Тёмный
No video :(

DKT : LWAITAMA AWASHANGAA WANAORUDI CCM/ AGUSA MFUPA MGUMU WA MUUNGANO 

MwanaHALISI TV
Подписаться 310 тыс.
Просмотров 59 тыс.
50% 1

Mhadhiri mstaafu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ametoa neno kwenye mkutano mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo katika kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, mwaka huu.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 213   
@ramadhanimohamed4977
@ramadhanimohamed4977 4 года назад
Watanzania tumezoea udaku lkn ukweli huwa tunauupinga
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Mzee NIMEKUVULIA KOFIA. 💪💪💪💪💪💪Pambanieni nchi yetu ikomboeni toka kwa wakoloni weusi
@nestoryklevakleva929
@nestoryklevakleva929 4 года назад
Sasa umestafu pale Udsm ndo maana chuo kinakufa,unaakili kubwa mzee
@joelsule6556
@joelsule6556 4 года назад
Nadhani hiki ndicho kizazi pekee cha utubutu kinachohitaji kuenziwa kwa nguvu zote. Namshauri Prof. Lwaitama aanzishe taasisi ya kujenga vijana kuwa na ujasiri bila kuwa na woga!
@meddykiju8289
@meddykiju8289 3 года назад
We need people like you dr.lwaitama
@msemakwelimdhalendo7782
@msemakwelimdhalendo7782 4 года назад
Big up Dr Lwaitama.
@adamdenver8019
@adamdenver8019 3 года назад
instaBlaster.
@jacksonbohbahck6307
@jacksonbohbahck6307 4 года назад
Mzee juuu
@kahugentobi9734
@kahugentobi9734 4 года назад
Sawa mzee
@agabamushumbusi433
@agabamushumbusi433 4 года назад
Great of Lwaitama
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 4 года назад
Lwaitama big up
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 года назад
Talent one
@aboubakarmansour1189
@aboubakarmansour1189 4 года назад
Ndyo maan ulikuw Mhadhir honger mzee wangu
@faisalwaafrica7478
@faisalwaafrica7478 4 года назад
Mzee nakukubali sana point baaday ya point🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@timbulosaid63
@timbulosaid63 4 года назад
Huyu mzee ni machine ya kweliiii
@sylivanussyliacus5064
@sylivanussyliacus5064 3 года назад
Me ccm ila nimekuelewa mzee
@davidnyaonge2035
@davidnyaonge2035 4 года назад
Chuma hiki
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 4 года назад
Maneno mazito yenye kujitosheleza wewe ndo dkt au proff wa kweli Hongera sana...
@jacksonbohbahck6307
@jacksonbohbahck6307 4 года назад
Mzee wangu damu
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 года назад
Weee nyundooo
@idrisamakwilo9917
@idrisamakwilo9917 4 года назад
Nakuelewa sana professor.
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 4 года назад
Dr.
@salehabdallah4114
@salehabdallah4114 4 года назад
Huyu kweli muhadhiri chunvi kabisa namkubali sana zaidi ya sana alaf hana makuu
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Mwana halisi asanteni. Chonde chonde wasije wakawafungia kwa kutuletea habari njema bila kupepesa macho
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 4 года назад
Naona global TV hawajailusha taarifa yte wamekata baadhi ya vipande mwanahalisi mmeonyesha mpaka mwsho
@alifaki8741
@alifaki8741 4 года назад
Hivi wengine hawafaham Hilo au
@arbaab9337
@arbaab9337 4 года назад
HUYU MZEE NATAMANI AWE MUME WA BIBI YANGU...✍
@switdeus2350
@switdeus2350 4 года назад
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ,utaaniwa na bibi ww
@felistagerrard2375
@felistagerrard2375 4 года назад
Hatuhitaji akili nyingi kujua Tanganyika inatawala Zanzibar
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
🙆🙆🙆🙆🙆
@dareenali6086
@dareenali6086 4 года назад
He is very cleaver Maneno yako yote 100%
@jamallysayd3886
@jamallysayd3886 4 года назад
Nakukubali sana muzee wamimi
@ndarogamba191
@ndarogamba191 4 года назад
Hakika wewe hukutoka jalalani na u deserve to be prof...💪👏
@josephatjosephbaza2962
@josephatjosephbaza2962 3 года назад
safi sana Prof. LWAITAMA, hao ndo wanazuoni makini wanaotakiwa ktk zama hizi.
