JAMANI MNGEMPA DULY SYKES HAT UKUU WA WILAYA MNAWAPA WENGINE HATA HAWAJULIKANI WANATOKA MAPORINI SIO SAFI,HISTORIA YETU ILIPINDISHWA SANA, I HOPE MAMA SAMIA ATAMPA HATA UBUNGE WA KUTEULIWA
Dr Mohamed tafadhari nifundishe kidogo haya yafuatayo yananichanganya. 1.Mwalimu baada ya kuacha kazi Pugu na kuja kukaa karibia miezi mitatu kwa Abduwahid Sykes.Aliondoka tokea hapo kwenda Butiama Kumuoa Mama Mari.Je hii ni kweli?ina maana wakati yuko Pugu alikuwa Bachelor? 2.Ilipokuwa Nyumba ya Mwalimu Clement Mtamila ni mtaa gani sasa Dar esalaam? 3,Katika mwishoni mwa miaka ya 1960 ndani ya nyumba ya mwalimu Mtamila palikuwa na picha nyingi zikionyesha maisha ya awali ya kisiasa akiwa kapokelewa Dar es salaam,nani alizitoa picha hizo,na zi wapi?Samahani kwa maswali Mengi
Sheikh Said, angalia hii documentary unazungumzia mchango wa Mnyanjani kwenye masuala ya TANU: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-BUDcnuZjsR0.html