Тёмный
No video :(

MZEE WA UPAKO ALIVYO MCHANA PASTOR DANIEL MGOGO NA MCH.HANJA KUSEMA UTAPELI UMEJAA MAKANISANI... 

PTVTANZANIA online
Подписаться 505 тыс.
Просмотров 118 тыс.
50% 1

#PastorDanielMgogo #mzeewaupako #harmonize

Опубликовано:

 

12 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 607   
@sethadalo3312
@sethadalo3312 5 месяцев назад
Daniel mugogo, Hana siasa, yeye ni munjilisiti hodari na upako wa ajabu . Kenya tuna mpenda sana. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TabibuGift
@TabibuGift 4 месяца назад
I love pastor Daniel Mgogo, he preach the true gospel which brings salvation to people. For sure, I real admire him but I don't wants to hear that receive cars or money from other preacher but if am lazy I can't get anything
@JasinthaAlex
@JasinthaAlex 4 месяца назад
Daniel Mgogo more life🙏 na kwamba yeye ni comedian it's okay coz iyo iko ndani yake na anacheza na vichwa vya kisasa ndo maana injili yake si ya kupokea na haboi,anakomboa walio potea inampasa aendane nao ata Yesu alipingwa,Daniel chapa injili komboa akili za watu injili yako hata dini za upande wa pili wanaipenda uchagui hubagui huna baya usiogope fanta kazi ya bwana tunakuombea🙏🙏
@user-nw1cd3zp7b
@user-nw1cd3zp7b 5 месяцев назад
Mgogo ni the best anakupa elim mtu ujitambue ❤
@gracekambua9836
@gracekambua9836 5 месяцев назад
Imani pasipo na kazi imekufa. Tuwe na imani tuchanganye na kazi..Hata Yesu hakupendwa Kwa hivyo Pst Mgogo continue the Good work Man of God,we need more of you guys
@JOProductions955
@JOProductions955 2 дня назад
Mgogo is a real servant of God. He is talented in the way he captures the attention of his congregation .
@ev.johnkay9383
@ev.johnkay9383 3 месяца назад
Huyu asije akaokota na bundles zangu pia😂, Namkubali mchungaji mgogo. Watu waganye kazi.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 4 месяца назад
Mgogo yuko vizuri sana ijili za utapeli hazina nafasi
@ronaldkimengich8958
@ronaldkimengich8958 5 месяцев назад
Huyu mzee ajielewi I can Kenya 🇰🇪 we Love Mgogo since he preaches the Truth long live pst Mgogo
@ChemchemiRecords
@ChemchemiRecords 5 месяцев назад
Swahili only, please?
@user-oe4vp6nk2h
@user-oe4vp6nk2h 5 месяцев назад
Watu wafanye kazi mgogo yuko sahihi
@Maryc2G
@Maryc2G 5 месяцев назад
Kweli kabisa, watu wafanye kazi kabisa. Ukifanya kazi kwa bidii kufanikiwa ni must
@CHILL50440
@CHILL50440 4 месяца назад
Bible inasema mungu atabariki kazi ya mkono yako
@user-wl8ns6hh8l
@user-wl8ns6hh8l 3 месяца назад
Mgogo yupo vizuri anatuamsha tuache ujinga
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 5 месяцев назад
Nampenda sana pasta mgogo yupo sahihi sana watu wafanye kazi ndyo wapate magali. Wemzee waupako tuache kidogo tafadhali🙏
@user-pp9bv8xs2h
@user-pp9bv8xs2h 4 месяца назад
Mgogo yupo sahihi kabisa anawaambia watu ukweli.
