Тёмный
No video :(

MZEE YUSUPH CHUPU CHUPU KUTOLEWA ROHO NA MREMBO 

MAI TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 115 тыс.
50% 1

MFALME WA MUZIKI WA TAARAB MZEE YUSUPH AMEKUTWA NA MKASA MZITO
HII NI BAADA YA KUSHUTUMIWA KUKIMBIA UJAUZITO WA DJ AITWAYE MONALISA
MWANAMKE HUYO AMEMSHUTUMU MZEE YUSUPH KWA KUKATAA KABISAA KULEA MIMBA HIYO
IKUMBUKWE MZEE YUSUPH NI MUME WA MTU NA MKE WAKE NI MUIMBAJI WA TAARAB (LEYLA RASHID)
MZEE ALIWAHI KUBAHATIKA KUOA WAKE WAWILI
BI LEYLA RASHID NA MAREHEMU CHIKU (RIP CHIKU)
KWA HABARI ZA VISA/ MIKASA/VIZAA ZAA /SIMULIZI NA NA NYINGINE TUPIGIE
0714080880

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 391   
@erickjmgema3923
@erickjmgema3923 2 года назад
Uyo ni wa mchongo ..mzee yusufu awezi ..kama inge kuwa ni kweli ange kubali kwenda kwa mzee yusfu..hapo ame mchafua sana
@mandarakalimbo2235
@mandarakalimbo2235 Год назад
Unapenda wanawake KISHA unakana WATOTO Mzee USUFU msenge sana
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 Год назад
Inna lillah waina ilei rajiun.Allah anakuona Yusuf kwa kudhalilisha dini ya uislamu.
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 2 года назад
Hapo lazima akatae nyumbani kwake kitanuka. Anaona aibu sio rahisi kukubali. Ila inaonekana ni mtu wake sana. Na ndio mana alithubutu kumakana. Na shida hayo mavazi ya binti
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 4 месяца назад
Allah anazidi kumdhalilisha mzee yusuf
@alsam4881
@alsam4881 2 года назад
Tokea tarehe 27/7 hadi tarehe 20/ 8 ni siku 24 ni kama wiki 3 na siku 3 , kwahiyo mtu akipima mimba inaonekana kabisa.
@wardadimoso6649
@wardadimoso6649 2 года назад
Mimba inaonekan kabisa wiki tu inaonekan
@khadijajuma7873
@khadijajuma7873 2 года назад
Kabisa. Mwanamke atakuwa mgonjwa kama wiki tatu haujajijuwa unamimba.
@hannanommy302
@hannanommy302 2 года назад
Ungetulia mmezidi viranga na nyege kitunguu thaumu, safi sanaaa alivyokukana ,hamtekenywi mkatekenyekwa ,vizuri sana ulivyo kataliwa
@rizmarahmed1196
@rizmarahmed1196 2 года назад
Maskini Leila wawatu wanaume ni viumbe wazito sanaa munatusababishia matatizo sanaa Sasa huyu baba umekosa nn Kwa mkeo mbna unadisgarage mkeo jamani unamrudisha nyuma Kwa Kila kitu
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Mwanamke mzima Hana hata haya kujitangazia machafu nyooooooo
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 Год назад
Alhaj mzee. Yusuf kubali kulea mtoto huyu dada awezi kusema wongo mbele za watu ni kweli kabisa
@shaneshane4175
@shaneshane4175 2 года назад
Vitu hivi mtu kumdhalilisha mtu na mkewe inatakiwa wawe wanashitakiwa ila mai ukufanya vizuri huyo nimume wa mtu vipi unamrecord
@mwanamisimwambeni4942
@mwanamisimwambeni4942 2 года назад
Anafaa alivo tongoza akujua kma ana mkewe
@jumahamis227
@jumahamis227 2 года назад
Hizi ni script msifikirie kuwa ni kweli 😂.
@halifajuma545
@halifajuma545 2 года назад
Huyu mzee yusufu katu dhalilisha sisi waisllam kwenda makķ nakuja kurudi kupiga tarabu hii sasa ni athabu ya mwezi mungu huu mwanzo allha huwa hajaribiwi
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 года назад
Na akaapa ndani ya masjid huyu mzee ni muhuni tu wacha mungu afanye kazi yake
@chikuyussuf8429
@chikuyussuf8429 2 года назад
Kabisa hapo nimwanzo tu tunasubira tu
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 2 года назад
Na wewe unafanya dhambi kuangalia mabo haya kama muislamu.
