Тёмный

SAKATA LA ONGEZEKO LA NAULI ZA BOTI DAR - ZNZ, MAMLAKA YATOA TAMKO, KILIO WASAFIRI NAULI ISHUSHWE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@hamadmakame6040
@hamadmakame6040 18 часов назад
TUNAOMBA TUJENGEWE DARAJA TUPANDE MABASI
@UmmuAthman
@UmmuAthman 16 часов назад
Ndio manake wazungu wametutawala swa maisha magumu ila kwanini muchange malipo ya TRA na dolla kwani muko uzinguni, ipeni thamani hela yenu kwanza
@NusaiybRashid
@NusaiybRashid 19 часов назад
Utawala wa uyu mama ni wa kisenge sana
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 часов назад
Sasa usenge wake ukowapi vitu sivimepanda bei kwani mnataka hizo bot azinunulie mafuta na vipuli au aziendeshe yeye
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 16 часов назад
Si bure, naona una hamu ya kufokonyolewa jela maammayoo. Baadhi yenu mmeshazoea kuja huku wikiendi kufanya umalaya na kutuharibia haiba njema ya hiki kisiwa ndiyo maana mnatukana tukana hivyo.
@kassimdc3288
@kassimdc3288 15 часов назад
Boti kwan ya mama samia si ya baharesa sasa si kapandisha mwenyewe baharesa mwenye mweny boti
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 14 часов назад
Tafuta wakili mapema 😅
@akaumbo9433
@akaumbo9433 Час назад
Watakushika kama unashindwa kuzuia msimamo wako mkali😂
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m 18 часов назад
Maisha ya watu wa zanzibar wenqi maisha ya qharama ya maisha ni chunqu sana sio usafiri tu kila kitu katika maisha ya mwanadamu
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 19 часов назад
Wanaoongoza serikali imewashinda. Maana vitu hapa Zanzibar vinapanda bei kiholela.
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 17 часов назад
Nyiee simlisema sisi tuna mbagua mama yenu Samia tulueni dawa iwaingieee
@kassimdc3288
@kassimdc3288 15 часов назад
Kwani izo boti za mama samia si za baharessa anahaki ya kuongeza kam hutaki kuongezewa tafuta yko
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
Kupanda na kushuka kwa vitu si tatizo la serikali liangalie hata kwenye ngazi yako ya familia kama unayo ulipo anza kuolewa au kuowa na sasa ulivokuwa na familia kama huna angalia kwa jirani yako ,lakini hata nchi zenye uchumi mkubwa na maendeleo na masoko makubwa suala la kupanda na kushuka kwa bidhaaa ni dunia nzima,kuwa na ufikiri japo wako wewe kabla huja itafsiri serikali au nchi,price fluctuation is global issue
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 3 часа назад
@@RashidHaroun-c2j Serikali inachangia kwa kiasi fulani kutokana na ushuru mkubwa. Sikatai kua dunia nzima lipo hilo tatizo. Ila na serikali inachangia.
@ElvisMulenga-j5w
@ElvisMulenga-j5w 17 часов назад
Huyu mzee bakhresa anapenda sana kupandisha bidhaa zake hata vingamuz navyo anapandisha kila muda yaani imekua sio kuwasaidia wananchi Bali ni kuwakomoa tu maana hii nchi sijui vipi na hizi mamlaka nazo zinakaa kimya utafikiria kuna shea na hao watu yaani munatuumiza yaani ni hatari
@omarhamad6358
@omarhamad6358 14 часов назад
ndio ipo sasa shea yao ww wajua leo azam hii hii basi kenya King'muz ni rahic tu vifurushi vyao
@waheeda5138
@waheeda5138 18 минут назад
Mafisadi wa Dunian ndo hawa asa kunawengine hali zao ngumu watasafr VP ajeni mambo yenu fwafikirieni na wenzenu kwavile nyinyi munajiweza kimaisha jaman inaliza kwakwelii😢
@FatmaHamad-g6s
@FatmaHamad-g6s 14 часов назад
Tatizo serikali hajiongezi kutafuta vyanzo vyengine vya mapato ni kuwaminya wafanya biashara kina wakituumiza ss wahali yachini
@BabuallyAbdul
@BabuallyAbdul 14 часов назад
Yan kampuni za usafirishaji ni za Tanzania zinalipa kodi Tanzania Revenue Authority TRA kwa dola pesa ya kimarekani kwann wasilipe kwa shilingi??? Nauri anapandishiwa mwananchi moja ya sababu ni kampuni kulipa kwa dola! Kuna wasomi walienda shule wakaiacha shule huko huko wakarud na ujinga na ndio wanaotuongoza
@mrabdultv8356
@mrabdultv8356 4 часа назад
maisha ni magumu sana jamani tuoneane huruma znz kila kitu ghali bado tena mna tupandishia ghalama juzi juzi ilipanda kutoka elf 25 mpk elf 30 leo tena mmepandisha hadi elf 35 aisee tutaanza kuogelea tu
@bigmoto4965
@bigmoto4965 18 часов назад
Mimi ninachokitamani ata nauli iwe 80k ili lengo liwe kusiwe na muingiliano usio wa lazima baina ya hizi pande mbili. Kikubwa bei ya kutoka Zanzibar kwenda iwe kitonga wapate warudi makwao. Povu rukhsaaa tumechoka kuharibiwa Zanzibar
@Visitezavecramso
@Visitezavecramso 18 часов назад
jitahidi watu wasikushtukie kama huna akili kwahyo na wapemba waliokuwepo huko wasirudi wabakie hukohuko?
