Тёмный
No video :(

"NATUKANWA lakini SISIKII nimejigeuza CHURA" Rais SAMIA ajibu kuhusu kutukanwa na..... 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 2 месяца назад
Ooh, kwa hiyo rais unakopa kwa kuogopa kukosa fursa ya kukopa? Dah tuna safari ndefu
@drtobias_
@drtobias_ 2 месяца назад
Yani Samia haongei km mtu mwenye mamlaka,Yani ni km na yeye analalamika km wananchi
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Yaani shida sana, kuna tofauti sana ya Magu na huyu
@kuntaalkinte5415
@kuntaalkinte5415 2 месяца назад
Hongera mama sichoki kusikiliza hotuba zako zinaeleweka Allah akulinde,
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 2 месяца назад
Pole sana mama,pole sana mkuu wa nchi.Pole sana mhe Rais wangu.Ndo dunia mama napia ndio wanadamu.Huwezi kumfurahisha kila mtu or kila mwanadamu.Piga kazi mama napia songa mbele.Mkuu
@eliapendakileo
@eliapendakileo 2 месяца назад
Uchumi umepanda juu ya mti au umepanda kwenye ndege inayoelekea Dubai maana kilio Cha ajira umasikini gharama za matibabu sioni labda Kuna anaeona anioneshe ivi walisema raisi hapingwi ni kweli uchumi umepanda nilisahau
@ponsianomnyaru9140
@ponsianomnyaru9140 Месяц назад
Wanaume na suti zao wanapigia makof chura mama huna kitu ww tukome watz
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 месяца назад
The problem ni mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi. Wezi wanalindana
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b 2 месяца назад
Mama yangu laisi nakukubali lakini tupe katiba nzuli pili mahama ya mafisadi tatu ondoa machinga barabarani mama ntiliye balabalani hao wote wanao kupigia makofi wote chawa sijawahi kuona Kila laisi ni makofi hao ni chumia tumbo ispo kua jeerry silaa na makonda na bitko na bashungwa wengine watafutie kazi hotelin
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 2 месяца назад
Mikopo hoyeeeee
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 2 месяца назад
Tatizo sio mikopo usimamizi wa hizo pesa zikopazo watu wanajimegea tu hukohuko usimamizi weka ukali waogope
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Sikuwahi kusikia mifano ya vyura mara sijui nini kwa marais wa nchi zingine. Haya utayasikia tu Tanzania nchi ya vijembe ,uchumi ni wa watanzania nchi ni ya watanzania sio mali binafsi Rais ni msimamizi tu na mwajiriwa wa watanzania
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Ndio ujue tunaimba taarabu tu
@AlexMathiasPaul
@AlexMathiasPaul 2 месяца назад
😂😂😂 na bado hauwajui watz shida wamesoma wengi wao wapo majumban na hawana kaz wape kaz mama
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад
dah hii ndio tz ya mwigulu nchemba sasa kapewa lungu jipya kukusanya kodi sio tatizo shida Nikwamba izo hera zinaenda wapi miradi inacherewa kuliko maelezo miladi mikubwa mipya hakuna inayomaliziwa Ndio ile ya mtetezi wawa nyonge kukopa tunakopa kodi utitili izo pesa zinaenda wap
@emmanuelsulle911
@emmanuelsulle911 2 месяца назад
Mama wewe haufai kabisa kuwa rais huwezi kuuza bandari zetu kwa waarabu,kuonea watanzania Kwa kuwafukuza kwenye ardhi zao.hatakutaki na hatukuelewi
@awadhsalim2680
@awadhsalim2680 2 месяца назад
Utajiju na chuki zako na ubaguzi
@ibrahimjuma9709
@ibrahimjuma9709 2 месяца назад
Ni kweli KAZI kwanza ya ujenzi
@pauljulius1662
@pauljulius1662 2 месяца назад
Endelea kufuata wazungu wakuinguze uchumi wa kati Magufuli alikuacha uchumi wa kati sijui ulikologa wapi ?
@yapukahassan
@yapukahassan 2 месяца назад
Inchi ngumu sna hii. Bora kungelikuwa na mfumo endelevu wa viongoz lakini hivi . Mmoja anatengeneza harafu mwingne anakuja kuharibu 2. Hili niku2hangaisha wananchi katka mifumo yao ya kipuuz
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 месяца назад
Ahsante kwakukili kwamba ww ni chura
@calvinmacha593
@calvinmacha593 2 месяца назад
Yaan mtu unakilakitu ndani bado unatoka nje kukopa, kwanza hii nchi tunaongozwa na kusimamiwa na mungu tu, unachokifanya unakijua mwenyewe.
