Тёмный

WAFANYABIASHARA SOKO SIMU 2000 WAMKAANGA VIKALI RC CHALAMILA WADAI AWEWADHALILISHA KWA KAULI ZAKE. 

JAMBO TV
Подписаться 938 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 192   
@paitomsuva3817
@paitomsuva3817 3 месяца назад
Huyu jamaa Mungu ambariki. Kazungumza Jambo kwa uchungu Sana. Safi sana
@japhethcharles5791
@japhethcharles5791 3 месяца назад
Duuuh ,watanzania washaanza kuelewa kuwa wamewaajili watawala ,soon mambo 🔥🔥🔥🔥
@MalindiSumuni
@MalindiSumuni 2 месяца назад
Hongera sana kaka,
@LazaroELucas
@LazaroELucas 3 месяца назад
Hongera utakuwa wazir wa habari baada ya jerry slaa
@robertedward1992
@robertedward1992 2 месяца назад
Chacha uko vzr,sema mamlaka iliyomteuwa ndio tatizo.
@HassanRashid-s5s
@HassanRashid-s5s 3 месяца назад
Uyo charamila ana rana ya mungu kwanza mnafiki sana kipindi Cha magu magumagu Leo mama anajivuta kwake kaliakoo alijibiwa
@Jal210
@Jal210 3 месяца назад
Kijana umeongea vizuri sana yaani maneno yanamaana kabisa
@HamisiAbdallah-vu7fz
@HamisiAbdallah-vu7fz 3 месяца назад
Mimi nashangaa mheshimiwa raisi bado anamuacha huyu chalamila anamuhalibia hafai kuwa kiongozi
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 месяца назад
Huyo na nape sijui mama anawaachaje mpka jioni hii ya leo ipo siku
@peacejunne5037
@peacejunne5037 3 месяца назад
Nape alionge ukweli acheni kufananisha ujinga na maneno ya nape
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 3 месяца назад
Sijawahi kumwona Mwanasimba mvivu kuongea, jamaa yupo bomba mbaya Sana 😂😂
@felixmsale9244
@felixmsale9244 3 месяца назад
Bravo bravo !!!!Chalamila Aende Nyumbani HATUMTAKI HAFAI KUA KIONGOZI. Akumbuke watanzania ndio Mabosi wake .HUWEZI KUMTUKANA BOSS WAKE.
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 месяца назад
Kwani tanzania hakuna gen z
@LinuslusianLinuslusian
@LinuslusianLinuslusian 2 месяца назад
tuandamane kama kenya jamani hakuna cha rais hapo wote mafisadi tu twende tuandamane tu
@azizimatahuka2012
@azizimatahuka2012 2 месяца назад
Mungu ibariki Tanzania mungu wape ustaarabu viongozi wetu
@MariamAnafi-bf9gy
@MariamAnafi-bf9gy 3 месяца назад
Daa adi mnamtamani makonda Mungu amlinde makonda na ampe afya njema ni mtu mwenye kujali na kusaidia wanyonge love you mkuu wetu.
@majidimussa8678
@majidimussa8678 3 месяца назад
kwel kabsa Ajitokeze Aombe Radhi
@songeza
@songeza 2 месяца назад
Chalamila nenda vzuri na wananchi usije pewa sumu familia inakupenda
@MalindiSumuni
@MalindiSumuni 2 месяца назад
Chalamila hana sifa za kuwa kiogonzi.
@KoleYasini
@KoleYasini 3 месяца назад
Mshukuru Allah kwaalichokujaalia.