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 17 часов назад
Yani MTU akikuangalia kwambalii anajua huna akili Ila akikusogelea karibu ndiyo anagundua huna akili kabisa kwanini mlicho nacho au sikuizi Zanzibar mnatengeneza magari au mnauza unga au mafuta au mcheell
@bigmoto4965
@bigmoto4965 17 часов назад
@@deogratiusyudatadei5658 povu rukhsaaa
@bigmoto4965
@bigmoto4965 17 часов назад
@@Visitezavecramso povu rukhsaaa
@Visitezavecramso
@Visitezavecramso 17 часов назад
@@bigmoto4965 sio kama mm sio mzanzibari bali nmekuta kuna mwenzangu hapa umeongea pumba tu
@ramadhanidaudihaji2174
@ramadhanidaudihaji2174 19 часов назад
Hatari sana 😊😮😮😮
@ziadamuhunzi6210
@ziadamuhunzi6210 16 часов назад
millard ayo kuna vitu vinakera sana tena sana hawa watu wao wakishapanga vitu vyao huwa hawarudi nyuma kwanni unashindwa kuboji serikali inatozaje ushuru kwa dollarr n kuiacha tzs ambayo ni pesa yetu.kwnn.na pia kwann isione ni muda muafaka kutoa fursa kwa company zengine kuja ku invest hapa kwa manufaa ya sisi wanyonge
@mgwesadaudi1327
@mgwesadaudi1327 18 часов назад
Kama ni ongezeko la bei ya mafuta vp kuhusu usafiri mwingine kama dala dala na boda boda mbn wao hawapandishi nauli bado ni zile zile pia nao wanapitia changamoto hiyo hiyo ya ongezeko la bei ya mafuta
@j_phantom2413
@j_phantom2413 17 часов назад
Kwahiyo na sisi boda tuongeze nauli😅😅😅😅😅😅🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@omarhamad6358
@omarhamad6358 14 часов назад
wasenge kweli kwani wao mafuta wanatia sheli gani ? mbona apa chake hayajapanda
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
Nao wapandishe kama wakihisi hawapati faida kila biashara inahitaji faida tunacho takiwa tu adapt tuwe tayari kupokea mabadiliko maisha ni mabadiliko ivi ni nani anaweza kuvaa hadi leo nguo aliyo nunuliwa alipo kuwa nursary school ?
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
​@@omarhamad6358napo yatapanda
@almazroey2006
@almazroey2006 4 часа назад
Serikali Icontrol Kodi Zao Kwa maana mafuta sijuwi mambo ya ulipaji wao ndio wanasababisha Hali kuwa juu tajiri anachojuwa ukipandisha na yeye anapandisha anaeumia Ni Sisi raia.
@NEXT-ONE1
@NEXT-ONE1 10 часов назад
Zanzibar ni nchi ya utalii na sio kioa mmoja aje Zanzibar wale wenye uwezo ndio waingie Zanzibar wengine sio lazima kwenda kama hujajipanga kisawa sawa
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 2 часа назад
Wanapiga kelele kutoa elfu 30 kwenda nchi nyengine wakati wenzetu wanatoa dola elfu kuja zanzibar na wakija wanaenjoi na kucheka tujifunzeni kuchuma na kutumia uzuri unakuja kutokana na gharama wenzetu nchi zao zinapendeza kwa kutowa kodi nyingi bila malalamiko bika shuruti
@glorymanga3650
@glorymanga3650 18 часов назад
Ilianza 25 ikaja 30 saiv 35 alafu munasema tupige kura woiii sintokuwa na huo mda
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 7 часов назад
Ni vyema kaa serikali,kukusanya kodi kwa shilingi badala ya dola maana inakwaza. Kwa hotels ok maana mapato yao hutoza kwa hio dola au fedha nyengine za kigeni. Kla kwa biashara hizi za Boti waliangalie hili.