@hizim6699
@hizim6699 4 года назад
Very intelligent than
@japhetnaganye9399
@japhetnaganye9399 4 года назад
Safi sana maneno ya busara hayo
@njombehcboreshaafya6450
@njombehcboreshaafya6450 4 года назад
Kasenemaaaaaa uwiiiiii bahobaho
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 4 года назад
Safi sana Prof
@user-bn4br7qm7r
@user-bn4br7qm7r 3 месяца назад
Ccm inatia aibu sana ,imeshindwa na bado inanganinia madaraka
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 4 года назад
Maneno matamu sn aise
@josephelias6066
@josephelias6066 4 года назад
Mzee hamna kitu hapo Nchi yetu imepata mtu sahihi ,na ndio maana saivi tunayaona maendeleao ,SGR,NDEGE ,BARABARA,VIWANDA ,ELIMU BURE,MAHOSPITAL YAMEJENGWA, nyie mumebaki kupiga kelele Magufuli shikiria hapohapo
@godwinegacharo9001
@godwinegacharo9001 4 года назад
Jaribu kimskiliza prof kijana
@abuunaajiyah7821
@abuunaajiyah7821 4 года назад
Wewe hujielewi
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 4 года назад
Maraisi wote waliokaa walifanya maendeleo wewe unamuona Magufuli tu acha zako .
@simonfundi3609
@simonfundi3609 4 года назад
Huyu mzee namuelewa sana
@markhenry6176
@markhenry6176 4 года назад
Simon hawa wazeee ndo tunawataka maishani wanaona mbali saaana tunamuelewa wengi saana ila wachache hawawezi muelewa.
@simonfundi3609
@simonfundi3609 4 года назад
mark henry sana brazaangu
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 4 года назад
Mzee nakukubali mpaka naumwa, aiseee!!!!!!
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 года назад
Wanaorudi CCM ni wale wachovu wasio na elimu. Kile ni chama cha kutumia nguvu sio akili.
@jamallysayd3886
@jamallysayd3886 4 года назад
Namm nitanyoa kipara kama wew
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
Mzee wangu waliorudi nyumbani waliogopa kunyanganywa mali zao za kifisadi
@joelsule6556
@joelsule6556 4 года назад
Dah! Mzee amemaliza kila kitu tena akicheka sana!! Huyu Prof. Lwaitama ndiyo msomi pekee anajua kutumia uhuru anaostahili bila kuingiza chembe cha unafiki. Nampongeza sana kwa ujasiri wake. Lkn pia nifurahishwa zaidi furaha aliyonayo kutumia uhuru wake tofauti na wasomi wengine wanaotoa mimacho na kujinyenyekeza eti wametoka majalalani. Mungu akulinde professor Lwaitama!
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 4 года назад
Dr.
@dollaabdallah8268
@dollaabdallah8268 4 года назад
Sawamzee
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 4 года назад
Sisi tuna misemo wetu moja inasema hata vichaa huzeeka pia kwahiyo sio kila mzee ana busara wengine wanazeeka na uchizi wao😂😂😂😂
@edwardkasubi1332
@edwardkasubi1332 4 года назад
Yeap ni kweli kabisa ni Kama vile yule mamako anavyozeeka na uchizi wake
@winfridahcreitus705
@winfridahcreitus705 4 года назад
Hamis Masood, unaakili iliyojaa uji was muhogo, heshimu watu went busara, hata Kama ninjaa huwezi mdisqualify huyu mzee. Mpumbavu Sana wewe.