@TwahaShehe
@TwahaShehe 3 месяца назад
Mungu akubarik cna kwa ujasir wako
@KwangaMbaigwa
@KwangaMbaigwa 3 месяца назад
Mungu akubariki💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@NasawaTono
@NasawaTono 2 месяца назад
Sio kiongozi Bora yule mlevi tu
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 2 месяца назад
mimi naamini kilichotokea kenya muda si mrefu kitatokea Tanzania najua Tanzania kupigwa risasi ni kitu cha kawaida lakini hawawezi kutuua wote ipo siku kitawaka nchi hii kwasababu watanzania tumeanza kujielewa na uoga umeshaanza kupotea
@edwardlukumay2698
@edwardlukumay2698 3 месяца назад
Chalamila hafai kua kiongozi
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Hana kauli nzuri huyu mzee chalamila
@TitoJeremia-g1t
@TitoJeremia-g1t 3 месяца назад
Mlilieni Mungu tu
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 3 месяца назад
Tuna viongozi wa wili Nape nauye na Albart hawa uongozi bado sana wanaongoza kwa kauli tata chukueni mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mansoorkazibaba522
@mansoorkazibaba522 3 месяца назад
❤🙌💪
@fikencharles9993
@fikencharles9993 3 месяца назад
Safi sanaa
@SillinusNyanda
@SillinusNyanda 3 месяца назад
Viongozi jamani msijisahau kumbukeni Taifa hili limetokea wapi.Jitihada ni kubwa sana anazofanya Mweshimiwa Rais kwa ajili ya Watanzania Hawa wanyonge msaidieni kwa Tija ya hali ya juu ili malengo ya serikali yetu pendwa tufikie.Kumbukeni cheo ni dhamana.Tendeni haki.
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 3 месяца назад
Chalamila so kiogoz wa busara hajui chochote
@REUBENIMWAMBUJULE
@REUBENIMWAMBUJULE 3 месяца назад
Ata Mimi natamani kuwa mkuu wa mkoa namuomba charamira astaafu nichukue nafasi yake
@obadiajuma436
@obadiajuma436 3 месяца назад
Wangekua wanachaguliwa wangeeshimu wananchi
@abdallahkungulilo7939
@abdallahkungulilo7939 3 месяца назад
Chalamila hana sifa ya kuwa kiongozi, hasa kuongoza mkoa mkubwa kama Dar, Mh. Rais ikimpendeza ni bora amuhamishie mkoa wa Pwani akaendeleze mikwara yake!
@EveryTendega
@EveryTendega 3 месяца назад
Wew ni kenge because Hili jiji la dar linahitaji viongoz kama Hawa ,si unaona amosi makala jiji lilimshinda
@Mkk-qm3jx
@Mkk-qm3jx 3 месяца назад
Brother musa izya mandaa koku?! Nakumanya brother wew uwa UKumwitu kuli sumbawanga 👏👏
@Ambwene
@Ambwene 3 месяца назад
Chalamila Hafai kuwa mkuu wa mkoa
@vinbraya6492
@vinbraya6492 3 месяца назад
Fact
@cheekszebedayo9340
@cheekszebedayo9340 3 месяца назад
Must go...😅
@evaemil856
@evaemil856 3 месяца назад
Chalamila, Nape Nnauye na 3 others are favorites main ingredients of CCM, there is no way mama can let them go. They cause a huge damage but Tz are easy to forgive, forget and let it go.
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 месяца назад
Kweli kabisa hafai kabisa kupewa
@silahimumsuya9664
@silahimumsuya9664 3 месяца назад
Slaa namkubali sana
@babukije268
@babukije268 3 месяца назад
Salute
@MalindiSumuni
@MalindiSumuni 2 месяца назад
Chalamila equal to nothing toa uyoo RC.
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 2 месяца назад
Chalamila mi simuelewagi ni kama hamnazo kichwani 😢
@SabatoMusa
@SabatoMusa 2 месяца назад
Makonda aludi kuiongoa saa chalamila hafaii
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 3 месяца назад
Daaaaaaaaa
@romanshirima5883
@romanshirima5883 3 месяца назад
We kijana mungu akuweke hapo😢 amelewa madaraka huyu rc
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 3 месяца назад
Hawa viongozi wanajisahau kuna siku tutawatoa
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 3 месяца назад
Wew mwenyekiti wa wamachinga ndiye unayefaa kuwa mkuu wa mkoa kuliko hiyo takataka chalamila a.k.a andunje mla mbwa
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 месяца назад
Andunje😅😅😅mgomvi wew
@abdulisike
@abdulisike 2 месяца назад
INASIKITISHA NDUGU ZANGU YEYE MUNGU KAMJALIA NDO MANA ANASEMA MNAZEEKEA UMACHINGA DAA!! TUSIMUOMBEE MABAYA ILA TUMSHUKURU TU KWANI MUNGU ANAWEZA KUMFUNDISHA MTU ANGALI BADO YUKO DUNIANI HAPA HAPA INSHALLAH.
