Mzee Yusuf amedai kwamba muda mchache baada ya kavamiwa na majambazi ilipigwa baruti juu akadhani ni yeye amepigwa risasi ya kifua kumbe hakuna kitu "Nikawa najiuliza mbona sioni damu au ndio nimekufa?"
Ndugu yang karibu kweny uislam dini aliyokua akihubir yesu na manabii kabla yake ukutaka kuamin kasome matendo y bwana yesu kisha jiulize kt y waislam na wakrist kunanani wanayafata mafundisho y yesu mfano yesu alikua akisali ktk sinagogi(msikiti wa wayahud) nakuhubiri humo JE NIKINANANI WANASALI MSIKTN NA WANAHUBIRI HUMO????yesu kasema mkisali salini kwa lugha moja je NI DINI GANI HUWA WANASALI KWA LUGHA 1 yaan ww ukienda nchi yeyote dunian ukiingua jumba la ibada lugha numoja huu ndo uislam alihubir yrsu na menginr meng mkitist mtz akinda china atashudwa kusali coz halewi kichuna lkn muislam akiingia msikit w wachna ataswal coz lugha ya ibada n moja aliusema bwana yesu
Pole sana brother Yusuf na familiya. Ndugu zangu waislam dua hii inasaidiya wakati kama huu ALLAHUMAH IKFINIHIM BIMA SHIITA. YA ALLAH NIKINGE NA SHARI YA HUYU MTU.
Si wadaku hao wamesaidia kufikisha ujumbe na kutujuilisha kuwa kuna watu wabaya wako mitaani tuwe makini. Allah awavue salama hilo na jengine in sha Allah. Amiin
Wallahi si utani ukiwa na imani thabiti hutotishika kwa kila kitu ukiamini kunamlinzi wa ulimwengu huyo ndo jabar hakika atakulinda t huo ni mtihan na nikipimo cha iman usiyumbe daima mzee mola akupe nguvu
muelekee Allah mzee Yusuf atawaadhibu bila ya wao kujua waja walaana laanathulahy hao majambazI njaa Allah atawaadhibu hapa hapa duniani na kesho Akhera moto wawasubiri hao mjambazi
Allah awaifazi awavue zitohilo najengine allah umesema dua yamwenyekuzurumiwa inafika mshitakie allah atakulipa kua pamoja na allah ndokila kitu nimefulahi sana kwa hatua mlochukua kuachana nadunia nakumuelekea allah alhamdulilah allah awaifazi awakinge nakila shali awawekee ulizi mbeleyenu nyuma yenu kulia nakushoto hakunazito kwa allah awasahilishie amin amin
Mzee yusuph nakupa pole sana,kwa wale ambao hawajawahi kutokewa na hili wataona ni miujiza ila mungu atakupa ahueni,mim nilitokewa na hili,mzee yusuph pole sana
Wallah kwa walioyakuta mnaelewa nn anaongea,Alhamdulillah hata sisi pia ilitufikia ivo lakini tulimueka Allah mbele na sote tulisalimika walichukua walichokipata na waktuachia roho zetu salama,Mzee walichukua kwa haraka wakakuachia baraka .Hakika huu ni mtihani mtihani mkubwa Allah ndie anaejua zaidi...ALHAMDULILLAH
Tuzidishe ibada na dua kwa wingi katika mijengo yetu kwa vile Allah ndiye mlinzi. Bodyguard kutoka kwake(malaika) wana nguvu,hawahongwi and is for free.
Siwapendi wavamizi,wenye kupenda kula riziki za wenzao,halafu wanawaadhibu na kuchukua jasho la mtu,hata sijui niwaombee dua gani,ila mungu awaongoze waache wizi watafute riziki kwa njia za kheir.