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 2 года назад
Halifa, Kajizalilisha mwenyewe. Sisi tumejizalilisha ( pamoja na mimi) kuangalia clip hii.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@johnkiimbila6799 Nani aliyekudanganya kuwa ukiangalia hivi unapata dhambi?
@user-db1uy6hv9q
@user-db1uy6hv9q 7 месяцев назад
Mzee umejizalikisha sana
@amenaameeena3317
@amenaameeena3317 2 года назад
Mimba siku moja kweli kiboko Mzee Yusuphu unamke mzuri bado unaangaika na manunga embe hatari sana
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
mwanaume hanaga uzuri yaan hawezi kuona uzuri wa mty isipokuwa akili inavyomtuma ndio hivyo hivyo
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 2 года назад
Kuna watu wanasali na kuswali wngn n sehem ya kufichia maovu ila Mungu anaona et
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 2 года назад
Ndiyo maana wanadhalilika km hivi unaswali wakati wewe kiongozi was maasi
@husseinmaula5914
@husseinmaula5914 2 года назад
Wanaume tujifunze kuchagua wanawake wa kua nao wengine ni mashetwani na majini .
@frizzy6766
@frizzy6766 2 года назад
😂😂😂
@huyrathayrathayrathayrat177
@huyrathayrathayrathayrat177 2 года назад
Hapana ukwely mimba ya mzee yusufu aiseee kapatwa aibu jaman nakipgo juuu aiseee mhhh
@nucratyally3104
@nucratyally3104 2 года назад
Acha mungu akupige maana ni laana izo nzee
@rehemagandi4912
@rehemagandi4912 2 года назад
Mzee kaharibu bana,sema mzee nae anamambo mengi
@hassanirajabu5453
@hassanirajabu5453 2 года назад
Mdau we umeamini hayo ni maigizo tu akuna ukweli hapo
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
May umekosea ungemwambia kama ana no yako mwambie aipige hapo.
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 2 года назад
Subhanallah mrifanya kwa siri leo hiyi mwanamuke anajizaririsha allah akbr
@fatmamazige9486
@fatmamazige9486 2 года назад
Sio kweli wanaigiza hawa usiwena was was😁😁
@fatmamazige9486
@fatmamazige9486 2 года назад
Mzeee Anataka kuludi mjini kwakiki nyingi
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Mzee yusufu Mungu kamdhalilisha katoka hija leo kaongeza uzinifu manado utamjua M/Mungu vizuli nanyie wanawake kwa nini utembee namme wamtu duu kweli mwalimu wenu kipof
@kassimumandeleko9704
@kassimumandeleko9704 2 года назад
Innaalillah wainaa irah rajiun
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Год назад
WEWE MZE RUDI KWA ALLAH OMBA TOBA YA KWELI KUNA KUFA WACHA KUENDEKEZA DULIA
@sumahyamohamedy6837
@sumahyamohamedy6837 2 года назад
Kiki kabsaaa Mai naww utuachee
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 Год назад
Wapumbavu sana tena huyu mtangazaji ni mpuuzi sana kamuharibia mzee yisuphu
@jumbendago3707
@jumbendago3707 Год назад
Mzee yusufu acha uhuni umri umeshaenda hizo ni laana za mungu wako
@teychriss3248
@teychriss3248 2 года назад
Kaongo haka! Kanaonyesha kabisaa! Inavyoonekana Alimpenda sana mzee Yusuf , Ila mzee Alikomaa na mkewe! Na ndiyo Maana kaamua kuja kumkomoa huku! Wala mimba Hakana!! Ushauri wangu tu dada ukiachwa achika!!
@josephinemghoi6015
@josephinemghoi6015 2 года назад
Mpiya haya Mzee yusufu Moja au yupi
@fatumamnyenze9696
@fatumamnyenze9696 2 года назад
Mwanamke apigwi utafungwa ww lkni sijui sharia za Tz tena mwenye mimba
@aloyce6583
@aloyce6583 4 месяца назад
Acheni kumuhukumu mzee yusufu, licha ya kwenda maka maisha ya kiuchumi yakawa magumu, sasa militaka afe njàa,awe ombaomba? Acheni atafute pesa, hukumu ni Mungu tu anajua.
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 3 месяца назад
Akili Una wewe nawala mungu umjui we
@najimahgomez3334
@najimahgomez3334 2 года назад
Mmmmm pole Reila
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 года назад
Yusuf umeacha ibada umeenda kwenye dunia haya sasa wadhalilika
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 2 года назад
Huko wakati anafanya ibada mlikua mnapatia pesa ya watoto na yakula. Ibada bila pesa Kuna ibada kweli.yusuphu kazi yake kubwa no kuimba.sasa aliwa anaswalitu vipi maisha yanakwendaje????
