Тёмный
No video :(

MZOZO KARIAKOO JAMAA AFUNGA MADUKA ATIMUWA WAPANGAJI MZOZO WA MWARABU KUUZIWA GHOROFA/ NDUGU AIBUKA 

JAMBO TV
Подписаться 917 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@alihussein4303
@alihussein4303 Месяц назад
Kariakoo kuna majini ktk nyumba za Urithi, Kaka zangu wamenitumia mapolisi wanikamate na kunibambikia kesi sababu ni nyumba ya urithi Daaahhh
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Месяц назад
Msimamizi kashakutapeli baba inaonekana aliuza akushilikisha ndugu zake.
@abbasmalembeka4805
@abbasmalembeka4805 Месяц назад
wasimamizi wa mirathi wa mahakama ni janga jipya katika jamii yetu , wanafosi mazingira wale mali za warithi wakati wao mali haxiwahusu ,.....wanafosi kuweka mazingira mali ziuzwe kwa matajiri hata kama warithi hawakotayari kuuziwa mali zao , wasimamizi ni watu hatari sana hasa kweny nyumba zilixo katika maeneo ya biashara
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Месяц назад
Akuna haki ya msimamizi wa mirathi kuuza ardhi sijui.lakini umepoteza hapo sijui.lakini.pole sana
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Месяц назад
Waziri wa Ardhi kila siku anasisitiza hilo Msimamizi wa Mirathi huna Mamlaka ya kuuza Mali za Marehemu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Poleni wafanya biashara
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
POLE SANA MACENT HII NI SHIDA.
@suzanambatta1126
@suzanambatta1126 Месяц назад
Hakuna sheria inayompa mamlaka Msimamizi wa mirathi kuuzwa mali ya urithi
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 Месяц назад
Hivi hili suala ni la Arafat na dada zake?!😊
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Msimamizi tapeli na Mama Lwakare alipojua kuna mzozo hapo akauza chap .Sasa wanunuzi nyinyi imekula kwenu kununua kitu special Ardhi bila kukagua hiyo ardhi inamgogoro wa kifamilia au laa ndio madhara yake ni hayo .
@syliviakente9460
@syliviakente9460 Месяц назад
Usimamizi hana mamlaka ya kuuza mali za mirathi
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
@@syliviakente9460 Ni kweli kazi ya msimamizi ni kukusanya mali za marehemu kulipa madeni ya marehemu na kuhakikisha amewagaiya wahusika wote ipasavyo kwa kupitia form number 5-6 ya Mahakama. Baada ya kugawa kwa kila mmoja alafu anafunga mirathi hivyo. Shida mara nyingi mpaka inatokea msimamizi kuwageuka warithi unakuta ndugu wamemchagua ndugu yao mmoja kwa kumuamini awe msimamizi wa mirathi, sasa tamaa ikimuingia anawazunguka wenzake na kuvunja mwiko wa kiapo cha kuwa msimamizi mzuri. Na kila mara wanunuzi wao hununua upesi upesi bila kukagua uhakika wa je ni nani haswa mhusika na kwa kawaida njia nzuri kabla ya kununua ni kwenda Wizara ya Ardhi kucheki umiliki ni wa nani je kuna mgogoro .Baada ya hapo kujiridhisha kwa kuwatafuta wahusika.
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 Месяц назад
Zifuatwe taratibu za kibinadamu wapangaji hao wasionewe.
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
Kibinadamu...upo?
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Месяц назад
Kariakoo kumekuwa chimbo la migogoro hakueleweki selikali tafuteni sehemu nyingine iwe katiakoo kuliko siko kuu lite sehemu ya makazi ya watu familia zinagombana kwa tamaa za pesa jamani.
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Месяц назад
Jengeni zakwenu
@sofiakhan9706
@sofiakhan9706 Месяц назад
Wacha kusema wewe unayo pesa kujenga yako ?mbona hauelewi maumivu ya mwenzio ?😊
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Месяц назад
Unaelewa unacho kusema au limekutoka ?
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Месяц назад
​@@sofiakhan9706Mtoto Wakiume Unaeishi Katika Ardhi Hii Unaongea Maneno Yahovyo. Watu Wote Wakiwa Namanyumba Ninani Haatakuwa Mpangaji.
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Месяц назад
Huyu atakua kaponyokwa kama ushuzi
@YusuphMwangobola
@YusuphMwangobola Месяц назад
Cha babako ni chako kama amesha kufa acheni kuwaona wenzenu wajinga ww kama babako kafa akuacha kitu tulia.
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Месяц назад
Sasa munununuz yupo muzaji.kafa.leo waliuzaje kwa mama rwakatare leo.wanadai kwa mununuzi jaman
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Tanzania kuna kila miujiza
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 Месяц назад
Huyo sio mwarasbu ni muhindi!
Далее
🫢 #tiktok #elsarca
00:11
Просмотров 3,9 млн
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 55 тыс.
UKWELI MAANDAMANO DAR WAFICHUKA
3:30
Просмотров 8 тыс.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
Просмотров 255 тыс.