Тёмный

NABII GEORDAVIE ALIVYOWASILI, MWILI WA MTOTO WAKE WAINGIA KANISANI,VILIO VYATAWALA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 143 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 312   
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 7 месяцев назад
Wakuhukumu ni Mungu pekee 🙏🙏🏻 na hakuna mkamilifu chin ya jua kuen makin na maneno yenu chungen ndimi zen pia mnaokejel msib😢🙏🏻
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 7 месяцев назад
Hakuna anae kejeli msiba ila tatizo Dini yenu imeka ki mchongo mchoko tuna sema ivi mbona amu mfufui mtt wa Nabii mkuu nyie simna dai mna fufua wafu 😂Acheni uwongo
@mashiassenga8849
@mashiassenga8849 7 месяцев назад
The is true 😢😢
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 7 месяцев назад
@@ramadhanjuma610 som kwanza Jin langu ndio utajua,afu kingine mwenyez Mungu pekee ndiye wakuhukum hata we hujakamilika unamapungufu yako so usije ukajihesabia haki ata kdg
@maishayetufilm
@maishayetufilm 7 месяцев назад
​@@abdallahassan6378brother uko sawa binadamu tunajifanya tunajua kila kitu kumbe ni wadhambi na wazandiki
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 7 месяцев назад
@@maishayetufilm KBS tusijihesabie haki ,pia msiba usikiage kwingin lkn kufiwa na baba mama kaka dada MTT ndugu yangu Dah inauma kuliko yaani nashindwa ata nisemej ila mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema 😥🙏
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 месяцев назад
Muwe na akiba ya maneno! Msiba uusikie kwa mwenzako yakikukuta domo utalifunga hilo😢😢
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m 7 месяцев назад
Mungu awasamehe tu maana hayaja wafika tusihukumu tusije tukahukumiwa
@neemajames5137
@neemajames5137 7 месяцев назад
Huyo ni Mtumishi wa Mungu hilo ni jaribu usifikiri haumii anaumia saana ila hana jinsi anamjua Mungu wake anaemtumikia. Na anajua lazima ujaribiwe kwa ajili ya Utukufu wa Mungu. Hakuna atakaeishi bila majaribu. Mungu akupe ujasiri Baba kwa haya magumu unayopitia.
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 7 месяцев назад
Hana lolote kamtoa kafara,umaarufu huwa unagarama yake ndiio karpa
@ramadhanisalum3898
@ramadhanisalum3898 7 месяцев назад
Hapo ndio utajua kama ulikuwa na ranger v8 utaacha vyote mungu mkubwa RIP broo
@user-oy8gr5tz5r
@user-oy8gr5tz5r 7 месяцев назад
Pole sana mtumishi wa Mungu pamoja na familia yote Kwa msiba Mwenyezi Mungu awape uvumilivu wakati huu mgumu mnaopitia
@salimnzomo1704
@salimnzomo1704 7 месяцев назад
Hakimu ni mungu pekee, mungu awape nguvu
@user-dm8oh9xe3c
@user-dm8oh9xe3c 7 месяцев назад
Poleni Sana wazazi, hiki kitu hakizoeleki kbs inaumiza Mungu amsamehe na ampokee ktk Nuru ya uso wake.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@linahmissanga4206
@linahmissanga4206 7 месяцев назад
Polen sana wafiwa pole nabii mkuu george davis kasambale.
@user-ey9ic9kk8h
@user-ey9ic9kk8h 7 месяцев назад
pole sana mtumishi wa mungu najua hili ni jaribu ndani ya huduma mungu akupe moyo wa ujasili mtumishi wamungu😊
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 7 месяцев назад
Askofu Maboya Mungu kukutumia sauti yako inaposikika inafariji sana!
