Тёмный
No video :(

NAPE NNAUYE APINGWA VIKALI NA CCM, "HATUHITAJI MBELEKO, MIMI NDIO MSEMAJI WA CCM" 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 168 тыс.
Просмотров 618
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@josephkulija293
@josephkulija293 Месяц назад
Asante MH. Makala CPA (T) kutoa kauli yenye ufafanuzi mzuri na ya kisomi, muda huu wasijitokeze watu wa kutaka kumchafulia Mama na chama tawala. Watu wanaotoa kauli kama hizo wakemewe wazi wazi kama ulivyofanya na ikiwezekana msiwapitishe kugombea nafasi kabisa. Ulimi ni kiungo kidogo sana utumike kuendeleza amani na upendo wa nchi yetu.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Месяц назад
Unajikosha fisi emu majizi ya kura we danganya misukile iliyokaa. Hapo safari hii patachimbika
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Месяц назад
Uwezo huo hamna.
@user-gh3ou2op2z
@user-gh3ou2op2z Месяц назад
Nape kasema ukweli
@danielkanso
@danielkanso Месяц назад
Mmmmh ccm au jaribuni mmuone
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Месяц назад
Kama hamhitaji mbeleko, mbona katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hamtaki, MUNGU ni mwema kawachafulia lugha mnaanza kufichua mambo yenu
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Месяц назад
Hakiiiii Duniani
@wilsonletiet7852
@wilsonletiet7852 Месяц назад
tunashindwa kuwaelewa hawa machawa wanapiga makofi kwa kila kitu wakati Nape anaongea wanapga wakofi huyo naye kaongea yake wanapga makofi upuuzi mtu tu
@pidiusDominick-qi7nl
@pidiusDominick-qi7nl Месяц назад
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 nape kashasema kwahyo wewe funga mdomo wako
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
Wote mko kama Nauye. Hayupo msafi. Wote mani a kura, na wote tunawaelewa hivyo. Hamtoi ushindani wowote, hata mwenye kiti wenu alisema hivi hivi naye ndiye ng’ombe a Uraisi wa kafa yenu. Kakataa tüme huru na katiba mpya akiogopa itamtia kapuni. Kama mnajiamini hivi ruhusuni tüme huru na katiba mpya kabla ya uchaguzi tu one.
Далее