Тёмный

NAPE AKERWA NA DADA ALIYESEMA ANALALA NA NYOKA ILI APATE HELA “ SITAMVUMILIA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@Madam255
@Madam255 4 месяца назад
Kaka Millard Ayo kazi yako ni njema sana
@harrishussein6992
@harrishussein6992 4 месяца назад
Wakwanza Leo Kwa Millard like sijawahi kupata
@MariamOfficial-ve1yt
@MariamOfficial-ve1yt 4 месяца назад
Kwan like ndo nini Babu tumekuja kupeana like hap we vp?
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 4 месяца назад
Nadhan wamekuelewa na hawatafanya tenaa ujinga mtandaoni
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 4 месяца назад
Eti miaka minne iliyopita ,,,unachekesha uongozi wa magufuri utabaki kileleni,,,,pigeni hizo porojo zenu tunawazikiliza tuuu
@OkwSunzu
@OkwSunzu 4 месяца назад
Tujifunze kutoka kwa millard ayo waandishi yani mimi kama habari sijaiona kwa mirrard huwa siamini kabisa habari hiyo
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 месяца назад
ila kweli
@MiwagoTz
@MiwagoTz 4 месяца назад
NIMEJIFUNZA KITU ASANTE SANA KIONGOZI WETU,HONGERA SANA AYO
@sheehamadnganzi8317
@sheehamadnganzi8317 4 месяца назад
Sasa uhuru gani na wakati wa uchaguzi mnatuzimia internet,
@Zuu673
@Zuu673 4 месяца назад
Sasa mashoga na wasagaji hamuwashughulikii?
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 4 месяца назад
Na yule anowahoji na kurusha habari na kutwaa kuhoji majini na mabilisi wanoleta pesa awajibishwe kisheria kurusha habari hizo
@AllyTwalibu-ig1pi
@AllyTwalibu-ig1pi 4 месяца назад
Yupo sahii
@MaghobaGeorge-lq4yg
@MaghobaGeorge-lq4yg 4 месяца назад
Nikweli mheshimiwa nazani milad ndio maana amekuwa mkuubwa kwani hafanyi huo ujinga na imefika hatua watu wenyewe wanasema km kapost millad ni kweli hivyo ni chombo kina aminika ktk jamii
@chinischinis6371
@chinischinis6371 4 месяца назад
Hasa haw wanaoandika vichwa vya habari vya uongo halavu ndani unakutana na maudhui ya kipuuzi au haviendani na kivhwa cha habari NAPE EMBU KUWA MKALI HATUTAKI KUISHI KWENYE ULIMWENGU WA UONGO UONGO
@SaghiraMohammed
@SaghiraMohammed 4 месяца назад
Huyu dada lazima akamatwe ahojiwe vizuri kama ingelikuwa kwa mfano ni kweli basi atueleze huyo nyoka wake pesa anaiba kutoka wapi anaibia mabenk au anazitengeneza kwa njia ya haram yaani sio hela ya kweli akipewa mwenye duka zinabadilika sio hela tena, kwa hiyo ni wizi mkubwa hakuna njia nyoka anakiwanda halali cha kutengeneza hela
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 4 месяца назад
Kwamagufuli ulinyoka
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 4 месяца назад
Mh nape Leo umesema Mungu akulinde
@johnmike6059
@johnmike6059 4 месяца назад
We ni mpuuzi si maisha aliochagu yeye ww vip
@olivazaituni2440
@olivazaituni2440 4 месяца назад
Yani huyo dada ametoa ushahidi tosha ila angekuwa mtu kalawiti watoto mbuzi ,kuku, nk mpaka ushahidi😂😂 hii Bongo
@JamesMisalabaPalu
@JamesMisalabaPalu 4 месяца назад
Uchungu ulionao kwa Utawala uliopita wa Raisi wa tano Uliutaka mwenyewe. Kulazimisha kufanya mkutano kwa nguvu. Hukuheshimu.
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 4 месяца назад
Katiba inatoa uhuru wa kukutanika.
@farajimustafa6423
@farajimustafa6423 4 месяца назад
SHIDA NI UMASIKINI, HATUNA ELAH,
@cidewashington670
@cidewashington670 4 месяца назад
Sio vizuri lakini na nyinyi mkelwe na wizi wa fedha za umaa pumbavuu zenu
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 4 месяца назад
unaongea point ila unachoniuzi mimi uchawa2 lsee unatukela sana wengne acha uchawa Nape fanya kazi
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 4 месяца назад
Mungu upo wapi tusaidie hawa waiba kura kila mwaka mpaka lini mungu .umaskni wa kutisha e mungu ??? Teheran ???
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 4 месяца назад
Hahaaaaaaaaaaàa, maumbwa haya hayatoki ndugu. Yanaishi kusoma saikolojia za watanzania kwa kuwadanganya kila leo. Yanatumia NGUVU kutangaza ushindi pasipo ushindi.