@omegamathew2399
@omegamathew2399 7 месяцев назад
Pole sana familia Hii Mungu mnayemtumikia akawape faraja
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 7 месяцев назад
Pole San baba mungu akutie nguvu ndio mipango ya mungu
@yovystevemsowoya1418
@yovystevemsowoya1418 7 месяцев назад
Kumuona mpendwa wako ndani ya Jeneza si kaz ndogo😢😢😢😢💔🕯🕊
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 7 месяцев назад
poleni sana sote niwa mwenyezi mungu kwake tutarejea
@dignakanje4508
@dignakanje4508 7 месяцев назад
Mungu anajaribu lake juu yamwanadamu anaemjaribu.Pole Hilo nipigo kwanabiii
@josephanthon8037
@josephanthon8037 7 месяцев назад
Poleni sana Mama na baba wa mtoto Mungu awatie nguvu
@aishaissa2512
@aishaissa2512 7 месяцев назад
Kifo ni mawaidha tosha wanadamu tuamini mungu yupo na anaweza fanya chochote mda wote 😢 mungu akulaze mahali pema 🤲😭😭
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 7 месяцев назад
Mahali pema ndo wapi
@user-ds6me1eh7n
@user-ds6me1eh7n 7 месяцев назад
Heeee mungu anashangiliwa kwa shangwe na vigelegele😢 astaghfirullah
@paschaziaignas6984
@paschaziaignas6984 7 месяцев назад
Ulitaka wa kushukuru ww Mungu hua hakosei
@godsonkyara4896
@godsonkyara4896 7 месяцев назад
Nyie acheni mzaha na Mungu, hata kifo nacho kikikuta mpendwa wetu hatuachi kumshukuru Yesu Kristo kwa makofi na vigelegele maana hakuna tumaini jingine zaidi ya upendo wake kwa wanadamu. Biblia inatuambia tumshukuru Bwana kwa kila jambo, pia furahini katika BWANA, sasa nyie mnaotaka tulie kwa kuwa huwa mnalia ni chaguo lenu kulia. Tumejifunza kumsherehekea Mungu kila tuwapo ktk uwepo wake.
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 7 месяцев назад
Pole sana jodev unalia kiume polesan
@josiacharles2778
@josiacharles2778 7 месяцев назад
Naisi kwaili iwe funzo kwauyu mchungaji apate kujua akuna nabii mkuu duniani tofauti Yesu pekee, ndie nabii mkuu ajuaye mwisho wetu.
@neemajames5137
@neemajames5137 7 месяцев назад
Mungu anawaona mnavyokejeli lakini mjue hii ni dunia leo kwa mwenzio kesho kwako. Lakini mkumbuke kwamba kila jaribu lina mlango wa kutokea Mungu wa mbinguni akutie nguvu baba.
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 7 месяцев назад
Yaaan hata mim nawashangaa Sana wakifa matajiri wametoa kafara,kwahiyo kifo kaumbiwa mtu mwenye kipato Cha chini.Pumzika Kwa amani Nic pole Kwa familia pia
@kengeleloya9598
@kengeleloya9598 7 месяцев назад
Everyone will die even the one who comment rubbish here. Very sorry the one concern
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 7 месяцев назад
Pole sana nabii mkuu
@carolicarlos8699
@carolicarlos8699 7 месяцев назад
Tuombe Mungu watoto ndio wazike wazazi zao na sio wazazi kuzika mtoto. Ni ligha ngumu sana. R.I.P NICK DAVIE
@MfangaShedrack
@MfangaShedrack 7 месяцев назад
Poleni nyote Wana familia pamoja na Nabii mkuu na kanisa kwa ujumla
@husseingulam8981
@husseingulam8981 7 месяцев назад
Wenzetu mtihani wanauwezo wa kufufua halafu wanaogea na mungu Moja kwa moja wanamuacha kijana anaenda kufukiwa kweli
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 7 месяцев назад
Tatzo kiti moto ya ucku
@tabithakasake8492
@tabithakasake8492 7 месяцев назад
Pole Sana wazazi
@goodmark1336
@goodmark1336 7 месяцев назад
Rest in peace nisher mbele yako nyuma yetu kifo ni faida 🙏🙏
@dimmotvonline2384
@dimmotvonline2384 7 месяцев назад