@MWINYIKADHI
@MWINYIKADHI 2 месяца назад
Kama bijana wanakaa kwenye media kumkosoa mkuu wa mkoa sasa tunaelekea kwengine..viongozi jitahminini kauli zenu ni hatar kwa taifa kuweni viongozi msiwe watawala..kwahi Rc umewakosea wananvhiko kuwa mpole waombe radhi na ubadilishe maamuzi..Mkubwa akivuliwa nguo huchutama...!!
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад
Tatizo mkuu wa mkoa anaongea sana mpk anakosea hana hekima wala busara wallah
@PascasMathew
@PascasMathew 3 месяца назад
Zama za uwazi naukweli .Mama amesikia
@SaidMkwabi-ho8yy
@SaidMkwabi-ho8yy 3 месяца назад
Yani nduguyangu unaemzungumzia inshi yamkuu wamkoa nakupa big up sana kwani mbona hatoi mitaji kwahaowatu anaewaambia wastaafu baada miaka miwili ameshalewa madaraka huyo
@KwangaMbaigwa
@KwangaMbaigwa 3 месяца назад
Mungu akupaliki umeongea sana
@TitoJeremia-g1t
@TitoJeremia-g1t 3 месяца назад
Utapata Tu brother
@KlugarNguvila
@KlugarNguvila 2 месяца назад
Rip jpm
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m 3 месяца назад
Uko sahihi kijana, ni ujinga tu umemjaa!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 месяца назад
Hivi kati ya huyu kiongozi na mkuu wa mkoa mjinga ni nani?
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 3 месяца назад
​@@sylvestercameo6263Huyu jamaa ni kiongozi kweli, anajua Nini anaongea sio yule Mhehe mwenzangu Cheo kimempa kiburi anatishia tu wananchi
@MWINYIKADHI
@MWINYIKADHI 2 месяца назад
​@@sylvestercameo6263mjinga ni ww usimjua mjinga
@AishaOman-k6f
@AishaOman-k6f 2 месяца назад
Utatekwa upotee kwaaji.yakusema ukweli
@husseinmlimati
@husseinmlimati 3 месяца назад
Sema wenye uwezo zaidi ya yeye
@isamony58
@isamony58 3 месяца назад
Huyu chalamila hafai kuwa kiongozi analuga chafuu sana alafu nimkali suraake na rohoyake ziko sawa sawa aondolewe tuuu
@KoleYasini
@KoleYasini 3 месяца назад
Kibri cha madaraka..
@HaulSidney
@HaulSidney 3 месяца назад
Kazeni wamachinga,hawa mafisadi wa awamu ya sita hawana huruma na wananchi, Rip JPM
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 3 месяца назад
Chalamila sio kiongozi ni mropokaji kama nape kiongozi ni makonda na Jerry slaa
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Huyu chalamila ajifunze kupitia nyao za makonda yy hajui kuhudumia wananchi
@EmanuelElphas
@EmanuelElphas 3 месяца назад
Niwakati wa kuikataa ccm
@akramissa3393
@akramissa3393 3 месяца назад
Chalamila wangempiga chini bado anaushamba mwingi
@SandraJackson-b6u
@SandraJackson-b6u 3 месяца назад
lakini huyu chalamila aliwanyanyasa mbeya wazeee
@rasheedmbaraka7199
@rasheedmbaraka7199 3 месяца назад
Huyu Mkuu wa mkoa hafai ni mjinga na roporopo.. mama timua huyu mtu
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 месяца назад
Kweli kaka mkubwa
@sufianijuma5568
@sufianijuma5568 3 месяца назад
Allah awaongoze viongoz katika busara
@akramissa3393
@akramissa3393 3 месяца назад
Huyu dawa akija hamna kumpa ushirikiano, mzomeeni na mfukuzeni tusimtambue
@mjimtakatifu4300
@mjimtakatifu4300 3 месяца назад
Mda sio merefu watajuta tuoendele kuomba Mungu
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 3 месяца назад
Huyo anaondoka kama nape
@ZacariasRamadanMussa
@ZacariasRamadanMussa 3 месяца назад
Hangera kiongozi wee acha tu ipo siku mkoa wa Dar utaongozwa na sisi wamachinga
@ednaJF1028
@ednaJF1028 3 месяца назад
Huu ni unyanyasaji wa hari ya juu Kwakweli
@IddyNchama
@IddyNchama 3 месяца назад
kuna watu wao wanadhani ni miungu watu bila kujari kuwa alowaweka hapo ni mungu anaweza fanya chochote juu ya kauli zao theni wakazijutia