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 года назад
@@jareengeorge5478 we una uwezo mdogo wakuelewa kuacha ibada ni pamoja na kuwa na wanawake michepuko that is what I suppose to mean with little brain unakimbilia mambo ya kumpatia pesa ya watoto ndo nini sasa
@witnessmanga8576
@witnessmanga8576 2 года назад
Hii Ni Kiki tumegundua🥳
@hajiussi6641
@hajiussi6641 2 года назад
Nimecheka tu
@FatumaBakari-qo6up
@FatumaBakari-qo6up 3 месяца назад
Omba toba kaka maana sio kwa maovu hayo
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 2 года назад
Hii ni kiki wala siyo kweli
@gracemushi1283
@gracemushi1283 2 года назад
Kabisaa kiki tu hakuna kitu hapa
@priscadaniel6459
@priscadaniel6459 2 года назад
Jamani kiki izi meez una kitu
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 2 года назад
Muongo mzee kaoa mke mwingine, mzee yusuphu anapenda kuoa na sio kuzini zini
@nuruali7859
@nuruali7859 2 года назад
Hata kiswahili chenyewe hujui hahahhhhhhhhh...
@margrethjonesmshana8555
@margrethjonesmshana8555 Год назад
Huyo Binti Wala hasingiziii, inauma sana aaa ,
@doreennaftal4373
@doreennaftal4373 2 года назад
😂😂 eti kiswahil chenyewe ujui🤣🤣🙌🏼
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 2 года назад
Tuulize ss msiingie tu mkaona watu wanatajika mnajitia kichwa kichwa pole sana
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 года назад
Yalikukuta???
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 2 года назад
Ndio kwa dadaangu jokha Kassim mkewe wa mwanzo yalimpata makubwa kuliko ayo
@salumuseif3324
@salumuseif3324 2 года назад
Mai Kwa hiyo kijumbe hauwawi
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 2 года назад
Allahu Akbar 🤔 Mzee ss Dunia inakupeleka msobemsobe tena gobe gobe Tunza Heshima yako Mzee achana na utoto Lea Mimba 🤗 Duuuh 🙄🙈🤰
@imanidaraja8275
@imanidaraja8275 2 года назад
Dada anadanganya full mimba ya week mmmh katumwa amchafue mzee yusufu
@getrudathomas535
@getrudathomas535 2 года назад
Dada tafuta mume wako hawa waume za watu ni kujidhalilisha
@thamairamamy3481
@thamairamamy3481 2 года назад
Hatari mai
@maimunakassim2930
@maimunakassim2930 2 года назад
Mzee yusuph sikupendi hatariii...yaani sikupendi tena harafu sikupendi mnooo
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 года назад
Wanajuana hawa doh aibu mzee yusuf
@jengahyahaya4835
@jengahyahaya4835 2 года назад
Nice move
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 2 года назад
Heheeheheheeehe unajua weee não weeee kwan unawatoaga wapi hawa watu alafu unajifanya kuwapa nguvu kwa maneno
@fefeonlyme5394
@fefeonlyme5394 Год назад
Huyu dj mona si ana bwana na mtoto juu jmn😂😂😂😂
@AllyKapongo-vn4oc
@AllyKapongo-vn4oc 10 месяцев назад
mfalme unabonge la mwanamke nini unahangaika shekhe.
@rukiabari9431
@rukiabari9431 Год назад
Uwiii Dj Mona but why media mfanye interview bila rukhsa ya wahusika wawili hao
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 года назад
Kuzalilishana tuh
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Год назад
Hicho kiguo jaman wewe dada Mzee Yusuf looo
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 года назад
Huyu Mzee anamdhalilisha mke sana mtu mzima asiyefunga zipu kwa umalaya pole Leyla wallah kuvumilia mwanaume asiyejiheshim
@magrethmbangama1199
@magrethmbangama1199 2 года назад
Ila wakati ule kachacha hana hela alikuwa anakaa na mke wake kwa adabu mpaka anasema mm kuoa mke wa pili hapana acha nitulie na mke wangu,pesa ilipo rudii Sasa,acha kbs wanasema pata pesa tukujue tabia ndo hii Sasa.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@magrethmbangama1199 yn mtihani kwl
@saudangalleni388
@saudangalleni388 2 года назад
Mtu in mke Bado unajiachia mbaka mimba zinaingia mtu mzima ovyo alaf unakataa la mtt mdog yoni aibu jaman Yan mdg Wang ujui kwamba mume wa mtu ni stareh tu si kuzaa ndoa Wala mapenz Bora ungetulia update mume muone kuliko kubeba mimba pole sana na mtt wamwanamke pole sana hao wanaume Awana huruma
@user-eq5mv6cd3t
@user-eq5mv6cd3t Год назад
Sawamzzzzzzzzzzzz
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 Месяц назад
Dada ulio yatafuta ume yapata sasa tulia nenda ukale mimba mze Yusuf ni muhuni
@robertabel6984
@robertabel6984 2 года назад
KWA UZOEFU WANGU KWENYE HIZI KAZI JAMAA NI KWELI KAMLA HUYU DEM..sema wangekubaliana tangu mwanzoni iweje baada ya kushika mimba isingefika hapa inavyoonekana jamaa kachomoa betrii haamini kama ni yake.