Poleni kwa msiba mzito kwa wanafamilia wa nisher.msiba unauma sana tena hauzoeleki hata kidogo wee usikie kwa mwenzio tu
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 7 месяцев назад
Wenyewe macho makavu
@leahmtawa7038
@leahmtawa7038 7 месяцев назад
Mungu hadhihakiwa jamani kipind hiki nikigumu kwao tuwafariji tu pole sana
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx 7 месяцев назад
Mungu awape nguvu kipindi hiki kigumu apumzike kwa Aman 🙏🙏🙏 bwana ametoa na bwana ametwaha jina lake lihimidiwe 🙏🙏🙏
@user-mk3iu6ho3j
@user-mk3iu6ho3j 7 месяцев назад
Tunasikitika kwa msiba huu,,,ila huyo Mzee anayejiita nabii mkuuu abadilishe jina maana Tunaye nabii wakweli namkuu Yesu Kristo.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Sasa wewe unatafuta ugomvi na wapendwa
@mcback4384
@mcback4384 7 месяцев назад
Yesu Kristo sio nabii ni Mungu
@queenmollel6739
@queenmollel6739 7 месяцев назад
Jamani jamani nakumbuka siku kijana wetu alipoondoka, nikamuuliza mume wangu mbona umesahau muda mfupi akaniambia hajasahau ila hakuna wakumsaidia majukumu na nilazima aendelee kupambana na kumshukuru Mungu amtunzie hawa waliobaki duuu,,,, Najua Joe Davie na yeye anajitia moyo katika Mungu tuuu hawa wanadamu asilimia ndogo ni kijeli ila kubwa wanaojielewa wanajua maumivu ya msiba
@SMEDIA298
@SMEDIA298 7 месяцев назад
Hata AYUBU alipitia haya na alikua mkamilifu kila idala
@user-ob1pk8zi6u
@user-ob1pk8zi6u 7 месяцев назад
Ni kweli msiba usikie kwa Hirani yako utatafita nguo nzur uvae ngoja ukufikie utataman atau kupiga minggu.awatie.nguvu.wafiwa wote
@PatriciaFelix-gv6ls
@PatriciaFelix-gv6ls 7 месяцев назад
Ndio Dada angu mungu atusaidie
@user-ob1pk8zi6u
@user-ob1pk8zi6u 7 месяцев назад
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon ss tutaongea.mengi ila mungu ndie anajua
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 7 месяцев назад
Mtumishi Mungu akupe uvumilivi ktk kipindi hiki kigumu sana ktk Maisha yako
@alloycejames5285
@alloycejames5285 7 месяцев назад
Poleni sana
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 7 месяцев назад
Pole familia kifo hakizoeleki😢😢
@John-gv5cw
@John-gv5cw 7 месяцев назад
Pole baba
@ausonjustinian4673
@ausonjustinian4673 7 месяцев назад
Dah inauma inasikitisha kuona wadogo ndo wanaondoka wakubwa wanabaki. Poleni sana familia kwa hili
@John-gv5cw
@John-gv5cw 7 месяцев назад
Pole baba mtumish
@FransiskaJohn-fq1nf
@FransiskaJohn-fq1nf 7 месяцев назад
Poleni sana kwa msiba
@brother_majesty
@brother_majesty 7 месяцев назад
RIP NIC DAVIE
@kyuneshila6750
@kyuneshila6750 7 месяцев назад
Hayo ni majaribu tu.kwa mtumishi wa Mungu, Hapo Imani yake IPO kwenye kipimo mbele.za Mungu, ninyi wenye kukejeri misiba ya wenzenu kuweni makini
@user-zc1xq8xk1i
@user-zc1xq8xk1i 7 месяцев назад
Mtoto wa nabii ni producer wa mziki wa bongoflever, huku ni kuporomoka KWA maadili ya kiroho ambako adhabu nzito hufuata
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Innalilahi wa innaillahi rajeun.
@MathayoVictor-xb8zx
@MathayoVictor-xb8zx 7 месяцев назад
Pole mtu mwenyenia ya mungu naamini unamoyo mkuu wakukubali kusemwa vibaya na vema kunawatu wanatamani uishie apo.
@pendo8082
@pendo8082 7 месяцев назад
Mkaliwenu na Harmorapa😮😮
@Kabwela776
@Kabwela776 7 месяцев назад
Yaani ujanja ujanja kupitia dini wako manabii wengi siku hizi 😮
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 7 месяцев назад
Wengi Hapa walitegemea Muujiza Wa Mtu kufufuliwa na Mwanadamu ...