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 месяца назад
Mchungaji mgogo ni comedy. Anahubiri kutumia vichekesho. Kama alivyo masanja. Pokea gari, pokea nyumba ni baraka anatoa mchungaji. Kwenye biashara yako Mungu akubariki upokee gari. Mzee wa upako yupo vizuri sana kwenye mahubiri. Namfaham ni smart mzee wa upako chief
@athanase84
@athanase84 Месяц назад
Mimi niko.congo huyu mzee yuko vzr mno, Ila watu wametapeliwa kiakiki awamuelewi
@prudencemushi6948
@prudencemushi6948 4 месяца назад
Kwa mara ya kwanza nimemwelewa mzee wa upako kabisa na amebadilisha mtazamo wangu kwake... barikiwa
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 3 месяца назад
Mlevi mwenzetu huyu mzee wa upako
@lilyg2134
@lilyg2134 2 месяца назад
@@mwamakaassely2260 🤣tena lilevi la kupindukia linalotumiwa na wapinzani
@HermanKikoti
@HermanKikoti Месяц назад
😢
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 6 месяцев назад
Mimi kiukweli Huyu anayejiita Mzee wa upako sina imani naye kabisaaa,isipokua MUNGU TU BASI.
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@user-mr6uk3lv1b
@user-mr6uk3lv1b 5 месяцев назад
Mgogo tuko vizuli ufanye kazi na mungu atakunyohosheya mkono
@sinaimissions7554
@sinaimissions7554 5 месяцев назад
🎉
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 5 месяцев назад
Mgogo mm ninamkubali Sana na yuko sahihi kabisa 🙏🏼 Mgogo na Hananja nawakubali saaana💪🏽✌️👊
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 5 месяцев назад
Mzee wa upako ana swaggy za kitapeli.unapokea ktoka wapi?? Hayo maokoto ni ya kutoka kwa maskini alf unajifurisha kwa kuwatapeli...fanya kazi mungu alunyooshee mambo yako
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 4 месяца назад
Mzee wa upako umeongea kwa busara sana. Wakristo wako wengi na tusihukumiane. Hao wanaokashifu na kukosoa wengine ni kujiona kuwa wao wako sahihi zaidi. Kila mmoja aamini Imani yake. Usijione kuwa yako ni sahihi zaidi. Mimi mkatoliki na naheshimu ya wenzangu. Tukipingana na kukashifiana ni Ubinafsi sisi wote ni mwili wa Kristu.
@Joycenangonga
@Joycenangonga 4 месяца назад
Jamaniiiiiiii sio kristu ni kristo kwenye biblia imeandikwa kristo na sio kristu.
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 5 месяцев назад
Mgogo kiboko na mungu akuzidishie na akupe ufahamu uzidi kutuelimisha
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 месяцев назад
Mgogo Mungu akubariki sana waambie ukweli mwambie ukweli mlevi wa Kvant mzee wa Upako
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂duuu
@ntakilutandato
@ntakilutandato 5 месяцев назад
kweli mzee wa upako..tunahitaji kumhubiri yesu na siyo umbea madhabahuni. Tukisema tuanze kuchambuana Dunia haikaliki.
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 11 дней назад
Kweli joeli uko fisuru sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 месяца назад
Mzee Wa Upako wa kiganga. Ni wa hovyo sana huyu. Bora sijawa na ndugu wa kunitia aibu kama hawa. Hajui hata biblia. Nilikua namwelewa sana ila kabla sijaanza kumskiliza ila nilivyoanza kumskiliza nimemuona hovyo sana😢😢😢😢😢 Daniel Mbogo ❤. Alaf mchungaji wa kweli na wa uongo hapa utamjua tu. Mbona maji na mafuta vimejitenga.😅😅😅
@lilyg2134
@lilyg2134 2 месяца назад
Kabisaa.. yeye na waumini wake vichaa tu
@mariosigala8760
@mariosigala8760 5 месяцев назад
Hakuna Baraka za kupokea bila unacho kufanya.
@Vanessa-md2hj
@Vanessa-md2hj 3 месяца назад
Daniel mgogo all the way 🙏🙏the bible says nitaenda kuibariki kazi ya mikono yako kumanisha utajiri upo mikononi mwetu .hawa wa kutuambia receive receive uongo mtupu hao ni kungoja tuwape hela😂😂
@govinsonlugano9226
@govinsonlugano9226 4 месяца назад
Hatukatai miujiza Mungu ufanya! Na Mungu ufanya akitaka,wala si sarakasi zakumlazimisha.iyo yakupokea pokea kwani munakuwa waganga? Biblia imasema asietumika asile.pia nitaibariki kazi ya mikono yako.Mgogo injili iko sawa!
