Jis ulivo muzuli kuchagua pya unajua Allah awape maishamalefu awepushe namalazi yakla aina awapeupondo nauzima katika ndoayenu nawapenda yote muwenamaisha memaaa ♥️♥️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaan nilitaman gara b ww ndo unekuwa mc kwenye harusi unajua saana , harusi ingechangamka zidii ila ndo ivoo Tena sjui ndo ulikuwa ushachukuliwa na harus nyingne
Yani nime watiya MUNGU awe Katia ya NDOWA zenu na bariki COUPLE zenu pamoja na MTOTO haliwe tumboni ❤️❤️❤️❤️❤️🌹🌹🌹🥰🥰🥰💋💋💋💋💋🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 i'm from CONGO Harusi zenu ina ni furaisha MUNGU na mimipiya