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 7 месяцев назад
Baada ya kuanza ibada ya KUMFUFUA wanaenda kumzika huyu nabii vip
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Baba hawafufukagi labda mchongomchongo
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 7 месяцев назад
Hyo nd shida yenu tukisema mnakula kiti moto ucku mnasema tunawakosea
@HeriTarim-sm5tm
@HeriTarim-sm5tm 7 месяцев назад
Kumfufua so Kaz yake ni kazi ya allah
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 7 месяцев назад
@@HeriTarim-sm5tm manabii wote Hao walioudhuria wanashindwa KUMFUFUA mbona wanasemaga wanafufua watu
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 7 месяцев назад
Poleni sana😢
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 7 месяцев назад
Dahhh mbn waumin wanalia but MDG wake wakike na kiume Hawalii aiseee AU ndio kanuni wameambiwa wasilie ILI nabii CHEO kisishuke Kwa wananchi.
@lilahdiyan468
@lilahdiyan468 7 месяцев назад
Rest In Peace My Lovely Bro Nic (Nisher) 🕊️🕊️🕊️🕊️ we love en mic u forever ❤❤
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 7 месяцев назад
Ni rahisi sana kucomment unachojisikia lakini uhalisia utabaki kuwa uhalisia tu.tujitahidi kuheshimu nafasi ya Mungu kutokana na matokeo yaliyokuwa nje ya mwanadamu.
@ImeldaSaire-ye2xq
@ImeldaSaire-ye2xq 7 месяцев назад
Hakuna dini ya kweli ndugu usijidanganye, wala Mungu hajui dini ya mtu maana hakuleta dini, dini ni kama vyama vya siasa tu Yeye anaangalia ibada ya mtu ambayo ni matendo mema, hivyo elewa uisilamu hautakupeleka mbinguni bali matendo yako!!!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Hujui uisilamu ongelea chama chako km unavokiita Islam dini kamili
@mcback4384
@mcback4384 7 месяцев назад
Hakuna matendo yanayompeleka mtu mbinguni, utaenda mbinguni kama tu ulimkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako na uliishi maisha ya toba na utakatifu na ulikufa katika Kristo, unaweza ukawa mtenda mazuri sana na jamii inakutambua lakini Yesu Kristo haishi ndani yako
@rerisamba
@rerisamba 7 месяцев назад
Waa poleni jamani
@user-lj9im1th6p
@user-lj9im1th6p 6 месяцев назад
Mungu awatie nguvu jamani.
@ImeldaSaire-ye2xq
@ImeldaSaire-ye2xq 7 месяцев назад
Alafu wanaoongea humu maneno ya kejeli wote ni waislam maana naona majina yao!!! Shida sana. Ee! Bwana uwasamehe kwa maana hawajui walitendalo!!
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Sasa wewe umechanganikiwa tafuta msaada. Waisilamu wanafufuaga wafu?
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 7 месяцев назад
Kazi ya Mungu haina makosa Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe🙏 Polee sana wana familia Mwenyez Mungu awatie nguvu katk wakat mgumu mnaopitia
@user-wg1nz5ms2n
@user-wg1nz5ms2n 7 месяцев назад
Mungu wacha tupungue wewe uongezeke mwanadamu ni mavumbi na akifa hurudi mavumbini jana la Bwana lihimidiwe ameni RIP nisher
@victoriasamaga8429
@victoriasamaga8429 7 месяцев назад
Wafiwa poleni sana
@user-zd3pz4yc8r
@user-zd3pz4yc8r 7 месяцев назад
😢rip
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 месяцев назад
Inalillahi wainailahi rajuun
@doricedeluxe9486
@doricedeluxe9486 7 месяцев назад
Aliugua au?
@jameskenzedex
@jameskenzedex 7 месяцев назад
Kama unaamini Kuna uingizaji katika mahubiri basi n hapa Sasa ufufuonwa Joe Darvie mbna usifufue kijana sasa
@user-qv7yq5dw3b
@user-qv7yq5dw3b 7 месяцев назад
Rest in peace kijana wa yesu😭😭
@user-kz7fz4vz1g
@user-kz7fz4vz1g 7 месяцев назад
Rip nisher😢
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 7 месяцев назад
Zamani nilikuwa nikiona msiba nalia sana, kuna siku nimeona live mbibi kafariki hata sikuhisi chozi, Naona amelala tu, Eee Mungu nisamehe kama nawaza vibaya, Hata video zakuoneaha sana marehemu online zinanifanya niwe sugu
@CostaValenci
@CostaValenci 7 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭
@SaadaKiyungi-uz6jn
@SaadaKiyungi-uz6jn 7 месяцев назад
Dalili za qiyama hizi. Watakuja manabii wa uongo ndio hawa sasa.