@idarousyussuf7512
@idarousyussuf7512 2 года назад
Kwa uzoefu gani uliona kusema kwel ni ya mzee au aliwa wote wawili
@robertabel6984
@robertabel6984 2 года назад
Hivi umemsikia alivyouliza inamaana mara moja tu ndo nilijua nimeshakuachia mimba? Hiyo ni indicator ya msngi kujua kuwa kumbe kweli ealifanya tofauti na mwanzo alianza kuruka kuwa simjui..lakin maelezo ya mbele yaka mprove wrong 😎
@dr.madevualcantara4775
@dr.madevualcantara4775 4 месяца назад
Sio kweli Mzee Yusuf sio vitu vyake hivi hana mtulinga huyo mbwa basmat
@mwajumamunezero4055
@mwajumamunezero4055 2 года назад
Kaenda uchiiii
@Noreen-gd6js
@Noreen-gd6js 2 года назад
Mmmh ndiyo ampige
@ashazuber6548
@ashazuber6548 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂maimatha et weeeee kwelìii😂😂😂😂 Aaaaaah shoga weeeeee 😅😅😅😅😅 nina mimba wewe huyoo😂😂😂 weeeeeee kweliiii😅😅😅😅 wacha wee mzee yusufu huyu huyu ninae mjua mm weeeee😂😂😂😂😂😂😂Eeeeeeeh😅😅😅
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 года назад
ZAA MWENDE D.N A MANA WAKAA KUNKA SANA.
@asiajuma5450
@asiajuma5450 2 года назад
Arafu uyo dada nkimuangalia anaonekana ajielewi ata kidogo khaa mpumbavu
@habibarashidi9500
@habibarashidi9500 2 года назад
Jamani nimecheka mzee yusufu🤣🤣eti kiswahili chenyewe hujui🤣🤣
@saidikasimu4251
@saidikasimu4251 2 года назад
Machizi hao
@mwahijasammata4334
@mwahijasammata4334 2 года назад
Jmn miguu ya da my
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 года назад
Wazinifu nyie mtume mna mswalia vipi kwenye ujinga wenu
@sharomapesataiga246
@sharomapesataiga246 2 года назад
Hahahaha hahahaha hiyo muvi wanaigiza bana wako powa kwa waigizaji saut ya Sharo mapesa comedy
@sandrambambazi9857
@sandrambambazi9857 2 года назад
Amemshagaza
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Hatakama ni Kiki sio hizi za kizinifu ikiwa mzee. Yusuf ni Muislam Alhaj ndiyo unaanzakuzalilika hivyo mtihani chunga. Sana zambi xote. Unazitenda Tena wazi wazi lntakillah mzee. Yusuf. Hi Dunia usiku danganye. Angalia. Umliwao na. Uliobaki ni hasara. Tupu. Jua kabulini tunaakaasana kuliko umlitulioishi Duniani 👐
@nightwolf7577
@nightwolf7577 2 года назад
Huyo sio muislamu tena na sheria akatwe kichwa kabisa ameritadi huyoooo baba mmoja Mama mmoja na diamond platnum huyo Mzee yusuf analaana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
@@nightwolf7577 Subuhanallah. Kumbe ndiyomaana kilasiku zinavyoenda anazidi kutokana haibu na mambo makubwa maovu Anaya fanya azalani mtihani
@amamiss22
@amamiss22 2 года назад
@@nightwolf7577 kabisa kweli
@amamiss22
@amamiss22 2 года назад
Kwahiyo amerudi mjini sababu ya uzinifu atakama ni kiki hauwezi kuwa kiki ya kufanya mapenzi labda ya mimba ila ya kuwa na mausiyano siyo kiki. Mze Yusuf mwisho wake utakuwa mbaya sana haswa Laila mke wake yeye ndo sheitwani wa duniani huwizi kuwa mke mwenye mambo kama yake
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
@@amamiss22 mtihani hata haibu Hana anaesabu mawiki walivyo ingiliana kimwili Bila ya ndoa na kile kijana ke
@halimaomar8087
@halimaomar8087 Год назад
Hao waitwa wanaume
@hawashedrack959
@hawashedrack959 2 года назад
Mhhh kiki
@andreahumba3711
@andreahumba3711 2 года назад
Mwanamke mwehu
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 2 года назад