@kingmichael1234
@kingmichael1234 2 месяца назад
Chura usingupatie wezi.. magufuli aliwatoa hao wezi, wewe umewarudisha. Watanzania hatuwataki hao Mafisadi
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Wanaume wamekaa wanapiga makofi
@daudibukwimba4226
@daudibukwimba4226 2 месяца назад
Capital investment, youth empowerment in technology, resource utililization and management
@leokamil6284
@leokamil6284 2 месяца назад
Mkulima azalishe kwa kuwa mnawapa pembejeo bure sio ?.Kilimo bila mtaji ni kuonea wakulima tu
@hildersamwelmmbando8733
@hildersamwelmmbando8733 2 месяца назад
Usizibe masikio vinginevyo utakosa kujuwa wananchi wanafikiri nini.
@user-sy4yj5ci3j
@user-sy4yj5ci3j 2 месяца назад
Sisi tungali na maisha ya kwenda kuasujudiya watu ili maisha yetu iyende !ndomana ushaga ushoga una pow kubwa ndani ya Tanzania
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад
Chura bwana wanakupigia makofi
@pauljulius1662
@pauljulius1662 2 месяца назад
Raisi anapenda kama chura
@uwezomayonko5101
@uwezomayonko5101 2 месяца назад
Hujibu kwa sababu huna cha kujibu! hivyo lazima uwe chura.
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 2 месяца назад
Mheshimiwa endelea kucheka na nyani! Uwe tayari kuvuna mabua!
@RobinsonKilango
@RobinsonKilango 2 месяца назад
😂mama huna misingi ya kulinda rasirimali za hili taifa kwani maneno hayo hakuna raisi hajawahi kuyasema lazima ufahamu kuwa umekuta ufa katika yale yalio anziswa na watangurizi wako hii. yakukopa ilianza tangia nyerere .nchi inadaiwa kila kukicha bila ukomo huku tukiomba misamaha ya madeni na hizo fedha kwaajiri ya nini hapa kilimo ziro elimu ziro uvuvi ziro madini ziro ajira ziro teknoroji ziro. afya ziro. siasa ziro utawala bora ziro ufundi stadi sayansi ubunifu sanaa ziro michezo ziro mbinu za kijahasusi za kimataifa kuiba ujuzi kiiviwanda na teknoroji ziro kuweka ulahisi wananchi kutoka nje ya taifa na kuweka hamasa kuchuma nnje kuleta ndani hiyo pia ziro kuzitumia rasilimali. z etu kama aridhi maji hewa watu na solo kubwa duniani la. chakula ambalo .linakabiri ma kutoa tishio duniani hilo pia ziro eti hakuna ajira tunao ujuzi wa kukopa na kuomba misamaha hii aibu itaisha lini kwani huwa hamtafakari kuomba ni fezea nchi nzima hii ni madalari tangia vijijini kata wilaya mikoa huu ndio mtindo wa. maisha ya watanganyika tulinyimwa kila fursa mdawote. huo leo hii raisi samia unaa anzia wapi kwa mikopo huna hata msingi wako .katika. hiyo ulio ikuta mama samia hizo ni lawama tuu huzikwepi hao mchwa wana chekelea chini chini kuupiga. mwingi kwa kila stairi sasa mama) sikia. hii. kama huna hizi siraha usitegemee kuona jipya katika misingi ya wenzio ilio..ingiza hili taifa katika ujinga umasikini nmardhi asomae na afamu
@obadiamwakatuma4162
@obadiamwakatuma4162 2 месяца назад
Heee! Hee!..
@judyngowi391
@judyngowi391 2 месяца назад
Uuwiiiiii
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 2 месяца назад
Afadhali
@nyimbozawatoto
@nyimbozawatoto 2 месяца назад
Wimbo wa CHURA: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-E7XYp8QgO9s.htmlsi=jqqmLNGWPD9W7NqE
@SalumChema
@SalumChema 2 месяца назад
Uchumigani.mama.mbonamaishayanakuwa.magumu.au.uchumi.ukokwamadisadi
@demicratia4071
@demicratia4071 2 месяца назад
Mama SAMIA Uko vizuri sana 😂hebu cheka kidogo ufurahishe MOYO wako.
Далее
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21