Тёмный

NAIBU WAZIRI KIHENZILE NDANI YA TRENI SAFARI YA KWANZA YA SGR, ATANGAZA OFA YA DKT. SAMIA KWA ABIRIA 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

NAIBU WAZIRI KIHENZILE NDANI YA TRENI SAFARI YA KWANZA YA SGR, ATANGAZA OFA YA DKT. SAMIA KWA ABIRIA

Опубликовано:

 

13 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@nth3512
@nth3512 Месяц назад
Ila duniani kweli tunapita, yani ambavo hata magufuri hawamkumbuki inatufundisha hii dunia kila tukifanyacho basi iwe ni kwa ajili ya MWENYEZI MUNGU, yeye ndo wakukulipa fadhila, binadamu hana shukran, anaangalia kilichombele yake. Watu wameipambania na saivi wamelala kwenye udongo, wala hata hawana habari walichokipambania
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Месяц назад
😂😂😂 pengine ni mambo ya ki itifaki
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Месяц назад
Mbona humtaji Mkapa aliyetengeneza roadmap ya haya yote yanayofanyika kote nchini? Au historia ya ujenzi wa uchumi wa nchi hii hamuijui?
@abuukajembe-to6sd
@abuukajembe-to6sd Месяц назад
@@festokemibala5832 mkapa aliua viwanda
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Месяц назад
Isingekuwa maamuzi magumu aliyoyafanya Magufuli, hii kitu isingekuwepo leo. Wakushukuriwa ni Mungu, afu na Magufuli, yaani hayati Magufuli.
@RoseMalinzi
@RoseMalinzi Месяц назад
Sisi wa Moro tunafurahi sana unafanya kazi Dar unalala Morogoro tunaomba mtuwekee usafiri wa kutoka Kihonda kufika mjini zipo Bajaji na Bodaboda mngeweka na Magari
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Месяц назад
Tumepiga hatua kubwa sana Tanzania.
@IbrahimDastan-gu6wb
@IbrahimDastan-gu6wb Месяц назад
South Africa usafiri wa treni ndo usafiri cheap ya kitanzania shilingi 7
@gmadventures23
@gmadventures23 Месяц назад
Hongera sana, natamani kuja kupanda pia, niko Mbeya
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 Месяц назад
ALLAH AILAZE PEMA ROHO YA MH.MAGUFULI,,NIKI KUMBUKA PALE PUGU SIKU YA KUWEKA JIWE LASINGI NA KUWEKA MAJINA YA WOTE WALIO HUSIKA NAKUAMBIWA ZAIDI YA MIAKA 100 IJAYO YALE MAJINA YATAKUWEPO PALE YAKIHIFADHIWA NA KUTUNZWA NA KUJITUNZA TULIAMBIWA TUNAWEZA NA TUSIWE NASHAKA TUNA WEZA ALLAH AMPE PEPO,,,PILI.HONGERA RAIS MH.SAMIA NA PILI NIMAMA HAPO UMEMTUA MAMA NA WATANZANIA WOTE MIZIGO KICHWANI KWENYE USAFILI MIMI NAJUA NIKAZ KUBWA IMEFANYWA WEWE NA TIMU YAKO,,SIMA SIWEZ KUKUFIKIA NA KUKU PONGEZA ILA MSG ITAFIKA... KADOGOSA NAKUPENDA SANA KWA KAZI KUBWA UNAYOFANYA YA KUTEKELEZA MAAGIZO....TRC nawakubali Sana,,
@nth3512
@nth3512 Месяц назад
Dah, ALHAMDULILLAH, yani kutoka masaa3 dar moro sasa ni lisaa, wekeni safari nyingi watu waishi moro wafanyekazi dar
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Месяц назад
Masaa matatu kwa gari binafsi au upande bus za usiku ila mchana umewahi sana masaa 4
@OscaNdomo
@OscaNdomo Месяц назад
Duu
@edinakiposa707
@edinakiposa707 Месяц назад
Matusi ya nn sasa
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Месяц назад
Tumeona ngoma na waimbaji kwenye treni... Hii ndio utangulizi kwa kumwomba Mola ajaaliye treni hizi😢
@Masudi-pc7yp
@Masudi-pc7yp Месяц назад
yanimngetangaza burae reo pangefurika watu ira mmefanya unjoyotu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Месяц назад
Wewe masudi mbona huna L.... Reo au leo... Aibu gani hii😢
@edmundmmuniedmund1623
@edmundmmuniedmund1623 Месяц назад
hawa jamaaa mbona mtu aliefanya kwa kiasi kikubwa hawamtaji hata kidogo,,..wamebaki mama mama tuuu, tutaelewana tu 2025
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 Месяц назад
Hahahaaaa.Kwa hiyo unataka tukumbuke na maovu ya kuua watu ovyo yaliyofanywa enzi zake?
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Месяц назад
Mbeba maono ni Kikwete na Magufuli akiwa waziri wake was ujenzi
@ernestwegga6557
@ernestwegga6557 Месяц назад
Matusi ya nn tena
@fidodido9578
@fidodido9578 Месяц назад
Fanyeni mpango hapo chini ya daraja la kutokea posta muweke hata pavements sio hivyo jinsi palivo panaleta sura mbaya
@HassaniMzee
@HassaniMzee Месяц назад
Mmetuheshimisha majirani zetu wazungu wamenuna
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 Месяц назад
R.I.P. JPM
@FabianMwambenja
@FabianMwambenja Месяц назад
Jaman hayo ni matunda ya raisi wetu john MAGUFURI lakini hata hawamkumbuki duuh amakweli dunian sote tunapita
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 Месяц назад
Kwa nn hawamkumbuki, si kila mtu anajua mwanzilishi nani
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Месяц назад
Mmbeaba maono mpuuzi wewe maono gani
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Месяц назад
Na nyie mawazir mmelipa nauli maana kama majaribio mmefanya ya kutosha mlipie nauli mbuz nyie
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Месяц назад
Hahahahahahahahaa😂😂
@bminawandu
@bminawandu Месяц назад
Yan nchi rais anavo tukuzwa kama anatoa ela yake mifukoni Kila mtu tushukuru Samia ovyo kabisa
@seketawaissa1129
@seketawaissa1129 Месяц назад
Lazima apewe moyo kwa kazi anayo fanya wake your mind up brother
Далее
The lightweights ended Round One with a BANG 💪
00:10
best way out of the labyrinth🌀🗝️🔝
00:17
Просмотров 1,8 млн
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
Просмотров 12 тыс.
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
Просмотров 1,5 тыс.
Ujenzi  Wa Apartments wa Gharama Nafuu
2:51
Просмотров 17 тыс.