Тёмный

NANI YUPO NYUMA YA MAANDAMANO KENYA JE NI PUTIN 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 4,7 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

28 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@eliyawilliam7394
@eliyawilliam7394 18 дней назад
Nakupenda sana ukiwa unazungumzia haya mambo nikiwa naiyona sura yako penda sana
@user-jf7is4fk2v
@user-jf7is4fk2v 18 дней назад
ni mbinu chafu za amerika kuitawala kenya
@coolbz133
@coolbz133 18 дней назад
Hio nikweli kabisa america akikupa msaada ujue utapata balaa nyuma yake
@ImaiJuna
@ImaiJuna 18 дней назад
Sio kwel marekari ukifwata mambo mnakua marafiki ukiangalia ruto yuko karibu na baiden
@coolbz133
@coolbz133 18 дней назад
@@ImaiJuna baiden aliogopa maneno ya ruto wakati wa african European summit alivo tema cheche ndio hapo baiden akaona huyu ruto dawa yake ni hii atapike kisha nimlishe matapishi yake nwenyewe kwasababu ruto angeendelea kuongea maneno ya moto east Africa ingekua haikamatiki kwahio baiden amefanya hivo ili east Africa wamuongelee ruto
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 18 дней назад
​@@coolbz133hilo nalo neno
@dunialehani6188
@dunialehani6188 18 дней назад
Hacha kumchafuwa Putin kwa mahandamano ya kenya
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 18 дней назад
umeona eeeh...asimhusishe na vitu vya ovyo ovyo!!
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 18 дней назад
Big up mwalimu 💚
@eliudkimari-wt5cl
@eliudkimari-wt5cl 18 дней назад
Ugumu wa maisha si Putin
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 18 дней назад
Mwalim wakenya wana haki kumuondoa huyo kibaraka wa mabeberu. Kenya wana matatizo yao ya ndani. Rutto anapeleka jeshi nchi za nje kama 🇭🇹 haiti. Sasa mungu kampija lanaa. Je atawapeleka hao wanajeshi nchi nyingine. Wakati kenya ina waka moto.
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 17 дней назад
Putin hahusiki kenya gharama ya maisha iko juu
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 18 дней назад
Ruto must go
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 18 дней назад
KIONGOZI ATAKAEIPENDA SANA AMERICA NA WASHENZIWENZAKE SASAHIVI ATATABIKA BILA KUJUA. WALIMWENGUSASA WAMEELIMIKA NA KUPITIA MITANDAO YAKIJAMII.
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 18 дней назад
Usichojua mchambuzi kwa Sasa mungu anajambo lake kwasababu kila anaepinga urus lazima wapate majanga
@AbubakarKassim-lj3cl
@AbubakarKassim-lj3cl 18 дней назад
Na bado Ruto ata juwa Gen z hawaja kuja ku cheza .mimi naomba wanahabari wa nchi za diaspora waendelee kufatiliya .#Ruto must go
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 18 дней назад
Shukran mwalimu❤
@philiplugalia3724
@philiplugalia3724 18 дней назад
Ruto ni kibaraka na hakupita kura wa America walitulazimishia pili ruto anajulikana ni muongo, mwizi, tapeli, muuaji Tangu zamani hata uhuru anamjua soo yeye ni Rais wa bandia mwenye wananchi hawamtaki hata wakalenjin wamechoka nae ndio tunataka aende
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 18 дней назад
Mm ni mkenya nakataa kuwa Putin anafadhili maandamano kenya giyo Gen z unayoisikia haina hata viongozi Putin atakuwa anawasiliana na nani? Hii maandamano ni kuwa watu wamechoka na utawala uliopo sahii ni utawala wa ufisadi na bado wanataka kuendeleza ufisadi nchini kunyanyasa wannchi kwa ajili ya maslahi yao viongozi
@Nibizichristo
@Nibizichristo 18 дней назад
Huyo aondoke kabisa amekua kibalaka Cha wazungu ambao itakua vibaa muno kwenye la Africa
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 18 дней назад
lakini Ruto alisema anaisapot israel kumbukumbu zangu zinaonyesha Ruto yeye yupo pamoja na nchi za magharibi
@abuturaab7437
@abuturaab7437 18 дней назад
tunapenda sana hii channel Mungu awabariki
@user-fj5dy9hh5v
@user-fj5dy9hh5v 18 дней назад
Putin hayuko nyuma ya zakayo ila ugumu wa maisha wanayo pitia wakenya na atatoka kwani upepo uliopo duniani kwa sasa ni nguvu ya wananchi dhidi ya unyonyaji ubepari duniani mfano mzuri ni Bolivia
@MishahiRukamwa
@MishahiRukamwa 18 дней назад
Muheshimiwa Raisi wa Kenya akipandisha kodi nchini muake baada ya ziala yake Marekani, Muheshimiwa Raisi Putin wa Urusi anahusika vipi?
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 18 дней назад
MWENYE hii chanel amebakiza TUU kumuabudu putin
@amirymdee4259
@amirymdee4259 18 дней назад
***Mimi kwa ufahamu wangu mdogo nimefikiri sana nikajua ***GEN Z***Maana yake ni Generation Z***Z ni alama ya Special Military Oparation ya urusi nchini Ukraine***
@papaamularfins599
@papaamularfins599 18 дней назад
Ni kama nakusoma ki mtindo flani kaka!🤝🤝🤝
@mainabenson5173
@mainabenson5173 17 дней назад
Zakayo na uwongo zake
@babajuma2500
@babajuma2500 18 дней назад
Kenya 🇰🇪 kama c KDF tungefanya adi leo
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu 18 дней назад
GEN - Z means Generation of 2000 and 2010. 😢 Z it means zakayo 😅
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 17 дней назад
Wewe ni muongo
@listerwami6825
@listerwami6825 18 дней назад
Israel kachokozwa
@Naw89
@Naw89 18 дней назад
😂Hawajasema ruto aende sema kama walivyonukuu
@listerwami6825
@listerwami6825 18 дней назад
Ukrea haijamchokoza putin
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 18 дней назад
Umeandika nn
@aftapat5365
@aftapat5365 18 дней назад
sasa unaandamana huku kuna kikosi cha waingeleza kiko kwenu mbona msiwafukuze hao waingeleza
@berchimasjean6006
@berchimasjean6006 18 дней назад
Ruto aca ayawone,aliyenda us kutukogoteya otani uku Africa mashaliki,idusayidiy nini?john gutoka Burundi,hongeya sana nawapenda sanaa
Далее
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
Просмотров 367
Сколько метров чернил в ручке?
16:35
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
Просмотров 135 млн
Спецэффекты в Симс 4
00:36
Просмотров 300 тыс.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
OKIYAH OMTATA DESTROYS RAILA AND OBURU ODINGA!
8:51
Просмотров 3,6 тыс.
Сколько метров чернил в ручке?
16:35