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 4 месяца назад
Katka maneno ya Mzee Kuna mawe na madini chukua yanayo kufaa kama ni mawe au madini basi 🙏.
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 месяцев назад
Kweri mgogo yupo sahihi Mgogo yupo sahihi kama Mzee Ananja hao ndiyo Waubil sahihi Tanzania
@thobiasfilbert7391
@thobiasfilbert7391 5 месяцев назад
Hana majibu kweli mzee was upako .mgogo anahubri uharisia was maisha yalivyo.
@michaelwanyanga
@michaelwanyanga 4 месяца назад
Wengine ni wahuni wanaotumia jina la Mungu. Asante YEHOVA-Mungu kwa kuwa upo na unaendelea kuwepo ili kuwapepeta wahuni wote na kuwaengua katika kundi la wacha Mungu.
@brownaled2576
@brownaled2576 6 месяцев назад
Amna mungu apo ni uvivu wa kifanya kazi halali
@shiracque8524
@shiracque8524 14 дней назад
❤❤❤❤❤ nice ubarikiwesana BABA AMEN
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 месяца назад
Amina mtumishi wa mungu luseke lo mungu akubariki watu tumekuelewa vizuri sana barikiwa pastor
@joetheone3354
@joetheone3354 5 месяцев назад
Unajua sana Mzee Wa Upako. Ni mchungaji pekee unayeweza kukemea na kupongeza bila kujali ni nani. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu endelea kuikomboa jamii.
@fredfandey222
@fredfandey222 5 месяцев назад
Sio kweli
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 5 месяцев назад
@@fredfandey222ni kweli
@kensniper8079
@kensniper8079 4 месяца назад
Ww ni kada wake hatuwez kukubishia lkn Mzee wa upako Hana lolote
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 3 месяца назад
Issue ya mafuta na maji ni nzuri tu. Mfano wewe una watu milioni moja hao wote utawafikiaje? Bariki maji yageuze kuwa upako wape watu Mungu atajua atakavyowatendea. Na watu wanaokuja kumtafuta mungu wengine siyo wakristo yeye kaja apone. Sasa mtu kama huyo aliyezunguka kila mahali kutafuta uponyaji akapewa maji yakamponya. Hawezi kuondoka hapo kwenye madhabahu ataendelea kujifunza neno. Nafikiri nikimfikiria yesu issue ya wale samaki na mkate akawalisha watu wote wale. Wale samaki na mkate hawakuwa samaki na mkate wa kawaida. Waligeuzwa ikawa chakula cha kiroho. Hivyo kila mmoja aliyekula mkate na samaki yule aliyabadili maisha yake. Leo mwamposa ana keki ya upako. Watu wanashangaa. Ni zana ya kiroho. Ile siyo keki kama keki. Ni keki iliyobadilishwa ndio maana watu wengine wakila keki hiyo mambo ya ajabu yanawatokea. Watu wanalishwa vitu kichawi. Hivyo vitu utafikiri vitatoka kwa njia gani? Na mtu huyo hajui habari za yesu? Unaposikia injili ina nguvu, ni lazima iendane namiujiza hapo Mungu anajihithirisha
@EnthusiasticAtv-gn6pb
@EnthusiasticAtv-gn6pb 3 месяца назад
NIMEMUELEWA VIZURI SANA MZEE WA UPAKO. Kwa kweli hutakiwi kumuhukumu mtu pasina kumsikiliza. Usisikilize upande mmoja ndugu, utakosea.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 5 месяцев назад
Watu wafanye kazi Mungu ataibariki kazi ya mikono Yao,sasa Hawa wanauza mafuta ya upako !neno la Mungu ama dam ya yesu ilimwagika Kwa sh ngapi ,tujihadhari na manabii wa uongo ,yesu ana meli ,mabasi ama jeshi .
