Dah Shekhe mazinge Allah akuhifadhi sn na akueke miaka mingi nakupenda sn huogop kitu yn dah huna nidhamu ya yoga ktk kuilingania dining half hn Tamaa sio hao wavaa Pete wakujisifia mitandaoni ninamagari na majumba❤❤❤❤❤
Na mimi pia namuomba mheshimiwa raisi wetu mama yetu mpendwa mama Samia anikumbuke kwenye hija ya mwakani jina langu liwe kwenye list yake natanguliza shukrani zangu na Inshaallah Alah ampe, afya umri na tufike salama