Yaaan badilisha kichwa cha hii Tv et simulizi mikasa .....semeni umbeya tuu maaan ww mtangazaji unaitikia kimbea kbsa
@subirambogoro9843
@subirambogoro9843 2 года назад
Yaan Hutu dada ni muongooooo Ana igiza tu
@ahmadiimilongera7660
@ahmadiimilongera7660 2 года назад
Alhaji mzee yusuph why this
@mercymwabonje9953
@mercymwabonje9953 Год назад
Kule kuna mtoto anasema Mzee yusuf n babake hutak kumbe mambo ni haya
@janechriss8118
@janechriss8118 2 года назад
Mai hicho kipindi chako kabla hujakirusha ungekuwa unajipanga utakuja kuleta mauaji siku moja
@mwanamisirajab
@mwanamisirajab Год назад
Hii n kiki
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 2 года назад
Duuuu
@fatumamnyenze9696
@fatumamnyenze9696 2 года назад
Hawenzi kua uongo mai mimba yaonekana ndani ya wiki moja evaluation hua ishatake place hpo mimba tayari
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
😳😳😳😳😳😳😳 jamaniii iwe ni movie tu hii isiwe kweli
@NeemaNchimbi-oj5fb
@NeemaNchimbi-oj5fb 4 месяца назад
Changudoa anatKa kuaribu ndoa za wtu
@rosehaule5705
@rosehaule5705 2 года назад
Kaambiwa aendee.kwake mwongoo
@lawskuli9876
@lawskuli9876 Год назад
Malaya wa kike na kiume wamezozana
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 года назад
Ndo balaa ya kuchukua changu doa hapo Mfalme Yusuf atajua hajui😂😂😂
@jaywi5681
@jaywi5681 2 года назад
Igizo tu Hilo,
@aminakimaro5429
@aminakimaro5429 2 года назад
dear x
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 года назад
Maimartha jamani wewe mbinguni utaenda umechoka sana sana 😂
@Pedeshee01
@Pedeshee01 2 года назад
Ila maimartha bado anadai,analipa sana kwa matumizi kama mke
@ibrahimmwanza6162
@ibrahimmwanza6162 2 года назад
Kazi kweli
@judithpetro3883
@judithpetro3883 2 года назад
Kiki hiyo
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Kiki zingine hizi,,,,,,dah!
@fatmamazige9486
@fatmamazige9486 2 года назад
Umeomaeeeeh zakijinga
@marysaituni4584
@marysaituni4584 2 года назад
Kiki za watanzania jameni..
@alimahmoud358
@alimahmoud358 2 года назад
Nyinyi hamna maadili ya dini .hayo mambo c yakuzungumza kwenye vyombo vya habari ni dhambi au mnatafuta kiki?
@user-xi8qk4lj4g
@user-xi8qk4lj4g Год назад
Ange Baki na msimamo wa din yake Wala asinge dhalilika man din imekataz yote mabay
@rayanwilliam2105
@rayanwilliam2105 2 года назад
Hanataka kumuharibia jina hanachakusema
@zayumar2955
@zayumar2955 2 года назад
Hapa Kwa Mzee Yusuf kwakwel naamin Kwa upande flan mana mfalme nae 🤣🤣🙌🙌🙌Kwa vibinti hajamboo na kwakwel anapenda vitumbua 😎😎
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Год назад
wewe nae unaamini amini tu hata uongo
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
@@jesusislord9190 hili ata likiwa ni igizo sawa ila Mzee Yusuf Kwa ushuhuda kabisaaa ashawah kutaka kwenda kulala na mtt wa ndugu yangu Ktk shoo yake miaka ileee anavuma sana ilikua ni kahama
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Год назад
@@zayumar2955 haya bana.. Ya MUNGU mengi
@zayumar2955
@zayumar2955 Год назад
@@jesusislord9190 kwel
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Год назад
@@zayumar2955 dunia inamambo mengi sana..ukiwaangalia watu wengine huwazanii
Далее
when you have plan B 😂
00:11
Просмотров 7 млн
JAHAZI- VALENTINE DAY
13:47
Просмотров 1,8 млн