@saifalbarwani4993
@saifalbarwani4993 4 года назад
walio ishia darasa la pili wengi wanaipenda ccm ukiona wenye elimu wana ipenda basi ni viongozi au wazazi wao ni viongozi nnje ya hapo hakuna anae ipenda ccm elimu bure katubana hospital kuchangia dawa huyu rais huyu yaani adi kumuona dokta ni hela
@paulebby1552
@paulebby1552 4 года назад
Haka kazee kababe
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 4 года назад
TULIKUWA ZANZIBAR WANATUTOWA KWENYE UNYANI KWA WELEEEEEEE NA WAKATUWAMSHA AKILI WAZANZIBARI SASA UHURU HAWAUJUWI SASA WAMEMTAWALA ZANZIBAR KIJESHI NA KUMFUNGA NGUMI YEYE MWENYEWE BASI ASIENDELEE TUNAMKAMUWA VIBAYA SANA MPAKA NCHIYAO TUNAIHARIBU WAZANZIBARI TUNAWATILIYA UCHAFU NCHIYAO TUNAIFANYA INANUKA NA KUWATUMILIYA KINA SHENI TULIOWAWEKA ETI TUNASEMA MUUNGANO DUUUUUUUUU MARADHI YA APEDONIYA HAYA WANAYO CCM AU MCC MADIKTETA HAWA WABOVU WABONGO SISI WA CCM AU MCC AIBU ATABABAYETU WATAIFA HAJAFANYA HIVI NA KASEMA WAZANZIBARI BARI KAMA HATAKIMUUNGANO WAACHENI AU SIYO SASA MAALIMSEFU SHARIFU KASHINDA HAWAKUMPA USHINDIWAKE WANAFANYA UNYANI ULE ULE WA SIKUZILEEEEEEEEE NA NDIOWANAMARADHI YA APEDONIYA HAWA P H D ZA KIJINGA ZINAOZEANA KWENYE VICHWA VYAO DUUUUUUUUUUUU DODOMA HUKO 👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇💀🔥👹🇹🇿🇮🇱😇
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 4 года назад
Kuna mlev mmoja Hapo chin anamkashfu huyu mzee. Bumbavu😏. Mzee yupo sawa hii n hazna ya taifa
@mrsramadhani2400
@mrsramadhani2400 4 года назад
Nimekuelewa Mzee
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 4 года назад
#Appreciation
@georgewambura7135
@georgewambura7135 4 года назад
akili mingi sana
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 4 года назад
huyu mzee lwaitama ni kiboko
@jumamustaph6253
@jumamustaph6253 4 года назад
Wewe na yeye wote matako tupu, yeye anaongea upuuzi.
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 4 года назад
@@jumamustaph6253 we ndo mburura mtu wa ndiyo tu hapana huijui
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 4 года назад
Ukweli km huu CCM hawautaki
@zabronmwaibingila146
@zabronmwaibingila146 4 года назад
Watu wa kusema ukweli Kama huyu ni wachache sana Tanzania ya leo,tumejaa hofu kubwa.Lwaitama kwa kauri hizi kaa chonjo
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 4 года назад
Aisee hii umesema kweli.
@johnlugaila1007
@johnlugaila1007 4 года назад
Uko vizuri sana endelea kutoa mwanga ninakukubari
@saidkhamis5413
@saidkhamis5413 4 года назад
Asiemuelew huyu mzee akili mgando
@eddynyaki5539
@eddynyaki5539 4 года назад
Kumbe wewe unapambana kuitoa chama tawala na siyo kupambana na wanalihujumu taifa letu sisi watanzania tunataka anaepambana na wahujumu wataifa letu vibaraka na mabeberu . 2020 Magufuli tena tunaipenda Tanzania
@sharifalushino8137
@sharifalushino8137 4 года назад
Good man
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 4 года назад
Huyo ni dokta. Wa chuo kikuu huchoki kumsikiliza mtamu kama sukari
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Kule kwetu tunasema mtamu kama halua ya Nkebe.
@maisatou
@maisatou 4 года назад
Sasa Tanzania tunao uhuru wa kwenda na kujiunga na chama chochote mtu akipendacho,kama wewe unaona kibaya mwenzio anaona, Chongo kwake sio Chongo ni Makengeza.Punguza konyagi sauti itarudi. A.R.Msimbazy
@zeroforce6691
@zeroforce6691 4 года назад
Zidumu fikra za mwenyekiti......
@muhidiniharuna3735
@muhidiniharuna3735 4 года назад
Mzee Tema madini
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 3 года назад
Kwani chadema imefanyanini chamaana..mbona hata.oficetu hawana namapesa.wanachangishwa kibaoo kunamadhimbi kibaoo ndaniyahicho chama mbonahamuyasemi kamakweli nyie niwakweli hamnalolote wote niwalewaletu nyie
@wilfredluhwago7580
@wilfredluhwago7580 4 года назад
Shida vyama Mbadala hawajielewi. Wapinzani wanapigania matumbo yao hakuna mwenye uchungu na watanzania. JPM acha aendelee.....
@georgebongi4844
@georgebongi4844 2 года назад
Havijielewi katika nini na huyo unaetaka aendelee kwa lipi ambalo wengine hawawezi. Akili ndogo ibaki fikirani kwako
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 года назад
Wanao wanajivunia kua na baba mwenye fikra mpya
@sistajeremiakalinga5436
@sistajeremiakalinga5436 4 года назад
Kwashakoo utapiamlo
@mussaelisha5535
@mussaelisha5535 4 года назад
Kwa nini ukugombeya uraisi unakili sana
@mountstone8044
@mountstone8044 4 года назад
Duuuuh aiseeeee maneno kuntu.