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 3 месяца назад
Huyo mkuu wa mkowa huwa hana adabu sana hafai kuwa kiongozi hata kidogo tena mjinga sana ni mpuuuzi namuomba mama samia amtoe huyo ndie anaalibu kaz yake
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 месяца назад
Fanyeni maamuzi hawa viongozi sio wa maneno.. tena... hata polisi wamechoka mbaya .... huyo mteule na alitemteua ...hawapo sawa kwetu
@NgunoSangano
@NgunoSangano 3 месяца назад
Hajitambui huyo nikigeu geu nahastaili kabisa kuwa kiongoz
@Teddy-z4i
@Teddy-z4i 3 месяца назад
Watz tuamkeeeeeeeeee Hawa kuepukana nao ni kupga kula la kuikataaa ccm tofaut na hapooooo tutalia na kusaga menooooooooo
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 3 месяца назад
Hujamsikia maneno ya nape kumbe
@BraviusBenedicto
@BraviusBenedicto Месяц назад
Hao ndoviongozi wa michongo
@NasawaTono
@NasawaTono 2 месяца назад
Mama amka mapema kuhusu haya
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 2 месяца назад
Hawana haja na wananchi kwasababu wanajua kwenye uchazi hamkuwachagua ila walijichagua
@NassibuShakiri
@NassibuShakiri 3 месяца назад
Kwenye wakuu wa mkoooa, mataahra huyu wa d...ni mmoja wao😢
@robertedward1992
@robertedward1992 2 месяца назад
Kidogokidgo mtabadirika kma Kenya.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 месяца назад
Mtanikumbuka kwa mazuli yangu wala si kwa mabaya 😂😂😂😂😂
@songeza
@songeza 2 месяца назад
Huyo Chalamila mtamzoea hapo bssfae nendeni nae syawaelewa huyo mwamwindi mkimjua wala hatowapa shida
@Lidyaanthony-bl1nt
@Lidyaanthony-bl1nt 3 месяца назад
Yani kama anawazo la kuwasaidia wajasiliamali mjasiliaamali yoyote akimalijamiaka mitatu wamwangalie na mtaji alio jiwekeza nakumpa sapoti nakuangalia wapi anakwama alafu wawasapoti wafike mbali kibiashara
@simonchristian6319
@simonchristian6319 3 месяца назад
Hafai kuwa hata mzazi yule
@IssacNtacho
@IssacNtacho 3 месяца назад
Mkuu wa mkoa chalamira yaan nimpuuzi kabisa,hafai kuwa hata nyumbakumi
@MohamedFundikila
@MohamedFundikila 3 месяца назад
Wakuu wa mikoa na wilaya wawe wanachaguliwa sio kuteuliwa watakuwa na heshima chalamila anatumia mabavu kwenye uongozi wake hana heshima kabisa mh.rahisi muangalie huyu atakuchafua
@YohanaRichard-e6p
@YohanaRichard-e6p 3 месяца назад
Anadharau sana huyu mkuu wa mkoa.
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 месяца назад
Wewe broo ulikuwa ndio wa kupewa nafasi ya huy chalamila maana unajuwa kuongea
@johngerald4677
@johngerald4677 3 месяца назад
Ni mjinga sana yule jamaa afu ni kama akili haiko vzr
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
✌️🙏👍
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 3 месяца назад
Jamani jamani jamani !!!! Nyie SI mlimtunza hela baada kumkataa Mkuu wa wilaya???? Wa Tz Bado Sanaa kwy nyanja za kusaka haki🙆🙆
@kwisa4899
@kwisa4899 3 месяца назад
uongozi huu wa simu 2000 uwemakini
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele 3 месяца назад
Hawa watu Kama akina chalamila ni mashetan waliovaa ngoz ya binadam hawana hata maneno ya staha linabwabwajabwaja chalamila hovyo
@romanshirima5883
@romanshirima5883 3 месяца назад
Huyu mkuu wa mkoa huyu bwana hamna kazi
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 месяца назад
Na yy sio kwa mama yake hapo..
Далее
А вы знали что металл тонет?
00:32
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
А вы знали что металл тонет?
00:32