@tazrywiser5126
@tazrywiser5126 4 месяца назад
Fanya kazi hakuna chama cha upinzani au kilichopo kitakuja kumaliza matatizo katika taifa hili ndio maana hata marekani watu wanaandamana kila kukicha uweza kuwa hawana tatizo kama ya kwetu ila pia sisi kwenye hayo wanayoandamana nao uenda na sisi hatuna, inchi ya kuisha matatizo haipo kwenye huu ulimwengu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 месяца назад
Kaka we pamabania maisha yako ukiferi kufa maskini labda serikali ya babako ndio itakupa maisha mazuri.
@masagabulemela3228
@masagabulemela3228 4 месяца назад
Kila mbuzi ale kulingana na urefu wa kamba yake😏
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
Nape hebu simameni kudete kwa walawiti na wabakaji wa watoto wetu hilo ni jambo baya linalo aibisha na kudidimiza kizazi hiki na kijacho kuliko hilo swala la huyo anaejitangaza kufanya mapenzi na nyoka,
@MussacharlesSongo
@MussacharlesSongo 4 месяца назад
Wacha walale na nyoka kwa sababu wanaume hatuna hela
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 4 месяца назад
Mmmmmmh 🙄🙄🙄 kwahyo utawala wa magufuli hauna tija
@KelvinMazoya
@KelvinMazoya 4 месяца назад
Safi
@Zuu673
@Zuu673 4 месяца назад
Tena Glb TV awa wapuuzi sana wanapost vitu vya kipuuzi sana
@halifajuma545
@halifajuma545 4 месяца назад
Kuuza mwili kwa hiyo ni huru kweli tumeisha
@SaghiraMohammed
@SaghiraMohammed 4 месяца назад
Mimi naona hii channel bora ifungiwe kabisa naona haina cha maana cha kuifunza jamii
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 4 месяца назад
Watz wengi ni watu wajinga na wenye kudanganywa sana yule Dada aliposema ni Tajiri mijitu mingi ilienda kwenye comments kuomba mawasiliano ya huyo Dada awasaidie, Kuna hutu tu TV uchwara tunafata matapeli na kurusha kutangaza kutoa promo.
@taucdulle7460
@taucdulle7460 4 месяца назад
Hii chanel kama kawaida yake kukatakataaa
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 4 месяца назад
Usiingilie uhulu wa mtu serikal
@edson2450
@edson2450 4 месяца назад
Nape Raisi wa miaka mi 3&4 alikufanya nini 😢?
@rechomoris1325
@rechomoris1325 4 месяца назад
Umeongea sahihi
@romanamassawe814
@romanamassawe814 4 месяца назад
Hiyo Hadith ya panzi yupo hai au kafa sio hadithi ya mfalme Suleiman, aliyetufundisha hadithi hiyo ni muinjilist Reinhard Bonkey, a great Germany preacher who had been prepared gospel in the continental of Africa, by the brand of CFAN, Christ for all nations,
@WazainaKigomaboy
@WazainaKigomaboy 4 месяца назад
Waziri mkuu hajakamatwa tu
@makusaro2289
@makusaro2289 4 месяца назад
Utashi wa Rais badala ya matakwa ya Katiba na sheria? Uhuru wa vyombo vya habari bila habari? Magazeti huru na kiuchunguzi hayapo mitaani.Habari ni zile za kusifia kiongozi na mbwembwe za kisichostahili kupewa sifa.Redio zimebaki kuchezesha kamari na propaganda za michezo na miziki inayochusha masikio ya watu wanaojistahi.
@josephlorri431
@josephlorri431 4 месяца назад
Na hili tuliangalie
@thadeusmutarubukwa823
@thadeusmutarubukwa823 4 месяца назад
Mh. Nape nadhani waliopost picha yako ya ajali feki walitaka kufikisha ujumbe kwa serikali kwa ujumla Blogs nyingi isipokuwa Millard Ayo zinatoa Headings feki sasa kwa mfano wa kwako TCRA ione namna ya kutulinda walaji, Headings na content ni tofauti. Unasililiza hadi mwisho lakini hipati hiyo habari. Tusaidie
@topmixmedia-d7h
@topmixmedia-d7h 4 месяца назад
Tanzania Yangu😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 4 месяца назад
Tanzania Yako inachekesha au
@Anza_tz
@Anza_tz 4 месяца назад
Wanao tulazimisha tuwe na uhuru wa vyombo vya habari wao hawataki kutuachia uhuru wa uchumi ..... hehehehe Afrika sisi kama wajinga
@mohamedalirachidi380
@mohamedalirachidi380 4 месяца назад
kama kweli muheshimiwa nape unayosema kwa nini anaye post video za kijinga asichukuliwe hatuwa, na dada alosema ana lala na nyoka aka matwe na kufunguliwa mashtaka ili video za kijinga kama izo zisitokee tena, mimi naishi Mayotte kisiwa kina tawaliwa na wafaransa , baadhi ya watu wameena video ya huyo dada wana fikiri ni kweli icho anachosema, uyo dada anali aybisha taifa kwa ujumla.
@allykwaya
@allykwaya 4 месяца назад
Ptv
@SimbaJumanne
@SimbaJumanne 4 месяца назад
Mh waziri pia kuna jamaa wanawachangisha watu pesa ili wajiunge na freemason wanwapotosha watanzania kama mataperi
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 521 тыс.
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 521 тыс.