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 4 года назад
Ninapoona picha yko popote kwenye mtandaoni lazima nisikilize hekima zako DR
@zajnatalikizajnataliki6389
@zajnatalikizajnataliki6389 4 года назад
Povu tu kuongoza Nnchi unafikiria kumwongo mkeo?
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Una akili wewe tulia na usikilize akili kubwa inasemaje.
@petermachambile3149
@petermachambile3149 4 года назад
Wazee kama hawa usomi wao unaishia darasani na kwenye makaratasi, wameishi vzur ktk nchi hii mpaka wamezeeka hawana haja na chochote kitakachotokea,muungano uwepo ama usiwepo hawajali,wa- tz tuwe nao makini sn
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 года назад
Peter Machambile acha maneno peter hujui chcht juu ya huyo mzee. Alfu usiongee cz huyo sio njaa kama ndy zako unao watetea huyo yupo toka enzi za baba wa taifa na maisha yake sio drama kama yako hafai huyo huwez kuvaa viatu vyakr
@idirisadukani267
@idirisadukani267 4 года назад
Huyu anaonesha maana halisi ya mtu msomi.
@hovehenrick7036
@hovehenrick7036 4 года назад
tupo pamoja mzee
@musalilama6604
@musalilama6604 3 года назад
Mzee fala kwel uyu muone kichwa kama cha pnc yan anajiona miakili mingi wivu mtupu analolote tume huru ili iweje unataka uongoz au
@mbisajafar7601
@mbisajafar7601 4 года назад
Haka kazee mda mwingine sikaelewi,sasa unasema lowasa angekuwa raisi kupitia mgombea huru,kwalipi umeloliona zuri toka kwa lowasa ..mambo serious unajichekeshachekesha tu...
@arbaab9337
@arbaab9337 4 года назад
Mmmh mimi nadhani hujamfaham sababu kiswahili hukifi fahamu labda...✍
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
😅😅😅Nimekupenda bure jamani 💪💪💪💪💪💪💪💪
@godsonmhema2255
@godsonmhema2255 4 года назад
Hata wewe ukipewa unayafanya hayohayo hamna jipya
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 года назад
Wee mzee unataka kusema watanzania twende tukaishi Kenya Burundi rwanda Congo Uganda au south Africa makaburu... Jamani watanzania huyu mzee anasema Bora tukaishi Congo kuliko Tanzania huyu mzee sieee
@doctorptz1641
@doctorptz1641 4 года назад
Mmm mbn sijamsikia akisema 2kaishi huko
@yusufushija629
@yusufushija629 4 года назад
Kwa umri wako,ungekuwa mfano MZEE mwenzangu tushiriki kilimo,siasa waachie vijana
@jeremiahpetro8267
@jeremiahpetro8267 4 года назад
Namkubali huyu mzee nondo zake!
@timbulosaid63
@timbulosaid63 4 года назад
Mzee wewe nijembe aisee
@mrishojuma1080
@mrishojuma1080 4 года назад
Amina
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 года назад
Maneno yk yapo sawa ila swali lngu kwko muda wote ukiwa unafundisha chuoni ulihubili mungano leo unaongelea ukandamizi wa Tanganyika kuitawara Zanzibar jmn wasomi wngine tuwe nao makini sana...
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 года назад
Mtatiro Mgeka bas hukumsiliz vizur na bet me itakuwa hujawahi kufaulu somo lake. Njoo tuwek hela mbele tukaulize then tuone. Ww kilaz jina lenywe mtatizo lofa
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 года назад
Ahaa
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 года назад
@@jevinjacob5439 mm sijamtukana mtu zaid ya kucharenji mambo yk ww urofa unatoka wapi au ww ndie rofa fikila na elimu yk dun.. fikilia kwanza kbl kumtus mtu
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 года назад
Mtatiro Mgeka sija kutusi ndug yng na kama umechukua matuz umeenda mbali sana. Point yako ni ipi sasa hapo sija kuelewa maana naona rofa mara sijui nn. Kama umejisikiliz na asante kwa kujishauri wasomi tuwe makini sana. Unawez vip kuquestion kitu outside na mada husika na je ulisha wahi kusikia amebadilik kwny hutuba zake juu ya tanganyika na zanzibar bro kuwa makini unako ongea alfu unabisha ujinga sio kila mtu anawez kukupa elimu ya bure
@kaimuulongo953
@kaimuulongo953 3 года назад
Saf mze^e
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 4 года назад
Chama tawala au chama dola kisiwepo tena chama cha kujipa majina hayo. Kiwepo chama kitakachoongoza sio kutawala.