@noornasir4378
@noornasir4378 5 месяцев назад
Pastor mgongo is the best
@ZallMarshall
@ZallMarshall 4 месяца назад
Mgogo is the best hana kazi mbovu yy husema ukweli we love you as Kenyans all the best may you live long mungu akuzidishie neema ya kuhubiri🎉🎉❤
@smartmwakipesile3842
@smartmwakipesile3842 4 месяца назад
Mungu ambariki sana mgogo ni chombo cha Bwana
@joyjackson258
@joyjackson258 5 месяцев назад
Kila mtu amnene Yesu na uweza wake . Acheni kuwafanya watu kuyalaanj maisha yao kwa kuwanena vibaya watumishi wa Mungu.
@Joycenangonga
@Joycenangonga 4 месяца назад
Umesema vyema wajina ndo mana mimi sijataka kucomment maneno meng coz kimsingi wa biblia kuwanenea vibaya watumish ni dhambi na laana maana yesu ndo mwenye uweza wa kuhukumu pekeake.
@marykiwoi7821
@marykiwoi7821 5 месяцев назад
Mungu anabariki kazi ya mikono yetu na Mgogo yuko sawa kufingua watu macho
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 месяцев назад
Sawa. Hakuna kufanya kazi kwa bidii hakuna kupokea chochote!!
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 5 месяцев назад
Mzee. Wa..upako..nakualewa..sana. nazidi kufanikiwa .kwa kufata. Mahubiri. Yako. Endelea..kutuombea. tunao..amino
@user-hl9ee2ve4s
@user-hl9ee2ve4s 3 месяца назад
Wewe ni mtapeli. Mchungaji Daniel ako right kabisaa na yeye injili yake iko sawa na mafundisho ya kristo.
@gracekiondo2541
@gracekiondo2541 5 месяцев назад
Hawa wamewafanya watu wategemee mafuta na maji badala ya kumtafuta Mungu,mtu hajifunzi juu ya Mungu hata hana muda wa sala kazi ni kuamini Upako.huyo Mzee wa Upako maswali anashindwa kuyajibu.
@laukhanpaulo4996
@laukhanpaulo4996 4 месяца назад
Mgogo🔥🔥🔥🔥 nikiboko yao anawafumbua macho walio lala na wanao pigwa hakika mahubiri ya kweli yanasimama daima sio poke nyumba pokea pesa nani kazisahau 🏃🏃🏃
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 4 месяца назад
Daniel Yuko pafect sana ❤❤❤
@KaswarraKabagambe-gu1zm
@KaswarraKabagambe-gu1zm 4 месяца назад
Daniel juuuu sana ❤❤❤❤
@Satier47
@Satier47 5 месяцев назад
Napenda saaana MGOGO. huyu Mzee Antony mwamposa wahuni wakubwa tena matapeli wezi hawa😢😢😢
@petermwanyondo5370
@petermwanyondo5370 5 месяцев назад
Asante baba mgogo achana nawasaka tonge kwakutumia vibaya jina lamwenyezi
@philipolubuva4102
@philipolubuva4102 5 месяцев назад
Mzee wa Upako uko sahihi ni kweli Petro Alifanya kazi ya kuvua samaki usiku kucha lakini hakupata kitu kwa sababu hakuwa na Yesu lakini alipomkubali Yesu baraka zikamuingia na kufanikiwa kupata samaki wengi hivyo kufanya kazi bila Yesu kufanikiwa ni ngumu unapoombewa pokea gari bila kufanya kazi bila yesu ni kazi bure
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 4 месяца назад
Mwilinwa kristo , safi Kila mmoja akae kwenye eneo lake sio mambo ya kunyoosheana vidole
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 4 месяца назад
Amina
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 2 месяца назад
Mungu akubariki mzee wa upako
@athanase84
@athanase84 Месяц назад
Basi mgogo asiwe anawaombea wagonjwa, awaagize hospitali, maana bado haelewi halaf yupo kiutoto sana aelewi mambo ya Kiroho
@peterbangari4273
@peterbangari4273 5 месяцев назад
Mzee wa upako umeshindwa kujibu swali nikweli huwezi kupokea gari bila kufanya KAZI mgogo na Hanja wako sahihi huyo ni mwongo
@johnthomson5746
@johnthomson5746 5 месяцев назад
Mumuelewe baada ya kufamya Kazi, unatamkiwa kupokea, unaweza ukafanya Kazi, adui akaipiga hiyo Kazi, siyo mbaya kutamkiwa Baraka, baada ya Kazi zako
@donaldchacha3059
@donaldchacha3059 5 месяцев назад
@@johnthomson5746sawa kabisa Mzee wa Upako yupo vizuri tuache ushabiki
@urbanmission3072
@urbanmission3072 4 месяца назад
MTU ASIYE NA SIRI YA IMANI HAWEZ ELEWA NA HAWEZ KUELEEWA MAMBO YA MUNGU
@athanase84
@athanase84 Месяц назад
Wewe msikilize mwanzo mpaka mwisho, mbona mnatanguliza hisia binafsi badala ya kuelewa? MZEE Kajibu vzr mpaka nimeona aibu upande wa Mgogo
@mussakantumba9914
@mussakantumba9914 Месяц назад
Mzee wa Upako yupo sahihi, wanaompinga hawana ufahamu wa kiroho.