@abdulkadirmbarouk5634
@abdulkadirmbarouk5634 17 часов назад
Huyo DG . Yupo na over confidence 👍
@ashraksuleiman2858
@ashraksuleiman2858 19 часов назад
sawa mbn mmepunguzq kas had tunachelewa kufika
@ElvisMulenga-j5w
@ElvisMulenga-j5w 17 часов назад
Hawa sio wafanya biashara ni wanyonyaji tu na hii yote sababu ni usafiri wa majini ingekua ni barabara isingefika hata elfu5 na hizi serikali zetu zimekaa kimya tu na hii hali mbaya ya maisha ya watu ikifika miaka2 watafanya elfu40
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 13 часов назад
Tafisiri ya kishetani ya maandiko yanasema msemo wa Paulo wa Bibilia kwamba mutii mamlaka yaani mamlaka na viongozi wa Kikafiri
@abdulrahmanmohammed4449
@abdulrahmanmohammed4449 5 часов назад
Huyu mama anaetoa report ya serekali boya sana yaani unkuj hpa kutoa report ya serekeli rate ya dola ya zamani untoa ya bank ya leo untoa bei ya mtaani wakt ili difference ionekane kubwa..bas jua sasa dola sio 2850 bali ni 2740 usipotoshe
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 16 часов назад
KUNA WATU HAWAUTAKI MUUNGANO SASA WANALALAMIKA NINI?! TENA WENGINE UTASIKIA OOOH HATUWATAKIII... TANGANYIKA INAUZWAAA, LAKINI KILA WIKIENDI WAPO NUNGWI WANAFOKONYOLEWA HOVYO NA MAPIDIDI WA ULAYA!! NAULI IKIPANDA SI NDIYO UZURI HUKU HUKU KULE KULE, KILA MMOJA ATULIZE MAKALIO KTK ARDHI YAKE!!
@jakuvuai1428
@jakuvuai1428 18 часов назад
Mama namuona anatetea kombe kabissa
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k 4 часа назад
Dola imeshuka na mafuta yameshuka bei kwann mtupandiahie gharama za usafiri mbona abiria ni wengi na hela 30000 ni kubwa sana kwa muda mwa mwendo wa masaa 1.5 ni mchache
@HajiFaki-n9v
@HajiFaki-n9v 19 часов назад
Rais mwinyi jenga sio tatizo ila utizame na wanamchi wako wenye maisha ya chini
@bakaryCMD
@bakaryCMD 3 часа назад
Wanatamaa sana mbuzi hawa
@JOKHAALIY
@JOKHAALIY 11 минут назад
Mama kafanyaje hapo Huyo bakharesa mahela yote hayo alokua nayo anapandisha nini
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 часа назад
Khamisi waya 😂😂😂
@Amirikoshuma-r6q
@Amirikoshuma-r6q 15 часов назад
Tatizo serikali yetu maana kama TRA wanataka kulipwa kwa Dola kwanini kama wamarekani Kuna nini hapo tatizo serikali tu
@abdulmanoti288
@abdulmanoti288 19 часов назад
Sio kesi wa bara wabakie Bara na wa zanziber wapakie uko maaana unanunua kitu zanziber bei nzuri kikifika dar es Salam ushuru wake ni Sawa na kununua kipya 😢
@HamidJuma-h8w
@HamidJuma-h8w 18 часов назад
Tutapanda majahazi mana serikali daima kwao mafuta yanapanda hamuwezi kuongozaa nchi achien madaraka
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 часов назад
Jamani acheni kuilaumu selikali kilakitu maisha yamebadikika Dunia nizima kwani hamjasikia hapo Dorra imepanda
@mohdhaji550
@mohdhaji550 14 часов назад
Sio dorra ni dolla​@@zaidiissa3714
@omarabdallah3883
@omarabdallah3883 17 часов назад
Huo wote ni unyonyaji wasipoandisha bei watoto wa wakubwa walio kazini watalipwa nini,lazima waongeze bei,wametoka kuongeza kwenye umeme sasahivi kwenye usafiri wa baharini kesho watembea kwa moguu watambiwa walipe kodi ya kutembea,tutakufa huku tiikiulizana lini tutalipa kodi ya kufa.
@storytownTv
@storytownTv 19 часов назад
Na Mitano mingine tunae..😂 yaan mpka tuombe maji
@JenniferTemba-t9i
@JenniferTemba-t9i 18 часов назад
Amtakiii msisafiriii
@OnlineEarningTz
@OnlineEarningTz Час назад
Hio dolla ifike ata buku 3 ili sisi tunaolipwa kwa dola online tupate zaidi
@Khamis_Waya
@Khamis_Waya 17 часов назад
Yajayo ni neema tupu, neema ndo hizi sasa.
@KoleYasini
@KoleYasini 18 часов назад
Fanyeni mpendavyo..