@TheTemba1
@TheTemba1 4 года назад
Mamaye Maprofesa wote ni mikia tu..... huyu Jamaa ana akili kuliko Harvardians
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Nimependa hapo alichanga nae PESA alitaka kutengeneza kisinema fulani hivi!
@antonychande6570
@antonychande6570 4 года назад
Tatizo ni moja kwa ss ngozi nyeusi huwa hatusikilizi hoja na kuzipima na kutambua kwamba huyu ameongea vizuri tukimchagua atatutatulia matatizo lakini tumebaki kuwa washabiki was watawala.
@bonifasbonara9323
@bonifasbonara9323 4 года назад
Lwaitama kama nyerere au warioba yuposafi huyu mze
@ameirameir4930
@ameirameir4930 4 года назад
siku zote hua nasema hyu mzee ni msomi bure kabisa hajielewi wala hajitambui elimu yke mtihani mtupu na aende akaishi hko burundi bs sura km matako ya nyani mpevu km unaona hufai kuishi tz si uhame uone hzo nchi nyengine km zinawachukulia poa vibaraka km ww
@petermollel5220
@petermollel5220 4 года назад
Nakuona
@murrowbhaiofficial448
@murrowbhaiofficial448 4 года назад
Uyu mZee anafanana nakatega saana wanaundugu awa ata uongeaji kama katega
@maulidmkana791
@maulidmkana791 4 года назад
Kweli babu unaongea point lkn atakae kataa ujue anauchama
@johnlugaila1007
@johnlugaila1007 4 года назад
Nakupenda sana mzee uko vizuri
@marymfugwa847
@marymfugwa847 4 года назад
Jamaa unaongea wewe!!!
@pinkertontv5735
@pinkertontv5735 4 года назад
Na unavyojichekesha unafanana na kinda LA sokwe, Lea wajukuu kwan ulikuaga wapi mpaka jua limekuzamia babu
@swahibabdullah9670
@swahibabdullah9670 4 года назад
Huna lolote
@michaelthadei6533
@michaelthadei6533 4 года назад
Kalale hukuwe unaonekana bado ujakuwa
@rainasmasinde9499
@rainasmasinde9499 4 года назад
Mzee kazeeka na akili imezeeka.HAFAI HATA JALALANI!!
@jevinjacob5439
@jevinjacob5439 4 года назад
RAINAS MASINDE usha muona amekaa kwny wizara za serikali kama weng au kutaka vijana tusipande kiuchumi kama serikali yako. Amka unuse kahawa ww maisha sio kama jana
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Rainas Masinde, kama huna lakuandika bora kaa kimya!
@robertmwakitwange877
@robertmwakitwange877 4 года назад
Wewe ni hazina nakuelewa sana
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 3 года назад
Vp
@isackphinis5040
@isackphinis5040 4 года назад
Uwezo wako unautumia kisiasa badara ya kusaidia watanzania
@suleymandachi782
@suleymandachi782 4 года назад
Zamani tulisema uzee ni busara,maana kila neno nilikuwa linamaana sikuhizi uzee busara maana yake uzee uchawi,moja ya mtu anastahili kuitwa mzee mchawi ni huyu hapa,hata wanafunzi aliowafundisha hadi leo mapoyoyo,nikichefuchefu,hata kumsikia
@michaelthadei6533
@michaelthadei6533 4 года назад
Kojoa ulale
@semuyona2401
@semuyona2401 4 года назад
Umezeka kucheka Cheka kumezidi
@focuseric4109
@focuseric4109 4 года назад
Unaweza ukawa msomi lkn mbele ya wenzako ukaonekana zuzu au umekata tamaa,dr lwaitama ana asira sn lkn ameshindwa kuji control na asira iyo inamdhalilisha ss.na atma yake ni uzee wa aibu ambao auna eahima!!
@alawiali3475
@alawiali3475 3 года назад
Ana hasira ya nini ?
@jeremiadaudi5780
@jeremiadaudi5780 4 года назад
Natamani kukuona mzee wewe ukiwa rais wa tz ila basi tu
@mtatiromgeka7270
@mtatiromgeka7270 4 года назад
🤗🤗🤗
Далее
PROF. SAFARI: ASILAUMIWE LISSU/HALI NI MBAYA
7:09
Просмотров 238 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,6 млн
What Should Leaders Learn from History?
28:33
Просмотров 345 тыс.
DK.  LWAITAMA AZUNGUMZIA KUREJEA KWA LISSU/USALAMA WAKE
38:08
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,6 млн