@sillahnjau9205
@sillahnjau9205 5 месяцев назад
mgogo yupo sahihi Fanya kazi ndio upate pesa ununue gar tana kwa bidii sio kupekea bila kufanya kaz mgogo saf
@johnkomba4184
@johnkomba4184 6 месяцев назад
So intelligent and knows what he's doing.... congratulations Mzee wa upako....God bless you so much....we need to appreciate each other's religion and opinions... it's all about perceptive and people's minds...
@ivanlyimo6727
@ivanlyimo6727 5 месяцев назад
I do not remember any instance where Rev Mgogo or Rev Hananja had mentioned names of other preachers. What they are doing is to rebuke sinful actions with strongest possible terms of which every serious Christian should do. You can not appreciate an opinion inclined to sin and still remain Christian. Of course you can do that in some political issues since politicians have made it appear as if there is no absolute truth; to them sin is a relative term and that is where the idea of appreciating others' sinful opinions comes in.
@ezrommkambati1554
@ezrommkambati1554 5 месяцев назад
Msenge sana wewe.... I'm very sorry sijatulana bali umekera...
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 5 месяцев назад
Unafikiri ukiandika kiingilishi ndiyo hatutaelewa kua umeandika pumba
@festofute58
@festofute58 6 месяцев назад
Swala siyo kukubaliana Cha kuhubiri,Bali kuifuata Biblia.
@upendokibuga1434
@upendokibuga1434 5 месяцев назад
Uchumi wa Tanzani uko chini ya matajiri 10 wakubwa. na sio wakristo! Mchungaji mgogo yuko sahihi sana. Hakuna maendeleo, hakuna kutajirika kwa upako na maombi na kufunga na kunene kwa lugha wala kukoroma kwa lugha. Tena injili za hivi ndio zinazalisha maskini wengi. Haya ninyesheni aliyefungua biashara baada ya kuombewa...
@priscakwenga7057
@priscakwenga7057 Месяц назад
Mungu akufungue ufahamu umjue yeye ni nani...kwakukusaidia jifunze neno la Mungu soma biblia yako..Muombe roho wa Mungu akusaidie
@user-nt3re5fp4z
@user-nt3re5fp4z 3 месяца назад
Daniel MGOGO anemwaga nucele ndo mana mumeanza kununa🇷🇼
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 5 месяцев назад
Amen, Imani nikuwa na uhakika na hasa km unamjua unaye muamini,kila mtu na karama Mungu aliyo muitia,simama na kumsikiliza Roho Mtakatifu anavyo kuongoza,sisi ni mwili wa Kristo. Ni mekuelewa👍🏽🙏
@josiahbineguro6393
@josiahbineguro6393 5 месяцев назад
Mi naona Mgogo Yuko Vizuri kwani Mahubili ya kitapeli yapo na tumeyaona Tena hata kipindi kile Mzee wa Upako alitumia Mahubili yanamna hiyo ambayo kayazungumzia Pastor Mugogo
@user-xw4nj8ji2e
@user-xw4nj8ji2e 3 месяца назад
Mzee wa upako,yafaa ujue kila mmoja ana mwito tofauti,,
@almasramadhan9387
@almasramadhan9387 5 месяцев назад
Wa upako umechemka baba mgogo Yuko sawa
@elegantladieszone7301
@elegantladieszone7301 5 месяцев назад
Upo sahihi sanaaa Bishop Anthony Lusekelo Mzee wa Upako,Chief. Amina sanaaa
@kanisalatecjcusofficial
@kanisalatecjcusofficial 4 месяца назад
Amina mtumishi Bwana Yesu asifiwe mpendwa kwa akili ulio nayo.
