 3 месяца назад
Jojo kacheza humu
@user-jj5xk8it8t
@user-jj5xk8it8t 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂jojo kimbaumbau et
@shadyarif653
@shadyarif653 3 месяца назад
Mko wapi mnaotaka kujua maali sauti imekuwa muted vile walikuwa wanasema?😂
@Angel33346
@Angel33346 3 месяца назад
Sasa izo ni nguo gani hamza 😂😂😂😂
@user-cj1ur7gn2p
@user-cj1ur7gn2p 3 месяца назад
Niku gang unawakilisha mangaka🥴🥴😄😄 hongera shem
@ukhtymwana8404
@ukhtymwana8404 3 месяца назад
Hatimae mariamu kabadilisha mtindo mashaalah
@user-tg2mn3xu1y
@user-tg2mn3xu1y 3 месяца назад
Assalamu alikum kwema
@zawadichengokatana4750
@zawadichengokatana4750 3 месяца назад
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShafiiMohamedi-ub8mi
@ShafiiMohamedi-ub8mi 3 месяца назад
Uyo kaka alio vaa koti la LV uko mwishon timu jawani nimemkubali sana yupo siriaz na kazi yake
@pcmofficialtz
@pcmofficialtz 3 месяца назад
Bro inabidi kesho uachie ingine tunapoa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Man_Freja
@Man_Freja 3 месяца назад
Kamanda mwenyewe Sasa Bailam
@emmanuelbaraka1672
@emmanuelbaraka1672 3 месяца назад
Bailam Nakukubali sana mwanangu,,,Natamani sana siku moja nije nifanye kazi nawewe,,,Naomba saana,,
@mwajumsleman9070
@mwajumsleman9070 3 месяца назад
😂😂😂😂jojo ananifurahisha wallah 😂😂
@user-rj4cd7oc4x
@user-rj4cd7oc4x 3 месяца назад
Jojo kama tulivo ongea kwenye kikao chetu cha vi mbaombao sepa mazima
@fatmashillah5482
@fatmashillah5482 3 месяца назад
Hamza na janeth 🤣🤣🤣🔥🔥❤️❤️❤️
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises 28 дней назад
nime ipenda sana kazi ya mariamu
@NeemaKombe
@NeemaKombe 3 месяца назад
Wa katikati ndio uzuri niwachane ...mm nipen like eee ndio uzur
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 3 месяца назад
Jojo😂
@user-yg9hj8ps2h
@user-yg9hj8ps2h 3 месяца назад
Nivile tu hamtaki kupa like zenu lkn mm ndo wakwanza leo
@habibamura5255
@habibamura5255 3 месяца назад
Janeti 😂😂😂
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 месяца назад
Jojo 😂😂. Ananifurahisha sana
@mariamdennis9576
@mariamdennis9576 3 месяца назад
Janeth na jojo humu mmeua sana😂😂😂😂😂
@nurudinmusa7290
@nurudinmusa7290 3 месяца назад
Bailamu tunaomba wake wenza
@JoyceAngoma
@JoyceAngoma 3 месяца назад
Kama unakubali mjomba na sweet wake nichane😂😂😂😂
@mzembemakini3532
@mzembemakini3532 3 месяца назад
Nakuchana
@MrJohnblaiseBlaise
@MrJohnblaiseBlaise 3 месяца назад
C cool 🇨🇩🇨🇩
@saidiabdalahshabani941
@saidiabdalahshabani941 3 месяца назад
Ila jojo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 3 месяца назад
Ila naomi uko na kibaraka hapo anaenda kutoboa siri kwa mzee Simba
@user-iu1kx6xw5o
@user-iu1kx6xw5o 3 месяца назад
Nawapend sana kazi nzuri natok Kenya ❤❤❤🎉
@user-km6eh2tf9c
@user-km6eh2tf9c 3 месяца назад
Ndo uzuri uwo😊
@MRMASHAKA
@MRMASHAKA 3 месяца назад
My love ipo bomba sana achieni like zenu
@helinasubila987
@helinasubila987 3 месяца назад
Kama mapesi sio kama ya mujoba sitaki mapesi😂😂😂😂😂😂😂 kenya hy
@AshaKamota-wg4oc
@AshaKamota-wg4oc 3 месяца назад
Jojo kwenye kubola wake❤️🔥🔥🔥🔥
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 3 месяца назад
Ila bhailam kuwa makini, katika kundi la naomy kuna kabinti fulani kambea mbea
@user-kl7su9br3w
@user-kl7su9br3w 3 месяца назад
My love ❤❤❤ ila huy mjomba na mkewe 😂😂😂😂😂
@lydiahnyamokami5058
@lydiahnyamokami5058 3 месяца назад
Huu mwaka mchomba utaitwa boss 😂😂😂❤
@glorymhanga8718
@glorymhanga8718 3 месяца назад
Like kwa anko wake na bailham na mke wake❤, bila kumsahau jojo
@gakobwaadija7949
@gakobwaadija7949 3 месяца назад
Mjomba namkeo wananifulaisha😂😂
@user-rr5dg8jg3o
@user-rr5dg8jg3o 3 месяца назад
Good game, apana Ku saliti mtu aliye kupa job❤,from DRC pays des boss mans and ladys
@user-rk6sx2bw3e
@user-rk6sx2bw3e 2 месяца назад
Mm wa mwisho jaman....naomba like zangu......
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 3 месяца назад
Janeth ❤❤❤😂😂😂😂🎉
@mwanaidisaidi1101
@mwanaidisaidi1101 3 месяца назад
Bhailam unachokitafuta utakipata unatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja shauri yako kumbuka kuna snich hapo atayapeleka kama yalivyo pole bhailam
Далее
MY LOVE  |12|
26:11
Просмотров 108 тыс.
WAKE WENZA (SEASON 2) - EPISODE 1
13:47
Просмотров 144 тыс.
MY LOVE  |11 -17|  FULL MOVIE
2:48:27
Просмотров 76 тыс.
HAAMI MTU. Epsode 1
18:03
Просмотров 3,3 тыс.
LOVE BITE  《01》
31:27
Просмотров 485 тыс.
UMWAMPOSA
18:41
Просмотров 50 тыс.
FIRST LOVE FULL MOVIE
1:18:03
Просмотров 978 тыс.
MAMA NTILIE 💔 | EPISODE 15 ( Final Episode )
20:13
WAKE WENZA{ SEASON 4) EPISODE 8 FINAL
31:15
Просмотров 121 тыс.
Не ешь конфеты лежа
0:26
Просмотров 1,6 млн
Starman #starman #superman #starmanmeme #shorts
0:16