@abdul-hamidali6534
@abdul-hamidali6534 7 месяцев назад
Siku nzito hii
@obadiajuma436
@obadiajuma436 7 месяцев назад
Pole MTU wa MUNGU
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 7 месяцев назад
Masikini ndio wanalia
@user-bo5qp9gz8m
@user-bo5qp9gz8m 7 месяцев назад
Watu hawana majonzi ila wanaangalia waombolezaji
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 7 месяцев назад
Mdogo wake aliyeshika picha jajipodoa jamani misiba ya siku hizi mmmm!
@user-to8up6cz8r
@user-to8up6cz8r 7 месяцев назад
Wewe nabi umufufue huyo😮😢😢
@user-kt6ct4nh8i
@user-kt6ct4nh8i 7 месяцев назад
Poleni sana 😭 😭😭
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 7 месяцев назад
Wewe ni mnafiki sana
@ShirimaSigifrid-lk6ko
@ShirimaSigifrid-lk6ko 7 месяцев назад
Manabii wa kweli wanafufua watu kama nabii elia
@yvesmasirika3839
@yvesmasirika3839 7 месяцев назад
Hata Yesu hakuweza fufua wote
@agnessima5032
@agnessima5032 7 месяцев назад
​@@yvesmasirika3839sema hakutaka..kumbuka yeye ayaweza mambo yote.❤
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Elia anakenuaga meno tu tapeli😊
@mcback4384
@mcback4384 7 месяцев назад
​@@yvesmasirika3839hakuweza au hakuamua?
@peninashungu6633
@peninashungu6633 7 месяцев назад
Wanao lia Sana watu mbali ata ukute awajawahi kumuona, ila family inalia kizungu
@ifadatalizam8607
@ifadatalizam8607 7 месяцев назад
😂😂😂😂
@user-lz3vk5yb4d
@user-lz3vk5yb4d 7 месяцев назад
Wametekwaa wote kanisani kama zumariid wa mwanza anavowakanyga watu chini ya mikono
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 7 месяцев назад
kulnafsi zallikatulmauti Allah akuhidi
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 7 месяцев назад
Kabla haujaongelea msiba wa mwenzako vibaya,uwe na akika ya kesho yako pia na wapendwa wako,Watanzania tuamke kwenye huu usingizi,hatupendani
@user-lz3vk5yb4d
@user-lz3vk5yb4d 7 месяцев назад
Baba katoa chake mwenyew nabii wa mungu tena mkuu haya mfufue mwanao sasa mbona anazikwa kwa jeneza kulikoni jamaniii 😂😂😂
@user-kj2sw1gg2r
@user-kj2sw1gg2r 7 месяцев назад
😢😢😢😢😢😢😢
@shukranichomolla-zi5tc
@shukranichomolla-zi5tc 7 месяцев назад
Hii dunia banaaa
@rosehusein
@rosehusein 7 месяцев назад
Hana nguvu za mungu eti
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 7 месяцев назад
kwahio sasa huyu nabii anafananishwa na manabii walio pita Astaghafirullah
@tatumatango2207
@tatumatango2207 7 месяцев назад
Hamorapa na mkali wenu 😢😢😢😢
@nancyg8664
@nancyg8664 7 месяцев назад
🤣🤣mnisamehe kwa kucheka
@pendo8082
@pendo8082 7 месяцев назад
Yaaan
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 месяцев назад
Kweli msiba ya kisasa mbona wadogo zake kama wapo harusini jamani
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g 7 месяцев назад
Ndio mambo ya wakristo
@queenmollel6739
@queenmollel6739 7 месяцев назад
​@@user-nn5sq8ol4g😂😂😂😂 Tuonyeshe ya kwenu
@annamussa185
@annamussa185 7 месяцев назад
Ni harusi ya kaka yao so kifo ni harusi lazima wafurahi huzuni ni kukufulu Mungu
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 месяцев назад
Mambo ya hovyoo hawana hata huzuni wakiristo bwana
@user-wh5zz5dk2g
@user-wh5zz5dk2g 7 месяцев назад