@kensniper8079
@kensniper8079 4 месяца назад
Tapeli tu mzee wa upako
@suleimansultan3333
@suleimansultan3333 25 дней назад
Mimi nasikiliza sana hawa wachungaji ukweli huwezi kupata Mali bila kujituma mgogo yupo sawa
@sammymwachiro5894
@sammymwachiro5894 5 месяцев назад
Mgogo yuko sahihi, tusidanganyane.
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 4 месяца назад
Wachungaji kama hawa ni matabei tuu ,,ukitambua makosa yako tubu mungu ni mwenye rehema😢atakusamehe ,rudu kwa yesu hubiri injili ya kweli, achana na nguvu za kipepo na hizo Pete za chicho ni uchawimtupu
@ukuriijambo9418
@ukuriijambo9418 5 месяцев назад
Hubiri injili ya wokovu,acha iyo mafuta ya upako,ni utapeli kweri.Hubiri watu injili ya Yesu
@loycep7785
@loycep7785 5 месяцев назад
Pamoja na watumishi wa Mungu wakubaliane tu kwamba ili ufanikiwe fanya kazi ndy upate siyo kushinda makanisani hiyo hela ni ya mizimu Mungu ktk maanfiko hakusema muende kupokea vitu bila kutumika Hata enzi za zamani kipindi cha Musa watu walifanya kazi Acheni kuwachanganya watu kwa mahubir potovu Mbinguni hakuna madhehemu bali ni kumwabudu Mungu ktk roho na kweli
@user-gg7qi2zm3w
@user-gg7qi2zm3w 5 месяцев назад
Nakuunga mkono sana da uko vizuri
@Saning.oyohanasaitoSaito
@Saning.oyohanasaitoSaito 3 месяца назад
❤chukuwa mauwa yako Mzee wetu wa upako na Mzee wetu wa kiroho 🎉🎉🎉❤❤
@martinihassani6760
@martinihassani6760 29 дней назад
Mch mgogo Yuko vizr ninamwelewa vzr Sana.
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 5 месяцев назад
Mchungaji mgogo chapa kazi ya MUNGU usitishwe na maneno ya kuvunja moyo maana hayana nguvu tena ya kusimamisha neno la MUNGU kamwe
@deogratiasrutabana2387
@deogratiasrutabana2387 6 месяцев назад
9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10 Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo. 11 Naye aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu. 13 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni; ninyi wenyewe hamwingii, wala wanaoingia hamwaachi waingie. Mtu akishakwenda kinyume na Biblia anatumika na roho wa shetani msidanganyike.
@FarresFedrick-xj3qc
@FarresFedrick-xj3qc 5 месяцев назад
There is big difference between Public speakers and a Preacher of the Gospel which can save and deliver people from sin.
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 5 месяцев назад
Nimeelewa apo kwamba sisi ni kiungo cha MUNGU katika KRISTO YESU BWANA WETU,Kila mtu ni kiungo cha mwenzake katika KRISTO YESU BWANA WETU!!!!
@mariaerenest5632
@mariaerenest5632 5 месяцев назад
Namkubari mgogo sana
@user-jb3zp9uo7o
@user-jb3zp9uo7o 5 месяцев назад
Mgogo yuko sawa kabisa? Huwezi kuombea mtu amateur gari ki rahisirahisi bila kutoka Jasho.