@Hamil-ud7yw
@Hamil-ud7yw 16 часов назад
Ttzo serkali washndwa ata kumlki ngalawa bakhresa fanya unavyojua we ni Bora kulko serkali...
@williamnassari
@williamnassari 14 часов назад
Hizi boti nauli yake ingetakiwa kua 15000 tuu sehem ya lisaa limoja 35000 kila wakijiamulia wanapandisha bei kwan nyie serikali si mnunue vyombo vyenu mbn au kisa nyie mnapanda ndege sna
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k 13 часов назад
mnatuumiza sisi wananchi bana kwanini MSIWE na vyanzo vingn vya kuingiza mapato mnatuumiza bana
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
Mfano chanzo gani chengine cha mapato ukiachana na ivyo?
@jumahaji2982
@jumahaji2982 17 часов назад
Nauli ibaki ivo ivo wabongo washakua wengi zanzibar
@zenj1986
@zenj1986 14 часов назад
Mwandishi unakosea inapomuuliza masuali mtu ambaye anafanya kazi ya kubeba mizigo. Badala yake unahitaji kumuuliza msafiri ili upate jibu sahihi
@fakihdarusi4385
@fakihdarusi4385 5 часов назад
KWAIYO HOJA ZA WASAFIRI .... PUMBA KABISA .. ILA AFRICA SIJUI TUNAELKEA WAPI
@Ali-lt3xn
@Ali-lt3xn 7 часов назад
Watakafanya sababu na uku pba utundishie nauli
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 18 часов назад
Mbona huskii kushuka kila siku znaengezeka t
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
Fikra mgando izo na wala usitegemee ivi wewe kila ukikua unapungua matumizi au unaongezeka matumizi tatizo letu tulijengewa shule tujifunze tuondokane na ujinga wengi walisoma wapate kazi lakini bado tumebaki na ujinga
@miriamjohn7644
@miriamjohn7644 Час назад
Local 60
@miriamjohn7644
@miriamjohn7644 Час назад
Pandisheni mpaka 60
@ramaamussa3406
@ramaamussa3406 3 часа назад
Kwanini walipe kodi kwa dola wakati wanaingiza TZS kwa wingi kuliko dola ?! Tuipe thamani pesa yetu
@maidimples8236
@maidimples8236 17 часов назад
20-30-35
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 часов назад
Jamani ndugu zangu watanzania nikweli maisha magumu ilasio kilakitu kuilalamikia selikali maisha nimagumu Dunia nzima harafu Razima tuelewe na kutambua hakuna Rais au kiongizi yoyote Tunaweza mchakua useme atakuja kukufanyia maisha mepesi Huyo hajawahi zaliwa katka hiidunia kikubwa tuongezetu nguvu yakupambana na maisha nakunua vilevitu vyaumuhimu kumguza anasa navituambavyohavina msingi
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 часа назад
Sasa kwa nini WALIPE KWA DOLA HUU SI UKOLONI.... NA KWANI NINI HATUNA SARAFU YETU..... KWA NINI DOLA...
@RashidHaroun-c2j
@RashidHaroun-c2j 3 часа назад
Unapo kwenda Kununua vitu kwenye soko la dunia nchi isiyo ya kwako lazima utumie dola mafuta hatununui kibiti au morogoro au shengejuu au mtambwe lazima dola itumie
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 14 часов назад
MH....
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 16 часов назад
Utawara wa samia wa kisenge sana wanaongeza bei hovyo na makod ya kisenge kuriko kuongeza mishahara watu na kuwapa hajira uyo mbwa sana nataman hatoke ata reo kengo uyo raisi gan asienauruma na wananchi mnajichukuria tu hatua mikononi wengewe izo pesa mnazo kopa mnafanyia nn?
@ramadhanmkandas5733
@ramadhanmkandas5733 7 часов назад
Wacheni siasa
@nassorsuleiman451
@nassorsuleiman451 18 часов назад
Doller rate 2850 hii ni kujilinda na hoja Kwa sababu dollar bank IPO chini ya 2750 half kwanin walipe Kodi TRA Kwa doller wakati BOT wanakataza miamala ya doller kwa ndani ya nchi ktk kulipa Kodi
@AllyHassan-e2m
@AllyHassan-e2m 18 часов назад
Itafika wakati nauli ni laki moja
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 18 часов назад
Hali ni ngumu punguzen bei
@mohamedjuma1878
@mohamedjuma1878 15 часов назад
Acheni ngonjera wasimamieni hao wamiliki wa meli au muna hisa zenu humo
@allyabdallah1776
@allyabdallah1776 18 часов назад
DAH MTIHANI
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 17 часов назад
Dar ilishapanda zamani
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 14 часов назад
Bandari zote zimeuzwa kwahyo bei itapanda tu
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
А я с первого раза прошла (2024)
01:00