​@@fatmafatu1128we mpuuzi sa wakristo wanahusikaje
@NsobiLema-wq9vh
@NsobiLema-wq9vh 7 месяцев назад
Tutakufa na atutaishi akuna mwanadamu mwenye uwezo wa kufufua binadamu kwanza kunakitu kimoja ambacho tuji funze kwani unaugonjwa unaenda hspitali wanakwambia utapona lkn. Nabiii mtoto wake kafia hospitali hiii imekaeje apo kwani alishundwa kumtibia yeye ?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Alikua ajashukiwa na roho mtakatifu
@danielassenga7167
@danielassenga7167 7 месяцев назад
Hapo ndipo naamini kuwa katitika dini zetu kuna mazingzhoong mnatuaminisha mnawafufua watoto wawenzio wakwako unamfukia sasa mbona hukutuambia kuwa imani yako inakuwa inatenda kazi kwawingine ila kwako haifanyi kazi 😢😢😢😢
@salehegiza3305
@salehegiza3305 7 месяцев назад
Sasa hapo ameenda kuchukua nguvu za freemson hakuna msiba hapo.
@berthafaya1402
@berthafaya1402 7 месяцев назад
Tulisubiri ufufuo amekwamaje uyo nabii mkuu akati anamanabii kibao wakinamalisa mwamposa namatapeli wenzake kibao asa shida nn apo
@tunauzapweza3501
@tunauzapweza3501 7 месяцев назад
Misiba ya sasa hivi JAU yani mtu unaenda kupaka MAKE UP siku ya msiba
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc 7 месяцев назад
Umeona mkuu😮
@fatumanassor4656
@fatumanassor4656 7 месяцев назад
Amufufue yy mungu na ww kuwe naeshim bs anapony watu afufui mtu
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 7 месяцев назад
Kifo ni fumbo zito ..majina ya duniani hayana nafasi ,, mali wala vipaji ,, nachotaka kusema ... vliio kwa msiba ni kuondoa uwezo wa Mungu kwa wanadamu ... binadamu mwisho wake ni kifo ...ni sifa ya Mungu nyakati wa mavuno..yake..
@NIKUMBUKELEO
@NIKUMBUKELEO 7 месяцев назад
Baba na waumini na familia jueni kuwa mko duniani penge wanyama wakila aina spirit za kila aina huyu Baba Yuko kwajili ya watu wote familia ni ndugu pigo Lazma likupate Mzee wako au mama atafunga mlango wake anapokutana na jambazi atasepa kivyake nawe haupo na kumu yako syo ya Baba au mama, Mfalme Joe amekua akionya mengi bila kubagua mtoto au mumini kwahiyo wacheni huwa wa zazi Baba Joe na Mama Anie wamtukuze Mungu.mtoto Akisha kua nikumshauri tu kwahiyo Mimi na wewe VIP na kina monie na Kaka... VIP pata mema popote ulipo jeuka sikia ya Baba na Mama ulipo hakuna mkubwa kwa wazazi au Yesu, ni funzo syo kitu yakukenulia Meno na domo mamba. Mama na Baba muwe na afya Tele na ulinzi wa malaika bila kusita mbeleee! Mfalme koresh!
@GeorgeChitemo-kt8sw
@GeorgeChitemo-kt8sw 7 месяцев назад
Katoa kafara mwenyewe huyo mzee
@allybobsaith
@allybobsaith 7 месяцев назад
Nani amemwana hammo rapa ?
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 7 месяцев назад
Yote tutaongea lakini pale unapomwona mpendwa wako akibebwa kwa Jeneza ni shughuli ngumu saana jamani.Mungu awape matumaini.
@peninashungu6633
@peninashungu6633 7 месяцев назад
Ila watu Wana mtii Sana kama mtu wa serikaln
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 месяцев назад
Si tajiri anahela
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /22/ #love
38:39
Просмотров 31 тыс.
GeorDavie - LEGACY 2024  - (Short Film)
3:42
Просмотров 4,8 тыс.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
Просмотров 549 тыс.