@user-en8oc5pu1y
@user-en8oc5pu1y 28 дней назад
Hapo hamna injili ya kweli, wakristo tusomemeni maandiko vizuri na tumwombo roho mtakatifu atuwezeshe kuelewa hayupo mhubiri wa kweli atakae kana amri kumi za MUNGU
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 2 месяца назад
Mimi sioni shida iko wapi kuuza yale mafuta shida ni jinsi wewe utakavyo yachukulia chukuwa neno la Mungu omba sawa na neno hilo ukimdai Mungu imeandikwa Yakobo 5:14 mtu wa kwenu hawezi na awaite wazee wakanisa wamuombee na wmpake mafuta nk naye atapata afya wote wanaotumia mafuta ya upako sijawahi ona wakitumia mafuta bila neno lazima watakuppa neno mungu atusaidie
@lovenessrichard9969
@lovenessrichard9969 4 месяца назад
Ubarikiwe mzee wa upako.... Mwakasege na Mwamposa bambam❤❤❤❤😊
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 5 месяцев назад
Baba mzee wa upako yuko sawa sana ana hekima ya hali ya juu.Haya mambo ya huduma yanahitaji kiwango cha uelewa wa kiroho na hekima.Kwakua watu wako kwenye ibada na tamko la kupokea ni tendo la imani kama sehemu ya ibada mtu anakua anapokea katika ulimwengu wa roho kabla hayajatokea katika ulimwengu wa mwili.Biblia inasema yote tuyaombayo kwa imani tuamini ya kua tumeyapokea na yamekua .
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 5 месяцев назад
❤❤mwili wa ckristo tuwe kitu kimoja..tuwache malumbano...
@afwililenisaidie9597
@afwililenisaidie9597 5 месяцев назад
Kweli lakn sio kila anaye hubiri ni kristo wengine ni makristo
@ericsallu3237
@ericsallu3237 3 месяца назад
Hana point Mzee wa Upako
@KennedyIpereny
@KennedyIpereny 3 месяца назад
Wote ni watumishi wa mungu ,mgogo anatufundisha namna ya kuishi ukiwa kwa ndoa.mzee wa upako anatufundisha imani kulingana na vile amejieleza.kwa hivyo wote wako sawa wote
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 5 месяцев назад
So comedian sisi tunampenda mungu wake na si vingine
@ShimaKilairo
@ShimaKilairo 3 месяца назад
Kweli mgogo tupo sawa we mpigaji tu upako wap
@SezaliaOnesmo
@SezaliaOnesmo 3 месяца назад
Kwa ukweli mgogo endelea kutupa mawe tufunguke akili, hiyo injili ya mwaka wa maokoto hapana biblia inasema tutafute ufalme wa Mungu na mali Mungu atatupa kwa kufanya kazi. Kumbukumbu 28.1ff
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 5 месяцев назад
Mgogo anasema kweli,usizunguke sana
@user-ge3cg4ct9z
@user-ge3cg4ct9z 5 месяцев назад
Vua hiyo Pete ya kishetani ama Bora usicganganye Mungu na mungu wenu anaejifuchia ndani ya jina la Yesu, tu awajua wote mliojiunga chamani mtoke msiwadanganye watu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 5 месяцев назад
Vipi na wewe upo chamani?
@mukanyataki5120
@mukanyataki5120 4 месяца назад
Huyu mwongo, Biblia ina sema : usiongeze ao kupungiza atuambiye tu : wapi imeandikwa kwa biblia : pokea gari, nyumba, .... Iandikwe hivo tu Huyu mwongo kabisa
@user-yg1uw7me8y
@user-yg1uw7me8y 4 месяца назад
Mimi namuelewa sana mzee wa upako mana ana hekima barikiwa baba
@CHILL50440
@CHILL50440 4 месяца назад
Yesu arikataza kufanya byashara kanisani, munauza maji na mafuta kanisani, mutachapwa kiboko
@msanginaza905
@msanginaza905 5 месяцев назад
Mgogo Hana neno ni comedian kweli yaaan watu watacheka lkn kuingia mbinguni ngumu sana...hatumiiiii neno na Mungu hulitazama neno apate kulitimiza...mgogo atumie neno zaidi km zamani
@happynathan8226
@happynathan8226 5 месяцев назад
Wewe hujawahi kumsikiliza Pastor Mgogo akihubiri injili ya Mungu, vile vi clip vya mafundisho ya ndoa na familia vinavyo postiwa ndo unafikiri ni mafundisho yake yote. Achana na mawazo mgando na mahubili ya kitapeli ya kupokea vitu ambavyo huja tafuta.
@msanginaza905
@msanginaza905 5 месяцев назад
@@happynathan8226 wewe hujamfahmu mgogo wa mitandaoni namfahamu sana kuliko unavyodhani....akili mgando ni wewe hapo unayetaka mawazo yako yafanane na wengine ...kwani wao hawakosei hawatokagi nje ya msatari hembu tulia ama vipi soma neno likuondoe mawazo ya ndio Kwa Kila kitu ...mtu yeyote anaweza kutoka nje ya mstari lkn akisoma hivi comments anajitathimini ..nyie ndo watu mnao penda kusifiawa au kusifia Kila kitu...Mimi pakukosoa nakosoa pakusifia nasifia ....Jaribu kuchuja vitu alafu usipende kuita watu maneno magumu ooooh mgando usiowaju
@user-xf8yo1od4n
@user-xf8yo1od4n 4 месяца назад
Atabariki kazi za mikono yetu haya mambo yakusubilia muujiza na hawafanyi kazi tunakua na Taifa la watu wavivu sana tangu mwanadam wa kwanza alipoumbwa alipewa kazi za kufanya Hivyo tufanye
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 4 месяца назад
Mungu hana hasira ni mwingi wa rehema wiki nzima upi kanisan na kidogo unachopata unatoa sadaka eti ya kupanda
@user-cv2jf1nu3q
@user-cv2jf1nu3q 4 месяца назад
Amebarikiwa na Bwana zaidi ya kubArikiwa kwake materials nimeongea, ampingae simwambii amkubali ila minamkubali, pia mafuta ya upako ni biashara naungana namgogo, alafu hiyo kauli yachifu kusema eti nicomedi misimuungi mkono injili yakweli mgogo hafichi,Mungu ampe maisha malefu aendelee kufundisha wengine wjae malaria,,,, ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ernestsinje-ng8hm
@ernestsinje-ng8hm 6 месяцев назад
MGOGO yuko sahihi Mzee wa upako mlevi mi simkubali
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-in1on9ip5z
@user-in1on9ip5z 3 месяца назад
Pastor mgogo yuko vizur ,huyu mzee wa upaka uwa simuelewi MUNGU yupi anayemtumikia!!
@moshijoramu2616
@moshijoramu2616 3 месяца назад
Humuwezi Mgogo Hugo ananyoka hapindi pindi
@FrancoiseNyandwi-uo6ds
@FrancoiseNyandwi-uo6ds 6 месяцев назад
Mgogo yuko Sawa isipokua tu mahubili Yake niyakutuamsha na kutukataza uvivu,hajawahi kutukana mtu kama wewe
@kibelakakunde8238
@kibelakakunde8238 5 месяцев назад
Mgogo ndiye mchungaji mwaposa mganga wa kienyeji
@judicalosika7642
@judicalosika7642 5 месяцев назад
Mchungaji akitaka gari tunamchangia, muumini akitaka gari, pokea pokea pokea Hii haingii akilini
@eliyaedward5488
@eliyaedward5488 5 месяцев назад
Zaburi 127:1-2 [1]BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. (A Song of degrees for Solomon.) Except the LORD build the house, they labour in vain that build it: except the LORD keep the city, the watchman waketh but in vain. [2]Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi. It is vain for you to rise up early, to sit up late, to eat the bread of sorrows: for so he giveth his beloved sleep.
@paultirigo6238
@paultirigo6238 5 месяцев назад
Amen😊
@nyotaphina8167
@nyotaphina8167 5 месяцев назад
Mzee wa upako ungeendelea kuhubiri kimyakimya tu kwa sasa. Waache wenye talanta ya ukweli waongee hadharani
@ElisanteEcotone
@ElisanteEcotone 3 месяца назад
Mgogo ni comedian sio muhubir
Далее
Мелл хочешь сына от Дилары
00:50
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
Просмотров 729 тыс.